Jeshi la Magereza lilivyoonyesha uwezo wao pale Mfungwa anapozingua

  Рет қаралды 749,833

Millard Ayo

Millard Ayo

7 жыл бұрын

Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mwigulu Nchemba amealikwa kufunga mafunzo maalum ya kikosi cha jeshi la magereza katika viwanja vya kikosi maalum cha kutuliza ghasia magerezani kilichopo Ukonga.

Пікірлер: 246
@salehalisaleh7685
@salehalisaleh7685 6 жыл бұрын
Majeshi yote nchini yako vzr,Allah aendelee kuwabariki kwasababu mpk sisi tunapata muda wa kuwatukana mitandaoni ni kutokana na amani wanayoidumisha,watanzania tuache kuwatukana walinzi wetu ambao kila siku tunawafata kwa shida mbalimbali
@jamesmutisya7079
@jamesmutisya7079 7 жыл бұрын
Noma sana congratzn guys ,,,,walai nmekubali
@octavianmbiza6970
@octavianmbiza6970 7 жыл бұрын
kazi nzuri TASK FORCE
@barakamagembe8538
@barakamagembe8538 4 жыл бұрын
Miez sita ya joto nimeiona natamani sana nami kuonesha yakwangu sema mungu hajapanga hongelen makanda wangu
@zulfaungele3484
@zulfaungele3484 2 жыл бұрын
Good Sana makamanda,, welcome Tz
@yusuphelphace4795
@yusuphelphace4795 7 жыл бұрын
Mmefanya wonder asee, big up saana makamanda!
@simonsadala2386
@simonsadala2386 6 жыл бұрын
Asanteeee hili ni jeshi la pekee nchini ambalo nalipenda viva makamanda namini nchi ipo kwenye mikono salama
@amourkhamis
@amourkhamis Жыл бұрын
Safi San kazi moja tu
@mamatuishi-mamatuondoke8822
@mamatuishi-mamatuondoke8822 7 жыл бұрын
Hongereni sana askari magereza" baadhi ya mazoezi bado kabisa pia chakula kuleni maana miili yenu bado dhaifu sana"kulinda mfungwa si kaz ndogo
@danfordmwigune3406
@danfordmwigune3406 7 жыл бұрын
Binti hayati manyota jichanganye ndo utawajua
@aminiammy7997
@aminiammy7997 7 жыл бұрын
Nimeipenda sana Mungu awabariki sana
@davidedson6560
@davidedson6560 9 ай бұрын
Safi sana jeshi letu
@chigonapatrick5964
@chigonapatrick5964 5 жыл бұрын
Aiseee tanzania tukovizuri sana kwa asikari wetu namna hiii big up sana
@bakarimohamedi5814
@bakarimohamedi5814 7 жыл бұрын
wapo vizuri sana I wish ningekuwa mmoja kati yao
@nangaitv5747
@nangaitv5747 5 жыл бұрын
Hawajawahi kufeli @angai tv
@patrickmunisi44
@patrickmunisi44 7 жыл бұрын
nimewapenda mpo vizuri mno.Mungu awasaidie muwe wazalendo wa nchi yetu Tz
@hamisisteven7306
@hamisisteven7306 6 жыл бұрын
JWT wajipange kwahawa askali magereza nizaid yamakomando
@richardstanslaus9506
@richardstanslaus9506 7 жыл бұрын
Hongereni kwa ukakamavu mzuri
@farajagordon4724
@farajagordon4724 4 жыл бұрын
Kazi yenu ni ngumu mungu awape ujasiri na morari
@micamathew6433
