JANGA KUBWA KULIKO MAJANGA YOTE DUNIANI LATAJWA NA ASKOFU GWAJIMA | MAISHA YAKO NA HATIMA YAKO

  Рет қаралды 6,304

Josephat Gwajima RudishaTv

Josephat Gwajima RudishaTv

3 ай бұрын

Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page jgwajima Instagram bishopgwajima
Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time

Пікірлер: 22
@Mr.Isayamaziku
@Mr.Isayamaziku 3 ай бұрын
Sio muamini wa kanisa lako lakini nabalikiwa sana na mafunzo yako 🙌🙌🙌
@EbenezerRajabuMwamengo-pq5ev
@EbenezerRajabuMwamengo-pq5ev 2 ай бұрын
Jasusi Rambinguni barikiwa sanaaa
@Maryc2G
@Maryc2G 3 ай бұрын
Ukibeba mambo mengi na vita yako itakuwa kubwa 👏🏽👏🏽
@Mwl_Lupimo_
@Mwl_Lupimo_ 3 ай бұрын
Exactly 🤝 Blessed my Father
@fideleduardoeduardo8944
@fideleduardoeduardo8944 3 ай бұрын
Amen
@EmirataJkente
@EmirataJkente 3 ай бұрын
Mungu akulinde zaidi,Baba angu. Kwa kupigania hatima zetu. Tunasonga mbele kwa mkono wako.
@eliyadudiye.
@eliyadudiye. 3 ай бұрын
Asante Archbishop Kwa ulichobeba huvuta vita
@user-vi6jf9jz4z
@user-vi6jf9jz4z 3 ай бұрын
Maarifa ya baba yangu ni mazuri nasonga mbele🙏🙏
@agneselia9000
@agneselia9000 3 ай бұрын
Mungu azidi kukubariki sana baba askofu
@StevenRichard-uj7bn
@StevenRichard-uj7bn 3 ай бұрын
Tunae msa wa sasa hatunajn wasiwasi lazima tufike nchi ya ahadi na yeyote atakayesimama mbele yake hajipendi, BISHOP GWAJIMA BABA YETU, hakutakuwa na unganga wala uchawi juu yako tuko nyuma baba kukuombea.
@jameslanson9457
@jameslanson9457 3 ай бұрын
Mungu akulinde
@rodriguesvictorvalerio6886
@rodriguesvictorvalerio6886 3 ай бұрын
Amina baba.
@FreeGod368
@FreeGod368 3 ай бұрын
Hekima ya baba❤❤❤
@deboramsangi360
@deboramsangi360 2 ай бұрын
Niliotaga niko na huyu mzee halafu tunaenda sehemu nikaona barabara imenyiooka pana. Na alikuwa mbele mimi nyuma nikakamatwa gauni na mwiba ni kama michongoma ilikuwa pembeni ya barabara. Najitoa gauni mtandio ukanasa yeye Gwajima ananisubiri nahangaika hadi nikashtuka. Ni mda ila iliniuma sana.
@gracenyangusi6230
@gracenyangusi6230 3 ай бұрын
Haleluya ❤
@elizangumbau3418
@elizangumbau3418 2 ай бұрын
Nko kenya na natamani sana nikufikie uniombee face to face.......nitafikaje kwa kanisa lako asikofu????
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 3 ай бұрын
Kweli kabisaa kabisaaa
@rhemainternationalministry5693
@rhemainternationalministry5693 3 ай бұрын
Kabisa Askofu
@blessedassurance4743
@blessedassurance4743 3 ай бұрын
Hiki kiswahili nacho nikigumu kusheheni ni nini
@user-zk2dn7gs7u
@user-zk2dn7gs7u 3 ай бұрын
Askofu zingine atuelewi kabisa amesheheni hiyo ina maana gani
@yohanakananika3586
@yohanakananika3586 3 ай бұрын
Acheni ushamba kusheheni ni kujaa,kuzidi
@MM-pd9ys
@MM-pd9ys 2 ай бұрын
​@@yohanakananika3586 Sasa ndugu kulikuwa na ulazima wa kutanguliza maneno "acheni ushamba"? Hii channel inafuatiliwa na watu wengi wa mataifa tofautitofauti, na wengine Kiswahili siyo lugha yao asilia. Panapohitajika kutoa msaada, toa tu msaada, inatosha.
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 25 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 682 М.
MASANJA  HADHARANI FATILIA MPAKA MWISHO
24:02
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 727 М.
Askofu Gwajima anena mambo mazito kwenye ibada ya Jumapili
27:28
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 118 М.