Simba SC 1- 5 Yanga | Highlights | NBC Premier League - 05/11/2023

  Рет қаралды 1,577,949

Azam TV

Azam TV

7 ай бұрын

Simba SC imepokea kichapo kizito cha mabao 5-1 kutoka kwa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Yanga walianza dakika ya 3 kwa goli la Kennedy Musonda kabla ya Simba kuchomoa dakika ya 9 kupitia kwa Kibu Denis.
Kipindi cha pili Yanga ikashindilia kwa mabao ya Maxi Nzengeli aliyefunga mawili dakika ya 64 na 77, Stephane Aziz Ki dakika ya 73 na Pacome Zouzoua dakika ya 87 kwa mkwaju wa penati.
Tazama highlights....

Пікірлер: 1 200
@remistoclaskullaya379
@remistoclaskullaya379 Ай бұрын
Anayeangaliaaa hii tarehe 14 april awekee likes hapaa 😅😅😅😅😅
@allyanton1366
@allyanton1366 Ай бұрын
Nipo hapa kiongoz
@glorymtinangi8002
@glorymtinangi8002 Ай бұрын
😂😂😂niko apq
@abdulhaliimali320
@abdulhaliimali320 Ай бұрын
29 bhn
@rosenaheka5137
@rosenaheka5137 Ай бұрын
Naleo nimeangalia
@idybwoytz8485
@idybwoytz8485 Ай бұрын
Mimi hapaaa😂😂😂😂😂
@islamyusuf2101
@islamyusuf2101 Ай бұрын
Anaetizama Leo taree 16 April aweke likes hapa😂😂😂
@harunichambo4658
@harunichambo4658 Ай бұрын
😂😂🔥🔥
@OurCryptoWorldwide5
@OurCryptoWorldwide5 6 ай бұрын
Alieangalia hii highlight tena wiki hii aweke like yake hapa
@fridahmasoi6693
@fridahmasoi6693 6 ай бұрын
Nimetoka kuangalia saivi😂😂
@queenie3677
@queenie3677 3 ай бұрын
Mimi naangalia sasa hv😂
@Shadia544
@Shadia544 5 күн бұрын
Trh 5/6/2024 nipo hapa narudia mateso ya makolo kama na wewe unarudia mateso ya makolo LIKE 😂😂😂
@magrethshishwa5481
@magrethshishwa5481 5 ай бұрын
Nyie mwenzenu narudia tn na leo 25/12/2023 kuingalia hii mechi,,mwananchi mwezangu achia like za kutosha km tuko pamoja💚💛💚💛💚
@dorisfabian4776
@dorisfabian4776 5 ай бұрын
Burudaniiii yaniiii💚💛
@youngstar7817
@youngstar7817 5 ай бұрын
😅🎉🎉🎉
@kevymloje730
@kevymloje730 2 ай бұрын
NIMERUDI TENA KUCHEKI TAREHE 21,MWEZI 3 MWAKA 2024😂😂. LIKES ZOTE ZA WANANCHIIIIIIIIIHAPA😅🔰💚💪💪💪🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️
@Paris_Dept.