@micamathew6433 5 жыл бұрын
Jmn wanajeshi, dahhh millitary police, dahhh nilishawahikupitia mafunzo, nayapenda sana lkn hamna kitu kigumu kama kuvuka kamba
@jacklinmasawe2697
@jacklinmasawe2697 2 жыл бұрын
Mpo vizuri makamanda wetu
@didamugya6039
@didamugya6039 7 жыл бұрын
At least hapa nimeona vitu hatarishi sio wale makomandoo wasiokuwa na jipya
@aishamnyeke1163
@aishamnyeke1163 4 жыл бұрын
Mi ndo mana nilikimbia ata kwenda ckwenda nilivyockia nmechaguliwa kwa mujibu nikijiangalia panya tu namuogopa ayo ntaweza
@tundafahady1817
@tundafahady1817 4 жыл бұрын
Safi xana vijana wa ukongaa
@jelasnkoma4240
@jelasnkoma4240 7 жыл бұрын
hii video ingekuwa nzuri zaidi ikiwa vipande vya kuonesha watu na waziri vingepunguzwa Editor lifanyie kazi
@calvinjackson9414
@calvinjackson9414 7 жыл бұрын
JELAS NKOMA hahahaha kweli yn hd kero
@fidelissimooni-or8ox
@fidelissimooni-or8ox Жыл бұрын
Jeshiii nakupenda
@hawawezidianakukushusha756
@hawawezidianakukushusha756 7 жыл бұрын
askar hatakiwi kuwa na mwili mkubwa sa kama unaona ni vimbavu jichanganye uone
@sangoibiso9068
@sangoibiso9068 5 жыл бұрын
زهراhawawezi Diana kukushusha زهرا 8lip9
@minetravella8029
@minetravella8029 2 жыл бұрын
Aminia uhakika
@emanuelramadhani5860
@emanuelramadhani5860 2 жыл бұрын
Amazing
@dastankapinga4716
@dastankapinga4716 6 жыл бұрын
hiyo noma due kazi za jeshi noma
@mankamush5057
@mankamush5057 2 жыл бұрын
Nice
@ummyissa4622
@ummyissa4622 7 жыл бұрын
kudaa💪💪💪on fleek yuko vzl hao wafungwa wakolofi😂😂😃😃
@doiyzamda3428
@doiyzamda3428 7 жыл бұрын
ukizngua hapo utakula kpgo had unyee!
@antonyvallerian1718
@antonyvallerian1718 7 жыл бұрын
jeshi jipange magereza noma
@DANY-ye5bl
@DANY-ye5bl 6 жыл бұрын
Nice ones
@johnsonartabou2855
@johnsonartabou2855 7 жыл бұрын
Amazing 💪💪👏
@musisahumbimusisa1056
@musisahumbimusisa1056 7 жыл бұрын
askari kuwa na tumbo ama unene ni ujinga tu ......hawa nawafananisha kama wachina tu ....wembamba lakn mambo yao balaaa
@mwaminimohamed8790
@mwaminimohamed8790 5 жыл бұрын
Daah
@pastoryconrad6795
@pastoryconrad6795 7 жыл бұрын
kazi nzur magerezaa
@marcokweka
@marcokweka 7 жыл бұрын
Mmmhh badoo
@opelaminikamongo2309
@opelaminikamongo2309 7 жыл бұрын
marco kweka
@khamismbui9251
@khamismbui9251 7 жыл бұрын
+opelamini Kamongo p
@munirayusuph1297
@munirayusuph1297 3 жыл бұрын
Muendelee vizuri ivyoviyo na kuendelea zaidi
@barakaramadhani4813
@barakaramadhani4813 7 жыл бұрын
kusema ukwer me nimependa askar hawa kwa uwezo wao mdogo walio uonesha tena ingewezekana askar wote wa tz wangekuwa feety maana askar wetu mdebwedo sanaaa...
