JINI MAHABA LIVE KATIKA BAHARI YA MANGAPWANI

  Рет қаралды 846,172

ZINJIBAR TV

ZINJIBAR TV

4 жыл бұрын

fair use is a use permitted by copyright statute that might otherwise be infirnging non - profit education, or personal use tips the balance in favor of fair use all credit for copyright material used in video goes to the respected owner, #ZINJIBAR
#FAHARI YA ZANZIBAR

Пікірлер: 452
@ally1702
@ally1702 4 жыл бұрын
Mashallah dah mmenikumbusha mambo mengi kunionesha kwetu Leo ila kidogo zinjibar TV mtume (saw) anasema mwenye kughushi si katika sisi nikiangalia kichwa cha habari hakiendani na yaliyomo hamuhisi kuwa mnaghushi Allah ndo mjuzi asanteni Sana kwa daawa Allah atupe wepesi atuepushe na Shari za majini 974
@jovithajovinary9305
@jovithajovinary9305 3 жыл бұрын
Kwa jina la YESU nawashushia Moto wa Roho mtakatifu,na dam ya YESU izunguke maisha yetu,
@johnbernad3407
@johnbernad3407 3 жыл бұрын
Amen 🙏
@riahwilly829
@riahwilly829 3 жыл бұрын
A men
@Hechangethnot
@Hechangethnot 2 жыл бұрын
Amina kaka
@africanbeautyx4128
@africanbeautyx4128 4 жыл бұрын
Mimi sio muislamu sema huyu shekhe anaonekana anaimani kubwa sana, God bless him
@bintsalimalbimany5340
@bintsalimalbimany5340 4 жыл бұрын
Ammin yarab naam huyu shekh yuko vizur sana Mashallah Allah amzidishie👐👐👐👐
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
Ndio maana kawaendea maeneo yao. Sio yyte awezao
@elizabethgabriel1888
@elizabethgabriel1888 3 жыл бұрын
Kwa jina la Yesu kristo wa Nazareth aliye hai hawaniwezi me&G tunajifunika damuni mwa Yesu kristo amen amen amen amen amen amen amen!!!!!!!
@ababuumwanazanzibar4908
@ababuumwanazanzibar4908 4 жыл бұрын
Hatari Sana'a Shekh Jini Live tena Dah Zinjibar TV mnatupa elimu nzuri Sana'a Mungu awazidishie Sana'a na Awalinde Sana'a Mko juu Sana'a
@queenayushgal9955
@queenayushgal9955 4 жыл бұрын
ماشاء الله تبارك الله، شكرا sheikh hata mimi niko na hilo tatizo na huwa yuwanitokezea na kunichukua mpaka baharini nakuniambia niingie kwenye bahari huwa kuna mwangaza nakuniambia nikachukue pesa, na lengine kumchukia mume wangu hali yakua nampenda sana mume wangu ila huwa ni vurugu kati ya mimi na mume wangu, na haswaa tatizo nikua aliniambia kua sitozaa mpaka nimzalie yeye jini na mimi niko na mda wa miaka kumi na tano nashindwa kuzaa, sababu alinitokea nakuniambia nisikubali kuowela, na niliwahi kuenda hospital nikapima sina matatizo ya uzazi., naomba msaada wako sheikh.
@antiemiy347
@antiemiy347 4 жыл бұрын
Masha Allah Maasha Allah Sheikh Salum Mardhia hongera leo umeingia jikoni mwenyewe,Watamama usiogope mlinzi unae .Sheikh Salum kiboko yao,hakuna jini litakalokuvaa.Mungu akujaalie umri mrefu sheikh Salum.wenye kheri na afya njema.
@bintsalimalbimany5340
@bintsalimalbimany5340 4 жыл бұрын
Naam asiogope voo mim hapo wanaingia chochoroni nahis mwil unanisisimka
@saeedsaeed7381
@saeedsaeed7381 4 жыл бұрын
Masha Allah sheikh salum leo umeingia jikoni mwenyewe na kuwachambua jinni mahaba/ahiq kwani ni koo mbaya sana sana hii na ina mashakeel makubwa dah lnsha Allah mungu awangamize wote majini mahaba/ashiq....shukran Sheikh wetu kwa awesome topic lnsha Allah mungu akupe umry mwema Sheikh...Ma Salam
@fatmerhabibth7477
@fatmerhabibth7477 4 жыл бұрын
Asalaam Alaikum..mashaallah sikua nsjua aina za majini kumbe wapo wengi..m/mungu atuepushe nao inshaallah...inshaallah sheikh zidi kutufunza..mungu akupe umrii...
