Je unataka kupata FAIDA katika UFUGAJI WA KUKU?

  Рет қаралды 17,558

Shamba Darasa TV

Shamba Darasa TV

Жыл бұрын

LOCAL CAGES
FUGA KUKU KWA KUTUMIA KEJI UTAJIRIKE
ENEO DOGO FUGA KUKU WENGI
UFUGAJI WA KUKU KWA KUTUMIA KEJI
H-TYPE BATTERY CAGE ZINAZOTENGENEZWA TANZANIA ZINA FAIDA NYINGI
ENEO DOGO FUGIA SAMAKI NA KUKU KWA KUTUMIA KEJI
UFUGAJI MSETO |KEJI YA KUKU 700 IKO JUU YA BWAWA LA SAMAKI|
UFUGAJI WA KUKU WA KISASA
LOCAL KEJI ZA GHARAMA NAFUU
FAHAMU MIFUMO YA KEJI ZA MKULIMA SMART
UFUGAJI WA KUKU KWA KUTUMIA KEJI
BATTERY CAGE ZINAZOTENGENEZWA TANZANIA ZINA FAIDA NYINGI
1.Keji za kuku wa nyama broiler
2.Keji za kuku wa mayai
3.cage za kuku wa kienyeji
4.cage za kuku chotara
5.cage za kuku wa mayai
6.cage/keji za vifaranga
KEJI ZA MBAO
NIPPLE DRINKING SYSTEM
MFUMO AUTOMATIC WA KUNYWESHA KUKU MAJI.
Mfumo huu ni maalum kwa wafugaji wa kuku wa nyama (Broiler)
FAIDA
Kuwezesha kuku kupata maji safi na salama ya kunywa muda wote.
Kuondoa kero ya kuosha vyombo vya maji.
Inarahisisha upatikanaji wa maji safi na salama hata kama muhudumiaji hayupo.
Inaokoa gharama kwani ukifunga mfumo huu waweza kuutumia hadi miaka nane bila kuharibika.
Inaondoa kabisa uwezekano wa kuku kupata magonjwa yatokanayo na kunywa maji yalio chafuka (contaminated water)
Na faida nyingine nyingi kwa mfugaji ambazo zitaboresha mradi wako.
KWA MAHITAJI YA NIPPLE ZA KUKU KWA BEI
NIPPLES ZA KUKU KUNYWEA MAJI -
"Mfumo wa chakula na maji
Mfumo wa chakula na maji unaojiendesha kwa ajili ya kuku wa nyama, ... kwa kuku. - Kuzuia banda kuloa kutokana na mfumo wa nipple drinker.
NIPPLE ZA KUNYWEA KUKU MAJI Nimeleta vifaa vipya na vya kisasa kwaajili ya kunyweshea maji kuku ... mwonekano wa vifaa na maelezo yako havileti picha halisi fafanua ...
Nipple wanywaji kwa kuku wa nyama kwa mikono yao.
Broilers - moja ya kawaida mifugo nyama ya kuku. Wao ni unpretentious na rahisi matengenezo, lakini, kama viumbe vyote hai, inahitaji maji.
BATTERY CAGE ZINAZOUNDIWA TANZANIA ZINA FAIDA NYINGI
1.Keji za kuku wa nyama broiler
2.Keji za kuku wa mayai
3.cage za kuku wa kienyeji
4.cage za kuku chotara
5.cage za kuku wa mayai
6.cage/keji za vifaranga
FAIDA 7 ZA KUTUMIA CAGES (Mabanda ya Kisasa) KUFUGIA KUKU.
Je wewe ni Mfugaji unayependa kukuza kipato chako mara mbili au zaidi tena bila kufanya kazi zaidi au kuongeza idadi ya Kuku wako?
Kama jibu ni ndio basi makala hii ni mkombozi wako, hakika utatushukuru mara baada ya kusoma makala hii mpaka mwisho.
FAIDA 7 ZA KUTUMIA CAGES (Mabanda ya Kisasa) KUFUGIA KUKU.
1. Cages husaidia kuimarisha Afya za kuku wako, wafugaji wengi hawapati matokeo mazuri katika ufugaji wao kwasababau wamepuuzia matumizi ya Cages.
Cages husaidia sana kuwatunza kuku katika mazingira mazuri yenye kuimarisha afya zao.
Cages zimetengenezwa katika namna ambayo zina sakafu ya wavu,
Inamaana kuku wakinya mbolea inaangunga chini na wao wanabaki wasafi, na hii inapeleka kupunguza magonjwa yatokanayo na vidudu vilivyo kwenye mbolea.
Hii itapelekea kuku wako kuwa na afya njema zaidi.
2. Cages husaidia Kuongezeka kwa Uzalishaji wa mayai na kuraisiha ukusanyaji wake.
Kuku wenye afya wanauwezo mkubwa wa kuzalisha zaidi, mayai au nyama, kama watafugwa kwenye mazingira yenye kujenga afya zao.
Kufuga kuku kwenye cages hupelekea ongezeko la uzalishaji wa mayai kwa kiasi kikubwa.
3. Cages husaidia kuwalisha kuku chakula kulingana na mahitaji yao.
Mfumo wa ulishaji na unyweshaji wa cages ni mzuri na wakisasa,
Mfumo huo huhakikisha kuku wanapata chakula kwa kipimo sahihi kulingana na idadi yao.
Hii ni kutokana na sababau kwamba kuku hupata chakula kutoka kwenye bomba lefu na kunywa maji kupitia mfumo wa nipples ambazo zipo karibu yao.
4. Cages hupunguza gharama za wafanyakazi wa kuwahudumia kuku.
#mkulimasmart
#shambadarasa
UFUGAJI WA BROILER KWENYE CAGE
Banda Bora la Kuku Chotara: Ufugaji wa Kuku kwa Kutumia ...
Faida ya cage kwenye ufugaji wa kuku wa nyama
UFUGAJI WA KUKU KISASA:Nunua cage za kuku/vifaranga ...
CAGES - KUKU PROJECT
Faida za Kutumia Cages Kufugia Kuku
Faida sita (6) za kutumia banda la kisasa cage
CAGES ZINAPATIKANA KWA WINGI - SHITINDI POULTRY ...
TUNAUZA POULTRY CAGE | CAGE ZA KUFUGIA kuku chotara
TUNAUZA POULTRY CAGE | CAGE ZA KUFUGIA KUKU WA MAYAI
ufugaji wa kuku kwenye cage
jinsi ya kutengeneza cages za kuku
bei za cage za kuku wa mayai
bei za cages za kuku
wauzaji wa mabanda ya kuku
nyavu za kufugia kuku
bei ya mabanda ya kuku
kuku project tanzania limited
kuku project dar es salaam tanzania

