JIFUNZE KUTENGENEZA MTAMBO UTOAO JOTO SAHIHI KWA VIFARANGA

  Рет қаралды 33,807

Imberuzi tv

Imberuzi tv

5 жыл бұрын

Imberuzi Tv

Пікірлер: 64
@neriacharles955
@neriacharles955 4 жыл бұрын
Una roho ya kipekee, ni wachache wanaoweza kutoa ujuzi wao kwa wengine. Mungu akubariki.
@babahilimollel5254
@babahilimollel5254 2 ай бұрын
Asante kwa Mafunfunzo mazuri
@daudingige1944
@daudingige1944 3 жыл бұрын
Makofi kwako. asanite sana kwa mafuzo mazuli mwalimu mungu akubaliki.
@omariaciza8878
@omariaciza8878 2 жыл бұрын
Nzuri sana
@martinmukono9777
@martinmukono9777 Жыл бұрын
Shukrani sana Jamaa
@Fabianrichard-fb2jn
@Fabianrichard-fb2jn 7 ай бұрын
Ubarikiwe
@subirajames9261
@subirajames9261 5 жыл бұрын
Kaka Mungu akubariki hakika una moyo wa kipekee.na Mungu akupe maisha marefu.kaka tunaomba umalizie namna ya kutengeneza imcubator ile ya dish.mbona umetuacha hewani.tusaidie na Mungu atskubariki.
@martinmukono9777
@martinmukono9777 Жыл бұрын
Asante sana MUNGU akulinde
@ClaudeMugisha-ec7cb
@ClaudeMugisha-ec7cb Ай бұрын
Ubalikiwe sana mze?
@teoraskasasila696
@teoraskasasila696 5 жыл бұрын
Uko vizur katika kufundisha nimeipenda hiyo keep up
@abdulmrisho2038
@abdulmrisho2038 2 жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah Mashaallah thumma Mashaallah.
@agnesamani9681
@agnesamani9681 5 ай бұрын
Aksanti papa Zakaria .Toka RDC Goma
@franaelisumari5108
@franaelisumari5108 5 жыл бұрын
Asante mwalimu.Uko vizuri,nimekupata sana mzee.
@AlainMatabaro-bc2po
@AlainMatabaro-bc2po 2 ай бұрын
Asante sana
@johnsenerwa7293
@johnsenerwa7293 5 жыл бұрын
Nashuru sana kwa ubunifu wako mzuri. Nimejifunza jambo, asante
@desiregakufi1220
@desiregakufi1220 2 жыл бұрын
nafurahi sans Nino drc
@louisndababonye4043
@louisndababonye4043 3 жыл бұрын
Aksante sana kwa ma fundisho
@suleimanmohamed3397
@suleimanmohamed3397 5 жыл бұрын
Asante sana kaka kwa ushuavu wako ningeomba utuvufnze kutengeneza hiyo mashine ya kutumia chimni kwa ukamilifu stape by stape tukiona kupitia utube
@ibrahimmgimba6186
@ibrahimmgimba6186 4 жыл бұрын
Makofi kwako Kaka ...I salute you
@pilimsangeni8668
@pilimsangeni8668 4 жыл бұрын
Asante sana kwamafunzo
@abuubakar771
@abuubakar771 4 жыл бұрын
Asante sana kwani kwahakika tunapata elimu ilio mzuri kabisa asante sana uwendelee kutupa elimu nakama kuna group la watesapp ningeomba kuungwa ili nipate elimu zaidi
@tabithawairimo6860
@tabithawairimo6860 4 жыл бұрын
Huyu JAMAA ANA JUWA MPAKA BASI
@ramadhanntandu994
@ramadhanntandu994 3 ай бұрын
Unaudha shingap hiy mashin kaka
@sadyroger7624
@sadyroger7624 5 жыл бұрын
Asante Sana kwa somo ziri
@user-ex2cj9lt6j
@user-ex2cj9lt6j 7 ай бұрын
Naitaji iyo mashine naipataje ?
@mossesdaudi4617
@mossesdaudi4617 3 жыл бұрын
Somo zuri sana
@josephochieng8585
@josephochieng8585 4 жыл бұрын
Asante kwa masomo kama hii
@zakariamofati7572
@zakariamofati7572 5 жыл бұрын
ahsanteni sana.
@edgarnyalu3039
@edgarnyalu3039 4 жыл бұрын
Safiki kiongoz tuna kusoma vilivyo
@franaelisumari5108
@franaelisumari5108 5 жыл бұрын
Asante sana.
@boniventuremaduga6277
@boniventuremaduga6277 5 жыл бұрын
Asnt sn kiongoz kwa somo zuri
@amondiotieno7127
@amondiotieno7127 4 жыл бұрын
I like your improvisation very educative
@wemasitta5860
@wemasitta5860 2 жыл бұрын
Ndg.mtaram naomba msaada Wa kifaa hiki.
@ClaudeMugisha-ec7cb
@ClaudeMugisha-ec7cb Ай бұрын
Ahitaj uju ukanifunza kutengeneza mashini ya sola kupitia WhatsApp hata kamalipo Niko tayali
