Chuja Maneno Kabla Ya Kuongea (Tripple Filter Test) - Joel Nanauka

  Рет қаралды 31,967

Joel Nanauka

Joel Nanauka

5 жыл бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

Пікірлер: 105
@iddykirika5236
@iddykirika5236 5 жыл бұрын
Kwa mchujoo huu.. Ni kwamba kukaa kimya ni bora zaidi kuliko kusema.
@irenemshiu5441
@irenemshiu5441 5 жыл бұрын
Nimependa sana somo kaka yangu...nitaitumia hiyo kanuni kuanzia Leo.barikiwa sana
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 5 жыл бұрын
Watanzania wanapenda vitu vya onyo mfano walivyo sambaza skendo ya pastor gwagima
@hidayamotto7210
@hidayamotto7210 5 жыл бұрын
Kweli kabisa kaka
@rafaelmwanyila6134
@rafaelmwanyila6134 3 жыл бұрын
Mwalimu joel,tafsiri ya vizuri na ubaya inategemea sana na mtu anavyolipokea jambo.hii unaweza kuilezeaje.
@naomyerasto1305
@naomyerasto1305 4 жыл бұрын
Mungu aendelee kukubaliki my kaka
@nelsonjonas7334
@nelsonjonas7334 2 жыл бұрын
Point Man of God, maneno huwa nayaumiza Sanaa hasa mtu anaposema na kusambaa kwa Watu, You touch my heart.
@charlzzesonconsciousness6685
@charlzzesonconsciousness6685 5 жыл бұрын
Shukrani kaka
@habibabora3404
@habibabora3404 4 жыл бұрын
Asante kaka umeeleweka
@joemouly7877
@joemouly7877 5 жыл бұрын
Asante kaka
@joshuakibona7912
@joshuakibona7912 5 жыл бұрын
Ahsante mwalimu
@thegirl1405
@thegirl1405 5 жыл бұрын
Masha Allah shukuraa sana brother somo zuri💕💕👌barikiwa sana 🙏🙏
@maseiafricano1250
@maseiafricano1250 2 жыл бұрын
Asante sana kwa elimu yako mungu akubariki sana mwalimu. Unanipa elimu yahali ya juu sana... ata shuleni tulipo soma atukupata elimu unayo tufundisha Najifuza mingi kupitiya kwako asante sana tena sana 🙏mungu akubariki akupe maisha marefu ili uze kufundisha wengi.
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 5 жыл бұрын
Binadamu wengine wavivu wakufikiria aise,kuna ndugu yangu kulikua na kitu cha kweli ila si kizuri nilivyokisikia na kukiona nikajua nikimwambia itakua tatizo familia nzima nikaacha sikumwambia,Sasa yule aliesababisha hicho kitu akapinduka tena kwa ndugu yangu akampa habari ya uongo na si nzuri,na yeye hajafikiria akasambaza sumu familia zote 😁😁😁😁Sijui kama baadae alifikiria kama kabolonga au vip.Mpk sasa sijaongea nae. Ahsante kwa ujumbe mzuri,naendelea kujifunza kila siku.
