No video

Jinsi ya kutengeneza keki ya kuchambuka na laini sana | Marble cake recipe

  Рет қаралды 20,114

Mapishi rahisi

Mapishi rahisi

Күн бұрын

Recipe ya leo ni marble cake
mahitaji:
½ cup butter / siagi
1 cup sugar / sulari
2 tbsp oil / mafuta
4 eggs / mayai
½ cup milk / maziwa
2 & ¼ cup flour / unga
1 tbsp baking powder
3 tbsp cocoa powder
2 & ½ tbsp milk

Пікірлер: 90
@user-ig4gs8bx2s
@user-ig4gs8bx2s 2 ай бұрын
Ila huyu dada kanitoa mbali sana Allah akutunze kwa ajili yetu mwaya ❤❤❤❤❤
@safiyawiilo5805
@safiyawiilo5805 3 ай бұрын
Your recipes are the best Masha Allah. Nimejaribu recipe zako za keki nyingi na zinatokea nzuri
@jessiepeter2819
@jessiepeter2819 Ай бұрын
😢Wewe Dada Sina chakukulipa jamani nmehangaika kutengemeza Cake Kila receip nnayotumia sijawahi kupata matokeo nnayoyataka, Video yako hii nimeiangalia Leo Leo nkajaribu hii receip mpka Nmelia nlishakata tamaa nmepata cake imechambuka n nzurii jamanii uwiiiiiii❤🎉🎉
@SabraSillim
@SabraSillim 3 ай бұрын
Inaoneka nzuri sana
@SabraSillim
@SabraSillim 3 ай бұрын
Mashaallah recipe zako nzuri sana
@salimsalimali8285
@salimsalimali8285 16 күн бұрын
MaashaAllah
@fatmasaid9765
@fatmasaid9765 3 ай бұрын
Mashaallah Allah akubarik nzuri sana
@fkhalfan31
@fkhalfan31 3 ай бұрын
Mashallah Y Eid kwa chai ya maziwa Thanx hbbty kwa mapishi yotte mazuri barakallahu Fyek❤❤❤
@AshaSuphian
@AshaSuphian 3 ай бұрын
Recipes zako Ni nzuri MashaAllah. Lakini wengine hawana measuring cups and spoons inakua vigumu kupractice ni vizuri kama ungekua unaelekeza Kwa kutumia grams na kilograms pia
@Mapishirahisi
@Mapishirahisi 3 ай бұрын
Hi dear, watu wengi hawana mizani ndio maana natoa recipe kwa measuring cups and spoons na pia zinapatikana kwenye duka za vyombo na bei yake pia ni rahisi
@amisafaraji5796
@amisafaraji5796 3 ай бұрын
Ni kwel vikombe ni rahis
@thecolors-hd5dw
@thecolors-hd5dw 3 ай бұрын
Sawa vikombe nilaisi ila vikombe vinavyotumiaka vina ujazo gani (ML ngap) wengi majumbani tuna ml 500
@thecolors-hd5dw
@thecolors-hd5dw 3 ай бұрын
​@@Mapishirahisikikombe kinatakiwa kiwe na ujazo wa ml ngap? Maana wengi tuna ml 500
@user-lm1gx6zy8h
@user-lm1gx6zy8h 2 ай бұрын
Sawa MAMBO YA vikombe hspana kila mupishi ana muzani ksmuzan
@zaharamwaruka3138
@zaharamwaruka3138 Ай бұрын
Masha Allah nimependa nzr mitajaribi pia maomba recipe ya Red Velvet cake na ccake za biashara Cupcake assntee yunalupendaa saana mw wetu barikiwa sana
@user-fq2sb4xz2m
@user-fq2sb4xz2m 3 ай бұрын
Masha Allah tamu sana ❤❤❤❤❤mungu akulinde dada 🎉🎉🎉🎉
@shamzone388
@shamzone388 3 ай бұрын
Mash allah tabarak rahman ❤❤❤
@rodabogwe7926
@rodabogwe7926 3 ай бұрын
Receipt ❤..mungu akuweke
@ZakiaMsellem
@ZakiaMsellem 3 ай бұрын
MashaAllah inafura vzr😊
@aishapepela7572
@aishapepela7572 3 ай бұрын
Mimi hutumia kikombe changu Cha chai .na vijiko vya kawaida..Cha chai ama Cha chakula..na huwa 👌
@KhadijaMbuji
@KhadijaMbuji 2 ай бұрын
Nzuri nimetamani kujifunzaa inaonyesha rahis
@attiyakhalfan8027
@attiyakhalfan8027 3 ай бұрын
Mashaa Allah! Tabaarak Rahaman ❤❤❤❤❤
@Mapishirahisi
@Mapishirahisi 3 ай бұрын
❤️❤️❤️
@MuniraAbdullah-lt4wf
@MuniraAbdullah-lt4wf 2 ай бұрын
