JE YESU ALIKUFA???

  Рет қаралды 16,575

BIBLIA NURU YA DUNIA

Ай бұрын

Пікірлер: 177
@jeanninemunezero6469
@jeanninemunezero6469 Ай бұрын
Mwisilamu ambaye arisikiya hoja hizi za ndacha na abaki kuwa Mwisilamu ako katika hasara
@user-zp5oo9gf1r
@user-zp5oo9gf1r Ай бұрын
Hoja za ndacha hawawezi kuzijibu wanabaki kupoteza mda2
@franciscomtambakuluca2830
@franciscomtambakuluca2830 Ай бұрын
Ni kweli kabisa
@kinyuasamuel5326
@kinyuasamuel5326 Ай бұрын
Dacha nimwalimu wa suree
@OmariShuli
@OmariShuli Ай бұрын
Ndacha yuko muwazi zaidi kuthibitisha kuwa wakristo mna miungu wawili.Hiyo nimeilike.
@AntonyManeno
@AntonyManeno Ай бұрын
Bwana YESU Asifiwe Milele Hata Milele❤❤❤ Amen❤
@olengonelson7453
@olengonelson7453 29 күн бұрын
Katika Mjadala huu Mwalimu Ndacha hakuja kucheza. Hakupenda upuzi katu. Mungu akulinde sana mwalimu.
@issakongolo2832
@issakongolo2832 Ай бұрын
Mchungaji Ndacha nakupenda tokea Congo DRC❤❤❤
@erickbyamungu973
@erickbyamungu973 Ай бұрын
Mungu akubariki pasta Ndasha nakufwatiriya sana Niko south Africa
@user-cf3fe3cu8v
@user-cf3fe3cu8v Ай бұрын
Barikiwa sana
@dennycegulavi3810
@dennycegulavi3810 28 күн бұрын
If the teaching of Brother Ndacha hasn't convicted the hearts of the Muslims present, woe unto them because there's no more further teaching to convince their hearts to repent their sins, turn to Jesus, and accept Him as the LORD, and Savior. May God continue to use your area of ministry as an instrument of praise and to use you as a vessel of honor. God bless you, brother Ndacha.
@andersonwaweru8482
@andersonwaweru8482 Ай бұрын
Yesu alifufuka kutoka kwa wafu,lakini Muhammad na wewe sulle, mtamngoja yesu kristo, either mfufuliwe ufufuo wa kwanza au wa pili, sana sana wa pili finali jehanam.
@lizzykerubo860
@lizzykerubo860 Ай бұрын
Hapo kaka ukanimaliza ety sana sana finali jehanam sule na Muhammad 😅😅😅😅😅😅
@lizzykerubo860
@lizzykerubo860 Ай бұрын
Ety sana sana ufufuo wa pili hahaha, lakini hapo sasa ndipo penyewe
@saphinalutaha9077
@saphinalutaha9077 29 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂muwe mnachekesha izo akil mnamanisha had mtume ibrahm naye atahukumiwa na yesu atakae hukum ni mungu pekee mtume Mohammed alikufa kwa sababu alimalza kaz zake masih hakumalza kaz yake ndomana atarud
@navokisembo
@navokisembo 6 күн бұрын
Barikiwa mtumishi Ndacha na Paulo
@peaceirene8183
@peaceirene8183 27 күн бұрын
Asiyeelewa maana haambiwi. Hawa ndungu zetu waislamu hawajui garama ya rohoni ndio manake wanafundisha Kwa jinsi ya mwili. BWANA YESU ASIFIWE Milele
@tungarazamtani4007
@tungarazamtani4007 17 күн бұрын
pastor Ndacha Mungu akubariki sana
@IsaacklesaanLesaan
@IsaacklesaanLesaan 17 күн бұрын
Mungu awabariki watumishi wake ❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏
@johnmuriithi8832
@johnmuriithi8832 28 күн бұрын
Yesu yuhai milele na milele
@rajinkalisia1730
@rajinkalisia1730 Ай бұрын
Mungu akubariki sana mwalimu Ndacha
@ustadhfarouq7729
@ustadhfarouq7729 Ай бұрын
Hakuna mungu anaeza bariki mtu anayesema wako mungu watatu,hiyo nikufuru kubwa mno.
