JIFUNZE KWA USHUHUDA HUU WA MCH.ADDO NOVEMBER•Utakatifu duniani inawezekana•Mafanikio lazima sadaka

  Рет қаралды 6,309

PROMOVER TV

PROMOVER TV

Ай бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.Kama uko tayari kuwa mchangiaji jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO SIYO LAZIMA KUCHANGIA BALI NI YA KUPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hiichat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
Namba za mawasiliano na kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 jina ni Jacktan Msafiri
#ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

Пікірлер: 48
@CherieDeDieu
@CherieDeDieu Ай бұрын
Kama wakili mwenzako na mkristo mwenzako, nakupongeza kwa wokovu na kuongea ukweli mtupu wa Kristo bila hofu. Mafunzo haya yamenibariki sana leo. Mungu akubariki kwa kazi yako nzuri. Amen.
@user-tt7cu2et1x
@user-tt7cu2et1x Ай бұрын
Blessed kaka jacktan na Audax na promover tv. The power of testimony ❤
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Ай бұрын
🎉🎉Amina
@loycep7785
@loycep7785 Ай бұрын
Baba nimebarikiwa sana ndani ya kilindi cha moyo wangu hakika Mungu ana watu wake sema kweli ili watu wawe huru Mungu akubariki sana watumishi wengi wanalea uovu mkubwa sana na kuandaa watu kuingia Jehanamu badala ya kuwaandaa watu wamuone Yesu Namlilia sana Mungu atusaidie
@ngugit88
@ngugit88 Ай бұрын
Amina asante kwa ujumbe huu ,nashukuru Mungu kwa kuniruhusu kuskia ujumbe huu,hizi nyakati hizi ni za hatari sana ,kizuri kimefanywa kua kibaya,nacho kibaya chafanywa chema😢
@user-cn7vz6ye1i
@user-cn7vz6ye1i Ай бұрын
God bless you sur🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jimmymwashambwa7364
@jimmymwashambwa7364 Ай бұрын
Umetupa chakula kizuri cha kiroho Asante ubarikiwe
@NURU-YA-BWANA-TV
@NURU-YA-BWANA-TV Ай бұрын
INJILI HII CHUNGU TUSIOPENDA KUISIKIA,ILA NDO YENYE KUTUPONYA SASA.
@oscanyakunga
@oscanyakunga Ай бұрын
Amina mtu wa Mungu Inagusa sana uwepo wa roho mtakatifu unaondolewa na vitu ivi tunavyo vichukulia kawaida., moyo unachafuriwa kwakutazama vitu vihovu
@myself4128
@myself4128 Ай бұрын
wanakheri wanaoabudu pamoja nawe,kuna mengi ya Kujifunza,Kwanza hujamfuata Mungu sababu ya Umaskini sababu una kazi yako na unamaisha yako lakini ukaone vyote havitoshi bila Kristo!!
@mercylinebundala2346
@mercylinebundala2346 29 күн бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@rosemarymwanitega7926
@rosemarymwanitega7926 Ай бұрын
Amen Hallelujah
@obadiambilinyi27
@obadiambilinyi27 Ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu, hii injili adimu siku hizi
@salahsadi3908
@salahsadi3908 26 күн бұрын
Ni kweli mtumishi wimbo huu utabak kua MUNGU naupenda sana na hua hauchuji🎉🎉🎉
@fedhajoseph7687
@fedhajoseph7687 Ай бұрын
Mungu atukumbuke nakutusaidia kabisa baba yangu unaongea kweli.
@apostlezizi
@apostlezizi Ай бұрын
Very powerful,I like this kind of Gospel,he is true man of God
@SuzanaNyanda
@SuzanaNyanda Ай бұрын
Amen, Barikiwa na BWANA Roho mtakatifu Asante kwa mafundisho mazur naomba unisaidie unibadirishe unifanye vile upendavyo nakuhitaji NAKUPENDA sn
@user-uo6me4tx7n
@user-uo6me4tx7n Ай бұрын
Mungu akubariki sana kusema ukweli
@fidemikaeli8145
@fidemikaeli8145 Ай бұрын