@Paris_Dept. 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@user-fo6zy6ug9v
@user-fo6zy6ug9v 25 күн бұрын
Anae angalia leo hii tar 17 may like
@GMapoli
@GMapoli 3 ай бұрын
tunao cheki ihii gemu kukumbushia tupige like apa
@user-bs2xj7np9m
@user-bs2xj7np9m 5 ай бұрын
Tarehe 1 /1/2024 nan anaungana na mm kuangalia hapa❤❤❤❤😅😅😅
@winifiridamayala4692
@winifiridamayala4692 5 ай бұрын
Ni Mimi winifrida mayala naipenda sana
@user-xu3gp1nm9g
@user-xu3gp1nm9g 5 ай бұрын
11/1/2024 Yanga raha sana bhana like zenu ziwe nyingi wanayanga
@novethnyamba8859
@novethnyamba8859 14 күн бұрын
Oyaaa nani mwingn ameangalia treh 28/05/2024😂😂😂
@tplatnumz
@tplatnumz Ай бұрын
Nani Mwingine Anaangalia Marudio Leo 20/04/2024 Tujuane 😂😂😂
@shabbazeltv7491
@shabbazeltv7491 7 ай бұрын
km umerudia hiii mechi kuiangalia zaid ya mara moja kama mimi gonga like na comment chin hapo😅😅😅😅
@GreatCalmtz
@GreatCalmtz Ай бұрын
Anaeangalia mwezi Mei like hapa
@irenejohnson2342
@irenejohnson2342 2 ай бұрын
Leo nimeamua kuangalia tena 😂😂😂😂Yanga raha bhna💛💚
@hellenimmaculate5953
@hellenimmaculate5953 Ай бұрын
Tunaoangalia baada ya Simba kufungwa tena like hapa
@mosule2661
@mosule2661 Ай бұрын
😂😂😂😂
@MAMUUSUU
@MAMUUSUU 4 ай бұрын
Date 19 January 2024 Nani bado anarudia hii match ❤
@rehemamathew5790
@rehemamathew5790 6 ай бұрын
Nani anaangalia leo😂😂😂gonga like
@brandinamwakasendeka4756
@brandinamwakasendeka4756 4 ай бұрын
Tarehe 14-1-2024 naangalia highlights za yanga 😅
@geraldndosi2083
@geraldndosi2083 4 ай бұрын
Pamoja
@Obedy-er8ih
@Obedy-er8ih 4 ай бұрын
Tumeingia mwka mwngne jamn mnaoangalia hii mechi tujuane apa like;!
@rosepriscaanatoli1209
@rosepriscaanatoli1209 14 күн бұрын
Anaeangaliq Leo trh 27/05/24 magoli ya taifa aweke like
@NasraAbdala-zi8mt
@NasraAbdala-zi8mt 14 күн бұрын
Na mm
@khalidiskay4522
@khalidiskay4522 Ай бұрын
Nimerudia na leo jaman
@mrindeezekielly8828
@mrindeezekielly8828 Ай бұрын
Nipo hapa tarehe 19/4/2024.. Kesho tena tunaendelea😅
@ngulathfundikira4205
@ngulathfundikira4205 5 ай бұрын
Leo tarehe 24/12/2023 nani mwingine anaangalia???
@mustafampande173
@mustafampande173 5 ай бұрын
tare 12/01/2024 naangalia tena hapa 😂😂
@gloryngunda9664
@gloryngunda9664 18 күн бұрын
Tarehe 24/05/2024 tunaoangalia Tena tujuane😂😂
@Shadia544
@Shadia544 7 ай бұрын
Kama wewe shabiki wa yanga weka like hapa tujuaneee😂😂😂💚💚💛💛🫶
@amriiddy1972
@amriiddy1972 7 ай бұрын
Naombeni like 5 kwa Yanga 🖐
@georgelupatu9177
@georgelupatu9177 7 ай бұрын