@samutykuntathebantu8402
@samutykuntathebantu8402 Ай бұрын
​@@ustadhfarouq7729jini shindwee pepo chafu ya allah
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 Ай бұрын
Mungu wa tatu????
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 Ай бұрын
Nani anasema ivo
@AnithaMuvurwaneza
@AnithaMuvurwaneza Ай бұрын
Tu nakukubali mtumishi Roho Wa Mungu Iwe ju yako Hekima tele itokayo ju mbinguni🎉🎉🎉🎉
@hudsonkishah8677
@hudsonkishah8677 Ай бұрын
Congratulations pst Nadacha we are waiting for Dr Sule to be baptized bro Sule you are welcome to Christianity God loves you
@jofreyevansantony2770
@jofreyevansantony2770 Ай бұрын
Amém mwalimu
@Mtumisi
@Mtumisi Ай бұрын
Amen mtumishi
@user-un6lj7jp9k
@user-un6lj7jp9k Ай бұрын
Na ngoja sule apite kwa hoja Niko makini Sana ata mimi ni slimu.kwaza hiyo maadiko ya Quran woi na asibadirishe maadiko, hiyo maadiko imekauka
@user-mk7ru2gt2o
@user-mk7ru2gt2o Ай бұрын
Amen mtumishi Mungu akubariki
@clauselphasmandelawatrue7358
@clauselphasmandelawatrue7358 Ай бұрын
Sule usibadilishe mada, mada si ya vitabu ... ni kufa kwa Yesu
@user-cf3fe3cu8v
@user-cf3fe3cu8v Ай бұрын
We mwache tu alukejuu aanguke chini dozi imemuingia
@crispuskasanga8487
@crispuskasanga8487 Ай бұрын
kazi bomba ndacha
@opujejoshmahjoshmah1432
@opujejoshmahjoshmah1432 Ай бұрын
Kazi kubwa kweli Barikiweni watumishi...
@user-op7vm9mr3z
@user-op7vm9mr3z Ай бұрын
Wewe Sule unalemewa na hoja nenda kwenye maandiko wacha kutoa ufafanuzi wa akili zaki kila mtu ana akili. Sema Yesu hakufa kwenye maandiko ya bibilia wacha longolongo
@zachariamichael8871
@zachariamichael8871 Ай бұрын
Wapendwa katika BWANA tuchangie injili iende mbele ndacha hana biashara yoyote yakumuingizia kipato cha kukidhi mahitaji yake tumchangie mwalimu katika namba yake kama ni wakirsto wa kweli
@jeanninemunezero6469
@jeanninemunezero6469 Ай бұрын
Sule hawezi kuka peke yake anaogopa kwa kuwa mbogo ndiye anamusadiya jamani kwa nini anakuja na bodyguard anaogopa nini?? Heeee
@Thruthministry
@Thruthministry Ай бұрын
Aminaa mjoli
@YesuniBwana-sv5zd
@YesuniBwana-sv5zd Ай бұрын
ndacha muheshimiwa wa mungu mungu wambinguni akupe yote.
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 Ай бұрын
Dr. sulley is next level, huyo ndacha atawadanganya sn MAKAFIRI wenzake na kwenda wote motoni
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Ай бұрын
We nguruwe huna akili yani unaamini sule yupo sahihi wakati anapotosha mamuma wenzie kama nyinyi majafiri wa kiarabu wajinga wajinga
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 Ай бұрын
@@ramadhanmahongole9293 nguruwe si ninyi makafiri mnaokula, mtakuja ona mtapopatwa na umauti moto unawasubir msipoitambua haki mapema
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Ай бұрын
@@halidimgonza5945 acha ulevi we nguruwe... haki iko ndani ya ukiristo tu na mtume wa wakiristo ndio yesu ambae atakuja kuhukumu ulimwengu siku ya khiama nyie mhammad wenu yupo kablini naye atahukumiwa na yesu pia siku ya khiama acheni mamuma jitambueni nyie makafiri
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Ай бұрын
@@halidimgonza5945 bora sisi tunakula nguruwe wazi hatujifichi kuliko nyie makafiri mnakula kwakujificha
@zachariamichael8871
@zachariamichael8871 Ай бұрын
sasa kati ya sule na Quran nani muongo mana Quran inakubali YESU alikufa sasa ww unamkubali kishabiki tu ila ukweli umesikia.