@mussaabissallamy994
@mussaabissallamy994 4 жыл бұрын
Mashallah shekh salum kwa hakika elim imefika ww ni koboko ya majini allah akuzidishie kipaji na makarama
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 4 жыл бұрын
Allah awajaze ujasiri MashaAllah Jazakhallahu khaira 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏.
@kidjhdf7568
@kidjhdf7568 3 жыл бұрын
Ww hauna halima from saudia Arabia
@habibaabdi7453
@habibaabdi7453 4 жыл бұрын
Mashaalah sheikh Salim Mungu atujalie watoto.wema wenye wakushika vitu haraka Ameen
@bintsalimalbimany5340
@bintsalimalbimany5340 4 жыл бұрын
Mashallah shekh wangu wa Faida nampenda. Sana huyu shekh kwa ajil ya Allah
@lkshmykomar5472
@lkshmykomar5472 4 жыл бұрын
Shehe wetu mardhya Allah akupe maisha memayenye hernww nakupenda sana kwaajili ya Allah
@Zinjibartvzanzibar
@Zinjibartvzanzibar 4 жыл бұрын
Lkshmy Komar Amin Ahsante sana sana
@mbaroukomar615
@mbaroukomar615 4 жыл бұрын
Masha allah
@dicksonkilupa6881
@dicksonkilupa6881 3 жыл бұрын
HUYO JINI HANA KWAO HADI AJE KUPANGA MIPANGO YAKE DUNIANI BADALA YA KUTEKELEZA HAPO NI UWONGO.
@alfourncesalu2698
@alfourncesalu2698 3 жыл бұрын
Asante sana jiraniyangu maridhiya Mimi alfourncekutoka kwammanga kwawarabu msikitini
@saeedakibao6104
@saeedakibao6104 4 жыл бұрын
Mimi Nina shida binafsi ya kumuona shekh salim naamini ninacho kitu mungu kanipa pengine nikimuona shekh kuna kitu atanufaika kwa kuniona au nitanufaika mimi
@jothamekisouke3374
@jothamekisouke3374 3 жыл бұрын
Waislam huwa mnayatumia sana hayo maini
@mayamerali9264
@mayamerali9264 4 жыл бұрын
Allah awajaalie Kila la kher na mafundisho mazuri In sha Allah,, nawapenda Kwa ajir yake.
@mohamedabdallah3577
@mohamedabdallah3577 3 жыл бұрын
Shukran jazaillan,Allah akuongoze inshaallah.
@samsungjsevenprime5717
@samsungjsevenprime5717 4 жыл бұрын
Allah atunusuru na kuvamiwa na hao majini wabaya kwa uwezo wake Allah
@nasrahassan4220
@nasrahassan4220 2 жыл бұрын
Allah awazidishie elimu ya kutuelimisha. Zaidi. Shukran jazira
@mauwarashid4823
@mauwarashid4823 4 жыл бұрын
Ongera shekhe wetu kwa uwezo uwo na ujasiri
@rahimkomba3149
@rahimkomba3149 2 жыл бұрын
Mpaka machozi yananitoka mana niugonjwa niliho nao wala cfichi jini mahaba ni mbaya sana
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 жыл бұрын
Maa Shaa Allah, Shukran Sana,Washindwe na Mabunge Yao Jinn,Mahaba,na Jinn Bahari.