Shukran mpenzi nitajaribu leo ❤
@mishimishi5461
@mishimishi5461 2 ай бұрын
Nitaijarbu hii mashallah
@sakhiyaalmasroory7952
@sakhiyaalmasroory7952 3 ай бұрын
Maa shaa Allah ❤
@user-nr6vm8yi9f
@user-nr6vm8yi9f 2 ай бұрын
Asante unaelekeza vzr sana
@fatma83ify
@fatma83ify 2 ай бұрын
Mashallah mashallah
@aishamumy8402
@aishamumy8402 2 ай бұрын
MashaAllah 👌
@user-xq2fy9ht2u
@user-xq2fy9ht2u 3 ай бұрын
Yummy😋😋😋
@hannahhassan8881
@hannahhassan8881 3 ай бұрын
Aa Shukran ❤️ nilikua naomba kujua jinsi ya kutengeza sheets za lazagna
@farhatkassim3570
@farhatkassim3570 2 ай бұрын
Mashallah Tabarakallah shukran habbty naomba kuuliza iyo kikombe ni grammar 250 au 200
@allykunar2676
@allykunar2676 3 ай бұрын
mashaa allah
@gillybaibe8312
@gillybaibe8312 2 ай бұрын
Thanks will do it tonight
@Mapishirahisi
@Mapishirahisi 2 ай бұрын
You can send me your feedback in Instagram
@gillybaibe8312
@gillybaibe8312 2 ай бұрын
@@Mapishirahisi i did n I ave a question which is the best unga 4 use self rising ama all purpose?it was nice by the way
@nancymusyoka5621
@nancymusyoka5621 2 ай бұрын
Asante sana nimeipika keki hii jana jioni ikatokea vizuri sana na tamu sana , shukran sana.
@aminanassor4442
@aminanassor4442 3 ай бұрын
Mashaallah km sina kikombe icho napima vp
@OnlyRuky
@OnlyRuky 3 ай бұрын
Mashaalah asante. Tatizo nini keki kurudi chini? Kutoka kwenye overn? 2:57
@Mapishirahisi
@Mapishirahisi 3 ай бұрын
Umetoa keki kabla haijaiva ama unafungua fungua oven keki ikiwa bado keki haijaiva
@OnlyRuky
@OnlyRuky 3 ай бұрын
@@Mapishirahisi Shukrani ngoja nitajaribu tena nionee
@safiyawiilo5805
@safiyawiilo5805 3 ай бұрын
Naomba recipe ya keki ya biashara
@Muslima-lb3dq
@Muslima-lb3dq 3 ай бұрын
Cake kurudi chini kutoka kw oven ya sababishwa n nn plz
@user-te5jr1rz7w
@user-te5jr1rz7w 2 ай бұрын
Kufungua mlango w oven kabla ya kuiva
@user-fz7nx1xm3k
@user-fz7nx1xm3k 3 ай бұрын
Vipimo tuambie ni gram ngapi sio vikombe plz
@swafaamohamed9603
@swafaamohamed9603 3 ай бұрын
MashAllah baking tin umenunua wapi
@UmmulJamilAli
@UmmulJamilAli 2 ай бұрын
Mutufahamishe kama ni kilo au nusu mutufahamishe icho kikombe ni nusu au kilo
@KAYKABEREGE
@KAYKABEREGE 3 ай бұрын
Yummy
@user-hy9pp5rp9i
@user-hy9pp5rp9i 2 ай бұрын
Naomba juuliza je juu hukuwasha moto umepika na moto wa juu tu
@minah780
@minah780 3 ай бұрын
@mapishi rahisi naomba kujua umenunua wapi baking tin yako
@AhmedAbdallah-qr6bh
@AhmedAbdallah-qr6bh 2 ай бұрын
I love❤❤❤❤❤❤❤love
@sashasasha9253
@sashasasha9253 Ай бұрын
Tunaomba mbadala wamaziwa Yaan Kama Sina maziwa naweza kuweka Nini
@AnnerswaiSwai
@AnnerswaiSwai 3 ай бұрын
Naomba nambq zako mm nahitaj kujifunz akabisa
@mohamedshafiqahmed7573
@mohamedshafiqahmed7573 3 ай бұрын
Assalamualaikum dada..naomba utengeneze choc tart cake...
@Mapishirahisi
@Mapishirahisi 3 ай бұрын
In sha Allah
@jamal21ma
@jamal21ma 3 ай бұрын
👍👍👍👌❤
@phidesbrightone3227
@phidesbrightone3227 2 ай бұрын
Jaman wengi wetu tunatumia mizan tungeomba utupe vipimo kwa gram ili tuelewe.
@naymaomary9770
@naymaomary9770 3 ай бұрын
❤❤❤
@SabraSillim
@SabraSillim 3 ай бұрын
@yonikemanga2143
@yonikemanga2143 3 ай бұрын
Thank you