Kwa mwendo huu simba tunaoenda nao ligi tuisikie bombani. Kwa msemaji asiongee chochote zaidi ya kutuambia wameuza mechi kwa shilingi ngapi😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@SafiaNassor-er8ym
@SafiaNassor-er8ym 7 ай бұрын
Ok
@user-xn4br1nf1i
@user-xn4br1nf1i 7 ай бұрын
Yanga noma
@user-xn4br1nf1i
@user-xn4br1nf1i 7 ай бұрын
Yanga noma
@alexsospeter2737
@alexsospeter2737 7 ай бұрын
U
@moshielfesty7992
@moshielfesty7992 7 ай бұрын
Tujuane tunaorudia mechi ya 5G 😂
@usatoenglandvegas4046
@usatoenglandvegas4046 6 ай бұрын
😂😂😂 kila mda
@lucysteven8982
@lucysteven8982 5 ай бұрын
Tarehe 21 mwez wa 12 mwaka 2023 nani anaangalia tena hapa😂😂😂
@khalidahmed2335
@khalidahmed2335 5 ай бұрын
Mimi Hapaaaa💚💛
@angelmasanje817
@angelmasanje817 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂mimi hapa
@abdyissaabdi108
@abdyissaabdi108 5 ай бұрын
😂😂😂
@sabrinahfrance6621
@sabrinahfrance6621 5 ай бұрын
Mm naangalia leo😂😂😂
@abuumkota5505
@abuumkota5505 5 ай бұрын
Mm hapa
@rajabsaid8310
@rajabsaid8310 3 ай бұрын
Haa Leo trh 20 Feb 2024 nimeiangalia tena hii gemu 😂😂😂
@BasuleBasule
@BasuleBasule 3 ай бұрын
Tarehe 14 February Nan anaangalia hii tujuane kwa like❤❤
@user-lb3un8py7n
@user-lb3un8py7n 6 ай бұрын
Wanayanga watano tu wa like hapa💚💚💚💚💚
@shahiduzuberi-vm3hy
@shahiduzuberi-vm3hy 5 ай бұрын
2024 nimeanza nayo😂 gonga like wa2024
@IzackMakole-ul5tt
@IzackMakole-ul5tt Ай бұрын
Anayeangalia Leo like hapa
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 5 ай бұрын
Tuliorudia Leo kuangalia tujuane 💚💛💚💛
@maryaugustino8716
@maryaugustino8716 5 ай бұрын
💛💛💛💛💚💚💚💚🫱🫱🤏
@user-om5ny2gh1i
@user-om5ny2gh1i 4 ай бұрын
Tarehe 26 ,1, 2024 tujuane kwa like😂😂😂😂😂
@Kasika-hi6hf
@Kasika-hi6hf Ай бұрын
Hii game mie hua nairudia daily!!! Na Leo 19/4, Niko naiwatch
@jacklinechimwege1194
@jacklinechimwege1194 12 күн бұрын
Leo tarehe 30 MAY Niko hapa nailudia😅😅😅
@JustusPius-zu2ve
@JustusPius-zu2ve 2 ай бұрын
Leo ni tarehe 23/04/2024 nipo nakumbuka machungu hapa😢😊
@krayna5122
@krayna5122 3 ай бұрын
Mi nimerudi ili nione nani mkali Kati ya pacome na chama
@Veronika-tg6yz
@Veronika-tg6yz Ай бұрын
Anaeangalia may 5 2024 gonga like apo
@athumaniwaziri6676
@athumaniwaziri6676 3 ай бұрын
Leo hii Nani anaangalia tabulele laaaaaaa 👋😂
@nestory8045
@nestory8045 26 күн бұрын
Nipo nakumbushia mechi ambayo kolo alitupa vitano vya kujazilishia ubingwa dadeki 😅😅😅😂😂😂😂
@Lastking-yb6bh
@Lastking-yb6bh 5 ай бұрын
