JIWE LA MAAJABU UKARA LINACHEZA NA KUTOA SAUTI - HADUBINI YA TBC

  Рет қаралды 903,773

Gangana Info Channel

Gangana Info Channel

5 жыл бұрын

Пікірлер: 503
@lyssahmie7561
@lyssahmie7561 3 жыл бұрын
My beautiful homeland,,,so proud of ukerewe island..💖💖💖
@dorismbise2927
@dorismbise2927 4 жыл бұрын
Wangap wanasema huo ni mzmu au uchaw wa uyo jaama anayeongea nalo kikabla like hapo
@andersonjira37
@andersonjira37 5 жыл бұрын
mbone hamjaweka hiyo pesa, na nyinyi mkasimama kando mkaliacha likacheza, mwalisukuma mkidanganya watu JIWE LACHEZA, nyinyi ndo mna mchezo na macho ya watu
@alsinambise9155
@alsinambise9155 4 жыл бұрын
Uko sahihi kiini macho hichi
@kobelochamanga9757
@kobelochamanga9757 5 жыл бұрын
Majini yashindwe kwa kina la yesu
@rozmihambo1935
@rozmihambo1935 3 жыл бұрын
Mm siji kuna majini mnaabudu
@florenceatambo2579
@florenceatambo2579 Жыл бұрын
Mbona pesa itolewe ndo liongee walijuaje kwamba Hadi pesa itolewe,,
@gahanalugwisha8316
@gahanalugwisha8316 5 жыл бұрын
vyote vimeumbwa na mungu tusishangae Sana
@theodorychristopher4795
@theodorychristopher4795 5 жыл бұрын
Hata sisi kwetu Kigoma kuna mto maji yake yanapandisha mlimani wambie watalii waje watoe pesa.
@OdiloMganga-bm1xb
@OdiloMganga-bm1xb Ай бұрын
Mambo ya hasili ayo lakni kuna watu apa wamekazana kusema mapepo majini uchawi haafrika kuamini chao mtiani ila yesu wao awajai kumuona
@shillaazuwaji5438
@shillaazuwaji5438 5 жыл бұрын
Mila zipoo mie nakubali
@abduliefessi2786
@abduliefessi2786 5 жыл бұрын
oooooooh haleyaaaaaa uyo ndie bwana tunae muabudu alisema ata inua ata mawe
@blackprist5197
@blackprist5197 5 жыл бұрын
No way. Wajua walolifanya.
@SmilingDragon-qt4ig
@SmilingDragon-qt4ig 8 күн бұрын
Sasa kwann licheze baada ya kuwekewa pesa? Au Kuna mtu uko chn
@isaacmgidange5700
@isaacmgidange5700 2 жыл бұрын
However la ajabu kisiwa cha ukara
@beatricebatista528
@beatricebatista528 5 жыл бұрын
tumuimbie na tumsifu Mungu coz as tukinyamaza mawe yataimba na upepo utasifu
@alphoncesiogo1675
@alphoncesiogo1675 5 жыл бұрын
F Bc
@seyaorongo7466
@seyaorongo7466 4 жыл бұрын
Beatrice Batista Amina
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 2 жыл бұрын
Nitalihamishia kwa mwamposa
@nuurinkluge7584
@nuurinkluge7584 4 жыл бұрын
Look it again ..naona hii bwana yabonyenya hii jiwe kwamuguu moja hapo nchi.. jiwe yacheza🙏🙏💗
@sol-ql1kt
@sol-ql1kt 5 жыл бұрын
This is beautiful
@annakletayohana4561
@annakletayohana4561 4 жыл бұрын
Litakusaga saga bure ilo jiwe
@dorroboss
@dorroboss 5 жыл бұрын
He is shaking the stone, its not moving by itself
@rebeccaedward6795
@rebeccaedward6795 4 жыл бұрын
Jmn watu wengine mwafurahisha sasa kwa akili yakawaida wao wananguvu gani kusukuma jiwe kubwa hivyo hadi licheze? Usisimuliwe Fanya kufika tu uone mwenyewe pesa wameweka kdg liongeeje. Watu wanatengeneza biashara kimiujiza tu kama babu wa loliondo
@abdulazizi6606
@abdulazizi6606 5 жыл бұрын
uwo ndo uwepo wa mwenyezimungu akuna cha mila wala nn
@consolathanamajojo9869
@consolathanamajojo9869 Жыл бұрын
Haha😀😀 htr xanah hii
@mercypatrick2737
@mercypatrick2737 4 жыл бұрын
Mizimwi hiyo
@clavery-verisnicholouc2062
@clavery-verisnicholouc2062 5 жыл бұрын
Mmh namaliza mb zangu bure
@annakletayohana4561
@annakletayohana4561 4 жыл бұрын
Umeona ee
@susangraf3297
@susangraf3297 5 жыл бұрын
Anaongwa ndio acheze, dunia ina mambo itafika wakati wa kumba kuku pesa ,ndio umjinje!!!!
