Ufanye nini watu wa kupende zaidi?

  Рет қаралды 129,466

Joel Nanauka

Joel Nanauka

3 жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 226
@emmanueljohn8970
@emmanueljohn8970 3 жыл бұрын
Kwa Kweli Ubarikiwe sana Mtu wa Mungu, umekuwa Mentor mzuri sana Kwangu yaani najifunza mengi mno Toka kwako. Hata Kibari nilichonacho najua Ni Mungu tu Amewatuma ninyi ili muishape Jamii.
@yakubufadhil2560
@yakubufadhil2560 Жыл бұрын
Joel nakupenda Sana Kwa ajili ya Allah,upo vizuri Sana kwenye kufatilia mambo, ebu Kaa chini uangalie ukweli kuhusu ni ipi dini sahihi Mbele ya Mungu Kwa wanadamu woooote?
@mirambovumilia3926
@mirambovumilia3926 3 жыл бұрын
Ni mwezi wa pili Sasa tangu nianze kukufuatilia kwenye mitandao , na huwa najitahidi kukuelewa na kutekeleza kila ninacho amini kutoka kwako ,. Kiukwel nimeanza kuona mabadiliko kwenye kipato ata lifestyle yangu. Na kama hii elimu ningeipata miaka miwili iliopita, naamini ningekuwa mbali kiuchumi. Nakuombea kwa mungu usije choka kuelimisha ,nakutegemea mwalimu wangu And I Promis You To See Me At The Top💪
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ahsante kwa mrejesho huu, tuendelee kujifunza zaidi
@emmanuelhawela6281
@emmanuelhawela6281 2 жыл бұрын
@@joelnanauka .l
@user-xo4gl3we1t
@user-xo4gl3we1t 9 ай бұрын
KAKA JOEL NANAUKA ASANTE WA USHAURI MZURI MUNGU AKUBALI@@emmanuelhawela6281
@michaelkarunda5120
@michaelkarunda5120 3 жыл бұрын
Nimekufuatilia kwa kipind kifupi sana na kukuelewa, nimejilaum why nilichelewa kukufamu mapema?... Upo safi sana brother.
@nimrodmulangi8074
@nimrodmulangi8074 Жыл бұрын
Pamoja na yote, hili la kuwatambua majina yao umenisaidia zaidi, hapa ni moja ya maeneo nitaanzia kazi zaidi. Mwl wangu Ubarikiwe.
@vairethsimkoko3201
@vairethsimkoko3201 3 жыл бұрын
Hakika nimejifunza mambo mengi na naamini mfumo wangu wa maisha utazidi kuwa na matokeo mazuri,ubarikiwe sana.
@ANANIUSELIAS
@ANANIUSELIAS Жыл бұрын
I have heard alot of motivational and inspiration speeches from experts and gurus , but this guy @joel nanauka is outstanding....Moses Jackson
@kasabwapeter8653
@kasabwapeter8653 3 жыл бұрын
asante sana KAKA hakika wewe una faha katiya watu makini zahidi.
@angelalwisa3321
@angelalwisa3321 3 жыл бұрын
Waooo I like it... Mtu wa Mungu yaani KILA nikikusikiliza uwaga najifunza Sana na kubarikiwa mnoo
@martinjuliusadam970
@martinjuliusadam970 3 жыл бұрын
Umeokoa fikra, sasa si mtumwa kifikra... Ahsante bro Joel "#s60 see you at the top"
@mwashighadijames3018
@mwashighadijames3018 3 жыл бұрын
Thanks bro Joel,am from Kenya hakika hayo yote nayafuatilia kweli na mimi namshukuru mungu napendwa kweli,smile is the way of showing how you are interested to others, sio kununa mda wote
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Hongera sanaaa
@user-jb6hi2vs7y
@user-jb6hi2vs7y 3 ай бұрын
Kaka joel wewe ni mtumishi wa Mungu kwa eneo hilo Kwa kutabu chako cha Mkombozi wa familia na speech ya usisubiri kuanza anza sasa my life has changed totaly My God keep you my brother🙏🙏🙏
@jimboulaya
@jimboulaya 3 жыл бұрын
Ahsante sana kwa kweli katika jamii yetu issue ya kukamata simu wakati wa maongezi muhimu ni tatizo sana na unaikuta hata kwa hao wanaoitwa mastaa, utakuta anafanyiwa mahojiano muhimu ila yuko busy na simu. It's very unprofessional, jengine kukosea kutamka majina, hatufanyi bidii kumtamka mtu vile inavotakiwa, hata wewe mtaalamu hapa umeteleza kidogo 3:25 ni Inatamkwa kwa kiswahili Deil Kaa-nih-jee na sio Dale kama kwenye ma-dale.