Leo tarehe 1/1/2024 nan yuko live hapa tujuaneee😂😂😂 kama mwanayanga
@mnyakitz2007
@mnyakitz2007 2 ай бұрын
😂
@rashidymtulya4180
@rashidymtulya4180 5 ай бұрын
Leo 25 12 2023 nani mwengine a angalia hii
@user-ox9zz7zk5h
@user-ox9zz7zk5h 4 ай бұрын
Wale wa 2024🎉🎉🎉
@zubedahamis2346
@zubedahamis2346 5 ай бұрын
Tarehe26/12 nani mwenzangu anaingalia hii tujuane
@user-fd9pr9tc2c
@user-fd9pr9tc2c 5 ай бұрын
Mm apa😅
@user-ug3dc6xc5e
@user-ug3dc6xc5e 3 ай бұрын
Tulieangalia zaidi ya mara 5 tujuane tafadhar💚💚💚💚💚
@HappyMunisi-ig6he
@HappyMunisi-ig6he 6 ай бұрын
Leo tarehe 4 Dec tunaorudia tujuane😅😅😅
@felistafrancis1058
@felistafrancis1058 6 ай бұрын
Tupo pmj😂😂
@kaseja
@kaseja 4 ай бұрын
January 25 2024 Nani anaangalia hii akiwa amemiss kuiona yanga ikicheza
@hissaniddi6282
@hissaniddi6282 5 ай бұрын
Happy New Year 01/01/2024
@frankmgendi8751
@frankmgendi8751 9 күн бұрын
Naangala tena 2/06/2024😂😂😂
@irenemagawa7636
@irenemagawa7636 8 күн бұрын
Na mm nko apa😂😂
@NasraMussa-kr7xu
@NasraMussa-kr7xu Ай бұрын
Nan mwngn anaangalia Leo tar 12/04/2024
@JaphetiJohn
@JaphetiJohn 5 ай бұрын
Najaribu kufanya review ya game hii daah Yanga ni hatari sana
@ErickKimaro-bf8zs
@ErickKimaro-bf8zs 5 ай бұрын
😅😅😅😅
@user-yc1rr7ry9u
@user-yc1rr7ry9u 4 ай бұрын
Tarehe 15/1/24 nipo" naomba likes
@farajakumba2911
@farajakumba2911 6 ай бұрын
Wananchi kama leo tarehe 6 unaangalia tena highlights za kumkanda kolo kono la nyani weka like na comment yako hapa
@fridahmasoi6693
@fridahmasoi6693 6 ай бұрын
Leo tarehe 7 nimerudia kama mara 10 🖐🖐😂
@kevymloje730
@kevymloje730 3 ай бұрын
NANI MWINGINE ANAANGALIA LEO TAREHE 23/02/2024😅😅💪💪🔰🔰🔰🔰🔰🔰
@AthumanSiaba
@AthumanSiaba 3 ай бұрын
E♥x♥x♥x♥
@qaseemayoub6758
@qaseemayoub6758 3 ай бұрын
Me😂😂
@nabeelsombidah3405
@nabeelsombidah3405 3 ай бұрын
Tupo😂😂😂
@patiencerwiza3086
@patiencerwiza3086 3 ай бұрын
Nipo
@kuruthumunassoro5600
@kuruthumunassoro5600 3 ай бұрын
Me leo 😅
@TheMRmatt007
@TheMRmatt007 7 ай бұрын
Love to watch Tanzanian football. Greetings from Europe.
@visionally975
@visionally975 6 ай бұрын
Nikikosa raha nakuja huku😅😅
@ErickKimaro-bf8zs
@ErickKimaro-bf8zs 6 ай бұрын
😂😂😂
@danyboytz2744
@danyboytz2744 3 ай бұрын
Tarehe 18 /02/2024 nanini anaangalia tena
@rahimsaid2349
@rahimsaid2349 Ай бұрын
April 17 2024 nani anaangalia tena Haya mauwaji ya kimbali 😹😹😹
@moreenbless-vr7oy
@moreenbless-vr7oy 28 күн бұрын
Nimeludi kuangalia leo baada ya ushindi kweli tulizamilia kua mabingwa daima mbele nyuma mwiko 💚💛💚💛
