No video

JK Aeleza Namna Alivyomsaidia Diamond | Afunguka Wasanii wa Nje walivyo na Maisha Mazuri

  Рет қаралды 71,932

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

Rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete akieleza namna alivyowasaidia wasanii wa Bongofleva wakati akiwa madarakani

Пікірлер: 83
@wilsongilbert3857
@wilsongilbert3857 Жыл бұрын
Kama umekuja kwajili ya diamondplatnumz gonga like
@TheNewKid_TV
@TheNewKid_TV Жыл бұрын
Yeah
@kennethndingo2544
@kennethndingo2544 Жыл бұрын
Mungu akupe afya njema Mstafu Uraisi.
@benjagaspar5304
@benjagaspar5304 Жыл бұрын
Uhakka
@alickomsyani3900
@alickomsyani3900 Жыл бұрын
Yes
@mdouharoon66
@mdouharoon66 Жыл бұрын
Tupo
@zulfikakalumba1977
@zulfikakalumba1977 Жыл бұрын
Mzee boda yuko na ubora wake kimwili na kiakili. Blessings 🙏
@subirajohn728
@subirajohn728 Жыл бұрын
Hongera sana Baba yetu Mzee Kikwete kwa kumkuza Daimond naye anawasaidia wenzake❤️❤️
@mrsinia3064
@mrsinia3064 Жыл бұрын
Anawasaidia wapi wakati mwishowe anakuja kuwakandamiza
@ndegejr4218
@ndegejr4218 Жыл бұрын
@@mrsinia3064 ungewajulia wapi Kama asingewasaidia?
@ahz6907
@ahz6907 Жыл бұрын
@@mrsinia3064 kawakandamiza vipi?😶
@jadenmsafi
@jadenmsafi Жыл бұрын
@@ndegejr4218 mbn rais kashamjibu swali lake
@saidabdulkadirmjahid8255
@saidabdulkadirmjahid8255 Жыл бұрын
Mzee Ana kumbukumbu anawajua wasanii mpaka kwa majina 👏👏👏
@empirevoice9003
@empirevoice9003 Жыл бұрын
Safi sana kiongozi WETU kwa kupambania wasanii wa Tanzania ..sema ukweli natamani sana siku moja nikutane na mheshimiwa jk japo dakika tu ila ndio hivyo respect sana MUNGU AKUWEKE ZAIDI KAMA TABASAMU LAKO DAIMA
@jurakijuraki8870
@jurakijuraki8870 Жыл бұрын
mzee wa busara namkubali sana Jakaya
@johnvumu5788
@johnvumu5788 Жыл бұрын
Mungu akupe Maisha Marefu umeinua sana Elimu Kwa vijana
@ahz6907
@ahz6907 Жыл бұрын
Mitano tena✊
@mashoplacky5582
@mashoplacky5582 Жыл бұрын
Mungu Akubariki Sana Jakaya Kikwete
@catherinehaule2426
@catherinehaule2426 Жыл бұрын
Baba., kama ingekuwa ni bahati tungepewa na Mungu. Ni tungeomba ugombee tu uraisi tena 2025 tungekuchagua wengi baba👐
@nellyjuju5325
@nellyjuju5325 6 ай бұрын
Jamni kwani mnasemaje kuhusu hizo eeeeeeeeee😂😂😂😂😂😂😂😂
@lulujidahbrighton5148
@lulujidahbrighton5148 Жыл бұрын
Wewe Mungu alikujalia heshima ukarimu utu huna choyo huna wivu huna tamaa kama jamaa zetu sijui kwanini Wana roho mbaya
@ChoroTesla
@ChoroTesla Жыл бұрын
na hana makelele km enzi zile kila siku flan flan as if alikua mungu
@tajirihalisi1092
@tajirihalisi1092 Жыл бұрын
Līkē Sīmßā🦁🦁🦁🦁
@tanzaniamycountry9308
@tanzaniamycountry9308 Жыл бұрын
Hazna ilobak nch hii, Mwenyez Mungu akuweke sana
@abdallahabdallah7872
@abdallahabdallah7872 Жыл бұрын
Mzee safi Sana 👏