@Mapishirahisi
@Mapishirahisi 3 ай бұрын
Thanks for watching ❤️❤️
@user-ng4oy5vg1i
@user-ng4oy5vg1i Ай бұрын
Unga unakuwa kias gani ivyo vikombe ni vya robo au
@aminamwinyi2455
@aminamwinyi2455 3 ай бұрын
Naomba receip in to grams please
@haulatrashid3387
@haulatrashid3387 3 ай бұрын
Cake ya tende plz🙏
@Mapishirahisi
@Mapishirahisi 3 ай бұрын
Ok dear
@husnaaliyan6639
@husnaaliyan6639 3 ай бұрын
As.. nauliza hio baking tins nipate duka ngani pls.. coz mi zangu ni nzito cake yachukuwa time kwa oven .pls
@avitaasimwe1800
@avitaasimwe1800 2 ай бұрын
Nenda kwa machinga wa vifaa vya keki unapata
@fatmasalim110
@fatmasalim110 2 ай бұрын
Huyo machinga apatikana wapi
@hadiaali5517
@hadiaali5517 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-rv3zo1ye4w
@user-rv3zo1ye4w 3 ай бұрын
Me nilikuuliza kile kidude chakufungiaa sambusa za nyamaaa
@Mapishirahisi
@Mapishirahisi 3 ай бұрын
Nilinunua online but inapatikana kwa duka za vyombo pia
@user-rv3zo1ye4w
@user-rv3zo1ye4w 3 ай бұрын
@@Mapishirahisi kinaitwaje samahn nivumilie mm msumbufu sana
@user-pp9mp1pz9f
@user-pp9mp1pz9f 3 ай бұрын
Naomba nielekeze jinsi ya kutumia oven unavyo washa na kila kitu me cjui na nataka kununua oven
@user-wo2sb9dv3e
@user-wo2sb9dv3e 2 ай бұрын
Nimenda sana ila sijaelewa vipimo ni keki ya robo au nusu kilo
@yonikemanga2143
@yonikemanga2143 3 ай бұрын
Tunaomba recipe nzuri ya RDVELVET
@Mapishirahisi
@Mapishirahisi 3 ай бұрын
👍
@UmmulJamilAli
@UmmulJamilAli 2 ай бұрын
Jaman sisi tulio kuwa hatuna vikombe vya kupimia tunao pima dukan kwa kilo inakuaje
@mishimishi5461
@mishimishi5461 2 ай бұрын
Kwann siku hizi cake zinafanya ukungu au maziwa ukitia mana sku hzi cake hazikai nje zonaharibika mara moja jaman nn tatzo hebu nisaidieni
@sashasasha9253
@sashasasha9253 Ай бұрын
Keki ukiweka kimiminika Kama maziwa,maji,juice lazima unawahi kuharibika
@mwanapiliali8504
@mwanapiliali8504 3 ай бұрын
Samahani naomba km inawezekana ukisema siagi kikombe kimoja nijue ni robo au nusu na unga ni robo au nusu
@DeleAli-el2sx
@DeleAli-el2sx 3 ай бұрын
Utuandikie vipimo vyake by ma dhuu 4:12
@RayuuHussein
@RayuuHussein Ай бұрын
Mbn hujibu comments
@SaumuSaumu-jz5pq
@SaumuSaumu-jz5pq 3 ай бұрын
Naomba matobosha
@user-dx3ik9dc9g
@user-dx3ik9dc9g 3 ай бұрын
N
@fatmasalim110
@fatmasalim110 3 ай бұрын
Hapo umeeka mafuta...so kwenye hii recipe yametumika wapi
@avitaasimwe1800
@avitaasimwe1800 2 ай бұрын
Alipoweka sukari ndo akaweka na mafuta
@fatmasalim110
@fatmasalim110 2 ай бұрын
Okey sawa thanks
@UmmulJamilAli
@UmmulJamilAli 2 ай бұрын
Mutufahamishe kama ni kilo au nusu mutufahamishe icho kikombe ni nusu au kilo
JINSI YAKUPIKA SAGA NOTI TAMU SANA #kenya #ramadhan
8:07
Hadija Sheban
Рет қаралды 132 М.
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 3,8 МЛН
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 20 МЛН
Jinsi ya kupika cake laini ya kuchambuka na mambo muhimu ya kuzingatia
10:04
Flourless Moist Chocolate Cake / Gluten Free / No Flour
9:44
Thy Than
Рет қаралды 17 МЛН
Jinsi Ya Kutengeneza Keki ya Maziwa Ya Kituruki - Tres Leches Cake
8:01
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 3,8 МЛН