@jeniphapius495
@jeniphapius495 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😃😃😃
@stevenshija2848
@stevenshija2848 2 жыл бұрын
Me nikajua linacheza lenyewe kumbe hadi utumie minguvu 🥺
@najlaomar6854
@najlaomar6854 5 жыл бұрын
Ufffff urongo. Mtupu. Huu. Jiwe. Watoa pesa. Halafu. Pesa. Achukua nani
@rukayamsuya1045
@rukayamsuya1045 5 жыл бұрын
Jamaani hilo jiwe nimchezo tu we kimiujiza msilete ushirikina mkasema eti tumpata utalii onyesheni vitu vya msingi na sio hilo mnataka kutuletea mambo ya loliondo
@StanleyMakoye2023
@StanleyMakoye2023 8 ай бұрын
Wakiliwekea usasa tu linagoma kucheza
@ClintonNyamsera
@ClintonNyamsera 3 ай бұрын
Mimi huwa Namibia eti huwa ilinacheza had linahama sasa mbona hailiami
@anamayala8896
@anamayala8896 3 жыл бұрын
Huyo anaelichezesha ana uchawi unaosambabisha linacheza mbona huyo kajaribu lakini limeshindikana kulisukuma ana nguvu fulani
@pendolugembe7026
@pendolugembe7026 5 жыл бұрын
Mbona mpk walitingishe km linasikia waliambie bila kutingisha
@valentinemdenge474
@valentinemdenge474 5 жыл бұрын
kwel ni utenga uchmi wa kisiwa cha ukara
@mwidzuhuluhapalataii6945
@mwidzuhuluhapalataii6945 5 жыл бұрын
yaani watu wasio wa kiroho utawaona tu.Kimsingi hiyo ni mizimu ya kabila/ukoo wa sehemu husika,mambo ya sayansi hayahusiani hapo.Cha kushangaza watu wanakuja kuliomba na kulitolea sadaka,Binadamu kuweni makini sana,hiyo ni kazi ya shetani na malkaika zake maana alipotupwa duniani,makao yake ni kuzimu na sehemu za ajabu kama mito mikubwa,bahari,miti mikubwa,majabali kama haya,milima mikubwa,
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 4 жыл бұрын
Nyaburebeka ikabudike cheza rubeka byabu nyabu
@karuhangastephen9950
@karuhangastephen9950 4 жыл бұрын
Kuna uchawi kweli
@worldrapamako3960
@worldrapamako3960 5 жыл бұрын
ilojiwe ningekuwa mimi bila buku laki moja sichezeshi tena ningelijengea nyumba
@mashakulangwa4761
@mashakulangwa4761 5 жыл бұрын
Aiseee hayo ni maajabu ya kiulimwengu, ila lingekuwa kwangu ningefurah sana coz linaingiza kipato bila jasho!!!
@izooscyber9091
@izooscyber9091 5 жыл бұрын
huo niukora tu mwisho wa siku walewale wenyewe ndio watarudi kuzichukua zile hela siamini hayo tu nimalimwengu
@nicodemmlagala2148
@nicodemmlagala2148 5 жыл бұрын
Masha Kulangwa
@nuurinkluge7584
@nuurinkluge7584 4 жыл бұрын
Please pata vizuri angalia hii bwana simba.hapo kwanchini juwe ndogo so anaponyeza naguu moja hapo ethen jiwe iko yacheza...just look it kwavizuri ukikuwa naakili waona Hii ujanja tu😯😯😯
@sheridabenjamin7462
@sheridabenjamin7462 5 жыл бұрын
Mungu amusamehehe san
@namirihamisi3899
@namirihamisi3899 5 жыл бұрын
Alieona jiwe hilo lina macho na puwa na mdomo a like.