@omaryteddy62
@omaryteddy62 2 жыл бұрын
Good good 👍
@neemaagustino3702
@neemaagustino3702 5 жыл бұрын
Vizurisana vijana
@rashidisalum1161
@rashidisalum1161 5 жыл бұрын
Good Job
@rome-de-saint2213
@rome-de-saint2213 7 жыл бұрын
ahseee... nmewapenda xana qamenikumbuaha scout wakat ile broo.. kma VP nfanyie mpango napenda sana uko
@sikuzanmatembo5975
@sikuzanmatembo5975 7 жыл бұрын
mmetisha masoja kinomanoma
@tuyizereghadi1341
@tuyizereghadi1341 7 жыл бұрын
naishi marekani pengini mimi mwana jeshi wa gereza lakin haya mafunzo sijawaji kuona..sijui niseme eti niulevu ama mambo mengine...Ila ninacho tambua ni kwamba wafungwa group ya kwanza lenye liko fit** kwahiyo you need to be physically and mentally stable**
@menyendoyesaningo3104
@menyendoyesaningo3104 6 жыл бұрын
Noma sana
@samwelmalindi1083
@samwelmalindi1083 4 жыл бұрын
Safi sana
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 7 жыл бұрын
Hiv nyiny mnaosema vimbavu cjuw nn nyie mnaweza kwan ulizan wakiwa wakomavu wawe na msuli mnene jaribu kutofautisha baunsa na mkomavu washamba nyie hapo miez tisa tu je mwaka ujinga tu 😏
@akshaydavid159
@akshaydavid159 3 жыл бұрын
Wambie wamtazame Bruce lee alivyokuwa.
@hadjimbugi8681
@hadjimbugi8681 2 жыл бұрын
@@akshaydavid159 mtazame van damme
@ngometvarusha4030
@ngometvarusha4030 7 жыл бұрын
sipendi mchukua video wakati tukio linafanyika badala yakuelekeza camera anaelekeza kwa waziri,waziri si tunamwona kila siku
@erickhaule8680
@erickhaule8680 7 жыл бұрын
haha si ndio hapo
@ismailkala2333
@ismailkala2333 7 жыл бұрын
jamaa wako vizuri xna magereza mko fiti
@emanuelcosmas395
@emanuelcosmas395 7 жыл бұрын
nahc hawa wqmewazidi makomandoo
@kemosabe27
@kemosabe27 7 жыл бұрын
ah weeh
@kelvnkahaamba2895
@kelvnkahaamba2895 6 жыл бұрын
,samahn ww unawajuaa commandoo
@kpkipuka325
@kpkipuka325 6 жыл бұрын
Ukitaka kuwajua vzr fny Kosa uende jera halaf uzngue 😂😂
@hemedmasoud9306
@hemedmasoud9306 5 жыл бұрын
mwanajesh wakawaida ajipange kupgana na Askar wa magereza vinginevyo
@tundafahady1817
@tundafahady1817 4 жыл бұрын
Umeona
@awardhakimu4777
@awardhakimu4777 2 жыл бұрын
Amna kitu hapa
@OnenThomas-ef6ub
@OnenThomas-ef6ub 8 ай бұрын
Regina thomas
@liikemtoto119
@liikemtoto119 5 жыл бұрын
Safi san
@neemaruttaiwa6202
@neemaruttaiwa6202 4 жыл бұрын
Jamani Nile vichache ila nikiwa huru kuliko gerezani mmmh mateso
@emanuelramadhani5860
@emanuelramadhani5860 2 жыл бұрын
Good
@samoredelavida3782
@samoredelavida3782 7 жыл бұрын
bora wasingevua izo tshirts
@razacsadic1060
@razacsadic1060 7 жыл бұрын
Miezi sita tu!!! Ama kwel balige Yani nimotoo
@hasanirashidi9696
@hasanirashidi9696 3 жыл бұрын
kwer at a mom nimeona ban
@rahmashaban8693
@rahmashaban8693 7 жыл бұрын
kumbe wamepaka nini mbona nyuso zao nyeus nyeusi
@chimpower
@chimpower 7 жыл бұрын
Hardcore training
@ibrahimdossa1132
@ibrahimdossa1132 2 жыл бұрын
Hatar
@ibrahimsangondo7914
@ibrahimsangondo7914 5 жыл бұрын
Km km noma
@anishiaomari1373
@anishiaomari1373 6 жыл бұрын
Tanzania mnaujinga sana
@jovinnyambo1289
@jovinnyambo1289 7 жыл бұрын
wakitoka hapo wanaenda kunywa panado, mambo hayo yapo mbefele huko
@josephmaganga8175
@josephmaganga8175 4 жыл бұрын
Kama hujaona vizuri angalia tena pikipiki ilivyo paa bila kugusa kichwa
@dottojoshua6971
@dottojoshua6971 5 жыл бұрын
ivi mmelitoa wapi ili lichukua video
@mako331
@mako331 7 жыл бұрын
nakubali wamezidi jw bwana
@issackjoseph6436
@issackjoseph6436 4 жыл бұрын
Unawajua wakufunz wao ni wakina nani??
