Ameen mtumishi nimekuelewa sana Mungu akubariki sana
@sanifhesro21694 жыл бұрын
Amen Amen barikiwa mtumishi wa Bwana
@alphachanneltz26684 жыл бұрын
masanja nimekuelewa kandamiza neno la Mungu 👱
@agnesslyatuu80264 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Masanja! Nakupenda sana na mahibiri yako yanajenga sana
@phelistadanieli4861 Жыл бұрын
masanja mungu akubaliki maubiliyako Yana fundisha
@blasiomtweve99534 жыл бұрын
Paster uko vizuri maneno uliyo Nena yamegusa xana watu wengi maana maneno ya mungu Kila yanenwapo inakuwa mpya
@Isack_Leo4 жыл бұрын
Kaka Mkubwa ungekua karibu ningekupa 5! GODBLESS YOU!
@JohnsonMtweve3 ай бұрын
Ubarikiwe sana ndugu yangu masanja kwa kutulisha neno la Mungu.lakini itapendeza sana uende na Masimbwe ukawape neno la Mungu live.hakika utabarikiwa sana.
@pascarmwatosya58553 жыл бұрын
Mwenyekipaji anakipaji tuuuu,Masanja yupo vizuri
@neemavicent77624 жыл бұрын
Halleluya JINA LA YESU NA YESU MWENYEWE NDIO MSHINDI WA KIFO. AMEN. NIMEBARIKIWA.
@raitonykunzugala10394 жыл бұрын
Kweli mchungaji
@dafrozakyaluz97624 жыл бұрын
Masanja bana eti bro inuka nipe tano alafu uendelee na safar
@user-cf2df1zx9i5 ай бұрын
Kupitia mm Masanja vijana Mungu awasaidie❤
@modeemojombo56624 жыл бұрын
Nimekupenda mtumishi wa Mungu! Bariiwa. Umebadilisha upepo msibani
@macknesmhone58834 жыл бұрын
Amen and amen baba mungu akuzidichiye hekima na malifa nimebalikiwa sana
@aidamwampasi14303 жыл бұрын
@@macknesmhone5883 "ln A pqp
@waternews48312 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/jNypaLurrrbKiqM.html Maneno matamu ya kuchekesha
@musamollel1504 Жыл бұрын
Really, I am very blessed by this service, I wish I could be there, but more than that, the Lord is Ebenezer👈👈👈👈💯💯?
@mcnjovu35254 жыл бұрын
Hakika pastor masanja nakukubalisana na unanishawishi sana kuokoka
@zabronzabron6794 жыл бұрын
Okoka ndg yangu
@eliadaniel93444 жыл бұрын
Mungu aendelee kukupa maalifa zaid swahiba pastor emmanuel mgaya a.ka. masanja
@manongichotile34955 ай бұрын
Kila ninapokuwa na mawazo na majonzi huwa narudi kusikiliza hapa Mungu akuinue zaidi masanja ❤
@hilgathjoshua88044 жыл бұрын
Asante kwa maneno ya faraja Mungu zaidi kukutia nguvu
@mercyjoseph4444 жыл бұрын
Ni hakika lazima kutengeneza wasifu wetu wwnyewe
@goodluckkayoka43524 жыл бұрын
Aiseeh! Yani sijaaamini Kumbe masanja mkandamizaji Uko vuzuri kuhubiri hongera sana bro
@amosijuma33244 жыл бұрын
Amina mtumishi
@neyleepallangyo84364 жыл бұрын
Amen barikiwa mtumishi
@gauedwin19604 жыл бұрын
9:46😂😂😂 kunalisapa mapangala..Love how u bring the word to normal life..asiye elewa namshangaa..much love ♥️ my pastor 🇰🇪🇶🇦
@Feelfreechurch4 жыл бұрын
Gaudenciar Edwin Thank you my Daughter 🙏🏾
@francistungu87554 жыл бұрын
@@Feelfreechurch nakubali Sana masanjaa mugaya much love
@waternews48312 жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/jNypaLurrrbKiqM.html Maneno matamu ya kuchekesha
@re.emmanuelmdoe334510 ай бұрын
🦸💃🙏🙏🙏 ahsante Mungu akutendee mema sana pasto Masanja, piga injili watu waende makaoni juu
@user-if4tp5vy5s5 ай бұрын
Hongera kwa huduma mungu azidi kukuinuwa katika huduma yako mtumishi
@mcnjovu35254 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa mungu nimekuelewa vizuri sana baba mtumishi
Yesu asifiwe Asante Sana naomba munipe naomba ya MCUngaji masanjya Asante
@jtozane75903 жыл бұрын
Kwili kabisa mchungaji Massanja God bless you so much it's just the Matter of time but every one will reach his/her end we have to have the powerful Jesus in our lives bless you. Buddy
@ChoosenMartha4 жыл бұрын
You are blessed my brother, man of God.
@kwekwenyotakwekwenyota1834 жыл бұрын
Ameen barikiwa sana masanja
@eliarichard92184 жыл бұрын
daaah masanjaaa miaka 3 imani na matendo umetisha sana barikiwa.