@suzanedgar5113
@suzanedgar5113 3 жыл бұрын
Asante sana. Kwa kweli nilikuwa si mtu wa kutabasamu
@epafranyambalo
@epafranyambalo 3 жыл бұрын
Jana kanisani hapa Kijitonyama.kuna mchungaji ndio ilikua mara ya kwanza kumuona.ila alivyosalimia kwa smile zuri.zaidi ya nusu ya kanisa tuli smile na ni mwanaume.Real smile inaambukiza
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Mfano mzuri sanaa huu
@omaryshafii1174
@omaryshafii1174 3 жыл бұрын
Cha kwanza uwe na hofu ya Mungu mtu anapokuja na tatizo ulichukue kama la kwako utaweza kufanya hayo yote Mungu akubariki kwa somo zuri
@christophernilongo6154
@christophernilongo6154 3 жыл бұрын
Nakubali Sanaa mafundisho yako brother, hata ukipitia sekunde chache tu lazima ujifunze kitu
@dottounique7184
@dottounique7184 3 жыл бұрын
Asante mno brother Joel nakutakia maisha marefu mnomno vote nitavitekeleza brother Joel
@adelaidenganyagwa3900
@adelaidenganyagwa3900 2 жыл бұрын
Nakupongeza sana kwa kufundisha vizuri! Hakika wewe ni mwalimu na unanguvu za kutoka kwa Mungu! Endelea Mungu kuna kitu amekuandalia mbele pambana kaka
@newtondangote6954
@newtondangote6954 3 жыл бұрын
Thank you brother Joel, Hakika nimejifunza kitu kwenye video hii, zaid zaid nikuweka mkazo tu! Though sikuwahi kufikiria Nguvu iliyopo kwenye kumuita mtu jina lake.
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
🙏🏻🙏🏻🙏🏻 Ahsante snaa
@sharifamtilly1014
@sharifamtilly1014 3 жыл бұрын
Nashukuru mungu hivyo vyote ninavyo Ila nitaongeza kuwa active listening. Coz watu hupenda kunishikirika na kuipenda kazi yangu .
@mbelwakattolwiiza2228
@mbelwakattolwiiza2228 3 жыл бұрын
Ahsante Sana kwa somo zuri Sana nakupenda Joe Nanauka
@revstephenmursaotv.3198
@revstephenmursaotv.3198 Жыл бұрын
Asante Sana kwa elimu unazotupa mtumishi wa Mungu. Tunakupenda.
@devothasimbi1055
@devothasimbi1055 3 жыл бұрын
Nimekuelewa vizuri sana kaka, upo sahihi kabisa nimejiona mwenyewe haswa kwenye tabasabu ni kweli watu wanajenga Imani na ukiwa na jitihada kubwa kazi hutojiona mpweke watu wanafurahia uwepo wake.shukrani kubwa
@jumbewatson4164
@jumbewatson4164 2 жыл бұрын
Thnx Joel unanifanya niwe mtu katika watu sasa mimi naanza mwanzo na kusikiliza koz nlikua mbishi kwa kila maada...Asanteh
@thrivehappy9610
@thrivehappy9610 2 жыл бұрын
Mungu akulinde! Nashkuru nduguyangu pia naamini nitaonana nawewe live!
@Mbembela737
@Mbembela737 5 ай бұрын
Unafundisha vizur sanaa kiongozi huwa napenda sanaa mafundisho yako be blessed more?
@deboraclass9282
@deboraclass9282 Жыл бұрын
Mshauri wangu siku zote...❤ Shukrani sana Kaka Joel Nanauka.
