Mama Gaspara hongera sana kwa mawazo mazuri ya kuanzisha kilimo cha mitiki. Kaka Ndosi hongera sana kwa elimu nzuri ya utunzaji wa Bustani na bidii ya kazi kubwa ya kutunza, kulea na kukukuza msitu wetu wa mitiki. Wana Usambara Sisters Hongereni Sana. Mungu awabariki wote!
@DATIVAKAVISHE-ik9zz6 ай бұрын
Hongereni usambara srs,vitalu vinaonyesha bidii nzuri, Baba Ndosi umetutia moyo
@honestakisaka31296 ай бұрын
Hongera sana kaka Ndosi kwa elimu nzuri. Hongera usambara srs kwa hitihada za uwekezaji. UMTV asanteni kwa kazi nzuri.