Salama Na JK Ep48 | MSOGA UNO PART 2

  Рет қаралды 289,004

YahStoneTown

YahStoneTown

3 жыл бұрын

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #0762797291
Support us through anchor.fm/yahstonetown/support
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL bit.ly/YahStoneTownSubs
Listen our Podcast on
Spotify Link spoti.fi/2Uxr6Cm‬
‪ApplePodcast Link apple.co/2Ou1bru‬
GooglePodcast Link bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link bit.ly/YahStoneTownAudioMack
‪KZfaq Link bit.ly/KZfaqSalamaNa
Muda si mrefu iliopita nilirudi nyuma kidogo kwenye kumbukumbu ya mawasiliano ya kwanza kabisa kati yangu na moja wa wasaidizi wake Mheshimiwa Jakaya Mrisho wa Kikwete na hiyo ilinirudisha nyuma mpaka mwezi wa tatu mwaka 2020. Kama mtu mwengine yoyote hii ilikua ndoto tu ambayo kwa Rehema na Baraka za Allah ilibidi itimie. Kwa Baraka zake hizo mimi na wenzangu tunashkuru sana sana kwa kuweza kulikamilisha hili.
Shukran za dhati ziende kwa Doris Mollel ambaye kwa msaada wa Sadam ‘Almando’ Sanare alinimbia Doris anaweza akatu unganisha na mmoja wa wasaidizi wake ili tuweze kuona kama tunaweza pata hii nafasi, na kama ujuavyo, mengine yote yamebaki kuwa historia tu tena, maana yametimia.
Mimi kama wewe tu, shabiki nambari moja wa Jakaya Mrisho Kikwete na kukutana naye, kukaa naye chini na kuweza kumuuliza maswali tuliyokua tumeyaandaa (kwa muongozo wao) ilikua raha isiyoelezeka. Mzee charming, mwenye roho nzuri na muelewa kabisa. Mengine yalofuata baada ya hapo ndo ambayo utayaona au kuyaskiliza katika maongezi yetu haya. Mengi yalikua ni juu ya yeye alivyokua na uelewa wake kwenye mambo mengi. I wish tungeweza kuongea nae kuhusu masuala meeengi zaidi kuhusu kiila kitu ila ki ukweli hii inatosha kwa sasa na Mungu atajaalia tutakutana naye tena siku nyengine In Shaa Allah.
Mheshimiwa JK aliongea nasi kuhusu Wazazi wake, elimu, uelewa wake wa mambo, yeye kuwa mwanajeshi. Jinsi alivyokutana na Mama Salma. Historia ya nyuma kidogo kuhusu mapenzi na jinsi Marehemu Mzee wake alivyomtaftia mke na kuzaliwa kwa mtoto wake wa kwanza ambaye ni Ridhwan. Kuhusu kitabu chake, mapenzi yake na basketball na muziki. Pia Kobe Bryant na mapenzi kwa wajukuu zake.
Kama ilivyo kawaida yetu, yangu matumaini utapata kadhaa humu ya kukufunza jambo. Na napenda kuchukua nafasi hii kumshkuru kila mtu ambaye alisaidia hilo kutimia na zaidi team yangu yote ya ‘YahStoneTown’ ambayo ilifanya kazi iliyotukuka kukamilisha hili.
Nikutakie Kheri ya mwaka mpya na kila lenye Kheri nawe.
Enjoy.
Love,
Salama.
Soundtrack Yeah by @MarcoChali • Marco Chali Feat One T...
Follow:
Twitter: / yahstonetown
Instagram: / yahstonetown
Facebook: / yahstonetown
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Пікірлер: 703
@emmanuelmsafiri4961
@emmanuelmsafiri4961 3 жыл бұрын
yaani Mungu kweli anasikia dua, niliwahi kutamani sana nikutane na mzee nimshauri aandike kitabu, imagine (you can't easily believe this), and now he's doing exactly as I wished, asante sana mzee nakisubiri kitabu kwa shauku kubwa sana.
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 3 жыл бұрын
Yaan mtu baki umshauri aandike kitabu? Unajua jk ni msomi? Msomi mwanasiasa? Hehee tupishe sie
@amoskagika8884
@amoskagika8884 3 жыл бұрын
@@masalakulwa7601 kwahiyo msomi hashauriki, au ukiwa msomi wewe unakuwa unajua kila kitu???