@godifreyngaiza8312
@godifreyngaiza8312 4 жыл бұрын
Hawana nafac
@supumoto6819
@supumoto6819 4 жыл бұрын
SHEKHE hapo kwenye rizki hapana , tukisema wanafunga rizki itakua tumewapa nguvu baadhi ya washirikina kuenda kuomba rizki kwa mashetani
@Zinjibartvzanzibar
@Zinjibartvzanzibar 4 жыл бұрын
supu moto kweli niliteleza kuelezea kidogo hapo ahsante sana nitarekebisha
@supumoto6819
@supumoto6819 4 жыл бұрын
@@Zinjibartvzanzibar jazzakumullahu Kheira
@evalunajohannes469
@evalunajohannes469 4 жыл бұрын
Kweli,wanatumia nyota za watu pia
@supumoto6819
@supumoto6819 4 жыл бұрын
@@evalunajohannes469 wSemaje atieno
@Zuhura-my9bt
@Zuhura-my9bt 4 жыл бұрын
Subhanallah yaan natizama video mpk naogopa wallah
@mwanaishahussein2635
@mwanaishahussein2635 4 жыл бұрын
Zakallahul kheir Sheikh, ALLAH akupe umri tunahitaji sana kuelimika juu ya hao majinni🤲🤲🤲🇰🇪
@hanifamasudi9732
@hanifamasudi9732 Жыл бұрын
Nikama mimi nilikua naota sana hilo ndoto sana hadi nikikosana na mume wangu lakini alihdulillah nilizidi kuomba dua Ila Allah kanijalia hata sasahivi nsiote Tena Kama zamani
@salimmohamed694
@salimmohamed694 4 жыл бұрын
Mimi nimekosa ndoa kisa jinni mahaba daaah mpka leo sitasahau Allah atanilipia. Mm nilivyokuwa nampenda yule binti 😭😭😭😭😭😭
@sadahgullam8228
@sadahgullam8228 4 жыл бұрын
Kubali qadar ya Allah Allah amewaambia majinn waovu na washirikina ktk surah tul baqarah kwamba hawafanikiwi mambo yao isipokuwa kwa idhni yake Pole kwa yaliyokupata
@miriamngosha6856
@miriamngosha6856 4 жыл бұрын
Vip umeona au nisaidie kama ulipona me nasumbuliwa sana sikai na mwanaume maisha yang sijawai kurudiwa na mwanaume nateseka sana 😭😭😭😭
@sadahgullam8228
@sadahgullam8228 4 жыл бұрын
@@miriamngosha6856 kama hufanyi ibada anza kufanya ibada kwa hali na mali maradhi hayo asikudanganye mtu tiba ya kwanza ni ww mwenyewe namna ya kujisaidia kujikurubisha sana kwa Allah kufanya adhkar kwa wingi kuamka usiku kuswali ukiwa tofauti na hapo hao viumbe watakutesa sana zaidi ya unavofikiria
@salimmohamed694
@salimmohamed694 4 жыл бұрын
@@miriamngosha6856 nikupe pia namba ya sheikh mmoja nadhan saiv atakuwa Dar pia anafanyaga kisomo sana
@salimmohamed694
@salimmohamed694 4 жыл бұрын
@@miriamngosha6856 pole dada naomba nitafute +254710202027
@yassirali1138
@yassirali1138 4 жыл бұрын
Daaah nakupenda sana she maridhia nakunga mkono nipo pamoja na we we big up jmn Mungu akusadiye ............by Ravina
@elishasungura9893
@elishasungura9893 4 жыл бұрын
Wewe acha upuuzi mbona sija muona kiboko cha majini yesu kristo...Amina
@elishasungura9893
@elishasungura9893 4 жыл бұрын
Wewe acha upuuzi mbona sija muona kiboko cha majini yesu kristo...Amina
@magrethjoseph5917
@magrethjoseph5917 3 жыл бұрын
Subanallah
@dullytrigga5810
@dullytrigga5810 4 жыл бұрын
Asante saana kaka sinaga raha wallah
@aksamayuni911
@aksamayuni911 4 жыл бұрын
nakupenda
@nicholauskilosa5336
@nicholauskilosa5336 2 жыл бұрын
Katika jina la Yesu kristo majini yashindwe
@jumafaki1697
@jumafaki1697 4 жыл бұрын
Mashallah sheikh salum mardhia
@naiwumbwezauja4130
@naiwumbwezauja4130 4 жыл бұрын
Tuwombe sana mungu atulinde
@Alqipty
@Alqipty 4 жыл бұрын
Nashallah sheikh kweli kwa hajika unatujuza mengi
@nooor1120
@nooor1120 4 жыл бұрын
Mashkurin masheikh wetu
@RaphaelMburu-wx3dx
@RaphaelMburu-wx3dx 2 ай бұрын
Napenda jini mahaba
@fadhiliabdi4795
@fadhiliabdi4795 4 жыл бұрын
Allah atufanyie wepesi
@alakhyhajjbinhassan4496
@alakhyhajjbinhassan4496 4 жыл бұрын
Allah atunusuru na Mahaba INSHA'ALLAH 🤲