@hassanfurahe6809
@hassanfurahe6809 5 жыл бұрын
jaman hayo ya kwel kunalingine liko huko huko katikati ya kisiwa linacheza kaa linataka kuangukia upande mwengine linainuka
@hamoudjaruphu2893
@hamoudjaruphu2893 5 жыл бұрын
nikweli kabisa ata mm ilisha fik huko
@alinealine3740
@alinealine3740 5 жыл бұрын
maman tanzania kali kwa kichawi
@mgetazacharia1061
@mgetazacharia1061 4 жыл бұрын
msidhani. kuwa ni uongo nikwel jiwe hilo linacheza liko ukara
@hamadilaumaelindi7555
@hamadilaumaelindi7555 5 жыл бұрын
mungu si wakawaida tukae tukijua hayo ndio maajabu yake
@zuhuramuhanga5400
@zuhuramuhanga5400 5 жыл бұрын
Hata iringa sehemu moja inaitwa lupilo kuna jiwe Lina umbile LA binadam linaitwa mwanakatinga nendeni mkaone maajabu yake msishangae sana hizo zote ni rehmaza mungu
@omanmamulove9878
@omanmamulove9878 3 жыл бұрын
mungu hashindwi kitu naan no icho kitu🤝
@husnakijoji4082
@husnakijoji4082 5 жыл бұрын
Huo ni uchawi kabisa hakuna majabu huo mkono wa mzee ndo kapakaa madawa yake yakichawi hata mv nyerere kupinduka kwenye kina kifupi kama kile na kisha kuua watu wote wale ndo uchawi kama huo mnaoutumia
@jossymak7853
@jossymak7853 5 жыл бұрын
Hiyo ni miungu kama ya zamani
@sontrillthereal8186
@sontrillthereal8186 3 жыл бұрын
Hakuna kitu hapo
@NajimaNichole-oz3zv
@NajimaNichole-oz3zv 3 ай бұрын
Makubwa Tembea uone
@assanassanal7990
@assanassanal7990 5 жыл бұрын
kwahyo hzo ela anazichukua nani sasa😅😅😅 kama sio kuibiana jaman mmmhhh
@georgeshija911
@georgeshija911 5 жыл бұрын
hakuna muujiza wowote hapo hizo ni hesabu tu kuna kutikisa na kusukuma sasa wengine tunasukuma halafu wenyeji wenu wanatikisa taratibu kisha linapata kasi
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Je ulifanikiwa kufika na kisha ukaona jinsi wasukumavyo
@mussanganda505
@mussanganda505 2 жыл бұрын
Uchawi tu,
@ashuraashura882
@ashuraashura882 5 жыл бұрын
Ni miujiza ya mungu ila mweye mnatumiya ucawi
@m7gamba370
@m7gamba370 4 жыл бұрын
Kweri maajabu Luna mti ukiukata unasemanjoo muone pasiansi
@andeorusandrew1352
@andeorusandrew1352 4 жыл бұрын
Mmmmh dunian kuna mengi,imuka nyaburebeka
@oman11oman59
@oman11oman59 5 жыл бұрын
Majini tu hayo mshindwe na mlegee
@alexmutua5256
@alexmutua5256 5 жыл бұрын
Oman11 Oman Kabisa kaka umegonga ndipo.
@mhandohassan9207
@mhandohassan9207 5 жыл бұрын
Eriya Peter
@michaelchendy8993
@michaelchendy8993 5 жыл бұрын
kwakwel dunia inamaajabu
@jumamussa30
@jumamussa30 5 жыл бұрын
una akili ww kila kitu majin mtakalia kukariri majin 😂😂😂😂
@ganganainfochannel
@ganganainfochannel 5 жыл бұрын
Hello tunashukuru kwa kusapoti tukifanyacho, tunaomba muendelee kuwa nasi na maisahau kusubscribe !
@jamesjohn4158
@jamesjohn4158 5 жыл бұрын
fatili stor ziko nyingi sana
@athumanmnyasa1729
@athumanmnyasa1729 3 жыл бұрын
Mmmh, Hilo iwe ni balaa.