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 3 жыл бұрын
@@amoskagika8884 kuna vitu vya kushauri..kwanza Rais ana washauri ..eti umshauri msomi aandike kitabu😂😂😂....ni km umshauri msomi ajisomee
@pili3750
@pili3750 3 жыл бұрын
@@masalakulwa7601 😁😁😃😃
@macfelician8360
@macfelician8360 3 жыл бұрын
Kweli muheshimiwa alifaa kuwa kiongozi mfano wa kuigwa, nmemsikiliza sana nilichojifunza ktk kwake ni msikivu sana nmependa
@georgedaniel3911
@georgedaniel3911 3 жыл бұрын
@Zawadi Issa wakuda hawa poti mabongo wengi masnich.
@josephgomalo41
@josephgomalo41 3 жыл бұрын
ALISHINDWA KTK KUPAMBAN NA MAFISADI TU .. ! Haitoshi kuwa mpole na mnyenyekevu.. alitakiwa awashughuklikie hao pia..!
@arnoldnicholaus3835
@arnoldnicholaus3835 3 жыл бұрын
Oh my God. How did you manage to get the President. Yaani hii comment naindika huku nime pause video kwa maana imenichukua muda kuamini. You are the best who ever did it.
@allpotentials8420
@allpotentials8420 3 жыл бұрын
Boss salama c mtu wa kawaida Huyu dada,,sio interview tu hata birthday party yake iliyopita JK alikua mgeni mwalikwa kwa hyo nadhani suala la interview ilikua ni normal tu.
@greatiq7835
@greatiq7835 3 жыл бұрын
Huyo ni muandishi makhsusi. Anathamini na kuitendea haki tasnia aliyo ichagua. Kubwa zaidi ANAJIAMINI!
@mactongathe179
@mactongathe179 3 жыл бұрын
DAH HADI NMEKOSA NMSEME NINI WE jamaa umekamata bandle kwa muda na hii comment ! Salama ni Tishio la Program na Interview
@CheupeEceJay
@CheupeEceJay 3 жыл бұрын
Anything is possible just dream big and work at it, Allah hubariki. ♥️
@greatiq7835
@greatiq7835 3 жыл бұрын
@@CheupeEceJay Perfect!
@latriciah01augustino67
@latriciah01augustino67 3 жыл бұрын
Yani navyompenda baba JK hata la kucomment sina nimerudia 1&2 mara 2... Very humble mashaallah Allah amtunze 🙏🏽
@bjzee1981
@bjzee1981 3 жыл бұрын
Leo nimejua mengi. Nili guess tu atakua kafanana na mama. Watoto wengi wakufanana na mama hua cute
@farajakyando6066
@farajakyando6066 3 жыл бұрын
A great honor to have a chance to interview such a great man may you be blessed more than what God gave you ur the best salama
@georgemkonge3031
@georgemkonge3031 3 жыл бұрын
@gemailPure
@CheupeEceJay
@CheupeEceJay 3 жыл бұрын
Amin kwa sote, Shukran Faraja
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 3 жыл бұрын
Walaah tunampenda sana kwaajili ya Allah hilo halina ubishi, he is very humble walaah ❤❤❤❤🇹🇿🇨🇭
@Winstonfying
@Winstonfying 3 жыл бұрын
Salama hii interview, walau iwe na Parts 5 hvi, kuna mengi sana ya kusikia toka kwa mzee wetu huyu
@noelmarapachi1808
@noelmarapachi1808 3 жыл бұрын
Yeah, Hasa yahusuyo Presidency yake!
@lovemusicnoreen9185
@lovemusicnoreen9185 3 жыл бұрын
WE LOVE YOU JK , WE HAVE MISSED YOU BIG TIMES
@emmanuelgastine9826
@emmanuelgastine9826 3 жыл бұрын
Baba Kikwete naikumbuka nyongeza yako ya mshahara ya mwisho nilijua baada ya miaka 5 nitakuwa mbali ,lkn baba you are done with leadership du!!
@J4UPro
@J4UPro 3 жыл бұрын
Unafikiri Ingekuwa kama unavyofikiri yaani tokea kipindi kile Watu waongezwe mshahara kila mwaka mpaka hivi leo itakuwa vipi mkuu!
@shamimushittindi1418
@shamimushittindi1418 3 жыл бұрын
Kwa sadala
@dennislukumay9261
@dennislukumay9261 3 жыл бұрын
Nmemiss Sana rais wang jakaya thanks salama kwa kutuletea leo
@gnmbi
@gnmbi 3 жыл бұрын
Jk anaongea mpk una hisi muda hautoshi yani katika interview zote za salama na hii naona ndio interview fupi kuliko zote it's been a long time since retirement of this great man
@hamzaalawy6694
@hamzaalawy6694 3 жыл бұрын
Kiukweli muda haukotosha hata kidogo
@allymtamilwa6899
@allymtamilwa6899 3 жыл бұрын
ni kweli muda ni mdogo kabisa
@vicentmtoni1728
@vicentmtoni1728 3 жыл бұрын
Hii ndio nimeingalia yote lkn nyngne ukiangalia kdg unaacha.
