Jinsi Yesu alivyoniokoa kwa Shetani|MCH.KATEKELA Day5_MKUTANO WA INJILI SONGEA RUVUMA TZ

  Рет қаралды 12,139

PROMOVER TV

PROMOVER TV

8 ай бұрын

JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
M-pesa Lipa Namba.5634017
AirtelMoney Lipa No.3878783
Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
#ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

Пікірлер: 55
@giffttymlemwa4523
@giffttymlemwa4523 4 ай бұрын
Mtakeni Yesu Kristo na nguvu zake ndio uzima wako.
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 4 ай бұрын
MCHJ AMIEL, MUNGU ANAKUPENDA SANA, JE UNAWEZA KUANDIKA KITABU CHENYE SHUHUDA ZAKO KWA MTIRIRIKO AMA KITABU CHA HISTORIA YAKO TOKA UTOTONI HADI WOKOVU. UKIWEZA NI VIZURI, TUNAKUPENDA, NAMI SIDHANI KAMA KUNA MWINGINE ALIWAHI KUS3MA WAZI KAMA WENGI. KWELI UCHAWI UPO BA WACHAWI WAMETESA WENGI.
@odemarypeter4935
@odemarypeter4935 8 ай бұрын
Bless You Promover and Katekela, Neema ya kuhubiri izidi kuwaa juu yenu
@salomekemunto1373
@salomekemunto1373 8 ай бұрын
AMEN AMEN, Praise be to Our Lord Jesus Christ who gave you a second chance. May God continue using you so that many souls may come back to Jesus,in Jesus Mighty Name AMEN.
@zawadiamuli4186
@zawadiamuli4186 3 күн бұрын
Amen
@AzAz-sy6zp
@AzAz-sy6zp 8 ай бұрын
Amen mungu akubarki san pst katekela kwa huduma yako
@user-sx6xb2hg3l
@user-sx6xb2hg3l 8 ай бұрын
Amen ubarikiwe mtumishi wa mungu.
@ZubedaVicent
@ZubedaVicent 8 ай бұрын
Acha YESU aitwe Mungu amekabithiwa vyote na BABA YETU WA MBINGUNI, HATA WAPINGEJE WANAOPINGA KWAMBA YESU CYO MUNGU IPO CKU WATAMTAFUTA HAWAMUONI
@yalalaambobe9528
@yalalaambobe9528 6 ай бұрын
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
@HarryMbale-ie1ex
@HarryMbale-ie1ex 8 ай бұрын
Wa kwanza Leo kuzipata balaka za MUNGU kutoka Tunduma MUNGU ni uzima AMEN
@teclachadimbaabdala3194
@teclachadimbaabdala3194 8 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe sana mimi nabarikiwa sana huku Msumbiji nashukuru sana watu wa Mungu Kwa majina naitwa TECLA CHADIMBA mkoa WA Nampula.
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 8 ай бұрын
Kweli nimeamini Bwana Yesu Kristo ameamua kukutumia kweli kweli. Mungu akutie nguvu ndugu Emiel. Kazi yako nzuri.
@getrayakoyi9185
@getrayakoyi9185 8 ай бұрын
Shalom mchungaji amiel kazia hapo Ili kanisa lipone watu wamuone yesu kristo siku ya unyakuzi na usife moyo Yuko mungu anayelinda na kutunza watu wake atakuokoa na mikono mibaya❤❤❤❤
@user-my9un6ub5c
@user-my9un6ub5c 8 ай бұрын
Ubarikiwe Sana mtumish
@salimaasende689
@salimaasende689 8 ай бұрын
Ameeeeena tusaidie yesu
@rerisamba
@rerisamba 8 ай бұрын
Nimecheka Yesu alie kauka jamani mtumishi Katekela hii ni funga mwaka
@evermayala5817
@evermayala5817 8 ай бұрын
❤ Amina
@mbwamboenedy3593
@mbwamboenedy3593 8 ай бұрын
