JINSI YA KUJUA KARAMA ULIYONAYO.dinuzeno, 0625954315

  Рет қаралды 40,108

NENO LA MUNGU NI KWELI.

NENO LA MUNGU NI KWELI.

5 жыл бұрын

TANGU KIPINDI CHA YOHANA MBATIZAJI HATA SASA, UFALME WA MUNGU HUPATIKANA KWA NGUVU, NAO WENYE NGUVU NDIO WANAOUTEKA.
CHANNEL HII ITAKUSAIDIA KUKUPA MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU AMBAYO YATAKUTIA NGUVU ITAKAYO KUFANYA UWEZE KUUTEKA UFALME ULE BWANA ALIOTUAHIDIA.
TUNATUMIA DAKIKA CHACHE SANA KATIKA KUKUFUNDISHA MANENO YA MUNGU NA HUTALIPIA GHARAMA YOYOTE KUYAPATA MAFUNDISHO HAYA ISIPOKUWA NI Mb ZAKO TU KATIKA SIMU YAKO.
Subscribe to this channel for more videos.
Pia unaweza kutembelea website yetu kwa kubonyeza link hapo chini.
www.dinuzenogospelday.com

Пікірлер: 242
@JUDITHGIDION-fm5ir
@JUDITHGIDION-fm5ir Жыл бұрын
Amen,mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazuri..nimefurahi kama ningepata mawasiliano yako ni kama unaweza kunisaidia nilipokwama..kuhusu karama najiona kwenye maelezo hayo ila kunachangamoto kidogo nilizonazo..
@salomemgaya1244
@salomemgaya1244 4 жыл бұрын
Heeeee MUNGU akubariki sana mtumishi . kwa somo hili najiona kama Nina karama za kutosha vile Napenda sana nikiona mwalimu anafundisha neno la MUNGU la kweli ,Napenda sana kutoa kwa Moyo,Napenda sana kusikiliza nyimbo za injili zinazoimbwa kutoka ndani ya moyo ukiwemo wewe nyimbo zako sichoki kuzisikiliza,na mengineyo loooh MUNGU akutunze apendavyo.
@etonyemyafuraha7839
@etonyemyafuraha7839 4 жыл бұрын
Amen
@DinuZeno
@DinuZeno 3 жыл бұрын
Bwana anisaidie siku zote za maisha yangu
@joycemachodo1897
@joycemachodo1897 Жыл бұрын
Hakika nimebarikiwa sana na somo hili Mungu akubariki mtumishi wa Mungu.
@obadiahabely7416
@obadiahabely7416 Жыл бұрын
Ahsante mtumishi kwa SoMo nzuri
@bakitasanga127
@bakitasanga127 4 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mpendwa kwa somo zuri. Ila naomba unapofundisha neno weka na vifungu vya kwebye maandiko yaani bibilia. Ni mafundisho mazuri sana
@MariaMlenda-or8mw
@MariaMlenda-or8mw Жыл бұрын
Mungu a Kubariki naakujazenguvu ili uzidiku fundisha nenolake.asante Mungu
@plastidiacasmiry2234
@plastidiacasmiry2234 3 ай бұрын
Na naamini katika huduma ambayo Mungu amekuandikia vikwazo ni vingi hasa kabla ya kutumika ktk hiyo huuma maana shetani anakaa karibu kuipinga isitekelezwe. Asante myumishi wa Mungu mwenyezi
@johnzacharia2308
@johnzacharia2308 4 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi nimelielewa somo karma yangu nimeshaanza kuijua
@hihh5483
@hihh5483 4 жыл бұрын
Mungu wa mbiguni akubariki , hakika nimebarikiwa na mafudisho yako, nimejua mengi God bless you amen .
@nenolamungunikweli.3320
@nenolamungunikweli.3320 2 жыл бұрын
Asante sana
@joycestephano2150
@joycestephano2150 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtu wa mungu Kuna kitu nmepata hapo na kina nitesa mnoo
@rachelkasole8938
@rachelkasole8938 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi nmejifunza vitu kupitia hii video nlikua nasearch namna ya kujua karama yangu kama imetoka kwa Mungu kwel au nnajikweza mwenyew nashukuru Mungu nimekutana na video hii ..pia asante kwa kutupatia no ya sm naomb nikutafute kwa maswal zaid🙏🏽🙏🏽
@monicaelias3801
@monicaelias3801 3 жыл бұрын
Ukovizuri Sana Mwalumu,Mungu akubariki Sana KWA kujitoa kutufundisha Kanisa la Sasa,Mungu akuzidishie nataka tele Amen,ninakupatavizuri mno naninakufuatiliahatua baada ya hatua
@dseosecondary4220
@dseosecondary4220 Жыл бұрын
Sasa mwalimu , Mungu anaweza kukuonesha karama yako kwa njia ya mawazo,
@neemakarisa4220
@neemakarisa4220 4 жыл бұрын
Ameen..Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu..