@jazome3756
@jazome3756 5 жыл бұрын
Sjaona la ajabu nisauti ya mwanadamu walasijasikia sauti ya ajabu
@israelsalim4322
@israelsalim4322 5 жыл бұрын
wana zingua tunapotezeana mda
@theodorychristopher4795
@theodorychristopher4795 5 жыл бұрын
Kama mtaingiza manjonjo ktk hilo jiwe na mkawabana pesa hao ndugu jiwe hapo kwaheri halitacheza tena na pesa hakuna.
@annastaziavenance1735
@annastaziavenance1735 5 жыл бұрын
Hapa mmetudanganya nikijuacho mie ilo jiwe lacheza na kuimba endapo utaziweka zile pesa za zaman na sio za sasa 😂 mmetupiga togooo hapaaa
@haapymuhamedy706
@haapymuhamedy706 5 жыл бұрын
Basi hakuha mahajabu juhu yajiwe hilo Bali ni hakilitu tazama msukumaji haki sukuma kuna mahali hanakanyanga tazameni mguhu wake wakuliha unakanyanga wapi kisha uta patajibu
@jumaathuman6049
@jumaathuman6049 5 жыл бұрын
Jaman ya mungu nimeng huo uwezo walipewa watu wa kale ndo maana unaona vitu vyote tunavyovitumia zaid yake ving walivibuni watu wa kale
@winfredkaroli9145
@winfredkaroli9145 5 жыл бұрын
Nachojiuliza mm ni lazima huyo mzee kulisemesha au ni mtu yeyote akiliongelesha Linachacheza..? Nakama niyeye tu anauhusiano gani na hilo jiwe au alielekezwa na nani ukisema hayo maneno ndo linacheza?
@shukrankapinga8530
@shukrankapinga8530 5 жыл бұрын
Kama jiwe limekuwa kimila zaidi.. Je nini kitatokea endapo msemeshaji mteule wa ukoo atafariki dunia?.. Amakweli dunia na maajabu yake.. Tuupende na kuuenzi utalii wetu wa ndan..
@verynicesingano5850
@verynicesingano5850 4 жыл бұрын
Linacheza kweli au kuna mzimu umo
@juliussyonga3859
@juliussyonga3859 5 жыл бұрын
BARAKA swila
@kambonaonesmo5452
@kambonaonesmo5452 4 жыл бұрын
Hiyo ni maajabu kwa jiwe hilo
@willycharlemanyanza8789
@willycharlemanyanza8789 5 жыл бұрын
Duuuuh hilo jiwe ni zaidi ya BIKO
@raphaelkajela4412
@raphaelkajela4412 5 жыл бұрын
Maajabu hayaidhi
@aishayusufu5873
@aishayusufu5873 5 жыл бұрын
Nimecheka kiboya sana
@joycemashikolo9096
@joycemashikolo9096 5 жыл бұрын
Hakuna cha nyabulebeka wala nini akiri zenu ndio zimewambia hivyo.huyo ni Mungu tu mnageuza maajabu ya Mungu mnampatia nyabulebeka? ovyoo 😌
@magynzioka1122
@magynzioka1122 5 жыл бұрын
Umeona
@mamawawili3725
@mamawawili3725 5 жыл бұрын
Joyce mashikolo. mm kama mm nasema ivi hatudanganyiki kwann lisiachiwe kucheza na kuongea lenyewe had litingishwe?acheni kutushika maskio
@salumkabeth2048
@salumkabeth2048 5 жыл бұрын
nikweri wajinga
@aminamohd604
@aminamohd604 5 жыл бұрын
kweli kabisa
@jeanmarieniyokwizera269
@jeanmarieniyokwizera269 5 жыл бұрын
Ni kweli Joyce 😅😂😃 Nyabulebeka 😅😂 Mtangazaji atajamba bureeee Acha nicheke mieeee
@damarismuthini1395
@damarismuthini1395 5 жыл бұрын
uchawi adharani
@dominickstans359
@dominickstans359 5 жыл бұрын
Sujui ushirikina tutaacha kuutukuza mpaka lini
@johnkiimbila6799
@johnkiimbila6799 5 жыл бұрын
Ushirikina ulikuwepo, upo na utakuwepo, ni sehemu ya utamaduni ambao hauwezi kufa.
