Asalam alekum shekhe mimi nimefiwa na watoto wangu twice wamefia tumboni je naweza kuwatembelea watoto na dua gani niwasome malaika 😢
@husseinmaingo71162 жыл бұрын
Jazakalau Kher
@faisalmohamed727Ай бұрын
Acha kupiga chenga ungekuwa mtu wa kulingania haki ungeeleza kufaapo na kusipofaa, iko kuzuru kisheria na iko ya kishirikina, angalau ungewaambia watu wakiwa huko makaburini wasiwaombe maiti bali maiti wahitajia sisi tuwaombee.