@DinuZeno
@DinuZeno 3 жыл бұрын
Amen
@LeonidaMayage-gu8vu
@LeonidaMayage-gu8vu 3 ай бұрын
Amina nimebalikiwa sana
@FranckDefanck-nw1jr
@FranckDefanck-nw1jr Күн бұрын
Jambo asante kwa mafundisho Nina saidiwa zaidi Mungu akubariki
@josephmollel9187
@josephmollel9187 2 жыл бұрын
Asante kaka kwa maubiri yako mazuri mungu akzidishie 100 Mara 100 amina
@angeliquemunganyinka9891
@angeliquemunganyinka9891 Жыл бұрын
Hongera sana Mtumishi.nakuerewasana
@piussantos8350
@piussantos8350 2 жыл бұрын
Ubarikiwe somo zuri sana
@pauloropian2367
@pauloropian2367 3 жыл бұрын
Thank you a man of God,umegusa Karama yangu " mungu alinipa karama ya utoaji.
@nenolamungunikweli.3320
@nenolamungunikweli.3320 2 жыл бұрын
Bwana akusaidie
@mjunijoseph2742
@mjunijoseph2742 3 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi
@carollenin5152
@carollenin5152 4 жыл бұрын
I have learnt that. Hapo kwa ndoto nishaona lakini sikujua it's a way of knowing ones talent
@pendaelimahu497
@pendaelimahu497 3 жыл бұрын
Honger Mtumish Wa Mungu kwa ujumbe huu mzuri san
@DinuZeno
@DinuZeno 3 жыл бұрын
It is.
@pauldeo9519
@pauldeo9519 2 жыл бұрын
Hongera kweli mtumishi nimethibitisha hizi point kwangu MUNGU akubaliki
@wilfredmoshi6507
@wilfredmoshi6507 3 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu nimependa somo hili la kipawa
@edwardndomba613
@edwardndomba613 4 жыл бұрын
Hongera
@joycemaige6838
@joycemaige6838 Жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa Mungu
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 4 жыл бұрын
Asante Sana mpendwa unaelezea vizur Mungu aendelee kukutumia,,Mimi Bwana wetu karama yngu alinipa kW njia ya ndoto nilkua sjaelewa ila naeleza zaidi na zaid thanks
@niyonzimafrancine5140
@niyonzimafrancine5140 2 жыл бұрын
Ubarikiwe kwamafundisho yako
@bawiligeorge9334
@bawiligeorge9334 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@hazinamadege2648
@hazinamadege2648 3 жыл бұрын
Nmejifunzaa asante mtumishi
@massiasinkala3478
@massiasinkala3478 2 жыл бұрын
MUNGU akubariki sanaaaaaa mtumishi
@gospelnetwork4106
@gospelnetwork4106 Жыл бұрын
Mtu wa Mungu wanibariki sanaaaaa,ujumbe huu n mimi umenena nami sijui ni vipi kwa wengine lakini kwangu umetumika na Mungu kuninenea Direct
@NduguEzekiel
@NduguEzekiel 11 ай бұрын
Asante sana mtumishi video yako ina miaka mitatu lakini leo Mungu amesema na mimi kupitia hii Clip, nilikuwa sikujui lakini miongoni mwa maombi yangu ni Mungu anioneshe kitengo na umejibu kabisa kama jinsi nilivyo, ASANTE YESU SIFA NI KWAKO BWANA AMEEN...