@rtizoonlinetv
@rtizoonlinetv Жыл бұрын
Yote anayoongea mhe yupo sawa nakumbuka mwaka 2007 aliwasaidia vyombo vya band wanamuziki wa BWAGAMOYO SOUND kipindi marehemu dada yangu mwamvita athuman yupo hai alikuwa anatuambia hlo
@YusuphMchomvu
@YusuphMchomvu 6 ай бұрын
Jembe la kazi
@assab3167
@assab3167 Жыл бұрын
Uko vizuri sana
@mymbaralitv2968
@mymbaralitv2968 Жыл бұрын
Mayele anaenda kutetemekea kule 😁😁😁😁🥰
@vanessastafford5120
@vanessastafford5120 Жыл бұрын
Mungu akubariki
@christinavictory1867
@christinavictory1867 Жыл бұрын
Mzee nakubal ssna utawala wako adi sasa nakukubal bado uko vizur sana nataman sikumoj kuonana na ww uso kwa uso tupige str onger kwa kutimia miak 72🙏🙏
@billysamson3094
@billysamson3094 Жыл бұрын
Kwa hili jakaya alifaulu sana pongezi kwake
@anthonikabuye6819
@anthonikabuye6819 Жыл бұрын
Et mzee Kama unavyoniona hivi😂😂 wamechoka kinoma
@munirhassan7250
@munirhassan7250 Жыл бұрын
Naona mzee Ana love bite shingoni
@ahz6907
@ahz6907 Жыл бұрын
Ya bimdogo.mama salma hayawezi hayo
@meshack3266
@meshack3266 Жыл бұрын
sawa mzee heeeeee
@abbasmtaita7203
@abbasmtaita7203 Жыл бұрын
Kwani huwezi kugombea Tena?
@salehkhamis3000
@salehkhamis3000 Жыл бұрын
Eti anakwenda kutetemekea kule hahaha
@zulfikakalumba1977
@zulfikakalumba1977 Жыл бұрын
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO WANANCHI
@mirroyjunior8348
@mirroyjunior8348 Жыл бұрын
Mshua upovizul 🤣🤣🤣🤣
@user-hd7vt8fk5t
@user-hd7vt8fk5t Ай бұрын
Eeeeh!eeeeh!
@saidabdulkadirmjahid8255
@saidabdulkadirmjahid8255 Жыл бұрын
Tetemekea kule😂😂😂
@sampaconnector2845
@sampaconnector2845 Жыл бұрын
Mzee kama unavyoniona 😂
@panchovalentino3576
@panchovalentino3576 Жыл бұрын
Bravo bravo Mr President 🔥💯💥👏Chibu la dangote hatar saaana 💪👊
@Meshaonetz
@Meshaonetz Жыл бұрын
Namkubali sanA huyu Mzee
@mrsinia3064
@mrsinia3064 Жыл бұрын
Mweny hela hazeeki kwakwer...endelea kuupiga mwingi baba
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 Жыл бұрын
Baba Wa Taifa JK kikwete uishi maisha marefu na afya tele Dady Happy 72 birthday
@makulanangale588
@makulanangale588 Жыл бұрын
Acha kutoa cheo kwa mtu asiye na sifa
@karaoglan9444
@karaoglan9444 Жыл бұрын
@@makulanangale588 mwenye sifa Baba yako?? Awe yeye basi jinga sana wewe
@karaoglan9444
@karaoglan9444 Жыл бұрын
Kongole huyu Mwamba ni mtu muhimu sana
@mbarakzaki5704
@mbarakzaki5704 Жыл бұрын
best president of all time
@abbasmtaita7203
@abbasmtaita7203 Жыл бұрын
Mzee usitaje habari za mayele kwenda Simba unaharibu interview
@G.r.e.a.t.I.Q
@G.r.e.a.t.I.Q Жыл бұрын
Muheshimiwa... umemaanisha 50 cent?!
@ahz6907
@ahz6907 Жыл бұрын
Beyonce wewe 😄
@G.r.e.a.t.I.Q
@G.r.e.a.t.I.Q Жыл бұрын
@@ahz6907 Nilisikia kama 10 cent sijui
@BoNoBo_Tlm
@BoNoBo_Tlm Жыл бұрын