Nimeguswa nasomo hiili kwani Jamie nimesumbuliwa sana nakuteswa na mikataba hiyo Bali Mungu ameniponya kwa Jina la Yesu.
@yalalaambobe9528
@yalalaambobe9528 6 ай бұрын
Amen amen amen
@DORICEMBAWALA-oe2ps
@DORICEMBAWALA-oe2ps 8 ай бұрын
Wao nimefurahi Sana kukanyaga ardhi yetu ya Matimira Mungu akubariki Sana mtumishi
@neemamassame8183
@neemamassame8183 8 ай бұрын
Kweli kabisa tunahukumiana sna na kuwaita wengine waasi,
@evelyinipaja7022
@evelyinipaja7022 8 ай бұрын
Amesema kweli, kuhusu TAG.
@zawadiamuli4186
@zawadiamuli4186 3 күн бұрын
Mungu tuokowe
@ZubedaVicent
@ZubedaVicent 8 ай бұрын
ASHUKULIWE MUNGU ALIEKUTOA KUZIMA ILIUJE KULIPONYA KANISA KUPITIA SHUHUDA ZAKO
@HarryMbale-ie1ex
@HarryMbale-ie1ex 8 ай бұрын
Hakika MUNGU ni mwema sana
@bazurimwemdi9060
@bazurimwemdi9060 8 ай бұрын
Amena
@user-op1je9vc9t
@user-op1je9vc9t 8 ай бұрын
Ameni🙏🙏🙏
@vailetlemenya6576
@vailetlemenya6576 8 ай бұрын
🔥🙏🙏🙏👏👏👏👏💪
@rachaelmulinge4101
@rachaelmulinge4101 8 ай бұрын
Ameeen
@salimaasende689
@salimaasende689 8 ай бұрын
Ameeena tusaidie yesu.
@lilhydon452
@lilhydon452 8 ай бұрын
Amina Yesu asante ❤
@yalalaambobe9528
@yalalaambobe9528 6 ай бұрын
0:38
@mathayouser-tb4to2eb3i
@mathayouser-tb4to2eb3i 8 ай бұрын
Nimesikia lugha ya dini ya upande wa pili 😁😹😹😹😹
@sabinaluyego4408
@sabinaluyego4408 8 ай бұрын
Mtumishi Huwa nakufuatilia sana, ila sijapenda unavyosema ' hivyo vi Maria'. Sina uhakika tukimtaja mama Yako mzazi Kwa namna hiyo utafurahi? Tafadhali mjifunze hekima ktk mahubiri, na mnapotaka Maria mjue mnamtaja mwanamke aliyebarikiwa kuliko wanawake WOTE akiwemo mama yangu na mama Yako. Sasa kama biblia inatutaka tuwaheshimu wazazi wetu na Ili Hali hawajabarikiwa kama huyo Maria, iwaje tumtaje Maria 'Ki Maria'. Hebu hubirini injili ya Toba iletayo wokovu, watu wamjue YESU waokolewe ila kuonyesha dharau Kwa mwanamke aliyebarikiwa na kuaminiwa na MUNGU na MUNGU akakubali kujifanya mwanadamu na kuingia ndani ya tumbo lake ni kujitafutia laana
@wilsonkombeyeri4623
@wilsonkombeyeri4623 8 ай бұрын
Wee acha zako, nyie ndio mnaoomba na rozary achaneni na ushetani siri ni YESU sio aliyezaa YESU
@sabinaluyego4408
@sabinaluyego4408 8 ай бұрын
@@wilsonkombeyeri4623 ona hata unavyojibu yaani unaonyesha huna hata Roho Mtakatifu ndani Yako. Wacha siku uoe halafu mke WAKO aseme, 'ki mama chako hakinihusu unanihusu wewe tu'. Kwani angetaja Maria Kwa kawaida ingepungua Nini? MUNGU awasamehe maana hamjui mlitendalo, Wacha nimuachie MUNGU yeye ndiye mtetezi wetu, na YESU Mwokozi wangu.
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 8 ай бұрын