@henrymulisa6367
@henrymulisa6367 3 жыл бұрын
We mzee nitakukubali muda wote..huna stress kwakweli
@germinapontian2037
@germinapontian2037 3 жыл бұрын
You are the most blessed talented wise ...interigent .... president ever......long live Mr President ......the love of Tanzanians..........
@kabulakamotta3740
@kabulakamotta3740 3 жыл бұрын
My lovely presidaaaa! Of all the time! Love you Mr president Jakaya Mrisho Kikwete!!!❤
@jackmeshack
@jackmeshack 3 жыл бұрын
Katika interview zilizopita na kutazamwa hii ni super interview congratulations #Salama_Jabir
@abdulfirst_pilot
@abdulfirst_pilot 3 жыл бұрын
Huyu ni mtangazaji wangu bora katika mwaka 2021 na mzanzibar pekee kwenye tathnia ya utangazaji aliye fanikiwa kumhoji rais mstafu wa awamu ya nne jk nime penda tena nime penda sana kiukweli haswaaa
@godfreypaulo8355
@godfreypaulo8355 3 жыл бұрын
Tena kumshawishi mtu kama huyo kuja kijiweni kwako unapopigia story niatua kubwa, wengine wangemfata lugoba
@godfreypaulo8355
@godfreypaulo8355 3 жыл бұрын
Tena kumshawishi mtu kama huyo kuja kijiweni kwako unapopigia story niatua kubwa, wengine wangemfata lugoba
@vascongwale6783
@vascongwale6783 3 жыл бұрын
Nice Speech From Former President Mh:Jakaya Mrisho Kikwete!!! Nimejifunza Kitu and also I like the way he answer the Question, He answer question By using more knowledge
@msangy4230
@msangy4230 3 жыл бұрын
Kiongozi wa maana sana huyu...i wish angerudi tena ofisini he's a shinning star. Just adorable
@upendomtambo5103
@upendomtambo5103 3 жыл бұрын
Hahahaaaaa mimi nilikua nakwenda shule tu😆 ....hakika nimefurahia sana majadiliano haya
@greatiq7835
@greatiq7835 3 жыл бұрын
"The guy" is so Cool! So, Gentle! So Wise!
@murattywamuratty9778
@murattywamuratty9778 3 жыл бұрын
Wanajeshi wanakukumbuka sana tuu, hususan kwenye mambo ya nyongeza 💸💷💶
@pascalmsechu6874
@pascalmsechu6874 3 жыл бұрын
Man of the people.. Watu walikuwa na maisha na nchi ilienda..Raisi mzr
@ngidawangwe4901
@ngidawangwe4901 3 жыл бұрын
Namkumbuka sn huyu mzee alikuja shuleni kwetu nyamongo sec akanipa mkono na hela pia enzi za urais wake
@drnickysarapion134
@drnickysarapion134 3 жыл бұрын
Congratulations Salama. & big up to you for good interrogation with ma Beloved Honorable Rtd President JK 2005/15. I REALLY APPRECIATE HIM. GOD BLESS HIM ALWAYS
@shekhaissa9154
@shekhaissa9154 3 жыл бұрын
Very good and blessed interview. Sichoki kuisikiliza hii interview. Nzuri sana. Tumejifunza mengi. Huamini kama mtoto alokuwa akijificha kwa jirani kukimbia shule, later akawa President. Well done bit Jabir. Insh utuitie na Mzee wetu Mwinyi one day. Hongereni sana.
@mirajikhamisi7954
@mirajikhamisi7954 3 жыл бұрын
Rais wangu bora wa muda wote Mungu akupe umri mrefu JK Aamin
@abdulswamad9592
@abdulswamad9592 3 жыл бұрын
Allah tujalie tupate rais mwenye upendo na watu wake kama huyu..Allah akujaalie mwisho mwema Amiin
@ahmedzahor2975
@ahmedzahor2975 3 жыл бұрын
Kweli upendo? Mashekhe wetu mwaka wa nane wapo Jela bila la kosa lolote
@alfredjohn5693
@alfredjohn5693 3 жыл бұрын
Mzee kikwete yupo peace sana,,,,we love you so much,,, hongera sana Salama kwa kipindi hichi unachozidi kukiongoza
@erickkundy5322
@erickkundy5322 3 жыл бұрын
Great interview with a Great leader. JK kweli ni kiongozi- msikivu makini, mnyenyekevu, mkweli & mwenye upendo kwa watu. Tunasubiri hicho kitabu chake. Namtakia maisha marefu ili tuendelee kufaidi nasaha zake.