@Oderabrenda
@Oderabrenda Ай бұрын
Mafunzo yako inaeleweka kabisa naisikiliza kwa makini ❤🎉from Kenya 🇰🇪
@ghostelmendez7206
@ghostelmendez7206 3 жыл бұрын
Katika walimuuuuuu wote niliowasikiliza ......Huyu mwalimu nanaukaa nakupenda bure silipii chochote lakini najifunza mungu akulinde na akutunze ,.,,.,.,.,..,.,.,.,,.,..,.,.,..,.,.________
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Nashukuru sanaaa
@swalhaomar162
@swalhaomar162 3 жыл бұрын
Thank you so much Mr. Joel
@rehabokaya2232
@rehabokaya2232 3 жыл бұрын
Hi Mr Joel Nanauka nilijoin hivi juzi na ninazidi kubadilika hongera sana
@JamesJux-cl6pv
@JamesJux-cl6pv 3 ай бұрын
Dahh hongera sna kaka kwa kazii yko nzuri
@ibrahimAhmed-zq5hj
@ibrahimAhmed-zq5hj 3 жыл бұрын
Thank you so much bro God bless you
@JSL.TV_TANZANIA_1
@JSL.TV_TANZANIA_1 4 ай бұрын
Very powerfully,,@see you at the top.
@mariaphilemon7857
@mariaphilemon7857 3 жыл бұрын
Hakika unanifungua ufahamu kwa vingi, Barikiwa mno Mungu wa mbinguni azidi kukutunza
@AidaMakwaruzi
@AidaMakwaruzi Ай бұрын
Asante sana kaka Nafrahishwa sana Nimejifunza kitu
@godloventegwi8400
@godloventegwi8400 3 жыл бұрын
Ahsante Sana Kaka uwe blessed Sana we learn more & more from you
@jasonjastinmatandala3037
@jasonjastinmatandala3037 3 жыл бұрын
Nimeelewa sana nitajitahidi kuanza kila mojawapo kwa nafasi yake... Kwani hata kama nafanya baadhi ya hapo Ila sio kama umefundisha, ahsante kaka Nanauka
@sugarkheri4680
@sugarkheri4680 2 жыл бұрын
Asante Na barikiwa Sana
@neemaprisca7126
@neemaprisca7126 3 жыл бұрын
Thanks Sir, for u are nice presentation,
@boazigelefasi8769
@boazigelefasi8769 3 жыл бұрын
Thanks bro kwa somo nzuri
@happymushi2219
@happymushi2219 Жыл бұрын
Asante Sana Kaka ubarikiwe sana
@anoldnelson2049
@anoldnelson2049 3 жыл бұрын
Nakuelewa Sana mwalimu nafraiya uepo wako mungu akujalie zaidi
@paulpeter4684
@paulpeter4684 5 ай бұрын
Thank a lot for that taught us in side of life education do again 🙏🙏
@naamohamed9964
@naamohamed9964 3 жыл бұрын
Asantee kk
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 2 жыл бұрын
Thanx and bless you always
@mengicacoconut8144
@mengicacoconut8144 3 жыл бұрын
It's really good ! Thank you brother
@mawam6462
@mawam6462 3 жыл бұрын
Sahih
@MerryLaurent-ug6jm
@MerryLaurent-ug6jm Ай бұрын
Kweri kabisa Kaka angu yaani unaongea ukweri yaani mi ni mtu wa tabasamu yaani muda wote nipo na tabasamu . Watu wengi wananipenda sana,yaani ata mtu akinikosea mimi nimwepesi sana kusahau na kuruhusu mambo mengine yandelee UBARIKIWE SANA KAKA ANGU. umenifanya niamini ni kweri kabisa unacho zungumza
@mubussnestv5057
@mubussnestv5057 3 жыл бұрын
Joel nanauka sijaacha kukufatilia since march 2020 nlipokuon KZfaq see you at the top
@NsajigwaMwakanyamale
@NsajigwaMwakanyamale 3 ай бұрын
Kaka nashukuru sana maana nilikosa kaz kisa nilikua nmenuna
@faudhiatmasoud4025
@faudhiatmasoud4025 3 жыл бұрын
Kwa sababu tu nimekua nikikufatilia kwa muda mrefu nafurah kusema ayo yamekua kama marudio kwangu na faida zake nimeziona pia nazidi kuziona..you be blessed kaka💪
@hilaryndosi249
@hilaryndosi249 3 жыл бұрын
Shukrani sana Joel ..mengi nimejifunzaa.