Hata hivyo Maria anayesujudiwa na katoliki siyo mama yake Yesu ingawa hata yeye haitakiwi asujudiwe. Maria wa katoliki ni Dianna mungu mke wa warumi aliyekuwa akisujudiwa tangu kale. Jiulize Kila dhehebu lina l kitabu cha mwongozo kanisa katoliki linaongozwa na kitabu gani? Kama ni biblia kwanini hawaifuati maana wanayoyafanya Yako wazi kinyume na biblia. Yesu hapendi utukufu wake kushare na mwingine even Maria mwenyewe. Kaburi la Maria lipo hadi leo hajawahi palizwa ni uongo
@sabinaluyego4408
@sabinaluyego4408 8 ай бұрын
@@RubenMtuwaMungu-bz8ee Pole sana Tena sana, wewe ni mingoni mwa watu wanao judge kulingana na dhehebu, yaani hujui Wakatoliki wanaomgozwa na Nini, ulishawahi hudhuria Ibada zao? Nikiwa kama mkatoliki niliyepokea wokovu na kuukulia wokovu Kwa miaka 13 Sasa, biblia ndo mwongozo wangu, na hii kasumba mliyonayo ya kajadili dhehebu badala ya kujijadili wenyewe, mmejikuta mnaishi Kwa mazoea na kutomtafuta MUNGU Kwa kudhani kuwa mpo Mahali salama. Ndiyo maana Kila siku nashangaa ninapokuwa kwenye huduma yangu ya masuala ya mahusiano, nakutana na vijana wanaojiita wameokoka lakini wamejaa uzinzi na uasherati, na ninawahudumia Kwa kutumia Hilo neno la MUNGU ambalo nyinyi mnafikiri hatulijui. Sijawahi omba kupitia Maria lakini kwangu Maria ni mwanamke special sana, maana ananifundisha kuangalia kutimiza kusudi la MUNGU badala ya kujiwazia mwenyewe.
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 8 ай бұрын
​@@sabinaluyego4408suala la mtu kujiita ameokoka na haishi wokovu Hilo ni tatizo la mtu binafsi siyo msingi wa upentekoste. Unajidanganya kusema unaukubali wokovu wakati ziko sala kanisani mwenu zinazokunajisi wokovu wako,1 imeandikwa wapi kwamba Maria ni mwombezi? 2. Imeandikwa wapi tuwaombee marehemu? 3 amri kumi za Mungu kwanini mmeigeuza amri ya kwanza usijifanyie sanamu ya kuchonga nk. Yesu ni Mungu hawezi ku- share utukufu na mwanadamu. Shida siyo ukamilifu wa mwamini tatizo ni fundisho la dhehebu lenyewe halikupi nafasi ya kufika unakotamani.
@yalalaambobe9528
@yalalaambobe9528 6 ай бұрын
Amen
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 8 ай бұрын
Kweli nimeamini Bwana Yesu Kristo ameamua kukutumia kweli kweli. Mungu akutie nguvu ndugu Emiel. Kazi yako nzuri.
@robertsilington-cu4dz
@robertsilington-cu4dz 8 ай бұрын
Amen
@Kingsalumoni
@Kingsalumoni 8 ай бұрын
Amen
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 4 МЛН
Nutella bro sis family Challenge 😋
00:31
Mr. Clabik
Рет қаралды 14 МЛН
Best father #shorts by Secret Vlog
00:18
Secret Vlog
Рет қаралды 22 МЛН
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 36 МЛН
HATRED AMONG FAMILY MEMBERS - BISHOP SHAMMAH
1:18:11
SAMMY GITONGA TV
Рет қаралды 38 М.
KATEKELLA TV is live  MASWALI NA MAJIBU
53:03
KATEKELLA TV
Рет қаралды 4,8 М.
JINSI YA KUBATILISHA MIUNGU KATIKA ARDHI  BY FJ KATUNZI
1:17:28
MARANATHA ONLINE TV.
Рет қаралды 3,9 М.
Pastor Paul Hussein Mubarakh Vunja Nguvu Ya Uisilamu Na Majini Official Video
1:38:46
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 4 МЛН