Jinsi marehemu rais Nkurunziza alivyowapanga timu ya marais Kagame, Kenyatta, Kikwete na Museveni

  Рет қаралды 5,113

BBC News Swahili

BBC News Swahili

4 жыл бұрын

Mwanahabari wetu @salim_kikeke alimtembelea marehemu rais Pierre Nkurunziza wa Burundi na kufanya mahojiano naye mwaka 2015 kuhusu jinsi ambavyo angewapanga marais wenzake katika timu ya kandanda ya Afrika Mashariki.
Alikuwa mpenzi wa kandanda na hivi ndiyo line-up ya marais wenzake Kagame, Kenyatta, Kikwete na Museveni.
Marehemu rais Pierre Nkurunziza alizikwa nyumbani kwake huko Gitega siku ya Ijumaa
#nkurunziza #kandanda
#burundi #burundi🇧🇮#bbcswahili

Пікірлер: 14
@CetribeaBurundibwiza-tz5le
@CetribeaBurundibwiza-tz5le 4 жыл бұрын
Rest in power our Dear President
@deusdebitkowa9657
@deusdebitkowa9657 4 жыл бұрын
Mungu amrehemu Nkurunziza.
@charlesmayilla2926
@charlesmayilla2926 4 жыл бұрын
Duh
@benimanakabayaraymond599
@benimanakabayaraymond599 4 жыл бұрын
Tumekosa mungu amulaze peponi
@elphazjavan6789
@elphazjavan6789 2 жыл бұрын
Katika Marais wa Burundi huwa unanikosha sana ,naumia sana nikikukumbuka
@nyabendamelence5218
@nyabendamelence5218 4 жыл бұрын
Ngurunziza taifa itazidi kukumbuka daima ww ulikuwa niko kiboko yawo
@fikiriniabdallah3372
@fikiriniabdallah3372 Жыл бұрын
Wakati wake apakuwa njaaaa burundi leo kila kitu k
@arafataman8891
@arafataman8891 4 жыл бұрын
tutakukumbuka sana raisi wetu
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 4 жыл бұрын
Rest in paradise peace Mr President.🙏
@francinendihokubwayo7822
@francinendihokubwayo7822 4 жыл бұрын
Sad
@edouardnzmbimana5491
@edouardnzmbimana5491 4 жыл бұрын
Rip president wetu umetuachia vitu mingi sana umejenga burundi rip
@francinendihokubwayo7822
@francinendihokubwayo7822 4 жыл бұрын
Rip
@jeanmubemba1204
@jeanmubemba1204 4 жыл бұрын
daaaa!kifo kibaya
@hendrytarimo1602
@hendrytarimo1602 4 жыл бұрын
Du
Matangazo ya Dira ya Dunia TV
28:10
BBC News Swahili
Рет қаралды 11 М.
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 41 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 57 МЛН
Meet the Press NOW - July 29
49:59
NBC News
Рет қаралды 944 М.
JAMAA WA MBWA WA MILIONI 100 AIBUKA TENA AFUNGUKA MAPYA
4:04
Millard Ayo
Рет қаралды 144 М.
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 41 МЛН