@lucymmole6435
@lucymmole6435 3 жыл бұрын
Umekuza.msaada sana kwangu ubarikiwe sana joel
@charlesoputi7101
@charlesoputi7101 Жыл бұрын
Mimi bado Niko huku though tuko 2022 but nawakaribia Tu polepole
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 5 жыл бұрын
think before you talk, ni heri kunyamaza wasomaji wenzangu, penda sana somo la huyu kaka NANAUKA,BE BLESSED
@jacksonkinange4605
@jacksonkinange4605 5 жыл бұрын
Asante Kaka ni kweli Fikiri kabla ya kutenda
@msleny6767
@msleny6767 4 жыл бұрын
Wow, nilikosa the day you uploaded this but Nashukuru kuwa sehemu ya funzo zako kila siku♨️♨️
@godrivercaaron81
@godrivercaaron81 5 жыл бұрын
Asante Sana brother,umenifungua fahamu Kwa upya,be blessed
@funnyworldtz
@funnyworldtz 2 жыл бұрын
My life Teacher be blessed brother #SeeMeontheTop 🏔
@bahatiaamani9320
@bahatiaamani9320 5 жыл бұрын
Thanks Sir kwaushahuri wako mzuri may God bless you
@leticiampeka1488
@leticiampeka1488 5 жыл бұрын
Nice lesson...be blessed abundantly
@manenolugendo6396
@manenolugendo6396 5 жыл бұрын
Pamoja sana Bro Ujumbe umefika vizuri nimeupokea hapa👍✌
@englengaipaul6000
@englengaipaul6000 5 жыл бұрын
Ahsante sana somo nzuri sana kiongoz
@hafsahcletty5968
@hafsahcletty5968 5 жыл бұрын
Shukran 🙏
@josephmagaluda5240
@josephmagaluda5240 5 жыл бұрын
Asante sana joel somo zuri sana
@zuhuraabdillah6941
@zuhuraabdillah6941 5 жыл бұрын
tripple filter test i like hii bro. because it reduce wastage of time. biggest is protecting my mind forever with bad information
@danchibomnyama4295
@danchibomnyama4295 3 жыл бұрын
Me nimeajiriwa nauza duka l nafaka ila silipwi kwa sas maan boss alinipa nafas yakusimamia duka lkn bahat mbaya likaingia hasara akaamua kunishusha niwe n simamiwa ila silipwi je ntafanyaj ili nitoke kwenye majanga hayo ili nitimize malengo yangu
@shabansalum6014
@shabansalum6014 3 жыл бұрын
Thanks my Brother
@jerrywababawababa1816
@jerrywababawababa1816 3 жыл бұрын
Thank end god bless you for everything
@fidelismukandara932
@fidelismukandara932 5 жыл бұрын
Thank u bro,, somo zurii sanaaa be blessed.
@cymone6159
@cymone6159 5 жыл бұрын
Shukran mwl, Mungu akubarik Uwe na uzima ili tuendelee kuvuna mambo mazuri kwako
@rahmahussein4019
@rahmahussein4019 5 жыл бұрын
Absolutely true .
@zahramunir8596
@zahramunir8596 5 жыл бұрын
True... God bless you.!
@egonkasiano7822
@egonkasiano7822 5 жыл бұрын
2 shukran
@elishazacharia6738
@elishazacharia6738 4 жыл бұрын
Yeah Kuna wakt nikizungumza Mambo baada ya muda najilahumu kwanamna moja au nyingine inaniasiri mim mwenyewe
@jasminepeter7598
@jasminepeter7598 5 жыл бұрын
Kweli inaweza kuleta madhara makubwa sana
@faudhiatmasoud4025
@faudhiatmasoud4025 5 жыл бұрын
Hii mada piaa imeshawah kusisitiziwa na spiritual speaker mmoja anaitwa Gaur Gopal Das yeye aliongelea tripple filter test ktk kuepuka umbea(gossip)kabla hujackiliza umbea unapaswa kumuuliza anaetaka kukuambia aya maswal kabla hujasikiliza..1:Is it true or false 2:Is it good or bad 3:Is it beneficial or not beneficial.. Kibongo bongo mtu kaja na ubuyu afu uanze kumuuliza ayo maswal kabla hajakuambia atakuona kama mtu flan hv unajifanya msomi na nini lakini kiuhalisia inaepusha sanaaaaa mambo yasiyo ya msingi na huzuia ubongo kutawaliwa na mambo yasiyo ya msingi..Asanteeee sn kaka Noel #seeyu@detop
@richardvalson9868
@richardvalson9868 5 жыл бұрын
Asante sana brother kwa somo zuri la maisha yetu ya kila siku
@tatuyussuf7574
@tatuyussuf7574 5 жыл бұрын
Ahsanteee...
