JK Asimulia Mkapa Alivyotangazwa Mshindi

  Рет қаралды 61,688

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Жыл бұрын

Rais Mstaafu JK Asimulia Hali Ilivyokuwa Siku Ambayo Mkapa anatangazwa Mshindi wa U Rais

Пікірлер: 54
@noelnoel4916
@noelnoel4916 Жыл бұрын
Jk stories zako tamu kusikiliza, ulifanya kazi kubwa kwenye uongozi wako inchi ilikuwa ngumu kisiasa
@linusjohn4941
@linusjohn4941 Жыл бұрын
Safi sana mh jakaya kikwete Bado wewe ni tegemeo la watanzania safi jk Kwa hekima zako
@jumannemagumba619
@jumannemagumba619 Жыл бұрын
Ndio maana unaonekana kijana kwani hukuwa na mambo mengi ya ajabu ,ulipenda maisha ya watu kuliko vitu
@tumainimalulu7708
@tumainimalulu7708 Жыл бұрын
Mkapa alitengeneza njia nzuri ambayo Kikwete na wengine wanapita na watapita. Imani yake ya kujenga taasisi yenye nguvu ndiyo inayotupa kujigamba. Mkapa na TASAF, TRA, MKURABITA na mengine mengi. Alistahili kuanza kabla ya Kikwete. Ndio sababu Kikwete alisema Mkapa kaifikisha nchi kwenye njia ya kurukia hivyo viongozi wengine wanatakiwa kuirusha nchi hii.
@hulilolutaha1277
@hulilolutaha1277 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu aendelee kukupa afya timamu mstaafu Rais
@kennedykaduma9104
@kennedykaduma9104 Жыл бұрын
But Mzee kikwete umenisaidia Sana kufanya maamuzi Bora katika mazingira ya kinyang'anyiro na ushindani uliojaa fitina na figisu. Hongera sana. Ukionesha ukomavu mkubwa Sana kisiasa. Hatimaye Mungu hamtupi mja wake.
@samwelmsalaba9132
@samwelmsalaba9132 Жыл бұрын
Nimecheka sana,eti kambi wakasema tujiunge tukasajili chama kingine kweli wapambe noma,
@kiliankamota7922
@kiliankamota7922 Жыл бұрын
Mzee Kikwete is larger than life celebrity leader. Tunaomba aandike vitabu tuje kijifunza kwake. God Bless Kikwete!
@iskiji1240
@iskiji1240 Жыл бұрын
Alianza muda sana kuandika nadhani mwakani anaweza kuzindua
@Marjeby
@Marjeby Жыл бұрын
Wee mzee wallah unanafasi yako peponi
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 Жыл бұрын
Wewe Mzee nakukubali sana..
@kennedykaduma9104
@kennedykaduma9104 Жыл бұрын
Aliyepiga konyagi ni Nani please!😂😂😂😂😂
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 Жыл бұрын
Nadhani Lowasa ..!
@egnokapinga16
@egnokapinga16 Жыл бұрын
Huyu jamaa ana miakili sana.
@ombenimalisa4499
@ombenimalisa4499 Жыл бұрын
Nakukubali Sanaaa mzee wangu
@omaryngitu2443
@omaryngitu2443 Жыл бұрын
Wewe ni Rais Bora kabisa,tunajua ila tunajitoa fahamu
@mvukiedavid4332
@mvukiedavid4332 Жыл бұрын
True confession
@IbrahimHassan-ex7sn
@IbrahimHassan-ex7sn 5 ай бұрын
Hiki kichwa achana nacho kidiplomasia hakuna kama hiki raisi poa sana live long life president.
@DadialiDadi
@DadialiDadi 11 ай бұрын
Wewe unasemaa mwiz lakn wiz wakeee ulikuaa na faida kwa watu hakula peekee akee nyau la bar wewe huyu ni tpdf staminaaaaaaaa goodbles jakayaaaa
@user-zl3le1wz2u
@user-zl3le1wz2u 5 ай бұрын
Unalilia ni cheo chako mwandishi fafanua vizuri kichwa cha habari
@user-uk5ym5qv5m
@user-uk5ym5qv5m 6 ай бұрын
Namheshimu Sana huyu kiongozi,,,,,,,,,,,
@ismailjumanne1609
@ismailjumanne1609 Жыл бұрын
m/zimungu akuongezee umri, tuendelee kuchota hekima zako, kiukweli maneno yako matamu saaana!!!!
@binarytanzania
@binarytanzania Жыл бұрын
Raha sana kuskiliza the good old days
@godcompeter9844
@godcompeter9844 Жыл бұрын
Nipeni Konyagi
@user-oq3dd5xj9m
@user-oq3dd5xj9m Жыл бұрын
One day you'll come up with really really really really good if not better story than this. There is a day and that day will come
@theteacherchance6750
@theteacherchance6750 Жыл бұрын
Those are just the tip of the iceberg, there is plenty more underground
@ramadhanimtambo6755
@ramadhanimtambo6755 Жыл бұрын