@josephgomalo41
@josephgomalo41 3 жыл бұрын
makinikia na tembo waliisha. WHY? UNYENYEKEVU NA MAFISADI ?
@evakiwia6768
@evakiwia6768 3 жыл бұрын
Sijawahi kulike wala ku-comment ila Leo nakupa big up Salama
@godfreypaulo8355
@godfreypaulo8355 3 жыл бұрын
Salama na timu yako nzima ni watu makini sana ila nakuakikishia huyu mzee ameisha fungua njia ya hiki kipindi kuaminika na kuwa kikubwa zaidi na wata kuja watu wazito zaidi wengitu.
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 жыл бұрын
Hata jpm utuletee salamu km unaruhusiwa 🙏
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 3 жыл бұрын
kabisa hongera kwake team salama sio yule mpuuzi wema sepetu ata amualike hatoenda kwa ujinga aloufanya kwa yule mkwe wake wa hadithini mama kanumba
@godfreypaulo8355
@godfreypaulo8355 3 жыл бұрын
@@zuleikhakhamis3303 mpuuzi yule hana tim inayomuongoza, unaona salama hajauliza maswala ya kisiasa anajua ataribu.
@williamuphilipo7447
@williamuphilipo7447 3 жыл бұрын
Fact
@janestanslaus2517
@janestanslaus2517 3 жыл бұрын
Wazito zaidi? This is as heavy as it gets fam. Its going to be hard to beat.
@eliakimwilson598
@eliakimwilson598 3 жыл бұрын
One day ill be president of this country and i want to be like him. Sincerely i love this man so much he is a very good and kind man i picture my dad kila nikimuona. Thank you dada salama for a nice and professional interview. We love you keep going mami. 👍
@batildaburian8299
@batildaburian8299 3 жыл бұрын
Mungu ampe maisha marefu ya afya njema mhe Rais wetu mstaafu JK. Ninamshukuru Mungu kwa neema zake na namshukuru sana kwa imani yake kwangu na kwa viongozi wenzangu. Nimejifunza mengi sana toka kwake. kuna msemo wake ule" Muongo mwongoze". Ninaupenda sana. Barikiwa sana. Ageing gracefully and handsomely🙏🏼
@mekujose8532
@mekujose8532 3 жыл бұрын
Nimeamini mungu anamtoa mtu mbali sana,Mungu akubariki sana Raisi wetu Mweshimiwa Dr Kikwete.
@khalidoonmzakiru2042
@khalidoonmzakiru2042 3 жыл бұрын
Kweli mtiifu hufaidi tumejifunza mengi hongera sana Mr.JK tunasubir hiko kitabu 🔥🔥🔥
@abdulkhalim5564
@abdulkhalim5564 3 жыл бұрын
So humble nd intelligent in tackling Aljabry's questions.
@plaxedanakazwe2944
@plaxedanakazwe2944 3 жыл бұрын
Amuite na bwana magu sasa
@Views-mf8ir
@Views-mf8ir 3 жыл бұрын
Kazi yako safi Mr JK ... Thanks for your service .... Mungu aendelee kukulinda ...
@latifahjanja6679
@latifahjanja6679 3 жыл бұрын
Kipindi kimekua kikubwa hongera sana sikutegemea km utakua unaalika mpk watu wazitoo hvii tunajua mengi kuhusu viongoz wetu big up kwenu salama na (teamwork)
@ashooraashoora1180
@ashooraashoora1180 3 жыл бұрын
Salama leo huna uhuru wa kucheka jaman pole ila Asanteeni sanaa kwa kipindi kizur
@abbyadams8691
@abbyadams8691 3 жыл бұрын
Hapo pembeni kuna usalama wa Taifa.Hata ivo kajitahidi sana. Big applause for her🙏🙏
@muniravellani3523
@muniravellani3523 3 жыл бұрын
Our very own Obama ❤️
@Process607
@Process607 3 жыл бұрын
Kweli umelitendea haki jeshi mzee wangu sikupingi
@Mwinyi79
@Mwinyi79 3 жыл бұрын
YahStoneTown: Salama na JK is the best interview. Sidhani kama itatokea zaidi ya hii!