@issackjoseph6436
@issackjoseph6436 4 жыл бұрын
@@felicianmapunda2328 hahaha,jibu unachokijua Br,jibu fact
@JOSEPHATMWAKIILA
@JOSEPHATMWAKIILA 4 ай бұрын
Jw y malawi
@joycemichaellovelove2221
@joycemichaellovelove2221 7 жыл бұрын
👏👏👏👏👏
@jaquevan9464
@jaquevan9464 5 жыл бұрын
wamejitahidi kwa ambao hawajui karate ndo wanaona wameweza sana
@danielikisenge1387
@danielikisenge1387 7 жыл бұрын
Hawa ndio komando
@afandebrighttz2887
@afandebrighttz2887 6 жыл бұрын
Danieli Kisenge karibuni Kunavituvizur zaidi ya hiv
@omaryteddy62
@omaryteddy62 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭Masikini mtoto kashanga kwa uluma
@ashwajeshi1558
@ashwajeshi1558 6 жыл бұрын
Kikosi maalum
@isdorypater436
@isdorypater436 3 жыл бұрын
hatar sana usicheee
@machangamagessa3753
@machangamagessa3753 3 жыл бұрын
Ezekiel mdem
@rajabuzumbe4077
@rajabuzumbe4077 7 жыл бұрын
hiyo midomo yenu inawaza siasa kupinga kila kitu ila kupambana na scorpion na Rambo mnashindwa acheni wanaume wafanye yao
@mukhtaarabdirahman3956
@mukhtaarabdirahman3956 6 жыл бұрын
Where country rwanda
@barakamagembe8538
@barakamagembe8538 4 жыл бұрын
Ayo yote ni kwa ajili ya waalifu
@anifaallyatungoza7177
@anifaallyatungoza7177 5 жыл бұрын
ongera sanaaaaaa
@johnkangere6935
@johnkangere6935 7 жыл бұрын
Poleni Wanajeshi Was Tanzania...Mnayoyafanya Hapa Kenya Hufanyiwa Na Raiyaa Wakawaida..Wanayayafanya Wanajeshi Wa K.D .F. Hamuyawezi Kamwe
@thomasmoris6675
@thomasmoris6675 6 жыл бұрын
john kangere Kuongea Ujinga nayo... Au umekula githeri umepatwa na tumbo ya kuhara
@kasimmohamed8735
@kasimmohamed8735 5 жыл бұрын
hao prisons officers jombaa,kakojoe ulale
@abasimagwiza6340
@abasimagwiza6340 6 жыл бұрын
good
@halisientertainment6489
@halisientertainment6489 5 жыл бұрын
daaaah hataliiii
@Dj_anaetumia_kanda_AloyceG
@Dj_anaetumia_kanda_AloyceG 7 жыл бұрын
editor kazingua sana
@dkmrishokimbesa858
@dkmrishokimbesa858 2 жыл бұрын
Aaaahaaaaa mmekoseya na wanawake wangevuwa
@madindamaumbi7278
@madindamaumbi7278 7 жыл бұрын
askali wakakamavu
@cairoshampeny
@cairoshampeny 4 жыл бұрын
tuliyafanya sana tukiwa shule
@castohchricy8306
@castohchricy8306 7 жыл бұрын
kumbe magereza co watu wa sport sport
@gabrieligidioni3085
@gabrieligidioni3085 6 жыл бұрын
Castoh Chricy kwel mko ft
@kanukanute1514
@kanukanute1514 3 жыл бұрын
💥💥💥
@joelinparexo8063
@joelinparexo8063 5 жыл бұрын
Jamani inaogopesha mbona ?
