Kila mtu aliyoko duniani ana kipaji/vipaji ambayo anazaliwa navyo, na kama ataweza kuvivumbua na kuvitumia basi mafanikio kwa mtu huyo haya epukiki. Ndugu Anthony Luvanda ana eleza hayo kwa undani kupitia story ya maisha yake.
Пікірлер: 12
@mcmnyalu31236 жыл бұрын
powerful kaka Luvanda,nakufuatilia saana.
@maselejidagina72025 жыл бұрын
Kama ni education brother Antony luvanda una ni elimisha sana na kunifungua akiri yangu pa1 sana
@shobby_cathe_raphraphael44426 жыл бұрын
nakupenda sanaaa antony
@samirahassan31546 жыл бұрын
Asante sana kwa somo zuri
@mosesdaniel6006 жыл бұрын
safi sana bro , by @dash kombo
@michaelyona95736 жыл бұрын
pamoja saaaaaana Kaka tufungue akili zaid sisi vijana
@mambomixtv76146 жыл бұрын
nashukuru kusikia nje ya elimu bas kipaji pia ni fursa kubwa
@user-qs9rn2je4c6 жыл бұрын
ukosahihi kaka mtu km kasoma hawezi waza kitu tofauti na elim yake
@mashaurikilawa11856 жыл бұрын
umeongea fact Bro
@tanzania_marketing_school6 жыл бұрын
Aisee🙌🙌,we unlock our potential, this is great alaf et na mm kama nina kipaj cha kuongea😂😂,thanks Broo hayo madin na yazidi kushuka kwetu na huku Mungu akikukumbuka kwa BARAKA zake🙌🙌🙌