JESCA MTOTO WA MAGUFULI ALIVYOKUTANA NA RAIS SAMIA VISIWANI ZANZIBAR

  Рет қаралды 157,182

Millard Ayo

Millard Ayo

7 ай бұрын

Пікірлер: 43
@martinhinda5233
@martinhinda5233 6 ай бұрын
Mungu aendelee kuitia nguvu family ya mzee wetu
@farajakwilasa471
@farajakwilasa471 6 ай бұрын
mungu mwenye endelea kuitia uzima na ushindi mkuu familia ya mwamba wa africa rip magufuri
@stanleymhozi7590
@stanleymhozi7590 5 ай бұрын
Mungu muinue jeska kwa viwango vywajuu
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 6 ай бұрын
Jeska amekua mashaalah
@graceannah8452
@graceannah8452 4 ай бұрын
Chapa kazi mama kazi Yako ni nzuri wanawake oyeeeeee
@dominicamwacha
@dominicamwacha 6 ай бұрын
Happybirthday Mama Yetu Mpendwa Mungu akuongezee miaka mia moja zaidi tunakupenda mama kazi iendelee❤❤
@nabosedward4836
@nabosedward4836 6 ай бұрын
Itakua nae yumo kwenye system mbona kaenda kiulaini tu
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx 6 ай бұрын
Aseeh mtoto mrefu na ninavopenda wadada warefu 😂❤
@fridageorge2809
@fridageorge2809 6 ай бұрын
😂😂😂😂
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 6 ай бұрын
Jesca, uwe mzalendo kama alivyokuwa mtumishi wa Mungu, mpendwa wetu JPM.
@mwanduelizabeth2282
@mwanduelizabeth2282 5 ай бұрын
Jesca anafanana na mama yake Janeth Magufuli
@halimamasai2234
@halimamasai2234 6 ай бұрын
Mtoto wa jembe kila la kheri na maisha marefu uwe jembe kama baba yako
@user-gp9px3tl7u
@user-gp9px3tl7u 6 ай бұрын
Mheshimiwa rais tumekuelewa
@ashamohamed3232
@ashamohamed3232 6 ай бұрын
Nataka nikulipiee fomu ya ulaisi mama yangu
@user-ue8pn5lz6m
@user-ue8pn5lz6m 6 ай бұрын
Afya njema jescar
@Shadia544
@Shadia544 6 ай бұрын
Namtaka anaempaka wanja samia ajitokeze 😂😂😂😂
@khadjamhozya
@khadjamhozya 6 ай бұрын
Kwanini🤔😊
@franciscomasungulwa3820
@franciscomasungulwa3820 6 ай бұрын
AMINA
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 7 ай бұрын
asingeweza kumfikia kirahisi hivo kama maji kama sio yeye
@user-mo7iq2fd8g
@user-mo7iq2fd8g 6 ай бұрын
sahih kabisa...n kwa sababu t baba yake alikua somebody wa hii nchi
@allahisone6386
@allahisone6386 5 ай бұрын
​@@user-mo7iq2fd8g 😅😅Ndiooo_🤦🏿‍♀️
@itikamlagalila1911
@itikamlagalila1911 5 ай бұрын
❤❤
@user-ku5zj4kh6r
@user-ku5zj4kh6r 6 ай бұрын
Habari mama mi naitwa happy nipo dar nakuomba unisaidie mwanao ela ya mtaj baba angu anatakiwa kufanyiwa upasuaji hatuna ela nakuomba ela ya mtaji
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 5 ай бұрын
Makushauri uende moja kwa moja kwa mkuu wa Mkoa utapata msaada na baba yako kama ana zaidi ya miaka 60 atahudumiwa buree lakini hata kama hajafikia umri huoa bado atasidiwa tu. Humu kwenye mitandao labda weka namba ya simu atakayekuwa nacho atachangia
@fj8317
@fj8317 3 ай бұрын
Hicho kichwa magu mtupu
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 6 ай бұрын
Magufuriiiii ni nomaaaa badoo
@joshuamwambene2874
@joshuamwambene2874 6 ай бұрын
Magu wetu bwana..machinga tunamkumbuka sana
@user-pv6cw3uy9v
@user-pv6cw3uy9v 6 ай бұрын
Asnte mama
@gasarabwepatrick659
@gasarabwepatrick659 5 ай бұрын
😂😂😂😢😢😢😢😢😢😢😢
@imanmodern
@imanmodern 7 ай бұрын
Waongo ninyi 😅😅😅😅
@Official83640
@Official83640 7 ай бұрын
Uongo huo vp wakati Jesca JPM ndy huyo 😂😂
@khamismohammed1650
@khamismohammed1650 7 ай бұрын
Haoni hata kusachiwa hajasachiwa
@bundalahamza8902
@bundalahamza8902 7 ай бұрын
Kafanana na Mama yake.
@Official83640
@Official83640 7 ай бұрын
@@khamismohammed1650 We yaani lazima aangaliwe ndy aruhusiwe kumfikia Rais unafikiri kakurupuka tu kumfata hapo
@khamismohammed1650
@khamismohammed1650 6 ай бұрын
@@Official83640 hata kama kaangaliwa kisitarabu hata camera hazijamuonesha
@farajakwilasa471
@farajakwilasa471 6 ай бұрын
mungu mwenye endelea kuitia uzima na ushindi mkuu familia ya mwamba wa africa rip magufuri
MHE. RAIS SAMIA AKITEMBELEA KABURI LA HAYATI DKT. JOHN MAGUFULI
9:42
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 625 М.
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 92 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 8 МЛН
Schoolboy - Часть 2
00:12
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 7 МЛН
Rais Magufuli alivyokata tiketi na kupanda Pantoni leo
4:05
Millard Ayo
Рет қаралды 825 М.
MTOTO WA MAGUFULI JESCA AFUNGUKA HAYA AMTAJA RAIS SAMIA
7:46
Uhondo TV
Рет қаралды 10 М.
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 92 МЛН