@erickkundy5322
@erickkundy5322 3 жыл бұрын
I wish we could give you 10 years more. 10 yers tena. Such a magnitude of humility. Viongozi wetu wajifunze kutoka kwa hawa wastaafu na waache kuwakataza kuongea na watu baada ya kustaafu.
@saidnondo2623
@saidnondo2623 3 жыл бұрын
the best way y ]
@bibletv9818
@bibletv9818 3 жыл бұрын
Unasema?
@amanielastariko6722
@amanielastariko6722 2 жыл бұрын
Mmmmhhh hapana Ile ilitosha bwanaaa😂😂
@mwajumamatinda2496
@mwajumamatinda2496 3 жыл бұрын
Nimejifunza vingi...kikubwa siyo mtu wa kujikweza JK! Angekuwa mwingine ungesikia nilikua mzuriii sana Shulen,Jeshin au ktk Basketball...ila Mzee yupo Humble
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣😂Kumbe umeliona 🤣🤣🤣🤣😂😂😅
@hemedykiboko2650
@hemedykiboko2650 3 жыл бұрын
Ameulizwa ulikuwa focus Sana wakati wa shule? Akasema Nilikuwa naenda shule😂😂😂
@wazirituppa6739
@wazirituppa6739 3 жыл бұрын
Mwengine Kama Yupo 😂😂😂
@masalugusessa3702
@masalugusessa3702 3 жыл бұрын
@@hemedykiboko2650 aliposema hivyo walahi nilijikuta nacheka tuu
@sophiamwita3424
@sophiamwita3424 3 жыл бұрын
very humble father almighty GOD bless him..stay safe
@winfridamdaki5699
@winfridamdaki5699 3 жыл бұрын
Very humble, God bless you Daddy
@TheMandela21
@TheMandela21 3 жыл бұрын
JK still handsome in his old age
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 3 жыл бұрын
Raisi mstaafu mwenye upendo wk kwa waTz na mwenye Swagazzzzzzzzzzz zake big up Salama kwa interview nzuri🔥🔥🔥🔥
@angelmaufi
@angelmaufi 3 жыл бұрын
GOD bless you Sir! Great interview dada Salama👏
@ramadhanikibana9867
@ramadhanikibana9867 3 жыл бұрын
Uchuro uo hahahahahah mr przdn
@bronzal56
@bronzal56 3 жыл бұрын
Hongera sana Salama, that was the best! Na Mr president mwache tu aitwe Mr president.. so smart man!!💪🏽🙌🏽🙌🏽
@jumannebundala2594
@jumannebundala2594 3 жыл бұрын
My roll model wachache sana tulio hivi like father kikwete nakukubal sana mzee wangu
@elenzianjk5543
@elenzianjk5543 3 жыл бұрын
Favorite! We got a president in him!
@abdallahngowi1349
@abdallahngowi1349 3 жыл бұрын
Kikwete ana vitu vitatu nimevichukua 1.kikwete ana nidham. Nidhamu yake iko kila mahali shuleni, kazini na hata kwa jamii 2.kikwete hana tabia ya kujikweza kabisa japokuwa ana mambo kayafanya ambayo wengine wangejikweza 3.kikwete ana subra sana. Tuchukue mfano mzur wakat anamhitaji mama salma
@goodluckjoseph8238
@goodluckjoseph8238 3 жыл бұрын
he talks the life........ such a great man
@emilianashayo5978
@emilianashayo5978 3 жыл бұрын
Japo watz hatupendi kusoma but kitabu cha JK I can’t wait, he inspires me a lot 👏💪🙏
@n8thegoat
@n8thegoat 3 жыл бұрын
Mzee anamuelewa Chris Brown pia. #TeamBreezy 😂
@sado3086
@sado3086 3 жыл бұрын
Kama mstaafu anaruhusiwa kugombea tena, nitapiga kura mara 20
@josephgomalo41
@josephgomalo41 3 жыл бұрын
Ili muendelee kupishana angani na tembo waishe? Huyo mzee anafaa kwenye kupiga stori na usuluhishi lakini katika utawala hafai.. aliwaacha wafisadi wafanye wanavyotaka huwezi kuendelea hivyo. Magufuli kawafunga wachina na wahindi. Kwani huyu mzee alikuwa hawaoni..?? makinikia yaiibwa alikuwa hajui au haoni?
@sado3086
@sado3086 3 жыл бұрын
@@josephgomalo41 magufuli ni nani?