@abassjuma2052
@abassjuma2052 2 жыл бұрын
Asante sana
@hamzalibingai3227
@hamzalibingai3227 5 жыл бұрын
Ninakuelewa sana bro mungu akulinde na kila la shari na akuzidishie ulichopungukiwa asante kwa elimu nimejifunza mengi kutoka kwako ahsante
@sumiodilo1180
@sumiodilo1180 5 жыл бұрын
Great&powerful
@nathanmateow9455
@nathanmateow9455 5 жыл бұрын
asante rafiki n imepata picha kubwa na nimependa sana pale nilipoona kweli kuna watu wanaanzisha kitu ili tu wakupate na wakuharibie ulichonacho
@joshuakwelimoto6494
@joshuakwelimoto6494 5 жыл бұрын
Ahsante Joeli nimekuelewa
@noelmwikeve6255
@noelmwikeve6255 5 жыл бұрын
Kwelii kabisaa coach
@adelinaallex1941
@adelinaallex1941 3 жыл бұрын
Barikiwe kaka kwa elim nzuri
@mussalulenga9939
@mussalulenga9939 2 жыл бұрын
Hapo alikua amemkataliee!!wew Luna ubuyu mwingine kukaa nao unasumbua
@sleyoumkhamic9237
@sleyoumkhamic9237 5 жыл бұрын
sure think twice♥
@mussadismass9306
@mussadismass9306 3 жыл бұрын
Kwahapo itaniletea nizam nakusheshim fikr ubarikiw joel
@alihassanhaiba6937
@alihassanhaiba6937 5 жыл бұрын
Ahsante hakika ww ni mwalimu kwetu
@eddahhawa7471
@eddahhawa7471 4 жыл бұрын
Umepanda mbegu njema,,,,shukrani🙏🙏🙏🇹🇿
@mkwizoxsafarisadventures9750
@mkwizoxsafarisadventures9750 5 жыл бұрын
kina ukweli? kizuri? kinaumuhimu? See you at the top....
@okokamfaume6888
@okokamfaume6888 5 жыл бұрын
Asante sana, Noted kaka Joel
@ombenikisunga5059
@ombenikisunga5059 5 жыл бұрын
Waoooo barikiwa kaka
@johnfubusa1598
@johnfubusa1598 5 жыл бұрын
Asante sana mwalimu kwa SoMo zuri pia umefunga kisikizo Cha juu Cha shati umependeza Sana
@abelbenedicto5392
@abelbenedicto5392 5 жыл бұрын
Thanks Much Broo
@dnassehtz
@dnassehtz 5 жыл бұрын
Kuna kitu nimejifunza hapa hakika siwezi rudia tena na lazina nitumie tripo filter test asante bro
@neemamafie287
@neemamafie287 5 жыл бұрын
barikiwa sana nimejifunza kitu
@najmachami547
@najmachami547 5 жыл бұрын
Asante nimeipenda na nimejifunza pia
@godfreyjoseph5967
@godfreyjoseph5967 5 жыл бұрын
Mungu akubariki bro, I like
@amanigeorge9886
@amanigeorge9886 Жыл бұрын
Hii Triple filter test.Nzuri sahii
@winnyshayo8812
@winnyshayo8812 5 жыл бұрын
Barikiwa kaka Joel.
@givensanga3524
@givensanga3524 5 жыл бұрын
Kaka ww unaakiri sana mungu akubariki
@muzdahomar662
@muzdahomar662 5 жыл бұрын
Asnt broo kwa mafunzo
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 2 жыл бұрын
Safi kabisa
@immajuzo2440
@immajuzo2440 5 жыл бұрын
Aaant kaka
@mozasaid3869
@mozasaid3869 5 жыл бұрын
Kweli kaka J
@joseefaidabutu6467
@joseefaidabutu6467 5 жыл бұрын
ASante kwa elimu nzuri
@mariaevarist1418
@mariaevarist1418 Жыл бұрын
Uko vizuri hongera kwa kipaji
@chachayohana1672
@chachayohana1672 4 жыл бұрын
Nice
@malalezengo4405
@malalezengo4405 5 жыл бұрын
Kweli kabisa usikurupuke tafakri kwanza ujembe mzuri Sana
@keflentito8052
@keflentito8052 5 жыл бұрын
Asante kaka Joe
@simonpatilo7555
@simonpatilo7555 3 жыл бұрын
kabisa bro
@mwajumamwishehe2743
@mwajumamwishehe2743 5 жыл бұрын
Asante kaka👏👏👏👏👏🙏🙏
@freedomwirelesssolutions1388
@freedomwirelesssolutions1388 5 жыл бұрын
Timiza malengo yako...zingatia msamiati na herufi kaka Joel
@neemajacob2683
@neemajacob2683 5 жыл бұрын
Good
@davidtvonline6020
@davidtvonline6020 5 жыл бұрын
IPO vizuri Sana Hii Triple filter Test
@naamohamed9964
@naamohamed9964 3 жыл бұрын
👏👏👏
@jacksonchimomo554
@jacksonchimomo554 5 жыл бұрын
Thanks Teacher God bless you
@omarimshamu2572
@omarimshamu2572 Жыл бұрын
Respect
@robertgordon2745
@robertgordon2745 3 жыл бұрын
endelea kututengeneza kaka
@matildaammo6868
@matildaammo6868 5 жыл бұрын
Ndio cha muhimu Sanaa asanteeee
@zuhuramike1399
@zuhuramike1399 3 жыл бұрын
Amen
@barakanyamafu5937
@barakanyamafu5937 5 жыл бұрын
Uko vizur Sana dogo
@josephmathew4418
@josephmathew4418 5 жыл бұрын
Penda Sana joel
@eliasjuma4566
@eliasjuma4566 4 жыл бұрын
Bro nashukulu sanakwa masomo yako...