@AnithaMakibonya
@AnithaMakibonya 19 күн бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi, Mungu azidi kukuinua
@judithabuko6006
@judithabuko6006 4 жыл бұрын
Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu kwa mafundisho haya kuhuzu gharama a kiroho
@annerabecca2944
@annerabecca2944 3 жыл бұрын
Barikiwa kabisa nashukuru kwaufamu
@albuscalion354
@albuscalion354 2 жыл бұрын
Asante sana Mtumish wa Mungu....nimependa somo hili na nimetambua karama yangu kwa uzuri...amina sana
@nenolamungunikweli.3320
@nenolamungunikweli.3320 2 жыл бұрын
Asante sana na Bwana atusaidie. Endelea kuwa pamoja nasi
@hoseaduma5824
@hoseaduma5824 2 жыл бұрын
Mwalimu imefundishwa vizuri sana isipokuwa nilitaka unisaidie kujua karama tisa sawa sawa na 1 kunena 2 Karama ya kujua 3 Karama ya kutenda / kufanya kazi nisaidie
@edwardnjuguna4960
@edwardnjuguna4960 Жыл бұрын
Asante sana ndugu nimejifudisha jambo kumbwa sana leo kupitia mafudisho yako barikiwa amina
@KefrenMakonya
@KefrenMakonya Жыл бұрын
Amen mtumishi
@davidoscar5009
@davidoscar5009 3 жыл бұрын
Hongera! nimebarikiw na somo,, ahsante
@anzobetantony203
@anzobetantony203 Жыл бұрын
Amina mtumishi ,kumbe mimi ni mwalimu umenusaidia kujitambua,,Mungu akubariki,,
@modestshikilana4610
@modestshikilana4610 3 жыл бұрын
Bwana Yesu asifiwe! Hongera na Mungu akubariki, nahitaji kuongea na wewe kwa simu kama ukiridhia.
@DinuZeno
@DinuZeno 3 жыл бұрын
Karibu
@sundaygaya8402
@sundaygaya8402 3 жыл бұрын
somo zuri sana mtumishi. kwa kweli kuna watu wanaenda kutambua karama zao kwenye kumtukuza Mungu aliye hai
@DinuZeno
@DinuZeno 3 жыл бұрын
Ooh! Bwana ni mwema
@sostenelewi4585
@sostenelewi4585 Жыл бұрын
Ume nibaliki Sana mwalimu na mafundisho yako.
@nenolamungunikweli.3320
@nenolamungunikweli.3320 Жыл бұрын
Amen. Asante sana na Bwana ni mwema
@elizabethlutindi8813
@elizabethlutindi8813 3 жыл бұрын
Namshukuru Mungu sana kwa mafundisho nimepata kitu.Ubarikiwe sana.
@jeanasumanimt5421
@jeanasumanimt5421 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sasa Mtumishi ume nibariki sana na mafundisho ahsante sana 🙏🙏
@DinuZeno
@DinuZeno 3 жыл бұрын
Amen. Asante pia
@jonasamuri8454
@jonasamuri8454 3 жыл бұрын
Amena ubarikiwe na Bwana
@elizabethhashimu691
@elizabethhashimu691 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana yaani umenifundisha sana nimefurahi sana barikiwa
@bisimwatchimondojeremie9208
@bisimwatchimondojeremie9208 Жыл бұрын
Amen sifa Kwa Bwana na hongera sana
@karimomari4632
@karimomari4632 2 жыл бұрын
Asante san mtumishi wa Mungu umetufunua fahamu zetu nime kuelewa san! Roho wa bwana azidi kuku ongoza kwa masomo mengine utupatie!
@miriamisaya3878
@miriamisaya3878 4 жыл бұрын
AMEEEN Thankyou so much nimejifunza.
@neemakweli461
@neemakweli461 3 жыл бұрын
Asante sana ,tunajifunza mengi. Ubarikiwe na MUMGU.
@renatuschawangula9928
@renatuschawangula9928 Жыл бұрын
Asante kwa masomo yaliyojaa miongozo ya wazi ya kibiblia. Ninapenda kufuatilia.