@abeiddaudi4589
@abeiddaudi4589 5 ай бұрын
1 JAN 2024😂
@user-er1dk6zj6u
@user-er1dk6zj6u 6 ай бұрын
Like apa kama umeangalia zaidi ya Mara, moja kama, mimi
@AffectionateCoffeePot-ux2dz
@AffectionateCoffeePot-ux2dz 5 ай бұрын
Leo 9/1 bado naitazam Wala sichokii
@HamisiKapirima-uf8fx
@HamisiKapirima-uf8fx 5 ай бұрын
1/1/24 Tena
@bujashidaniel5537
@bujashidaniel5537 4 ай бұрын
Kama unaangalia hii tar 29 mwez wa 1-2023 gonga like hapa
@adilaadila1128
@adilaadila1128 4 ай бұрын
Tupo pamoja leo
@vedastomfilinge3583
@vedastomfilinge3583 5 ай бұрын
Nikiwa na stress nakuja hapa... Asante Yanga Kwa kumbukumbu hii
@BeatriceMsonge-jv1mz
@BeatriceMsonge-jv1mz 5 ай бұрын
😅
@yustnersergio5394
@yustnersergio5394 5 ай бұрын
Nimerudi Tena hapa...🎉🎉
@allonjoseph5467
@allonjoseph5467 4 ай бұрын
hahaa😂😂😂😂😂 14-1-2024 nipo naicheki hapaaaaaa ❤❤😂😂😂😂
@user-wk8he6pc1q
@user-wk8he6pc1q 5 ай бұрын
01.01.2024 Who Joins Me?
@AsiaAnjelo
@AsiaAnjelo 5 ай бұрын
Me too
@rehemahalfan5044
@rehemahalfan5044 5 ай бұрын
❤😂
@chingjr1741
@chingjr1741 5 ай бұрын
Ivi ni mimi tu ndo narudia rudia kuangalia hii mechi....au tuko wengi!!! Big match , Big Result!! We're YOUNG AFRICAN!!
@semwiterajabu-ch2od
@semwiterajabu-ch2od 4 ай бұрын
Nimekumbuka tena19/01/2024
@user-cx8nc8ev1z
@user-cx8nc8ev1z 3 ай бұрын
Tunaoangalia tarehe 27/02/024
@user-jo2iu6rb3s
@user-jo2iu6rb3s 3 ай бұрын
Mm apa najichekea tu natamani irudiwe😂😂😂😂
@rahimuhabibu6388
@rahimuhabibu6388 24 күн бұрын
Hii mech mm naiangalia Kila siku Leo tarehe 17-5 -2024
@ebraniacosmosy2072
@ebraniacosmosy2072 24 күн бұрын
nikiamka asubuhi tu nairudia hii mechi
@FedrickMahanga-si2fv
@FedrickMahanga-si2fv 5 ай бұрын
Nani tuko pamoja leo tar 8/1/2024😂
@MeryMngumi-rb3yf
@MeryMngumi-rb3yf 4 ай бұрын
Tarehe 11/02/2024 still enjoy this game
@petitmanofficial8544
@petitmanofficial8544 3 ай бұрын
Nani anaangalia baada ya mechi ya waarabu wa 4 😂
@frankvianey2438
@frankvianey2438 3 ай бұрын
Nipo hapa mkuu,ni burudan tu kwa kwenda mbele
@olivermgode2432
@olivermgode2432 3 ай бұрын
Nakosaje kwa mfano
@user-sr5vp5ct3n
@user-sr5vp5ct3n 5 ай бұрын
Tarehe 26 dec niko hapa🤗🤗YANGA YETU SIE♥️
@user-ot4ub9lk5d
@user-ot4ub9lk5d 5 ай бұрын
Aiseee 😅😅😅
@jacquelinesangu1521
@jacquelinesangu1521 7 ай бұрын
Kama unaikubari yanga like tujuane
@NyawaegaBenjamin-oh4pr
@NyawaegaBenjamin-oh4pr 7 ай бұрын
Yang saf saf
@jacquelinesangu1521
@jacquelinesangu1521 7 ай бұрын
@@NyawaegaBenjamin-oh4pr sanaaaaaaaaa kanizabia mtu 5
@abdulkareemchande7204