@rajansharky3386
@rajansharky3386 3 жыл бұрын
@@josephgomalo41 unaongea kwa emotional, dig well huyu mzee ni kiongozi
@abbyjma7355
@abbyjma7355 3 жыл бұрын
Hata Mimi akigombea Nampa kura Kama zoteee
@mayanimlingwa1376
@mayanimlingwa1376 3 жыл бұрын
Nimesoma comment nyingi ila n wewe tu ndio nimekuona w tofauti mtoto wa hitler
@hamzaalawy6694
@hamzaalawy6694 3 жыл бұрын
Salama Allah akubariki. Mimi nishabiki wako katika vipindi vyako. Kiukweli nakupenda sana ikiwa kwenye majukwaa ya vipindi vyako.
@ramadhanikibenga6317
@ramadhanikibenga6317 3 жыл бұрын
Interview nzuri sana MUNGU AKUJAALIE KILA LA KHERI MH. MRISHO JAKAYA KIKWETE NAKUPENDA SANA
@enisaswilla494
@enisaswilla494 3 жыл бұрын
Nice
@enisaswilla494
@enisaswilla494 3 жыл бұрын
.
@nelsonmwombeki5243
@nelsonmwombeki5243 3 жыл бұрын
Dah Salama ni noma, Mheshimiwa Jakaya ni very humble person, this is the best interview aisee. I like every second of it.
@alifaki5043
@alifaki5043 3 жыл бұрын
Salama: Kwanin tunakupenda? Jk: Hilo waulize hao wanaonipenda🤣🤣🤣. Salama: Lakin unajua km tunakupenda ? Jk: mm sjui bhanaa 🤣🤣🤣 najua tu hamnichukiii 🤣🤣🤣.
@chale0ify
@chale0ify 3 жыл бұрын
Kwenye hip-hop tunaita punch lines
@hemedykiboko2650
@hemedykiboko2650 3 жыл бұрын
😂😂😂mzee makini
@hemedykiboko2650
@hemedykiboko2650 3 жыл бұрын
Kwa sababu Sina ushahidi wa kuchukiwa
@ramadhanikibenga6317
@ramadhanikibenga6317 3 жыл бұрын
@@hemedykiboko2650 Yaani ana hekima sana na busara pia
@bongoupdates26
@bongoupdates26 3 жыл бұрын
Salama: Kwanini tunakupenda? Jk: Hilo waulize hao Wanaonipenda🤣🤣 Salama: Lakini Unajua kama tunakupenda? Jk: Mimi sijui bhanaa🤣🤣najua tu hamnichukii
@alphaabdallah1406
@alphaabdallah1406 3 жыл бұрын
Nimependa Mh kuunganisha majina ya babu zake wote na kuyatumia yote, i like it sana sana....i wish niige yan hata kama sio kwangu basi kwa mwanang
@eliashishimwasha9946
@eliashishimwasha9946 3 жыл бұрын
I've never commented on any KZfaq pages but it's a good interview😍😍😍
@jackyjacob2105
@jackyjacob2105 Жыл бұрын
Congratulation dada salama nakipenda sana kipindi chako asante pia Kwa baba yetu bado tunaushi na nasaha zako mungu azidi kukuongezea miaka mingi tuzidi kufrahiya uwepo wako baba 🥰🥰
@omarkhelef7631
@omarkhelef7631 3 жыл бұрын
Salama hongera kwa interview nzuri na mhe rais JK lkn nina maoni kidogo hapo mwisho ulikuwa ukipromote kitabu chake.... anyway nimeenjoy!!!
@CheupeEceJay
@CheupeEceJay 3 жыл бұрын
Sure, ASANTE. Hakijatoka lakini na bila ya shaka tutakiskuma kikishatoka In Shaa Allah, oh maybe he will come in to do just that? 🤔
@juliuspeter9525
@juliuspeter9525 3 жыл бұрын
The Guy was president for 10 years and He was Minister for more than 15 years the guys kafanya kazi na marais wote lakin pia kafanya Kazi na Current president. ........ naona kama kuna haja ya Interview nyingine. Anyway nakupongeza sana kupata chance ya kumleta kwenye kipindi.
@mactongathe179
@mactongathe179 3 жыл бұрын
Yaani ile kuona clip za Walkt-into studio nkajua tu huyuu ni MZEE JK, But NIMEPENDA Salama anavomuita BABA. Asante TENA SALAMA, Umeuliza maswali 60% nngepata nafasi ya kumuona huyu BABA nngeuliza pia. (SECRET BEHIND HIS SMILE) hua naitafta sanaa. KEEP MOVING NIMEKOMA KUKUFANANISHA NA YEYOTE DUNIA HII SALAMA. DAH..!