@ghaidaabdul8862
@ghaidaabdul8862 3 жыл бұрын
Asante sheikh mardhia
@ruwaidaal-ismaily9099
@ruwaidaal-ismaily9099 4 жыл бұрын
Duh subhana Allah
@eastzuuzuu7050
@eastzuuzuu7050 4 жыл бұрын
Asante shekh
@jumahnjawi6782
@jumahnjawi6782 2 жыл бұрын
Mke wAngu anasumbuliwa
@shekhramadhan5778
@shekhramadhan5778 4 жыл бұрын
Subhana Allah twateseka sababu jini huyu
@fatmahamad2448
@fatmahamad2448 2 жыл бұрын
Dah shekh nna mdogo wangu anasumbuliwa Sana na majini mdarefu Ila mara hii ndio imekua it's too late amekua akipandisha jini mithili ya chui huku akijitapa na kujisifu tunaomba kupata tiba ili aondokane na kadhia halali Kwa raha mda wote yy ni mtu wa kua mnyonge tu hadi huruma na tiba hatujui
@jothamekisouke3374
@jothamekisouke3374 3 жыл бұрын
Wao ndio wnaowatumia sana
@user-eo4ko9kt1e
@user-eo4ko9kt1e 4 жыл бұрын
Jaman mimi hii ndoto ya mapenz huwa naota mara kwa mara au ndio maana siolewi kila nikipata mchumba ananizingua na kuniacha😥😥😥😥Allah nisaidie ya rrabiy
@user-eo4ko9kt1e
@user-eo4ko9kt1e 4 жыл бұрын
Asanten kwa kunijuza sikujua
@munamunish7537
@munamunish7537 3 жыл бұрын
Mungu atulinde amiin 🤲
@mohamedkigwehe3561
@mohamedkigwehe3561 3 жыл бұрын
Inshaallah mautadhi wetu mngu awabariki sana kwaelimu nzuri
@neemaegnatio7725
@neemaegnatio7725 3 жыл бұрын
Aiseee Ayo majini mabaya sanaaa mungu atustiriq
@aminahassan7182
@aminahassan7182 4 жыл бұрын
Mashaallah sheikh I learn more,i imagine i didn't know nothing about this jiin
@nasrihussein4293
@nasrihussein4293 25 күн бұрын
Ni kweli sheikh
@mwarimuhamed5665
@mwarimuhamed5665 2 жыл бұрын
Jazakhallahu kheiri
@furahamossi3199
@furahamossi3199 4 жыл бұрын
Assalamualeikum, nimtihani kwakweli, shukran sheikh Allah akulipe umri mrefu uzidi kutuilimisha
@mundhirmukrim5805
@mundhirmukrim5805 3 жыл бұрын
Inshaalaah
@faustamussa45
@faustamussa45 3 жыл бұрын
Nawafung Kaka jina la yesu tristo moto was roho mtatifu njia zao nazifunga
@abuusabry3366
@abuusabry3366 4 жыл бұрын
😀😉😀WAUZA DAWA WAPIGAJI
@sabrinasaid823
@sabrinasaid823 3 жыл бұрын
Ms hall ah
@rehematesha9799
@rehematesha9799 2 жыл бұрын
Shukran
@najmamohammed3987
@najmamohammed3987 3 жыл бұрын
Mm yanisumbua nisaidie
@noraevers8868
@noraevers8868 4 жыл бұрын
Subuhanallah Allah atukinge na majinihawo Allah awalipe kheri
@sulemohd4812
@sulemohd4812 4 жыл бұрын
Mungu.anilinde nahuomtihni
@salometumainiely9455
@salometumainiely9455 3 жыл бұрын
Aseeee
@zainabmaulidi9846
@zainabmaulidi9846 4 жыл бұрын
Subhanaallah
@bintsalimalbimany5340
@bintsalimalbimany5340 4 жыл бұрын
Mashallah shekh salim Ama kwahakik hayo ni makarama Allah amekupa HadiyyatunminaLlah
@jumahassan2246
@jumahassan2246 4 жыл бұрын
Bint Salim Albimany inshaallah
@user-mq2gn5xe4o
@user-mq2gn5xe4o Жыл бұрын
Mm Naomi kweli mm Luna mda najiona kama nip kweny3 tend atakua yy😢
@hassankassim6125
@hassankassim6125 4 жыл бұрын
Sawa ostadhi wangu nimekuelewa sana Ila kuna lafiki yangu naumwa yn sio kuumwa ila akilala kila siku anafanywa vibaya mana akilala anavhezewa mbele na nyuma alafu ni mwanaume alafu mpka sasa yn atamani ata mwanamke ndugu nitafanyaje ili kumsaidia mana n miaka mitatu sasa mpk ss akupona yn
@Zinjibartvzanzibar
@Zinjibartvzanzibar 4 жыл бұрын
Hassan Kassim Mwambie anitafute +255756876777
@shabaniomaryshabaniomary4172
@shabaniomaryshabaniomary4172 4 жыл бұрын
Sawasawa
@fatumafatumaalli8774
@fatumafatumaalli8774 3 жыл бұрын
Audhubillah mindhalika
@maisaalawi5399
@maisaalawi5399 4 жыл бұрын
mashaAllah, jazzakhalahu kheri.