@MaryannWainaina-ud1de
@MaryannWainaina-ud1de 15 сағат бұрын
Makuhani makubwa hawakuwa na roho mtakatifu wa kunjua kuwa yesu alikuwa mwana wa mungu ndio maana walimsaliti yesu bibilia ndio jia ya uzima
@user-lq1wt3hh9s
@user-lq1wt3hh9s Ай бұрын
Leo nayo mitambo imekuwa sawa kazi nzuri
@SantosShunni
@SantosShunni Ай бұрын
Deus te abençoe pastor Ndacha, Amem
@filibetifilibeti534
@filibetifilibeti534 Күн бұрын
Kweli ww mtumishi wa shetani DR SULLE
@fauwilliam6780
@fauwilliam6780 Ай бұрын
Kama mtu hawezi kumuelewa mwalimu ndacha hawezi kuelewa biblia kamwe,yupo na kipaji cha kufundisha tena kwa ushahidi wa maandiko
@KOMBOMWAGUYA
@KOMBOMWAGUYA Ай бұрын
Mungu akubariki mwalimu Ndacha Kwa kuwaelimisha hao waislam
@Sharrif456
@Sharrif456 Ай бұрын
Hakuna kitu tume elewa nyi ndo mliopotea vitu za common sence hamuelewi
@threebrothers..
@threebrothers.. Ай бұрын
​@@Sharrif456Utamkumbuka ndacha siku ya kiama,,usipokubali yesu uachane na maiti ya muhamadi utalia na kusaga meno
@nomar3708
@nomar3708 Ай бұрын
​@@threebrothers.. Yesu ni kiumbe cha mungu. Hana uwezo wowote. Abudu mungu aliyekuumba
@user-df8fn8sz7o
@user-df8fn8sz7o Ай бұрын
Ameni
@DouglasThuranira
@DouglasThuranira Ай бұрын
Sule umelemewa bwana hauna hoja kubali ukweli ukuweke huru.
@Blessedboi8019
@Blessedboi8019 Ай бұрын
Sule batizwa, nitakupa gari lingine
@user-wg2gd2nl6c
@user-wg2gd2nl6c Ай бұрын
Wewe acha polojo. Sisi tunaangaria maandishi. Na syo majina uisilamu cyo ndini
@FrankAloyce-ic6rq
@FrankAloyce-ic6rq Ай бұрын
Yan mm siimuelew sure anachokisema kabsa
@mainasarah
@mainasarah Ай бұрын
Hapo sawa Ndacha kabisa
@rashidmohamed1949
@rashidmohamed1949 28 күн бұрын
Asalam Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Tumwombe Allah Amwongoze Dr Sule.. Azidi kumpa elimu. Yeye Dr na team yake kwa uchache wao ndio kiboko ya wapotoshaji wa mambo ya haki
@Fedrick-jb8xb
@Fedrick-jb8xb Ай бұрын
Mungu akubariki mwalimu ndacha
@user-wg2gd2nl6c
@user-wg2gd2nl6c Ай бұрын
Waislamu. Leo mnakaxi kwelikweli
@sophiaesmarcharo9775
@sophiaesmarcharo9775 18 күн бұрын
❤❤❤🌷🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u 28 күн бұрын
Huyo mwalimu Ndachani zaidi yawenyeakili anajaakotekote kama hewa yaokisijeni.
@KakulungeMbwambo
@KakulungeMbwambo 14 күн бұрын
Kama doctor sullen una wazoo la kwenda mbinguni pr ndacha ameletwa kwaajili ya ukombozi wako. Usifanye moyo wako kua mgumu na kuchanhia kupotosha wengine man utalipwa Mara Mia .