@kanyeshahigirimana5686
@kanyeshahigirimana5686 Жыл бұрын
@@johnkiimbila6799 umeongea kweli kabisa ndugu yangu
@jennefergikonyo8322
@jennefergikonyo8322 5 жыл бұрын
Aaiii hio ni kama uchawi,bona wanaweka pesa.Hizi ni nguvu za giza
@dr.hamiduibrahim1307
@dr.hamiduibrahim1307 5 жыл бұрын
Sipati picha kama hili jiwe lingekuwa nyumbani kwa mangi! Pangekuwa ni zaidi ya fursa.
@charleswilonja2320
@charleswilonja2320 5 жыл бұрын
Wewe ndo umenichekesha Sasa aaaaaah
@loycecharles2618
@loycecharles2618 5 жыл бұрын
Dr. Hamidu Ibrahim hahahahaha umetisha hata huyo nifurusa kwake yani ukienda lazima uache hela kama hivyo hata wenyeji was huko huwa wanatoa hela kwenda kuliona nakucheza
@happymwaseba9493
@happymwaseba9493 5 жыл бұрын
Nimecheka sana mangi
@douglasmgina5471
@douglasmgina5471 4 жыл бұрын
Je in kweli haya
@annexjay4434
@annexjay4434 5 жыл бұрын
Mnajuaje kama siku moja alitatembea liwabamize nyie wote. Hasa mkikosea masharti...
@kabaloernest
@kabaloernest 4 жыл бұрын
FBA
@mukisatmk8821
@mukisatmk8821 4 жыл бұрын
Hahahah
@aishasilaji5759
@aishasilaji5759 5 жыл бұрын
Jamani baba yangu usije kuvunja mguu bule
@biommy9472
@biommy9472 5 жыл бұрын
Aisha Silaji ..pwahahaaaa
@gracenyambura3502
@gracenyambura3502 5 жыл бұрын
Aisha Silaji
@chitandastories
@chitandastories 5 жыл бұрын
Aisha Silaji Duh
@chitandastories
@chitandastories 5 жыл бұрын
Aiseeeeeee
@sophiamvungi1425
@sophiamvungi1425 2 жыл бұрын
Kweli dunia hii kuna maajabu mengi
@Hottatto816
@Hottatto816 5 жыл бұрын
uende na ilesehem kuna unyayo wa mwana marundi
@timothysimon6438
@timothysimon6438 5 жыл бұрын
timothy
@zamirhassan81
@zamirhassan81 5 жыл бұрын
Bwiru hio
@mumyally5901
@mumyally5901 5 жыл бұрын
Jini au
@annakletayohana4561
@annakletayohana4561 4 жыл бұрын
Mxiieeem nimemind kumaliza MB za kuingilia kwa Millard loo
@ismailladha7617
@ismailladha7617 2 жыл бұрын
Hilo jiwe linasukumwa na mguu sio mikono
@obimbomarybenter2165
@obimbomarybenter2165 5 жыл бұрын
dunia kunashangaza sana ila tu hatuwezi amini hadi tujionee
@teklamanase7088
@teklamanase7088 5 жыл бұрын
acheni uongo, hiyo pesa inakwenda wapi? hiyo ni biashara kama babu wa lolondo
@Mazuruinature
@Mazuruinature 5 жыл бұрын
Hiyo nifunga macho mbona tangu zamani haijawai kutokea? Mbona leo hio ni uwongo kama loliondo chungeni
@joelmetele6779
@joelmetele6779 5 жыл бұрын
Nakwel
@fatmaali6534
@fatmaali6534 5 жыл бұрын
hee mbona maajanu
@Rkdigtech
@Rkdigtech 10 ай бұрын
Nice
@juliusmataba1919
@juliusmataba1919 5 жыл бұрын
Nomaaa
@joycefulko7771
@joycefulko7771 5 жыл бұрын
Mbona ni yeye analisukuma
@MachariaWaKamauTV
@MachariaWaKamauTV 5 жыл бұрын
the English comment u are looking for is here.... this is nonesense
@daudmasala7704
@daudmasala7704 5 жыл бұрын
Nonesense? Your not serious shmn lol
@joycegeorge6576
@joycegeorge6576 5 жыл бұрын
ata 100 siweki maana ni ushetani mkubwa
@aishannacho7242
@aishannacho7242 4 жыл бұрын
Mmmh
@sulaymanwaziri4455
@sulaymanwaziri4455 5 жыл бұрын
Nyie wapuuzi hilo jiwe linahitaji akili tu kulisukuma na huo milio ni jinsi linavyo gusa kwenye jiwe la chini,,, pindi unapo kosea kusukuma sehemu husika haliwezi kucheza,,, nilazima ufuate uelekeo wake
@wariwanee7335
@wariwanee7335 5 жыл бұрын
Waimbe bila kusukuma
@princeemma5298
@princeemma5298 5 жыл бұрын
Dah ama kwel its so min
@ngasasocks1125
@ngasasocks1125 5 жыл бұрын
usilolijuwa ni kama usiku wa giza hilo jiwe kweli kabisa lipo na linacheza mm mwenyewe nilishajionea.