@TeamKRX
@TeamKRX 4 жыл бұрын
Mimi niliripukwa na moyo nikapesa nitajikaza kumtizama kumbe ila mtihani mi nilimuona pemba sasa sijui jini au shetan jamani mwanamke anaenda kama risasi tulikuwa watu watatu saa 6 za usiku ah jamani kumbe kweli
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 4 жыл бұрын
Mmmhhh nipombalitu .nanaogopa hapomlipo
@Hechangethnot
@Hechangethnot 2 жыл бұрын
Yesu ni bwana.
@naiwumbwezauja4130
@naiwumbwezauja4130 4 жыл бұрын
Kwasababu jini ni hatali sana
@kassimmohammed4949
@kassimmohammed4949 4 жыл бұрын
Ustaadhi Wewe muongo mnafiki fisadi jini haonekani ... Acheni utapeli ulio komaa
@sophiamacdonald2711
@sophiamacdonald2711 4 жыл бұрын
Sasa huyu Mshiri kina au nn sielew
@mahanur4468
@mahanur4468 4 жыл бұрын
Kassim Mohammed , hakuna binaadam alie kamilika hata kma walicho fanya sio sahhi lkn haikupasa kumkashfu kiac chote icho haifia uyo bdo atabaki kua Shekhe na kasoma na ujumbe unafka kwa njia ya Allah na sio kwa kwa njia ya music au vyengine n.k so mm ngekuomba rekebisha kauli yko ushauri tu lkn 🙏coz ushauri c amri kuna kkubali na kukataa shukran 🙏
@myrafarijallah8927
@myrafarijallah8927 3 жыл бұрын
Swadakta...hata mm niko na hiyo shinda nikilala naletewa sura ya family..yako twafanya mapenzi...mwanamume wote akinitogoza..huwa mkali..na ndani ndoa yangu ilikuwa niya misukosuka....
@wardahawsawi
@wardahawsawi 3 жыл бұрын
Kumbe ni "kijibinzo" kimepachikwa kwenye picha. Nilifikri kweli. Eeh! 😲
@zamzamzam3920
@zamzamzam3920 3 жыл бұрын
MaashaAllah shukra sheikh
@hemedihabibuhemedihabibu2491
@hemedihabibuhemedihabibu2491 3 жыл бұрын
Zamzam
@zulachama1067
@zulachama1067 4 жыл бұрын
Asanteni sana kwa mawaidha yenu hila hamjazungumza je faida yake kwani mbaya ana sifa.
@barnabamollelysaruni4613
@barnabamollelysaruni4613 4 жыл бұрын
Ukiokoka Utapona majin mahaba na kama unataka kuokoka nitafute Kwa no hii 0762189863
@justinamusyoka4986
@justinamusyoka4986 4 жыл бұрын
@@barnabamollelysaruni4613 kuokoka aje ?
@mahad977
@mahad977 4 жыл бұрын
JazakaAllah
@halimanasihu1200
@halimanasihu1200 4 жыл бұрын
Mashallah shekhe allah akuzidishe kla la kheri inshallah
@chambegamadebe2573
@chambegamadebe2573 Жыл бұрын
Twaibu
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 3 жыл бұрын
INGELIKUA NYIE NI WATUMISHI WA MUNGU MSINGE WEKA KICHWA CHA HABARI AMBACHO NI UONGO,MAANA SHETANI MWENYEWE NI MUONGO KAMA NYIE
@anliomar2534
@anliomar2534 3 жыл бұрын
Jazakallah khayra shehe lafu mim naitaji kujifunza zaide ili nijue jinsi Gabi yakuisoma haia ifuatayo napatikana msumbiji asalam alaikum
@hawaynatimam982
@hawaynatimam982 4 жыл бұрын
Kichwa cha habar kimeongea uongo ila musirudie
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 3 жыл бұрын
Basi acha nipite, Ahsante kwa comment yako. Sipendi kudanganywa 😁😁ndo mana huwa napita kwanza na Comments
@aktwabimnyamato1907
@aktwabimnyamato1907 3 жыл бұрын
Maashaallah shekh wetu
@josephorina7375
@josephorina7375 3 жыл бұрын
Is true tuondolee hayo majini yaende kusimu kabisa
@twahirally3136
@twahirally3136 4 жыл бұрын
Halafu sheikh Salum kuna kaka yngu hataki kuoa n umri ushaenda n uwezo anao icje kuw n yy ana hyo majini😓
@Zinjibartvzanzibar