Пікірлер: 5
@bensonwanjiru7550
@bensonwanjiru7550 Жыл бұрын
Kazi njema
@josephineokama2200
@josephineokama2200 9 ай бұрын
local cage nazipataje
@christophermakotwe5713
@christophermakotwe5713 Жыл бұрын
Mkurima smart nilishakuzuia kurusha vipande vinavyoonesha kazi zangu jaribu kurusha zinazokuhusu
@moshezanzibar25
@moshezanzibar25 Жыл бұрын
samahani mkuu gharama za kufanya kitu km hiki kinagharimu kiasi gani kwa makisio?
@rehemakomba7656
@rehemakomba7656 9 ай бұрын
Local cage zinauzwaje?
SHAMBANI: UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI
24:48
TBConline
Рет қаралды 181 М.
AUTOMATIC NIPPLE DRINKING SYSTEM/Economy keji
2:45
Shamba Darasa TV
Рет қаралды 52
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 13 МЛН
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 18 МЛН
UBORA WA CAGES/KEJI ZA KUKU NDIO FAIDA KATIKA MRADI WAKO, TUMIA ECONOMY CHICKEN CAGES
5:21
TANGU UWAPOKEE BROILER HADI KUUZA UTALISHA HIVI☝️☝️☝️
12:39
KADALAOFFICIALTV🇹🇿255
Рет қаралды 10 М.
Nilianza na Kuku 8 wa Kienyeji, Lakini Nimezalisha Kuku wa Kienyeji 300
10:37
Jifunze UFUGAJI WA KUKU WA MAYAI (LAYERS)
6:18
Shamba Darasa TV
Рет қаралды 20 М.
JINSI YA KUANZA UFUGAJI WA MBUZI | #MAVUNOTIMES
10:15
MAVUNO TIME
Рет қаралды 57 М.
Bajeti ya kuku wa mayai 300  | Gharama ya kuanzia wiki 1- 24
10:50
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 13 МЛН