@zaitunmuhammad9705
@zaitunmuhammad9705 5 жыл бұрын
Mbona wana lisukuma
@steveswakei9600
@steveswakei9600 5 жыл бұрын
sijui ni lini mwanadamu ataerevuka jamani!
@dothopacha8808
@dothopacha8808 5 жыл бұрын
Hahahaaaaaaaaaaaaaaa madhabahu yashetani hiyo mcdaganyike hakuna maajabu wala nn,ushirikina huo
@salummohamed3830
@salummohamed3830 5 жыл бұрын
Urongo
@tibrucemushi1735
@tibrucemushi1735 5 жыл бұрын
maajabu niliyoona mimi ni hela tu.....
@mosesgathura7321
@mosesgathura7321 5 жыл бұрын
Aiiiii hi si kweli
@manyaramrema6531
@manyaramrema6531 5 жыл бұрын
Hyo ni fursa kiuchumi! Ni mizimu hyo
@alexbushishi8342
@alexbushishi8342 5 жыл бұрын
Mpiga picha hajanitendea haki, unachezesha mno kamera.
@thevoiceofdeliverance6061
@thevoiceofdeliverance6061 5 жыл бұрын
Hii ni Ibada kamiri ya uchawi wa mizimu ,Na haya ndiyo mambo ya kishetani yaliyolifikisha taifa hili kuwa katika hari ya umasikini Mungu tusaidie ...
@heavendarliahblackqueen58
@heavendarliahblackqueen58 5 жыл бұрын
Hahahaaa!kweli hlo ni jiwe la ukweli?
@janetaswa8590
@janetaswa8590 5 жыл бұрын
Emmanuel u r right
@magdarenanguvumali803
@magdarenanguvumali803 5 жыл бұрын
mch Emmnueli
@wolframchikomo8873
@wolframchikomo8873 5 жыл бұрын
Ni kweli haya ni mambo ya KUUTUKUZA ushirikina. Kuna watu hawajui kuwa mambo kama haya YANAILETEA NCHI LAANA KUBWA. Tuwaombee lakini tusiache kuwashauri pia. Asante kwa kuliona hilo
@danyonlinetv1847
@danyonlinetv1847 5 жыл бұрын
hayo maneno uanamaanisha nn
@aishahayata4831
@aishahayata4831 5 жыл бұрын
utasukuma mwandishi mpaka uje hapo kuna majini yanapewa ela
@elsonyohana8535
@elsonyohana8535 4 жыл бұрын
pale unapoamn ktu hata kam n hamna hua inatokea nguvu nyngne ambay husababsha ukaona muujiza
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 26 МЛН
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 30 МЛН
HISTORIA YA NG'WANAMALUNDI / MATUKIO YA AJABU NA YA KUTISHA
33:08
Historia ya kisiwa cha Ukerewe.
25:28
ITV Tanzania
Рет қаралды 2,3 М.
Бабайка #юмор #рекомендации #прикол
0:32
МэдПринц 👑
Рет қаралды 1,5 МЛН
Во сколько смотришь? Заливаю в 10-22😉
0:36
Юлия Смирнова
Рет қаралды 2,2 МЛН
ПОМОГИ РАЗБУДИТЬ ПИЛОТА 😱😱
0:16
ДЭВИД ЛАВА
Рет қаралды 4,5 МЛН
Summer shower by Secret Vlog
0:17
Secret Vlog
Рет қаралды 11 МЛН
Вся страна в очередях, а ты без очереди...
0:52
МиRRные Чувства
Рет қаралды 4,4 МЛН