@abdulkareemchande7204 6 ай бұрын
Yan nikiwa na stress tu nakuja kwenye page ya azam tv na kuitafuta hii clip baadae ya hapo stress kwisha😂😂
@user-ff8bx1dh3r
@user-ff8bx1dh3r 3 ай бұрын
Ivi jamani imechi ninairudiaga kila siku mimi mwenyewe tu
@francodesus9519
@francodesus9519 3 ай бұрын
Leo tarehe 6/3/2024 nairudia na bado simba anarudia makosa yale yale 😂😂😂😂😂
@user-op3xe1fl1f
@user-op3xe1fl1f 12 күн бұрын
😂😂😂nani ameangalia Tena tarehe 29/5/2024😂😂
@christianjonathan3289
@christianjonathan3289 3 ай бұрын
Kwa cku naingia KZfaq Mara 90 na Kila nikiingia KZfaq lazma niiqngalie hii match
@hemediomari7610
@hemediomari7610 4 ай бұрын
Leo tar 19 mwezi wa 1 2024😂😂😂
@MohamedyOmary-qd3xx
@MohamedyOmary-qd3xx 5 ай бұрын
Tarehe 29/12/2023 nipo hapa
@user-mw3yp6kl5c
@user-mw3yp6kl5c 3 ай бұрын
Tar 18 /2/2024 nani anaangalia
@jacklinechimwege1194
@jacklinechimwege1194 12 күн бұрын
30/5/2024
@Emmydeo-jm7zy
@Emmydeo-jm7zy 2 ай бұрын
Nikimic furaha tu naingalia hii mechi
@arsenalic23
@arsenalic23 5 ай бұрын
Nimerudi leo tarehe 9/1/24
@innocentlukeka6802
@innocentlukeka6802 7 ай бұрын
Tariki tano magoli ma tano basi nipeni like tano 🎉🎉 young Africans juuuuu
@hamisiserenge5850
@hamisiserenge5850 Ай бұрын
Yani mi kila nikiangalia hii tu tahere 20 watakula nyingi sana
@KefaGeorge-oo1jw
@KefaGeorge-oo1jw Ай бұрын
We ngoja
@rosepriscaanatoli1209
@rosepriscaanatoli1209 Ай бұрын
Leo trh 02/5/2024
@user-tu1qq3zx4p
@user-tu1qq3zx4p 5 ай бұрын
January 08/2024
@daggerslick
@daggerslick 5 ай бұрын
😅😂😂😂😂
@matridakajala9273
@matridakajala9273 3 ай бұрын
Yani hii mechi inanipa Raha sana Daaa😂😂❤❤❤
@arafaally3646
@arafaally3646 5 ай бұрын
01/01/2024 napitia tukio la kutishaa 😂😂😂😂😂😂💛💚💛💚💛🤚
@darviedeben1885
@darviedeben1885 Ай бұрын
Mmi naangalia Leo tareh 19/4
@GracieTyno
@GracieTyno 26 күн бұрын
Mechi nairudia kila siku😂😂😂😂😂😂
Китайка и Пчелка 4 серия😂😆
00:19
KITAYKA
Рет қаралды 3,4 МЛН
FEI TOTO AKICHAFUA KATIKA SOKA
3:28
AZBEEN TV
Рет қаралды 33 М.
KIMEMRAMBA |4|
12:05
BRAVOO GENIUS
Рет қаралды 8 М.
LIVE:MKUTANO WA HADHARA JIMBO LA MBEYA VIJIJINI
30:22
IPINDA ONLINE TV
Рет қаралды 3,1 М.
Yanga 2-1 Simba | Highlights | Ngao ya Jamii 13/08/2022
23:51
Azam TV
Рет қаралды 4,7 МЛН
True Teammates in Football 🥶
0:48
Foot Mood
Рет қаралды 6 МЛН
WHO DID IT BEST❓🤔 #goalkeeper #goalkeepertraining
0:17
Gino Harreman
Рет қаралды 5 МЛН
ГЛУХОЙ НОКАУТ ОТ ДАСТАНА БЕКЕНА🤯
0:36
RFC Fighting Championship
Рет қаралды 455 М.
Art of Passion. #4
0:28
PC10HD Extra
Рет қаралды 8 МЛН