@ashwajeshi1558
@ashwajeshi1558 6 жыл бұрын
I miss these people 😂😂😂
@christophermlaponi534
@christophermlaponi534 4 жыл бұрын
Mabaunsa na wale wanyanyua vitu vizito ndiyo mara nyingi huwa na miili mikubwa, ila makomandoo kama hawa hawapaswi kuwa na miili mikubwa, kwani wanatakiwa kuwa wepesi wakati wote. Hivyo ukimpambanisha huyu komamdoo na baunsa basi baunsa atachezea kichapo hadi aombe poo !
@gambogambo89
@gambogambo89 7 жыл бұрын
Lengo la serikali kuonesha majeshi yetu yakifanya mazoezi ni lipi hasa, kuanzia kwa JWTZ, Police na Magereza. Kwa mtazamo wangu nahisi ni propaganda za kuwatisha wananchi na c vingenevyo. Huu upuuzi unapaswa kupingwa Jeshi c wafanyaji wa maonesho matter of fact JWTZ wanapaswa kuonesha ktk sikukuu za kitaifa n transition ktk uongozi lakini magereza hawa jamani.
@florencejames-jo1cz
@florencejames-jo1cz 4 ай бұрын
Kwenye pikipiki mmetudanganya kabisa mbona kamkwepa kama
@rashidmoche8709
@rashidmoche8709 7 жыл бұрын
full bawa yaani
@mamarama6360
@mamarama6360 7 жыл бұрын
mbavu nyeus duuh hahahaaa
@barakamagembe8538
@barakamagembe8538 4 жыл бұрын
Kagongo sanze mgaranza mlati pia na kalukoz wezi wote naimani mafunzo aya mnayaona nawasihi kula kidogo lala mapema by tmkafoko
@isayalugendo3713
@isayalugendo3713 3 жыл бұрын
Pol
@glorydenis5111
@glorydenis5111 2 жыл бұрын
Mavunzo ya kawaida
@rahisalovely9622
@rahisalovely9622 4 жыл бұрын
Si mchezo mwanaume wa kinondoni lzma wajinyeeee
@feezdidthis2220
@feezdidthis2220 7 жыл бұрын
sioni cha ajabu kiasi cha kumsumbua kiongozi mkubwa kama huyo kuja kuangalia ujinga wanaofanya
@mpuwanyahamza5188
@mpuwanyahamza5188 5 жыл бұрын
Her Fez senge ww
@kiyabonjemu9885
@kiyabonjemu9885 5 жыл бұрын
Mjinga ni wew, mgen rasmi bla walinz angekuwa mkuu?? Ulinz ndo Aman ya watu wote
The child was abused by the clown#Short #Officer Rabbit #angel
00:55
兔子警官
Рет қаралды 22 МЛН
Hunt to Survive | Hadza Tribe (Unchanged for 50,000 years)
38:31
Ruhi Çenet
Рет қаралды 32 МЛН
Rajya Sabha LIVE | Opposition MPs Corner Modi Govt Over NEET Controversy
6:58:58
FULL INTERVIEW: MTOTO GUMZO ANTHONY KAONGEA TUSIYOYAJUA
16:09
Millard Ayo
Рет қаралды 8 МЛН
KIJUE CHUO CHA MAGEREZA KIWIRA CHENYE HISTORIA YA KUTOA ASKARI BORA
23:13
Magereza Tanzania
Рет қаралды 21 М.
Mauaji yalivyofanyika Kanisani Njombe | Mtuhumiwa alivyomkatakata marehemu
11:16