Huyu Mzee ni mkweli yote anayosema we angalia hata baba wataifa alimkubali huyu alishangilia sana baada ya kikwete kutoa kauli ya kumuunga mkapa
@user-fj5qi8ej6y
@user-fj5qi8ej6y 7 ай бұрын
Mimi namkubali sana huyu mzee anauchungu sana nchi yake bingwa sana wa siasa za bongo
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION Жыл бұрын
Mange kimambi kumbe yupo kwe mkondo...wa maji
@ludengelumufrancis5539
@ludengelumufrancis5539 Жыл бұрын
Nakubari Sana Mzeeee wangu . I HOPE ONE DAY WE WILL MEET 🥰🙏
@boscojulius532
@boscojulius532 Жыл бұрын
Even me I love him so much
@rockcitynative9985
@rockcitynative9985 Жыл бұрын
Yaani wewe ulikuwa ni kajanja sana. Wenzako waliendeshwa na mihemko lakini wewe ulishajua Rais wa wakati ule na viongozi wakuu wa chama washaamua mgombea wao ni nani na kwakuwa wao ndio wenye serikali ukijaribu kupambana nao watakuimiza ukaamua uwaache wenye nguvu alafu wewe uendelee kujihimarisha taratibu. Ulikuwa na akili mingi sana. Ila ninakulaumu kutuwekea yule dikteta uchwala ulipokuwa unaondoka.
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 Жыл бұрын
Sawa sawa mm nakuunga mkono asilimia mia ila yule magu mkapa ndiye aliyemuweka pale ila akakosa shukrani .!
@kashindisimon5265
@kashindisimon5265 5 ай бұрын
Sasa kama ni nani aliteka mchakato kusema urudiwe ili kumbeba mkapa Kama sio Mwl?kuna kitu unatudanganya bana na Bahati mbaya wakuulizwa wote ni marehemu
@iddysonyo266
@iddysonyo266 Жыл бұрын
hiyo ndio ukweli wa chama cha ccm wanafanya wanachotaka kwenye uchaguzi sio ushindi wa halali katika kura
@bullekisimikwe3852
@bullekisimikwe3852 Жыл бұрын
Leo mzee ndo umeuthibitishia umma kuwa CCM ni chama cha figisu figisu yaani hakunaga uchaguzi huru na haki
@petroleumexperts3442
@petroleumexperts3442 Жыл бұрын
huna unachoelewa, hizi ni kura za maoni ndani ya chama,
@petroleumexperts3442
@petroleumexperts3442 Жыл бұрын
we una akili sawa sawa wew
@mkande
@mkande Жыл бұрын
Huyu mzee noma
@ip_header
@ip_header Жыл бұрын
Kiongozi muungwana
@hassanhamudy982
@hassanhamudy982 Жыл бұрын
mange kimambi.......!!!!!!
@ntufyemwakigonja2277
@ntufyemwakigonja2277 Жыл бұрын
Aliyekunywa Konyagi ni nani 😀😀😀😀😀
@jacksonwanga6626
@jacksonwanga6626 Жыл бұрын
Sitta
@amanimadinda6081
@amanimadinda6081 Жыл бұрын
EL
@jituakilimali15
@jituakilimali15 Жыл бұрын
Huyu jamaa anaona yeye ndio amefanya kila kitu katika urasi wake kumbe ndio jizi kubwa subiri kaburi linakusubiri
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Nani hatakufa? Hao waliokufa walifanya nini, hakuna wa Milele haya maisha
@karaoglan9444
@karaoglan9444 Жыл бұрын
Utatangulia wewe usipoangalia
@hassankurwa464
@hassankurwa464 Жыл бұрын
Ndio alivyo ana penda kuona amefanya kila kitu. R.I.P JPM hamfikii hata kidogo. Kumbe Mange anatumwa
@shamte9musicofficial126
@shamte9musicofficial126 Жыл бұрын
Mi naamini mzee uyu katoka hijja ataongea mengi tu
@omarylugusha
@omarylugusha Жыл бұрын
Nipeni konyagi😂😂
@fredma21x
@fredma21x Жыл бұрын
ninywe nife🤣🤣🤣
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 40 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 19 МЛН
Как бесплатно замутить iphone 15 pro max
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 6 МЛН
JK Asimulia Alivyokutana na Michael Jackson, Rihanna na 50 Cent
4:08
JK Alivyomkana Membe | Amuelezea Magufuli
5:50
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 75 М.
MFAHAMU Mwalimu Aliyemfundisha KIKWETE, Asimulia DC Alivyoifunga SHUL
11:54
BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.
21:57
Wasafi Media
Рет қаралды 1,8 МЛН
KABLA HAJAFARIKI, MANENO YA MWISHO YA MKAPA MBELE YA RAIS MAGUFULI
6:15
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 40 МЛН