@jabarithegreat6292
@jabarithegreat6292 3 жыл бұрын
Salama asanteee kwa Kaz yako nzr,,,,Mungu ajarie siku moja utuletee na Magufuri itapendeza Sana✍️
@evancekimath7405
@evancekimath7405 3 жыл бұрын
Hongera sana salama,Mh. JK nimejifunza mambo kadha wa kadha. Interview imekaa poa kweli kweli....!!
@ramadhaniabdi9530
@ramadhaniabdi9530 3 жыл бұрын
Salama Umeogopa Sana Kuulza Maswal Ambayo Tulitegemea Ila Tumefurah Kumuona Mpendwa Wetu Rais Mstahafu🙏
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 3 жыл бұрын
Mawazo yetu yana fanana
@samyjohn2389
@samyjohn2389 3 жыл бұрын
Remember he is the prev president so lazima wasaidiz wake nao wareview the questions, huwez anza muuliza maswal ovyo ovyo tu
@catherinemoshi4347
@catherinemoshi4347 3 жыл бұрын
@@samyjohn2389 on point
@abedkirway8668
@abedkirway8668 3 жыл бұрын
Kiongozi bora kuwahi kutokea dunian JK nakuombea kwa Mwenyez Mungu maisha marefu amin tunakupenda baba sana
@richardmollel2032
@richardmollel2032 3 жыл бұрын
Salama daaaaaah WEWE NAKUKUBALI Sana leo kwenye salama na umetuletea kikwete salunti kwako
@ajaxjunior4151
@ajaxjunior4151 3 жыл бұрын
Hongera sana Salama na Mheshimiwa Jakaya Kikwete excellent interview kama vile Baba na mtoto wake Big up
@kombojumaa9535
@kombojumaa9535 7 ай бұрын
BIG UP HON. J.K TUNAKUTAKIA MAISHA MAREFU NA YA FURAHA, UMENIKUMBUSHA JABAL ABDUL KAREEM KWENYE BASKET BALL, NA ALICHEZA FILAM YA KUNGFU NA BRUCE LEE MIAKA YA 70
@dkt.mohammedsaid8337
@dkt.mohammedsaid8337 3 жыл бұрын
Jk umefundwa uongozi , umelelewa katika uongozi na ukaiva katika uongozi. Umejaa hekima na busara nyingi Sana . Mtu wa watu ,mwenye upendo wa dhati na watu bado wanakupenda . Haijikwezi . Unaongea kama mtu wa kawaida fawaida japo kuwa ni kiongozi mkubwa Tena Uliyepitia nyazifa nyingi Sana. Umekuzwa kisiasa . Na siasa ipo kwenye kinywa chako. Nilichokipenda kikubwa kurudi kuishi kijijini kwenu licha ya kwamba una uwezo wa kuishi popote upatakapo .
@hkmkuu8698
@hkmkuu8698 3 жыл бұрын
💯
@greatiq7835
@greatiq7835 3 жыл бұрын
Hujo "Jamaa" amekokea kila secta. Ukianzia na secta kuu ya utambuzi wa tabia ya mtu.. Secta ya MAADILI MEMA! Yuko vizuri sana kwenye hiyo secta
@mzizirashid709
@mzizirashid709 3 жыл бұрын
Siku Moja Nataman sana nikutane na Salama Jabir Nikupe Hongera Zako Nataman sana Ningekuwa mtangazaji niwe Kama ww
@mashakamrisho2696
@mashakamrisho2696 3 жыл бұрын
Much love to my presida..Allah akupe umri mref!
@jerrywilhelm
@jerrywilhelm 3 жыл бұрын
Salama kudos... good interview and a lot to learn. Soldier on 👌🏾👌🏾💪🏾
@khalekichambo1131
@khalekichambo1131 3 жыл бұрын
Interview nzuri na kitabu tunasubiri cha muheshimiwa mpendwa
@kombojumaa9535
@kombojumaa9535 7 ай бұрын
SALAMA JABIR ! HEBU FANYA ITERVIEW NA MASTER, I MEAN MASTER J. IT WILL BE VERY FANTASTIC
@ismailmwanjala4830
@ismailmwanjala4830 3 жыл бұрын
The president i never hate him because he was charming allah bless you.