@user-cf3fe3cu8v
@user-cf3fe3cu8v Ай бұрын
Sure kumbe huna elimu ya dini kabsa hoja za nfacha huwez pita ndani
@user-ru4cy1ob8k
@user-ru4cy1ob8k Ай бұрын
Atapitaje ndani nazikona bomu🤣🤣atalipuka ndio maana anazihepa
@user-cf3fe3cu8v
@user-cf3fe3cu8v Ай бұрын
@@user-ru4cy1ob8k ahahah
@shalomabraham3170
@shalomabraham3170 Ай бұрын
Amen
@fredmariita8930
@fredmariita8930 Ай бұрын
Mwalimu ndacha MUNGU ukupee hekima siku sote
@nomar3708
@nomar3708 Ай бұрын
Mungu atamwingiza motoni huyu anakupotezeni mnaabudu kiumbe badala ya kuabudu muumbaji
@vicmosessande
@vicmosessande 20 күн бұрын
Waislamu Hawasomi Bali Ni Kelele Tu Na Kusema Takbir
@SaidSaigor
@SaidSaigor Ай бұрын
Takbiir Islam will win
@GilesKhamis
@GilesKhamis Ай бұрын
Islamu hoi kabisa
@KimoniMbinda
@KimoniMbinda Ай бұрын
Nonsense abdul
@KimoniMbinda
@KimoniMbinda Ай бұрын
Joo kwa yesu achana na ubishi wa kimwili bro.jesus is God.
@thomasnizigiyimana5122
@thomasnizigiyimana5122 27 күн бұрын
Hojaa zimekushi sule kujibu Kubali kuokoka
@issakongolo2832
@issakongolo2832 Ай бұрын
Yesu ni Mungu ❤
@AbegaLarge-tk3rc
@AbegaLarge-tk3rc Ай бұрын
Oja ya mch.ndacha no gumu sule ameshindwa kabisa kupitia anaogea asiyo yajuwa imeobya andiko
@user-tr3lt2js4j
@user-tr3lt2js4j 26 күн бұрын
Bb yangu ubarikiwe sana muchungaji
@andersonwaweru8482
@andersonwaweru8482 Ай бұрын
Sulle itabidi uitumikie majini yako,kwa sababu huwezani na hoja za pastor ndacha.
@hezronsaid2168
@hezronsaid2168 Ай бұрын
Mtiani sna waislamu kuelewa bibilia,lakini kumbuka kama iko watalia na kusaga meno.
@nomar3708
@nomar3708 Ай бұрын
Mwangalieni Yusus estes ambae mzungu huyu aliyekewa pastor mkubwa anayeijua biblia amesilimu huku analia. Huyo ndacha anababaisha babaisha na muongo anawapoteza huyu
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 Ай бұрын
Waislamu msiwe washabiki tu sikizeni hoja
@GilesKhamis
@GilesKhamis Ай бұрын
Ndacha ni mtumishi wa Mungu,na wewe sule ujuwe kuna uzima wa milele wa wacha Mungu,jifunze umche Mungu,shingo ngumu itavunjika
@mwesi527
@mwesi527 Ай бұрын
Mpinga kristo Hugo hapo sulle na akili za Muhammad na walaka bin nafar
@CharlsShukia-ju1wv
@CharlsShukia-ju1wv 28 күн бұрын
Mpumbavu hata ukimtwanga kwenye kinu upumbavu wake hautamtoka.Wana masikio lakini hawasikii,wana macho lakini hawaoni,ni wa kuwahurumia na kuwaombea tu
@simonsimpiri5748
@simonsimpiri5748 27 күн бұрын
Sifa Kwa Kristo milele na milele
@breaking13327
@breaking13327 Ай бұрын
@KelliusPapa
@KelliusPapa Ай бұрын
Sihukumu Mimi katika upande mbili lakini ukweli ni huu yesu alikufa na akafufuka siku ya tatu na akapaa mbinguni doctor sulwe ambia waislamu wenzako ukweli,, maana damu Yao itakua juu Yako siku ya hukumu
@hellen9056
@hellen9056 18 күн бұрын
Duh kumbe ndo maana YESU alisema BABA uwasamehe maana hawajui wasemayo
@nomar3708
@nomar3708 Ай бұрын
Huyu ndacha fujo tu hajui lolote hajibu maswali na anazusha zusha tu
@jeanpaulkwizera3216
@jeanpaulkwizera3216 27 күн бұрын
Uyo mutumishi wa Shetani Sure atacukuwa wengi mutoni
@isayaogola8733
@isayaogola8733 Ай бұрын
Hakuna hasara kubwa duniani kama kuwa mwislamu
@nomar3708
@nomar3708 Ай бұрын
Huyu ndacha aje kufanya mdahalo wake na Yusuf Estes, pastor mkubwa wa kizungu aliyebadili dini kuwa muislamu. Anaijua biblia nje ndani . huyo ndacha atajikojolea😂😂😂😂
