miss you dada irene,nimemiss masomo,ntajaribu soon in shaa Allah
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Thank you dear, usiache kunipa mrejesho
@martinkenyi43504 жыл бұрын
Na nikitumia butter?
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Ni sawa tu
@africandanceramashan46273 жыл бұрын
Tafadhali naomba uni andikiye mahitaji
@radidoeffy98784 жыл бұрын
Nitajaribu😋😋😋😋
@awatungunyali39364 жыл бұрын
J
@maryvaicakes454 жыл бұрын
Mimi hapo ningeongeza unga hadi nikome hahahahahah
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
😂😂
@mrsaishaluvuno4662 жыл бұрын
Zangu nikipika zinakua ngumu nje lkn n soft ndan nakosea wap
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Moto mkali unakuwa na unga uliandaa mgumu
@wemaramadhani89534 жыл бұрын
Shukuran dd sijaelewa hapo samri unatengenezaje
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Ipo video yake next week
@dorisshilla53484 жыл бұрын
Naomba namba ya simu nikutafute in box
@aishaabdallah45604 жыл бұрын
MashaaAllah bidada ..nauliza samli n lazima ama ?
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Sio lazima
@salhanassor52014 жыл бұрын
Je amila vijiko vinga naunga kias gan cjaelewa apo amila kias gan
@ridhwansaad50174 жыл бұрын
Dada majarn ndi. Nn haf maziw husaidia nn .?i Nan lzim
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Ni siagi kama blueband, mo na prestige
@lindajunior36394 жыл бұрын
Jaman mimi unga wangu umekuwa mtepe sana nafanyaje?
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Ongeza unga kiasi ila utepe hauna shida labda kama umezidi sana
@TijayVidz4 жыл бұрын
Yeast iko na usawa na ukitumia baking powder au la??
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
No ni tofauti Yeast ni chenga chenga
@TijayVidz4 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 ohhhh....asante
@hussnabakary35072 жыл бұрын
Kam huna siagi wala bluuband je wawez tumia mafuta ya kupikia
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
Ndio waweza
@mbojefakii47413 жыл бұрын
Mashallah mdada
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
🙏🙏
@jamillahkheir65364 жыл бұрын
Kwan my samli na blue band ni lazima?
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Sio lazima waweza kuweka mafuta
@annasannas62103 жыл бұрын
@@mziwandabakers8297 na nikitumia hamira bila hiriki n sawa?
@TijayVidz4 жыл бұрын
Sauti imependeza pia☺️☺️
@mziwandabakers82974 жыл бұрын
Hahahahaha
@ireneteza88783 жыл бұрын
Donat zinapikwa kwenye mafuta au zinaokwa
@mziwandabakers82973 жыл бұрын
Hapo ata mimi mgeni
@mwanashazawira82305 ай бұрын
Maziwa n kiasi gani
@gladysgeke31942 жыл бұрын
unga kampuni gani unatumia kwa maandazi ya biashara?hbf au ppf?tunaomba video ya chapati za biashara kwa kipimo kikubwa na aina gani ya unga wa bei ya kawaida unafaa
@mziwandabakers82972 жыл бұрын
HBF ndio sawa kwa biashara ,sawa tutafanya darasa hilo