Naomba yako jamani au fungua darasa whatsup tuwe tunalipia dear
@ElizabethMuturi-iw3eg2 күн бұрын
Asanti sana kwa mafunzo nimejua sasa,naomba unielekeza kwa kuipata hii culture,ili nami nijaribu kutengeneza.
@SheroMwaipopo3 күн бұрын
Unapatikana wapi dada
@user-om2dq6hk4p3 күн бұрын
Da upo lini na linisiku yako
@user-om2dq6hk4p3 күн бұрын
Vipimo sijaviona nataka nipike
@filbertmyovela46903 күн бұрын
Habar dada mim ntapatA changamoto keki yangu haiumuki ala inaweka mlima na inapasuka msaada sijui shida nin
@FarahaDembe4 күн бұрын
❤
@mauahassani-sh4if4 күн бұрын
Yanaonekana ni matamuu
@skyneNews4 күн бұрын
Maji ni ya moto au ya baridi? yakukandia
@Catherine-n8r4 күн бұрын
1:09 mimi na shindwa kwenye vipimo vya kupima mda wa kutengeneza
@mziwandabakers82974 күн бұрын
Hauna mzani?? Au unapata shida sehemu ipi zaidi?
@racheldawson70284 күн бұрын
dada vipi ukitumia maji ya baridi kuna effect gani kwenye andazi
@mziwandabakers82974 күн бұрын
Yatachelewa kuumuka ila huwa hakuna athari kubwa zaidi.
@joanpeter91215 күн бұрын
Mungu akubariki kipenzi, nimejifunza mengi kwako .much love from me❤❤
@mziwandabakers82974 күн бұрын
Karibu sana kipenzi
@omaribakari51995 күн бұрын
Unapatikana wapi dada
@dicksonmhalule34555 күн бұрын
Je mashine inauzwaje
@NaomiYusuph-z4d6 күн бұрын
👏👏
@pulcheriamayombo57806 күн бұрын
Asante ma shine inauzwaje
@gongotv81326 күн бұрын
Usinywe maziwa mtindi ambayo hayakuchemshwa, utakumbana na maradhi,
@GloryDanieli6 күн бұрын
Kwanini ni lazama kuweka keki kwenye waya
@mziwandabakers82976 күн бұрын
Ndio inasaidia kupooza keki bila unyevu
@magrethmilanzi6 күн бұрын
Tailos nd nn
@MsafiriMponda6 күн бұрын
Asante,nahitaji iyo machine ya mtumba nipo dar
@jeniphagodwin83597 күн бұрын
Moto unakuaje
@christinerose56857 күн бұрын
Asante kwa video zako.
@estherphils99747 күн бұрын
Mimi nikikanda fondant inakua ngumu sana sijui kwanin
@glorypraygod43607 күн бұрын
Naswal kwn haiwekwi sukar
@irenegomanga86547 күн бұрын
Sukari hiyo nyeupe ni nzuri sana tena hizo zingine kweli Mimi huwa hazina maajabu ,umefundisha vzr sana dada ubarikiwe
@user-yd4dr7du3i8 күн бұрын
Dada na swali kama sina vanila na tumia
@gracemasele29518 күн бұрын
Mifuko ya kufungia inauzwa wapi dada
@FahhsgsFagvdhd9 күн бұрын
Nakuelewa sana aunt yangu
@LaizerChionda-de6ul9 күн бұрын
Ni vizur sana mimi vyangu vinaumuka sana zina faida nzuri ukiwa sehemu ya wateja wengi
@Idisenga9 күн бұрын
Maziwa unatumia maziw gan au japo y ngome
@Idisenga9 күн бұрын
😂😂
@mziwandabakers82979 күн бұрын
Maziwa ya maji
@MarthaKahola9 күн бұрын
Vizuri sana waoooooooo!!!!!!❤❤❤❤❤ Dada
@ChristinaKimaro10 күн бұрын
Unajua Kupika keki dada yangu mungu akubariki
@yasminjacob349510 күн бұрын
Asante dada,hyo machine inaitwaje
@mziwandabakers82979 күн бұрын
Icecream machine
@phidesbrightone322710 күн бұрын
Jaman mwalimu tunaomba utupe vipimo kwa gram au kilo.
@mziwandabakers82979 күн бұрын
Sawa
@janetbungu522711 күн бұрын
Nashukuru ila vipimo havionekani, sijui why umevificha tutajifunza vip sasa dear?
@phidesbrightone322712 күн бұрын
Mimi nilizoea kutumia oven zile kubwa sasa hivi natumia ndogo ya lita 50 jaman inanifanyia vituko haswa yani keki haichambuki kabisa na inaacha mafuta katikati sijajua shida ipo wapi. Oven ni ya kuset moto wa juu na chini ni size moja hivyo naweka moto 180 na dk 60. Siku nyingine nikaweka moto 200 bado matokeo yakaja yale yale. Nakosea wapi mwalimu.
@mziwandabakers82979 күн бұрын
Je,uji wako wa keki ni mlaini ama mgumu? Hizi oven ndogo zinapenda uji laini zaidi