@Zinjibartvzanzibar 4 жыл бұрын
Twahir Ally hakika majinni Mahabba ni wabaya sana ktk kuharibu maisha na ndoa
@salimmohamed694
@salimmohamed694 4 жыл бұрын
😂😂😂 kama mm tu
@aysharamadhan1120
@aysharamadhan1120 4 жыл бұрын
@@Zinjibartvzanzibar mh hv utajijua vp kama unajin bahar
@marijanishabani1078
@marijanishabani1078 4 жыл бұрын
Sheikh Kuna Dada yangu huwa anasumbuliwa natumbo kila mara kasha jaribu kila sehemu hajapata kupona maradhi yake
@angelrimoy2365
@angelrimoy2365 4 жыл бұрын
Twahir Ally tayari uyoo
@imanmohamed7632
@imanmohamed7632 2 жыл бұрын
SubhannahAllah
@abdullaothman3772
@abdullaothman3772 3 жыл бұрын
Mnatafuta rizki kwa kusema uongo
@shanimkila9571
@shanimkila9571 4 жыл бұрын
Maashaallah huyo ananisumbua sanaaa
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 4 жыл бұрын
Dumisha sala, qur-an, dhikr na dua. Hakuna jin wala shaitwani ataeweza kukuchezea biidhillahi.
@user-kw1zu2dy1h
@user-kw1zu2dy1h 4 жыл бұрын
الله يحفظكم
@azizaaziza7996
@azizaaziza7996 3 жыл бұрын
Shekhe mardhia hilo tatizo Mimi ninalo
@cizazahra9228
@cizazahra9228 4 жыл бұрын
Nimekaa namsubiri kumuona live hadi usingizi
@muniradaudi440
@muniradaudi440 4 жыл бұрын
Ata mm
@jamalilitamba7084
@jamalilitamba7084 4 жыл бұрын
Hahahahah Haya ni mambo yakufikilika hayana ukweliii.
@mohammedjabir6128
@mohammedjabir6128 3 жыл бұрын
Hujamuona si ndio huyo shekhe mwenyewe kakaa pale kachukua kiti chake cha jini!!
@maryamayitsa6181
@maryamayitsa6181 2 жыл бұрын
Waah hatari sana
@edobwabwala7105
@edobwabwala7105 4 жыл бұрын
Mashaallah Shekh
@arafakiloli749
@arafakiloli749 4 жыл бұрын
Mashaallah Allah awalipe kheri.
@rabiavizursanamsese2550
@rabiavizursanamsese2550 3 жыл бұрын
Maajabu yadunia
@shaameshaame2136
@shaameshaame2136 4 жыл бұрын
endeleeni kutuibia waislamu wenzenu kwa kutumia maandishi yenu
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 4 жыл бұрын
Shukran yashekhe
@thumabby3655
@thumabby3655 4 жыл бұрын
Mashaallah tabaraka llah mungu awazidishie
@mwanaidimussa2588
@mwanaidimussa2588 4 жыл бұрын
Shee uyo jini kanivujia ndoa yangu jini mahaba ,,ukiwa namjumba una jikuta usha ngombana nae hata birakosa wahumba wakireta barua inakua ivi vire sipendi jini uyo mahaba
@adajeanclaude5275
@adajeanclaude5275 4 жыл бұрын
Macha Allah 🇧🇷⚘🇰🇲⚘
@shabanndee1893
@shabanndee1893 4 жыл бұрын
P
@ashuumuhammad8269
@ashuumuhammad8269 2 жыл бұрын
ل٩٩٩فح
SHEIKH:MARDHIYYAH AKUMBANA NA MAKUBWA GININGI PEMBA
20:39
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 169 М.
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 38 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 101 МЛН
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 12 МЛН
JINI IFRITI AONEKANA LIVE KATIKA MAPANGO YA MAKUNDUCHI
11:58
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 274 М.
WACHAWI WANASWA LIVE  WAKIFANYA UCHAWI MAKABURINI
20:28
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 20 М.
NILIVYOSAFIRI NA JINI KUTOA DAR MPAKA MOSHI
1:50:01
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 179 М.
SHEIKH MARDHIYYA AKUMBWA NA MAJINI WA MAKABURINI USIKU
6:50
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 124 М.