@Thruthministry
@Thruthministry Ай бұрын
Anaijua biblia lakini haelewi kuhusu biblia ,, maana ili uelewe biblia lazima uwe roho wa MUNGU ambaye ni roho wa kweli
@merydotto5046
@merydotto5046 Ай бұрын
Sule ameshindwa hoja balikiwa mtumishi ndacha
@issackabdi7001
@issackabdi7001 Ай бұрын
Ndacha ana uchache wa elimu
@KanajaManyasi
@KanajaManyasi 28 күн бұрын
Hakika mambo yote yapo wazi MUNGU ni mwema ukristo raha
@SaidSaigor
@SaidSaigor Ай бұрын
Kenyans embraced Islam majority
@DesderiusHaule
@DesderiusHaule Ай бұрын
Dr sulle hoi bin taaban kwa pastor ndacha
@Nolithajack12
@Nolithajack12 Ай бұрын
Kabisa tutowe ubishi ndacha ni mukweli abalikiwe
@jacobkioko3495
@jacobkioko3495 Ай бұрын
Si umesema hakuna anayekataa kifo cha yesu mbona sasa tena waema yesu hakufa
@user-pw4rk7gw1p
@user-pw4rk7gw1p 23 күн бұрын
Ndacha ni yesu mtupu. Wafundishe hao waislam wanao sali na majini misikitini.
@user-ru4cy1ob8k
@user-ru4cy1ob8k Ай бұрын
😂😂Yani mwalimu ndacha amenichekesha, eti hawagusi hizo korani ni kama zina bomu
@JojoSrena
@JojoSrena Ай бұрын
Hata namm nimecheka😂😂
@user-ru4cy1ob8k
@user-ru4cy1ob8k Ай бұрын
@@JojoSrena ni kweli kabisa,. Si ashike hizo korani avunje hoja Jamani 🤣🤣
@user-ru4cy1ob8k
@user-ru4cy1ob8k Ай бұрын
@@JojoSrena walipigiliwa msumari ya nchi tisa wakanyamazishwa kimyaaaa . ndio maana
@AmriAmri-hy6sg
@AmriAmri-hy6sg Ай бұрын
Amakweli kafili yeyote Hana akili hapo dk sule bado 2 hamumuelewi inshaallah ninyi waumini hamna hatia kwani mlikua hamjui bas mtafakali hao wachungaji wako ktk masirahi wachunguzeni muache ushabiki
@user-wg2gd2nl6c
@user-wg2gd2nl6c Ай бұрын
Mnakataa biblia Leo eti warumi wamebadirisha khaa. Shetani kawapuliza kwelikweli. Ila watakao okolewa niwachachetu
@user-zp5oo9gf1r
@user-zp5oo9gf1r Ай бұрын
Sule anatumia ufunuo 2:18 wakati ni kitabu cha unabii naye hat hajuii😂😂😂😂
@mulewakatana2518
@mulewakatana2518 Ай бұрын
Mkristo damu
@mosesjillo1729
@mosesjillo1729 Ай бұрын
😂😂😂😂😂huyu Ni Dr ama ni mtu amerokotwa mtaani 😅😅nmemsikiza dakika ishirini sijaona akitoa andiko yesu hakufa msalabani....anaemsifia huyu walai kapotea
@0badiaMwasongwe-rt1wr
@0badiaMwasongwe-rt1wr Ай бұрын
Kuwaelimishaa waislam ni ngumuu mnooo maana mambo ya kiroho hawajui kabisaa kabisaa
@Sharrif456
@Sharrif456 Ай бұрын
Hivo ndo mnadanganywa kanisani hadi ma binti zenu wanaeda uchi kanisani eti mungu huangalia roho 😂😂😂😂😂
@samutykuntathebantu8402
@samutykuntathebantu8402 Ай бұрын
​@@Sharrif456shoga ndivyo wenu wanavaa magunia na ni Malaya mitaaani
@nomar3708
@nomar3708 Ай бұрын
​@@samutykuntathebantu8402njoo hapa kanisani uingereza utaona mashoga wanaoana kanisani na yesu anabariki. Ushoga mtupu
@KimoniMbinda
@KimoniMbinda Ай бұрын
Still unaogelea mambo ya mwili maana hamjui mambo ya rohoni​@@Sharrif456
@EmmyRowland-ir5gh
@EmmyRowland-ir5gh 28 күн бұрын
😂usitumie bibilia basi 😅
@andrewmuya9409
@andrewmuya9409 Ай бұрын
Hapa dacha ameweza waislam kabisa
@innocentpeterassey4106
@innocentpeterassey4106 25 күн бұрын
yani elimu ya dk.shule ni ndogo mno alafu hanyooki katika mada
@JuliusMatiku-ux4ch
@JuliusMatiku-ux4ch 21 күн бұрын
Hao ote lao moja wanatafuta hela, wameshapamgana.