@LilwizoLilwizo
@LilwizoLilwizo 23 күн бұрын
Ongela❤
@johariabubakari9841
@johariabubakari9841 Ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi
@marryshayo7606
@marryshayo7606 2 ай бұрын
Amina Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
@vivianmukara5255
@vivianmukara5255 3 жыл бұрын
Asante sana mutumishi wa mungu nimejifunza jambo flan
@tiracymbombo5337
@tiracymbombo5337 4 жыл бұрын
Barikiwa kwa somo nzuri,cja elewa vizuri Paulo 1wakorinto 14:1 no kama hapendi sana MTU aombe kwa kunena ila ahutubu na akinena atafisiri na hakuna anayenena na kujua tafisiri ya maneno hayo,no tofauti na unabii katika roho laxima utafisiri ili ujumbe ufike,nisaidie
@evajoseph4022
@evajoseph4022 2 жыл бұрын
Asante mtumishi wa Mungu kwa ufafanuzi wa karama za Roho Mtakatifu maana nami ni kati ya watu waliokuwa wanachanganya karama na huduma. Nilikuwa nahesabu karama 9 lakini mafundisho niliyofundishwa hazifiki 9 nikabaki kwenye mganganyo
@yohanawales8549
@yohanawales8549 4 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi kwa somo zuri
@DinuZeno
@DinuZeno 4 жыл бұрын
Amen
@paradisebeachresortzanzuba462
@paradisebeachresortzanzuba462 3 жыл бұрын
somo zuri sana ubarikiwe zaidi na zaid kwa jina la Yesu
@DinuZeno
@DinuZeno 3 жыл бұрын
Amen
@thomasanderson1128
@thomasanderson1128 3 жыл бұрын
Ameni ubarikiwe sana mtumishi nimejifunza mengi kuhusu karama asante sana
@aminaluoga8279
@aminaluoga8279 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana umenifungua zaidi na zaidi
@carolineindivitsa3686
@carolineindivitsa3686 Жыл бұрын
Amen 🙏 nimejifunza kitu barikiwa
@AnetNkya
@AnetNkya 10 ай бұрын
Ahsante sana mtumishi utafika mbali
@samwelifrancis7926
@samwelifrancis7926 3 жыл бұрын
Mtumish umenifungua ufahamu maana nimekua mkaidi sana juu ya kile Mungu anataka nifanye nashindwa kuthubutu
@DinuZeno
@DinuZeno 3 жыл бұрын
Bwana akusaidie
@suedmwakyoma
@suedmwakyoma 7 ай бұрын
Aminaaa Mtumishi,,, Yesu akubaliki sana
@mandelapeter8642
@mandelapeter8642 2 жыл бұрын
Asante,,,umenibariki mtumishi
@rogersgeorge2920
@rogersgeorge2920 4 жыл бұрын
Mungu akuinue, ila ni bora zaadi uunganishe points hizo na mistari kutoka kwenye Bible
@user-fj1nz5mg4e
@user-fj1nz5mg4e Жыл бұрын
Mungu akubariki sana uendelee nakazi ya mungu
@zeanamleri5530
@zeanamleri5530 2 жыл бұрын
Amina mtumishi nimejifuza mnoo.
@heriscobin9736
@heriscobin9736 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kukuongoza
@hellenkemunto5357
@hellenkemunto5357 28 күн бұрын
Amen Amen Amen barikiwa
@user-ot6ce1qv7l
@user-ot6ce1qv7l 11 ай бұрын
Asanteee Mtumishi kuna sehem umenigusa darikiwa sana
@SabinaMarmo-kj4pp
@SabinaMarmo-kj4pp 26 күн бұрын
Barikiwa sana mtumishi
@thomaschares1224
@thomaschares1224 4 жыл бұрын
Mungu akubarika baba
@petermwidete225
@petermwidete225 4 жыл бұрын
Hongera sana mtumishi kwa mafundisha haya Dada!kwa kweli nimebarikiwa sana mungu akupemaisha marefu
@DinuZeno
@DinuZeno 3 жыл бұрын
Bwana anipe katika kadri na namna ya utukufu wake.
@FM-GOSPEL
@FM-GOSPEL Жыл бұрын
Hakika Mungu ni mwema , nimejifunza kitu katika somo hili kuijua karama /huduma niliyonayo "AMEN MUNGU AKIBARIKI MTUMISHI KWA MAFUNDISHO MAZURI
@user-zv4qb7bd1c
@user-zv4qb7bd1c 2 ай бұрын
Mungu akubariki sana nimepokea
@elizabethkashindi4784
@elizabethkashindi4784 10 ай бұрын
Amina sana nimebariwa sana
@user-py9ud6uj8w
@user-py9ud6uj8w 4 ай бұрын
Ongera sana vraiment kwel pasteur
@careencharlescharles9749
@careencharlescharles9749 3 жыл бұрын
asante mtumishi
@eliasjerusalem3978
@eliasjerusalem3978 2 жыл бұрын
Barkiwa sana shujaha
@nenolamungunikweli.3320
@nenolamungunikweli.3320 2 жыл бұрын
Amen
@upendomyovela6570
@upendomyovela6570 5 жыл бұрын
Asante sana kwa fundisho umenifungua pakubwa sana barikiwa
@nenolamungunikweli.3320
@nenolamungunikweli.3320 5 жыл бұрын
Amen
@mamshaa9356
@mamshaa9356 5 жыл бұрын
Hakika
@lordmedia8705
@lordmedia8705 4 жыл бұрын
Hivi ukiota unakemea ndotoni inamaanisha nini?