Mzee unatukosha mno vijana,Ni faraja mno kuona mzee mwenye heshima kubwa km ww unasapoti vijana wa kila aina!!Birthday yako ya mwakani nina zawadi yako mzee wng
@mrsinia3064
@mrsinia3064 Жыл бұрын
uje unipe nimpelekee
@ahz6907
@ahz6907 Жыл бұрын
Nafanya delivery ya parcels
@hafidhimarijani4961
@hafidhimarijani4961 Жыл бұрын
Gurumo 1940 Kikwete 1950
@fataomedia7050
@fataomedia7050 Жыл бұрын
GOAT
@teknopoti8971
@teknopoti8971 Жыл бұрын
Uo n uongo clouds mbna ajaxema maxwara ya mxada apo
@ahz6907
@ahz6907 Жыл бұрын
Tuliza komwe hilo
@lulujidahbrighton5148
@lulujidahbrighton5148 Жыл бұрын
He uliemkabidhi yeye ni kuweka wasiojulikana tu na kuchukua Ng'ombe zetu na kutesa wavuvi na wafanyia biashara na kutembea na hela za walipakodi kweli alitutesa Mungu akamuondoa
@do4love302
@do4love302 Жыл бұрын
Uongozi nikua karibu na watu
@marwawilliam3648
@marwawilliam3648 Жыл бұрын
Aje atetememeke Timu la CAF
@mountoftransfigurationchur2879
@mountoftransfigurationchur2879 Жыл бұрын
Funy President
@mymbaralitv2968
@mymbaralitv2968 Жыл бұрын
I wish anko jk aludi madarakani again
@ahz6907
@ahz6907 Жыл бұрын
Kufanya nini?
@shaabanialrashidy9672
@shaabanialrashidy9672 Жыл бұрын
Jk
@sullehtz9327
@sullehtz9327 Жыл бұрын
Uishi miaki mingi asee🙏
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Жыл бұрын
MZEE WA MANENO .
@rafathealfa2237
@rafathealfa2237 Жыл бұрын
Rais wa hovyo kuwai
@zaidihussein4311
@zaidihussein4311 Жыл бұрын
Ww ndo mtu wa ovyo sana kua na heshima na rais mastafu pumbavu ww
@karaoglan9444
@karaoglan9444 Жыл бұрын
Pumbavu kabisa huna Akili kenge wewe...huyu ndio mtu alipendwa zaidi Tanzania kwa taarifa yako
@rafathealfa2237
@rafathealfa2237 Жыл бұрын
@@karaoglan9444kina nani waliompenda!??Na kwanini walimpenda!??
@queenmwasanguti2370
@queenmwasanguti2370 11 ай бұрын
Yani yaweza kuwa wewenichanganyikeni wa Akili, huwezi kumtukana Rais wetu.
@amsolkembo4160
@amsolkembo4160 Жыл бұрын
😁😁
@emanuelshine
@emanuelshine Жыл бұрын
78 stupid people commented here. Watu ni wajinga sana.
@saidabdulkadirmjahid8255
@saidabdulkadirmjahid8255 Жыл бұрын
Tetemekea kule😂😂😂
Salama Na JK Ep48 | MSOGA UNO PART 2
29:35
YahStoneTown
Рет қаралды 290 М.
Magic? 😨
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 19 МЛН
wow so cute 🥰
00:20
dednahype
Рет қаралды 29 МЛН
Чёрная ДЫРА 🕳️ | WICSUR #shorts
00:49
Бискас
Рет қаралды 6 МЛН
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 11 МЛН
Mkasi - SO4E01 with Diamond Platnumz
27:57
MkasiTV
Рет қаралды 1 МЛН
JK Alivyomkana Membe | Amuelezea Magufuli
5:50
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 75 М.
Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1
28:27
YahStoneTown
Рет қаралды 552 М.
Magic? 😨
00:14
Andrey Grechka
Рет қаралды 19 МЛН