Рет қаралды 2,576,806
kuoka keki ni rahisi sana na haihitaji vifaa maalum. Leo mutajifunza jinsi ya kuoka keki kwenye jiko la mkaa
MAHITAJI:
2 cups siagi 500g
2 cups sukari 400g
4 cups unga 500g
8 mayai
3/4 cup maziwa 175ml
2 tsp vanilla 10 ml
2 tbsp baking powder