@philomenaemanuel869
@philomenaemanuel869 2 жыл бұрын
Nafatilia kila siku masomo yako barikiwa sana na Mungu akutumie zaid
@victoriakimaro8869
@victoriakimaro8869 Жыл бұрын
May God bless you!
@abdallahzaidan_0143
@abdallahzaidan_0143 4 ай бұрын
thanks bro,every single word is maningful
@wemajoashi3549
@wemajoashi3549 2 жыл бұрын
Asante umenifungua hakir
@juniorcx0114
@juniorcx0114 3 жыл бұрын
Shukran
@healinghomeprayercentre
@healinghomeprayercentre 3 жыл бұрын
Thank you sir
@amosdaud9410
@amosdaud9410 Жыл бұрын
Binafsi nafurahia Sana masomo yako brother Joel, Mimi ntaanza na kusikiliza kwa makini (active listening)
@MariaMosi-xi4hh
@MariaMosi-xi4hh 2 ай бұрын
God bless you 🙏
@emmanuelnjovu4611
@emmanuelnjovu4611 Жыл бұрын
Hongera sana kwa ujumbe mzuri Je nawezaje kuwasiliana na wewe?
@hildahmathew7800
@hildahmathew7800 2 жыл бұрын
Asant sana kwa somo hili.je mtu afanyeje endapo yy c mtu wa kutabasamu maan nimeona kuwa anakoswa fursa
@ziyadanyandwi2908
@ziyadanyandwi2908 3 жыл бұрын
Asante sana nimejifunza kitu
@juliethfrank6626
@juliethfrank6626 3 жыл бұрын
Ur blessed Joel
@happnesstupuyo155
@happnesstupuyo155 3 жыл бұрын
Hili somo ni la kwel namefanyakaz kubwa. San kwenye maisha yangu
@NancyKahindi-qy8vh
@NancyKahindi-qy8vh Жыл бұрын
Asante sana kaka joel
@user-pb2kp9qm9x
@user-pb2kp9qm9x Ай бұрын
Nimeanza wiki hii kukufatilia masomo yako ni mazuri barikiwa sana kaka
@nover8035
@nover8035 3 жыл бұрын
Yote hayo nayafanyaga naturally and automatically....who aim I!? smart person or!?
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
👍👍👍
@mahmoudmnyamzugu6628
@mahmoudmnyamzugu6628 2 жыл бұрын
This enables to me improve my life and teach others
@gladymsuya1310
@gladymsuya1310 3 жыл бұрын
ila wewe kaka n smart umenyoa vizur kwel😅🔥
@Bruno-ed1ps
@Bruno-ed1ps 3 жыл бұрын
Wadada 😂😁
@sarahmsangi7243
@sarahmsangi7243 3 жыл бұрын
Wachache Sana wanaweza kusifia Kama ulivyomsifia,watu Kama wewe wachache Sana,unanikumbusha one day nilikuwa nimevaa travota yangu nimenyoa vizuri,Sasa dada mmoja alikuwa na boy wake akaniangalia akaniambia uvumilivu umenishinda hakika kaka nimevipenda viatu vyako ,vinauzwa shilingi ngap nikamnunulie huyu mume wangu nikamwambia elfu arubain na tano
@giftkelvin7
@giftkelvin7 3 жыл бұрын
Mm naenda kuanza kufanyia kazi hayo matatu hasa, smile, active listening na names
@eveswai5501
@eveswai5501 3 жыл бұрын
Samahani kaka Joel.....jambo lakumpata msaidizi kwenye biashara au MTU wakufanyanae biashara linanisumbua sana
@jaypeace5090
@jaypeace5090 3 жыл бұрын
Asante sana mwalinu
@jeremiebahane6679
@jeremiebahane6679 Жыл бұрын
Je validé beaucoup ton enseignement 👍
@hassanmgao2795
@hassanmgao2795 3 жыл бұрын
active listening..be attention,high contact...this is greeting.
@ndoakikristo7777
@ndoakikristo7777 2 ай бұрын
Amazing❤
@edwinalfred6460
@edwinalfred6460 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kaka. Hakika yote ni mema.