@user-eh2qc1fm9m5 ай бұрын
Mtumishi wa mugu umeufanya moyo wangu kuzidi kumupeda mungu nami naiidi mbele za mungu kuwa mm ni waana mpotevu nami naludiii yumbani kwa bwana
@geraldhongani87653 жыл бұрын
Mjomba angu umeniacha njia panda ila pumzika kwa amani , TAZARA itakukumbuka sana kwa kupigana kwako juu ya shirika mengi umeyafanya, USIKU NA MCHANA UKULALA ILA SAWA , ATUNA BUDI KUSEMA TUTAONANA BADAE AMINA😭😭😭😭
@lucassina889 Жыл бұрын
Asante Kwa neno zuri pastor massanja nimefrah Sana kuskia neno lako
@VinceJoyn4 жыл бұрын
Ndugu yangu una kipaji kabisa! Mungu atukuzwe!
@Feelfreechurch4 жыл бұрын
Vince Joyn Amen Vince. Tuko pamoja sanaaa
@joelburton72074 жыл бұрын
@@Feelfreechurch nakuaminia sanaaa kaka b blexd
@eliudalley31753 жыл бұрын
AMEN SANA MTUMISHI WA MUNGU... UBARIKIWE SANAAA
@enockkibona75224 жыл бұрын
Amen pastor From Lusaka Zambia
@eliacholela51543 жыл бұрын
Barikiwa sana karibu tanzania
@bensondaud3372 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@mandytv26674 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana Mungu akubark
@rhinakiza4 жыл бұрын
Amen 🙏 barikiwa kaka
@MS.independent89344 жыл бұрын
mwanawani ww ume nifraisha sn japo mm ni mwislam sn ila mahubiri yako huo yananikosha na ninakufatilia sn sn kila ufanyavyo katika vipindi vyako, hongera sn kwa kutowa elimuu
@francismengomwapashi3194 жыл бұрын
Ha
@sharifunchimbi7853 жыл бұрын
Okoka tuu tumfuate yesu
@getrudewilliamtzmallya5250 Жыл бұрын
Amina sana mtumishi KWA kweli wew ni mfano wa kuigwa barikiw sana.
@jumannemuyaha3401 Жыл бұрын
Una uislam gan ng'ombe wewe
@MS.independent8934 Жыл бұрын
@@jumannemuyaha3401 Sasa wewe ulie nitukana apo umefaidika nini ? Jina lako lenyew iloo nila ki'slam ila umethubutu kinituka bila kosa lolotee ila MUNGU atanilipia2 iposiku 1 tu
@graceduppa93274 жыл бұрын
Amen 🙏 pastor
@felsonsanga85023 жыл бұрын
Kumbee MCH Emmanuel mgaya Yuko vizuri Sanaa. Kumbee barikiwa Baba
@justinamichael59343 жыл бұрын
Nimecheka kwa nguvu masanja amina sana
@upendokulwa12944 жыл бұрын
Amen pastor barikiwa sana
@arstonodidier457211 ай бұрын
Daah Mungu akubariki sana Pastor, ulitutia moyo sana kwenye huu mziba wa uncle wangu Eng. Timothy Kayani kiukweli tulijikuta tunacheka. Huyo mama aliyeko hapo nyuma amevaa nguo ya Pink alikuwa mchungaji naye ameshafariki, kweli kifo ni fumbo.
@cheokunzenza18424 жыл бұрын
good qualite
@ndinagweandendekisye37224 жыл бұрын
Mungu aendelee kukuweka katika viwango vya juu zaidi kaka
@nelykinigacomedian94843 ай бұрын
Kweli mtumishi
@MichaelaNdomba-cc3hv5 ай бұрын
mtumishi wabwana mwanawane mungu akubarki sana mwanawane
@solomonkaaya2228 Жыл бұрын
Aminaaaaa mtumishi masanja ponya watu wa MUNGU kwa kweli nabarikiwa
@meshaki59 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi mungu akuimalishe usinge mbele
@elibarikielikana18244 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu hakika Ameeeen
@ezekianyiti31834 жыл бұрын
Pastor Emmanuel Mgaya be blessed in the name of Jesus
@joycepaul1558 Жыл бұрын
Amen kweli umefanya kazi nzuri.
@enggeorgeshemweta44755 ай бұрын
Barikiwa sanaaaa pastor masanja
@ezrayavan76863 жыл бұрын
Ubarikiwe sana pastor
@salhaheko34124 жыл бұрын
Ubarikiwe sana tumejifunza kitu
@rosemaryjohn31144 жыл бұрын
Bwana akibariki sana mtumishi
@MichaelaNdomba-cc3hv5 ай бұрын
sadaka yangu ni neno . ubarikiwe sana
@user-ns7xo9co6g6 ай бұрын
Amina baba sijajuaa upo sehem gan kanisan kwako
@hellensylvester8544 жыл бұрын
Amina 🙏nimebarikiwa mtumishi
@isackmachiyanshoka67544 ай бұрын
Masanja upo safi sana❤
@angelamhilu33784 жыл бұрын
Ubarikiwe brother
@angel-co4ip4 ай бұрын
Amina mtumishi wa MUNGU, nimekuelewa sana barikiwa sana,
@nsesheyemwasote62484 жыл бұрын
Amen barikiwa mtumishi 🙏🔥🔥
@paskalifaustini11374 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana kamanda
@jenisambingo45804 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu Masanja akuzidishie hekima na ufunuo
@user-fl2yz5yw3i5 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
@wannaproducts4 жыл бұрын
Rest easy my uncle engineer Timothy kayani... Ulijitolea kusaidia ndugu jamaa na families kwa moyo Wa upendo sana