@amanchristina6682
@amanchristina6682 3 жыл бұрын
@@mamshaa9356 amina sana mtumixhi unakuja unatamani kujaa kiroho lakini aufiki naomba. Kunifudixha
@amanchristina6682
@amanchristina6682 3 жыл бұрын
Mm naomba. Bado sjaelewa
@abdullahselemani7888
@abdullahselemani7888 4 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Kaka yangu
@helenbh7371
@helenbh7371 3 жыл бұрын
Amen barikiwa sana
@nandymore7605
@nandymore7605 3 жыл бұрын
Asante mtumishi
@deborahkanduki3751
@deborahkanduki3751 3 жыл бұрын
Asante nachukuru sana mungu aniwezeche
@eliminatashio522
@eliminatashio522 Жыл бұрын
.mungu akubariki mtumishi nimebarikiwa
@anithajaneth6431
@anithajaneth6431 3 жыл бұрын
Hongera mtumish
@esthergaekajula7667
@esthergaekajula7667 Жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji
@rosemrutu9069
@rosemrutu9069 3 жыл бұрын
Asante sana Mtumishi nimebarikiwa sana umenipa kitu kipya
@josephntula6727
@josephntula6727 3 жыл бұрын
Amina mungu nionyeshe karama yangu
@jonasbuzuka3306
@jonasbuzuka3306 Жыл бұрын
Barikiwa sana Mimi napenda sana kufundisha
@johariomari-le5zc
@johariomari-le5zc 4 ай бұрын
Mungu akubariki
@elizabethwaiganjo6812
@elizabethwaiganjo6812 3 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@HellenmbiseHellen-fo4tx
@HellenmbiseHellen-fo4tx Жыл бұрын
Hongera sana
@heriscobin9736
@heriscobin9736 2 жыл бұрын
Ubarikiwe
@MCBUBALAXONLINE
@MCBUBALAXONLINE 9 ай бұрын
ubarikiwe sana Mtumishi
@selinasulley6164
@selinasulley6164 4 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu
JINSI YA KUOMBA UNAPOPUNGUKIWA NGUVU ZA ROHONI by Innocent Morris
9:54
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 34 М.
VIPAWA KARAMA NA HUDUMA - SEHEMU YA KWANZA
30:00
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 6 М.
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 6 МЛН
تجربة أغرب توصيلة شحن ضد القطع تماما
00:56
صدام العزي
Рет қаралды 57 МЛН
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
KWANINI KUULINDA MOYO? Somo na Mwl.Dinu Zeno.
17:42
NENO LA MUNGU NI KWELI.
Рет қаралды 623
NYIMBO ZA TENZI PAMOJA NA MAANDISHI YAKE  HII SI YA KUKOSA
45:56
NENO LA MUNGU NI KWELI.
Рет қаралды 841 М.
JINSI YA KUJILINDA DHIDI YA DHAMBI
46:38
NENO LA MUNGU NI KWELI.
Рет қаралды 3,2 М.
DALILI ZA KUKUJULISHA UNASHAMBULIWA KIROHO || PST. GEORGE MUKABWA || 15/06/2023
1:34:04
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 434 М.
HIZI HAPA KANUNI ZA KUSOMA NA KUIELEWA BIBLIA
31:06
Mwalusambo International Ministry
Рет қаралды 6 М.
ZIJUE ISHARA ZA ROHO MTAKATIFU KATIKA NDOTO
20:54
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 853 М.
Pastor Tony Kapola:Kwanini Tunahitaji Sana Karama Za Rohoni
4:22
Pastor Tony Kapola
Рет қаралды 15 М.
Mapito hukufikisha katika hatima ya kuinuliwa kwako
27:34
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 46 М.
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 6 МЛН