@fredahkishenyi84
@fredahkishenyi84 3 жыл бұрын
We are humble to have you here H. E JK
@olivakatabazi2578
@olivakatabazi2578 3 жыл бұрын
Kaka .yangu nimemkumbuka alivyokuwa na roho ya upendo enzi tuko.ofisi ya siasa kwa mama jeni nikiwa mmoja wapo wa kumchapia ma kablasha ya mapeo ya siasa hapo upanga yangu uliptuhama ukasonga mbele hatujaonana tena ila mungu akutie nguvu na maisha meme Mimi sasa hivi ni mtumishi wa mungu. Amina
@hamedabashir9
@hamedabashir9 3 жыл бұрын
Nimefurai sana jmn hongere salama kutyuretea mweshimiwa musitafu mashallah 🤗🤗🤗😍😍😍❤️
@SIMULIZIZONE
@SIMULIZIZONE 3 жыл бұрын
Daaah mzee wa msoga, Mungu endelea kumweka huyu baba, tufaidi busara zake.
@vanitosha844
@vanitosha844 3 жыл бұрын
Our lovely dad💕💕💕 God bless you.
@mwanamngombe1688
@mwanamngombe1688 3 жыл бұрын
I love everything about this show..keep it up Salama..long live JK
@kanyika14kanyika16
@kanyika14kanyika16 3 жыл бұрын
One of the best interview ever😘😘
@roseomary1351
@roseomary1351 3 жыл бұрын
Kipind kitakua hakichoshi kuangalia hongeren team nzima
@abdimoha3514
@abdimoha3514 3 жыл бұрын
Hivi salaama ujuwe kuliza maswali kwa wazee tujuwee mengii political pple plzz, nashukuru sana kumuona Baba JK Mungu akupi afia na maisha marefuu((salama narudia tena plzz jaribu ku ulizaaa maswali )))))))))
@abaskhatoon9425
@abaskhatoon9425 3 жыл бұрын
Hapo kwa wajukuu nimefurahi sana na kuamini neema ya kuwaona wajukuu.ALHAMNDULILAH.
@nassorsaid2331
@nassorsaid2331 3 жыл бұрын
Salama kama hujamtendea mzee haki maswali kama mepesi mepesi sana
@Kingnelbo
@Kingnelbo 3 жыл бұрын
ThankS Salama Kwakutuletea mzee wetu🙏
@victormalinga639
@victormalinga639 3 жыл бұрын
Salama Next Interview Fanya Na Mzee Mwinyi Tupate Hazina Zao Wazee Wetu Hawa Wa Nchi Yetu Wenyewe...!!!
@pendomarco8928
@pendomarco8928 3 жыл бұрын
Baba mstaarabu Sana huyu
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 3 жыл бұрын
Rais Bora kuwahi kumshuhudia ktk nchi yetu Mungu azid kumlinda
@hamidaismail1029
@hamidaismail1029 3 жыл бұрын
I can't wait to see this book 😍
@mwenehamiddu2320
@mwenehamiddu2320 3 жыл бұрын
Much love my uncle god bless you😙😙😙
@ayshersaadallah1886
@ayshersaadallah1886 3 жыл бұрын
This is best interview Salama... I love this man😍
@riririri4983
@riririri4983 3 жыл бұрын
My love for JK ❤️is way too much I can take bullet for him meennnn This man is incredible 💪🏼
@chrismwanakwetu3677
@chrismwanakwetu3677 3 жыл бұрын
Nakuelew sn Mh Kikwete Salama upo good pia kwa midaalo unayoiongoza
@olivanooraladin5436
@olivanooraladin5436 3 жыл бұрын
Hiyo nimeipenda waulize wanaonipenda
Salama Na JK Ep 48| MSOGA UNO PART 1
28:27
YahStoneTown
Рет қаралды 549 М.
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 196 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 24 МЛН
Mkasi - SO7E12 With Ray C
28:04
MkasiTV
Рет қаралды 211 М.
Salama Na HAJI Ep 52 | ALIYE KUTWIKA NDIYE ATAKAYE KUTUA PART 1
43:34
Salama Na SUGU Ep 50 | UJIO WA UMRI PART 1
32:38
YahStoneTown
Рет қаралды 109 М.
ЖВАЧКИ!!!
0:47
Li ALINA
Рет қаралды 5 МЛН
The thieves pulled a prank on the Policeman ! 😬👮🤣
0:38
BOGDANCHIKI
Рет қаралды 10 МЛН
Курение вредит здоровью
0:28
ЮРИЧ
Рет қаралды 4,1 МЛН
Поймали акулу
0:51
Pavlov_family_
Рет қаралды 2 МЛН