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Ай бұрын
Waislamu wana vichwa vigumu kama mawe hata wafundishwe vipi kuwa ukiristo ni dini ya kweli hawaelewi
@user-zp5oo9gf1r
@user-zp5oo9gf1r Ай бұрын
Mbn sule amekuwa na maneno mengi
@ejemmoit
@ejemmoit Ай бұрын
Ndacha endelea kuwafunza watu waliopotea hawa
@nomar3708
@nomar3708 Ай бұрын
Huyu ndacha anazidi kuwapoteza nyie mnaabudu binadamu ambaye dhaifu, anakula na anakunya. Wajinga kweli
@elijahmwaniki92
@elijahmwaniki92 Ай бұрын
Wewe sure ukifanywa kuwa mjinga ni kusema wewe ni mjinga aaaaiii bro jibu hoja wacha mchezo
@mwesi527
@mwesi527 Ай бұрын
Na tumekutelemshia kitabu,mungu anasema anamwambia Muhammad, je hiyo nikweli? Hivi huyo ni mungu au watu wengi,et na tumekutelemshia kur an,duh hii ni mungu mmoja au wengi
@0badiaMwasongwe-rt1wr
@0badiaMwasongwe-rt1wr Ай бұрын
Mungu angesema na nimekutelemshia kitabu hao ni wengii ni miungu
@user-cf3fe3cu8v
@user-cf3fe3cu8v Ай бұрын
Kuwa mkiristo ni raha maana biblia ndio kitabu kinachojibu maswali yote📖📖
@bankuwungukabalthelemy
@bankuwungukabalthelemy Ай бұрын
KAMA HAWA WALIMU WAKISLAMU HAWAELEWI LEO BASI HAKUNA DAWA TENA KAMA NIWALIMU KWELI WAPITE KWAZERE QURAN ZOTE MWALIMU WAKIKRISTO WASOME ZOTE WATOWE MAAMA YAKE TUSIKIE LEO WAONGO HAWA WAMEUMBUKA.
@richardchimba3800
@richardchimba3800 Ай бұрын
Sule naona analeta story 😀😀😀kashindwa kabisa
@innocentpeterassey4106
@innocentpeterassey4106 25 күн бұрын
huyo shule kiukweli ni muongo anajua anacho kifanya moyo wake kabisa
@kazungukasukari
@kazungukasukari Ай бұрын
Story mingi sule sema yesu alikufa ama hakufa ?
@SaidSaigor
@SaidSaigor Ай бұрын
Ndacha ana ubishi tu ,,kelele,jibu kwa andiko
@EmmyRowland-ir5gh
@EmmyRowland-ir5gh 28 күн бұрын
Please, kitabu gani katika bibilia kinasema yesu hakufa au Mungu anasema shetani kawapoteza, yesu hakufa!??? Mathayo sijaona bado????😢 Anasahau alivikwa mwili wa binadamu ju binadamu ni yuleyule tu ata umkane yeye hageuki. Mbona tunajitungia 😂😂😂
@mosesjillo1729
@mosesjillo1729 Ай бұрын
Swali Kwa waisilamu,kwann Allah awabadilishie mtu mwengine ambaye hana kosa auwawe bure 😢😢 ndio sahii naelewa Allah ni deceiver
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq Ай бұрын
Ndacha please drop your m mpesa number tukussaport maanake unafanya kazi safii ya mungu.
@BIBLIANURUYADUNIA
@BIBLIANURUYADUNIA Ай бұрын
+254705602959 Francis ndacha gatiba
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq 28 күн бұрын
​@@BIBLIANURUYADUNIAthanks mtumishi wa mungu l will send you something very soon