Рет қаралды 3,594
Leo tarehe 12 Novemba Klabu ya Yanga imendaa Supu maalumu makao makuu Jagwani kwa lengo la kusherehekea ushindi walipata siku ya Novemba 05 dhidi ya Simba SC.
Mpenja Tv tunakuletea matukio yote muhimu kuhusu Zoezi hili maalumu la Wana Yanga