Hii ndo injili tunayoitaka ,asante kwa Yesu kwa watumishi wako
@eliethmwanguya7118
@eliethmwanguya7118 Ай бұрын
Hakika Mungu atabaki Mungu
@MariaMdemu-xt5cv
@MariaMdemu-xt5cv Ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi kwa ushuhuda na fundisho kwetu vijana ...nimeona ukuu wa Mungu🙏
@rahabusanga1559
@rahabusanga1559 Ай бұрын
very truee
@MariaMwasyila-mq6yc
@MariaMwasyila-mq6yc Ай бұрын
Ubarikiwe sana Mtumishi kwa kusema ukweli
@jastinmkoba
@jastinmkoba Ай бұрын
Naaaam
@mahomamahoma775
@mahomamahoma775 Ай бұрын
Haya mahibiri nimepata kitu,natmn Kila mweny maskio na asikie
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 19 күн бұрын
You tell them
@matthieulugerero9355
@matthieulugerero9355 Ай бұрын
Allelluiaaaaaa!!! Mtumishi wa Mungu aliye hai
@Faraja2023
@Faraja2023 Ай бұрын
Ubarikiwe sana
@LispafulgenceSimon-rs1zg
@LispafulgenceSimon-rs1zg Ай бұрын
Hakika ww nimtumishi wa Mungu
@trophywilson7211
@trophywilson7211 Ай бұрын
Kweli Kushukiwa na Nguvu za Roho Mtakatifu eti Kuvibe hatari saana hii
@neemakamgisha2951
@neemakamgisha2951 Ай бұрын
Amen
@Nerialulambo
@Nerialulambo Ай бұрын
Mungu akubariki kwa kuisema kweli ili Tupone
@vailetlemenya6576
@vailetlemenya6576 Ай бұрын
👏👏👏👏👍
@salahsadi3908
@salahsadi3908 26 күн бұрын
Ni kweli mtupu
@IdahNambelasiwala-qs3su
@IdahNambelasiwala-qs3su Ай бұрын
Amen 😭😭😭🙌🙏
@salahsadi3908
@salahsadi3908 26 күн бұрын
Lakin hayo mahela wanapewa na mkuu wao Ili wazidi kupotosha watu
@fedrickyohana7433
@fedrickyohana7433 Ай бұрын
Hiiiii injili imepotelea wap siku izi
@salahsadi3908
@salahsadi3908 26 күн бұрын
Wanapewa na mkuu wao wa giza
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Ай бұрын
Moses Korola alipo kuwa hai hamkumsifia hivo,baada ya kufa mtu ndo wanamsifia
@faithe4063
@faithe4063 Ай бұрын
Kutoa sio lasima jameni sadaka ya Mungu iko katika warumi 12 v1 waebrania 13 v 15,16 Yesu alilipa deni yote sisi wakristo siku izi tunaubiri sadaka atuubiri ufalme wa Mungu kuja, adi lini mutaongoswa na tamaa ya dunia hii? YESU KRISTO anakuja alisema enendeni mukaubiri kwamba ufalme wa Mungu imekaribia nimewapa bure peana bure
@benjamenshepa1000
@benjamenshepa1000 Ай бұрын
Mungu akufundishe tena
@oscanyakunga
@oscanyakunga Ай бұрын
Mungu akusaidie sana wewe Dadaangu ujui ulisemaro wewe ndugu yangu_🎉🎉🎉🎉
@HappyJohn-kk1pr
@HappyJohn-kk1pr Ай бұрын
Mungu akusaidie ujue ukweli sadaka ni lazima
@yusterlucass
@yusterlucass Ай бұрын
Ili ubalikiawq fungu la kumi mhim
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 Ай бұрын
Hauja enda Mbinguni ,isipokuwa alikuonyesha mfano wa yale yakupasayo kufanya ktk ulimwengu wa mwili,
@JohnDaniel-mc5oi
@JohnDaniel-mc5oi Ай бұрын
Amen
@salahsadi3908
@salahsadi3908 26 күн бұрын
Ni kweli mtupu
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 90 М.
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 9 МЛН
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 45 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 182 МЛН
SILAHA KUBWA YA KUVUNJA MADHABAHU || PR DAVID MMBAGA
56:10
Ikwabe Injili tv
Рет қаралды 17 М.
Hatumtafuti Mungu kwasababu tunashida  " Ezra 8 : 21 - 23 ".  Rev. Abiud Misholi
1:19:10
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 9 МЛН