@awinjasenerwa5923
@awinjasenerwa5923 3 жыл бұрын
Huu ni ubunifu mzuri kweli ,shukurani
@fatumamohamed5173
@fatumamohamed5173 5 жыл бұрын
Asante sana hii number haifanye nata incubator ya kunonua
@idowankumbi2083
@idowankumbi2083 5 жыл бұрын
Tunashukuru kwasomo zuri
@ericmaombi2435
@ericmaombi2435 2 жыл бұрын
Nafarahia vipindi vyako kuhusu utengenezaji wa machine, vipi naweza pata machine hi na kwa garama gani?ni Éric toka Rdcongo
@musacharles7344
@musacharles7344 3 жыл бұрын
SOMO ZURI SANA KIONGOZI TUNASHUKURU KWA MSAADA WAKO KTK KUTETEA KUPUNGUZA GHARAMA KWA WAJASILIA MALI MUNGU AKUBARIKI KAKA.
@godlivingmkony3861
@godlivingmkony3861 4 жыл бұрын
Part 3 IPO wapi
@johnmsalluka7530
@johnmsalluka7530 3 жыл бұрын
Tunakupate ilikujifunza zaidi no hazipatikani
@charleskamuli9652
@charleskamuli9652 3 жыл бұрын
Sasa Mimi nahitaji ,kupata kaarifa ya kutengeneza mashine nifanyeje ? Mtaalamu wangu
@denissegwilasa1405
@denissegwilasa1405 4 жыл бұрын
Asatesana
@saidmatola8015
@saidmatola8015 5 жыл бұрын
👼👼👼
@abdulladies7299
@abdulladies7299 5 жыл бұрын
Nimeipemda tukutane wasap nambahiyi 0716071618
@shemtv3358
@shemtv3358 5 жыл бұрын
Nitahita mashine
@godlivingmkony3861
@godlivingmkony3861 4 жыл бұрын
Kitotoleshi njia ya mafuta ya taa
@deboramudogo9934
@deboramudogo9934 4 жыл бұрын
Namba uliyoweka hapo mbona haipatikani
@ibrahimbakari9061
@ibrahimbakari9061 5 жыл бұрын
lini unaanza kutoa somo rasmi?
@fatumamohamed5173
@fatumamohamed5173 5 жыл бұрын
Hi number yako haifanye I need incubator niko Nairobi
@johnsonaudax4755
@johnsonaudax4755 5 жыл бұрын
Unapatikana wapi?
@aminaramadhani9388
@aminaramadhani9388 5 жыл бұрын
Mbona kitotoleshea chako cha mafuta ya taa nilichonunua kwako hakinipi matokeo mazuri??????
@daudifilipo2769
@daudifilipo2769 4 жыл бұрын
Mashine bei gani?
@mariyamdaud8662
@mariyamdaud8662 5 жыл бұрын
Asante sana brother kwa elimu hii hakika unamoyo was kipekee sana, tafadhali nitakutafuta kwa msaada zaidi
@noelywiriam616
@noelywiriam616 3 жыл бұрын
Asante
@mrfix6596
@mrfix6596 5 жыл бұрын
kitotoleshi kinachotumia mafuta ya taa imeishia wapi
@godlivingmkony3861
@godlivingmkony3861 4 жыл бұрын
Ubabaishaji mwingi mada imeishia njiani , sijapenda hii kitu.
@godlivingmkony3861
@godlivingmkony3861 4 жыл бұрын
Pt 3 wapi ?
@michaelchami9540
@michaelchami9540 5 жыл бұрын
Asante sana kwa somo zuri
@fladmirbizindavyi2758
@fladmirbizindavyi2758 5 жыл бұрын
Asante baba mimi niko burundi kwahio nataka nije uko nikuone kweri79362050
@majamberefaustin9172
@majamberefaustin9172 5 жыл бұрын
Hongela sana namba yangu ya whatsapp ni 0682799948
@Kokomediagroup
@Kokomediagroup 4 жыл бұрын
Sawa sawa mwalim zakaria
@denissegwilasa1405
@denissegwilasa1405 4 жыл бұрын
Asatesana
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
00:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 8 МЛН
How to make Automatic Egg Incubator At Home
10:49
Mian Inventions
Рет қаралды 198 М.
Incubators Machines Bora zaidi  Matokeo ya Uanguaji ni 90%  Full Automatic +255 713 852 296
29:21
JIFUNZE KUTENGENEZA KITOTOLESHI KINACHOTUMIA MAFUTA YA TAA PART 3
17:05
VIFAA VYA JOTO
1:38
KPTL Tanzania
Рет қаралды 4,1 М.
MBUNIFU MTANZANIA AMLILIA RAIS MAGUFULI
19:43
Imberuzi tv
Рет қаралды 12 М.
MUONGOZO KUHUSU INCUBATORS
12:17
Ask Incubators Tz
Рет қаралды 23 М.
Atengeneza INCUBATORS kutumia Beseni Kaunti ya Nakuru || JAMII YETU
27:06
MBCI TV OFFICIAL
Рет қаралды 1,3 М.