@delaxitmt7236
@delaxitmt7236 3 жыл бұрын
God Bless you Brouh
@uwimananadia6066
@uwimananadia6066 3 жыл бұрын
Asante sana kaka angu
@patrisheradam5790
@patrisheradam5790 3 жыл бұрын
Asante Sana kaka kwamafuzo mazur🙏
@nkezabahizifulgence8646
@nkezabahizifulgence8646 2 жыл бұрын
Nashukuru Sana bro Joel
@azizakwileka1686
@azizakwileka1686 3 жыл бұрын
Barikiwa kaka... Unatusaidia sana.
@SiSaLeSeArusha
@SiSaLeSeArusha 3 жыл бұрын
Shukrani sana kaka.
@ebenezernnko8251
@ebenezernnko8251 2 жыл бұрын
Safi sana kaka nakuelewa sawa
@julianambone9584
@julianambone9584 Жыл бұрын
Thanks 🇰🇪
@yohanamagele3633
@yohanamagele3633 3 жыл бұрын
Wow,listen eyes
@emmanuelakutulaga9756
@emmanuelakutulaga9756 3 жыл бұрын
Brother upo vzuri cnah, thanks much unatusaidia cnah.but na weeh pia nakushauri Kati xa kazi ambazo hupaswi kuzifikiria kuzifanya NI siasa,achana nayo kbisa.baki upande huu huu I hope utasaidia sana binadamu wengi pia hta kwa upande wako utabarikiwa cnah na Mungu pia na kipato utapata,aidha kzi nyingine ambayo waweza fanya NI kusomea neno la Mungu halafu ciku ukawa pastor,naamini kwa Kariba xko utaokoa wengi cnah.
@robertmutani8893
@robertmutani8893 3 жыл бұрын
Bro big up for advcing us
@herimailo8183
@herimailo8183 Жыл бұрын
Brother asante sana
@tedytitus7205
@tedytitus7205 3 жыл бұрын
Ii kitu inanitokea Sana watu kunifuata kuniambia changamoto zao mpka watu walio nizidi umri sometimes naogopaga 😅najiulizaga sababu ni nini ila leo nimegundua nawasikliza sana kwa ukaribu na kuwapa hope pia na kucheka na kutabasamu sana 😇 kweli nimewaambukiza mpka marafiki zangu ku smile wamekua affected kiasi kwamba kama kuna event yeyote chuo n mimi siendi na wao wanagoma kabisa kwenda 😂 daah kumbe!!! Thanks kaka J
@user-fu5wi1ez7e
@user-fu5wi1ez7e Жыл бұрын
Keep up my brother
@rizikisuleiman7820
@rizikisuleiman7820 3 жыл бұрын
Asante kaka
@rizzonekatua2267
@rizzonekatua2267 3 жыл бұрын
Uko vizur br
@geniousjustin3424
@geniousjustin3424 3 жыл бұрын
Nakuelewa sana kaka joel
@tillytildarobert5669
@tillytildarobert5669 2 жыл бұрын
Well done simple but creall
@judithmwambe4767
@judithmwambe4767 3 жыл бұрын
Ahsante kaka Joel
@helmanmamai5029
@helmanmamai5029 3 жыл бұрын
Barikiwa kaka Joel
@emmanuelkitomary7354
@emmanuelkitomary7354 2 жыл бұрын
Nimependa actve listening
@achilawikachele4053
@achilawikachele4053 Жыл бұрын
Mungu akulipe kaka
Mambo ambayo hutakiwi kabisa kumwambia Boss wako
9:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 67 М.
VITU VITAKAVYOFANYA UTAJWE - JOEL NANAUKA
8:55
Joel Nanauka
Рет қаралды 2,1 М.
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 132 МЛН
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 40 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 13 МЛН
Nini Chakufanya Unaposemwa Vibaya Na Watu?
11:28
Joel Nanauka
Рет қаралды 177 М.
LIFE WISDOM : JINSI YA KUWA NA FURAHA
15:43
Joel Nanauka
Рет қаралды 10 М.
JINSI YA KUFANYA AKILI YAKO IWE MSAADA KWAKO | Ezden Jumanne
7:31
Success Path Network
Рет қаралды 11 М.
Nguvu Ya Tabia Katika Mafanikio Yetu Ya Kila Siku.
7:43
Joel Nanauka
Рет қаралды 48 М.
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 132 МЛН