@awamkhalid5361
@awamkhalid5361 4 жыл бұрын
Of coz hata kama utamkoso mtu bas toa solution isbakie kua swali
@mosesfrancis8495
@mosesfrancis8495 11 ай бұрын
Hakika
@timonzurielsenior263
@timonzurielsenior263 5 жыл бұрын
safi kaka..nice knowledge and sensitive
@adelinakibejile4696
@adelinakibejile4696 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 5 жыл бұрын
HI Joel
@nasibumasini7000
@nasibumasini7000 4 жыл бұрын
🙏🙏
@mesalimrashid6312
@mesalimrashid6312 5 жыл бұрын
Niko mombasa nakufatilia sana kwa kina napenda masomo yako .
@rafaelmwanyila33
@rafaelmwanyila33 5 жыл бұрын
Ok
@DRICK-vn3oj
@DRICK-vn3oj 5 жыл бұрын
Bro, mimi huwa ni mgumu kumkabali mtu. ila hapa shimamoo broo
@dulanus7286
@dulanus7286 5 жыл бұрын
Khasw kaka ni bora kukaa kimya tu kuliko kuongea tu
@chrismassawe326
@chrismassawe326 5 жыл бұрын
NIMEJIFUNZA JAMBO JIPYA NWALIMU JOEL NANAUKA MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU UZIDI KUTUFUNGUA AKILI
@cosein
@cosein 5 жыл бұрын
Lakini hii idea ya triple filter idea ni nzr lkn wakati mwingine sio kwa sababu itawafanya watu wasizungumze kabisaa Mfano kitu ni kweli na muhimu kwa watu wa jamii fulan lkn c kizuri kwa baadhi ya watu ukifata hii ideas huwezi kuwaokoa walio wengi mfano ukiwataja wanaotumia unga na nikweli na muhimu lkn c vizuri kwao ukifata hii idea uwez kufanya hivo Nyongeza mama angu anapenda hizi video zako
@malupex6299
@malupex6299 4 жыл бұрын
Fact
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Sure 😥💦
@martinkajonjo3362
@martinkajonjo3362 5 жыл бұрын
Bro masomo unayoyatoa mazuli nataka nipate na kitabu cha timiza malengoyako nipo mtwara nitakipataje
@joelnanauka
@joelnanauka Жыл бұрын
Karibu sana 0762 31 21 71
Tabia Tisa (9) Za Watu Wanaokusifia - Joel Nanauka
9:49
Joel Nanauka
Рет қаралды 39 М.
Makosa Saba (7) Ambayo Watu Wengi Wanafanya Kuwakosesha Fursa
11:18
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 43 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 28 МЛН
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 9 МЛН
NAMNA YA KUMSHAWISHI MTEJA: Joel Nanauka
9:52
Joel Nanauka
Рет қаралды 6 М.
DALILI NA TIBA ZA MTU MWENYE MSONGO WA MAWAZO (STRESS)
9:26
MASOMO YA KARNE
Рет қаралды 12 М.
Namna Rahisi Ya Kuwa Na Furaha Siku Zote - Joel Nanauka.
10:51
Joel Nanauka
Рет қаралды 26 М.
KINANA AFUNGUKA SABABU ZA KUJIUZULU
5:32
Wasafi Media
Рет қаралды 29 М.
NAMNA YA KUJIANDAA KUZUNGUMZA: JOEL NANAUKA
16:30
Joel Nanauka
Рет қаралды 5 М.
KELVIN KIBENJE_TOPIC_ELIMU YA FEDHA NA BIASHARA
8:12
The Top Team Academy
Рет қаралды 117
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
00:49
Yoeslan
Рет қаралды 43 МЛН