Ubarikiwe mtumishi mwanjisi........tunabarikiwa sana na huu wimbo mtamu sana! Kila ulimi utakiri Yesu ni Bwana. Nampenda sana Yesu.
@transmadale7 жыл бұрын
yaani huu wimbo hata kama hujuwi Kinyakyusa Ukiwa na Roho mtakatifu peke yake unajuwa huyu jamaa anaimba nini Dah,aise Ubarikiwe sana mimi siyo mnyakyusa lakini nashukuru Roho mtakatifu ananitafsiria na nimebarikiwa sana Ubarikiwe Mtumishi wa Yesu naamini huu wimbo hujatunga mwenyewe bila kumshirikisha Roho wa Bwana
@sendamakasokota36385 жыл бұрын
Mimi POA most
@isaackgeorge27965 жыл бұрын
Ndaga kyala
@joshuasanga69424 жыл бұрын
Mashaka Jonas Madale Dana
@filbertmwakatapa72453 жыл бұрын
Hakika
@timothytonkei73753 жыл бұрын
True
@BwikemoMwamgunda25 күн бұрын
Much respect kwako mwanjisi my home boy. Niko mbeya but my home land is kyela ikolo muungano village
@josephatmwanjisiofficial977722 күн бұрын
Ameni mtumishi
@directormwangomile427413 күн бұрын
🎉🎉🎉 kanyimbo kazuri sanaaa aiseee
@emmanuelm14885 жыл бұрын
Hahahahaaa jamaniiiiiii huuu wimbo naupenda sana kwakweliiii
@starnamerawwest89876 жыл бұрын
Amen.. Uimbaji wenu ni sauti inayowawakilisha maelf wasio waimbaji... Kufikisha ujumbe kwa ulimwengu
@lusajojimmy44467 жыл бұрын
Ilopa lya jhesu likindile bha ndyeki bhosa.....ooh what a song, be blessed bro.
@amosimwangonji10674 жыл бұрын
Bado sijacherewa good song naicheki nikiwa drc 243 aaaaah kama naiona mby duh
@angelmwakyoma6964 жыл бұрын
Ali mweneee tataa ndagha kyala bhagwitu
@mwampulogabriel49814 жыл бұрын
Mungu akubariki sana kwa wimbo mzuri wenye ujumbe kwa wrote Roho Mtakatifu alikuongoza
@user-ri3pw1ds4l3 ай бұрын
mungu mwema kwa huu uwimbo 🙏🙏
@wazirilugazo47464 жыл бұрын
Alimweneee tataaaa hongera sana kaka kwa nyimbo hii ya injiriii
@lusajomwasomola50022 жыл бұрын
Asajile Mwasomola ndio jina lsngu meenyeji wa kyela matema KISYOSYO kwa sasa nipo Arusha kikazi. Mungu akubariki saana kwa nyimbo zako hua zinaniponya sana makovu ya maumivu ya moyo wangu! Nitafute Facebook kwa jina la Bankufifye kyenda ili tupeane namba kwa ajili ya kufanya kazi ya Mungu.
@josephatmwanjisiofficial97772 жыл бұрын
Sawa
@josephatmwanjisiofficial97772 жыл бұрын
0753805150
@neemaponera20374 жыл бұрын
Naloli,alimwene gwakisa mweeee.ndagha fijooo
@LivingstoneMwanjali-ec5en11 ай бұрын
Safi Sana mtumishi ubalikiwe
@lucasmoses9054 Жыл бұрын
Mbeya safi Malafyale
@zainabjuma10626 жыл бұрын
Yesu wangu!!! nifurahi kukuona Mungu akubariki mtumishi
@joycecollection68764 жыл бұрын
Ndagha KYALA🙏🙏🙏😥
@bupemwansasu84022 жыл бұрын
Ndagha fijho ulimwene tata,
@rovumichael86117 жыл бұрын
daaaaaaaaaàaaaaaaa.......!....... .............napenda sana
@cornrardmwanjala30788 жыл бұрын
hongera saaaana,,, wimbo uko juu!!! mawasiliano yako plz,,,,bhabhule ukote alemwene
ingamu ja Jesu jikemesighweghe, alimwene Jesu, bhatata amuleke ukwiputa mmasyeto!!!
@jigomwanjiwa90115 жыл бұрын
Kyara akutule mundu gwakyala
@doricemwakasengo92225 жыл бұрын
Alimwene tata kumyangu
@monicamarsha68613 жыл бұрын
Aaaaahaaaah,am proud to be nyakyusa kyela moja
@maishayetunibahari6 жыл бұрын
i like song good Sana mungu awe nawewe mwinjilisti
@deligogalafunga80363 жыл бұрын
Njoon na vinanda ngomazeze vinubi
@williammwajeka33475 жыл бұрын
Nalori alemwene Tata,🙏
@hendrymroi63977 жыл бұрын
barikiwa xana kaka kwa nyimbo nzr, mxalimie na my dada nimewamic xana ,,maan kitambo xana tangu mje masebe two
@monicamarsha68613 жыл бұрын
Asante mwalafyale
@paschalgwakabale9294 жыл бұрын
Alimweme tata ghwakisa
@neemalusasi56456 жыл бұрын
nimebalikiwa sana nawimbo
@marymwasantaja19674 жыл бұрын
Alimwene tata 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@adamsonalinanuswe82455 жыл бұрын
Wimbo uko vzr xana hongera josephat
@hirdajacson8827 Жыл бұрын
Ndaga Kaka inyimbo nunu fijo kyala akutule
@tumainikassanga76596 жыл бұрын
hongera kijana mungu akubariki, huduma Izidi kwenda mbele.
@israelafyusisye333 Жыл бұрын
God is merciful
@wilbertseme54557 жыл бұрын
wimbo no mzuri sana nimebarikiwa sana uchala akutule!!
@sebonikegobi62442 жыл бұрын
Naloli alimwene tata kyala abasaje
@josephatmwanjisiofficial97772 жыл бұрын
Ndagha
@salomemwelela37918 жыл бұрын
Unaweza mwanjisi
@donaldmwakasas91482 жыл бұрын
Ujumbe was leo
@deboramseleko32746 жыл бұрын
duuh umenikonga moyo huu wimbo
@yustersamwel2604 жыл бұрын
Ulwimbo lununu fijo kalumbu kyala akusajeghe
@nardy10305 жыл бұрын
napenda japo celew.. be blessed man ov GOD
@emmymsigwa14683 жыл бұрын
Hakika alemwene
@daviesoscar16034 ай бұрын
Barikiwa sana
@masterkeymwakalanje5362 жыл бұрын
Kiukweli alimwene ntigha
@simonmwakibete60707 жыл бұрын
Alimwene TATA
@usajiliusajili65114 жыл бұрын
Amina nyingi sana
@adelaidemkawe47297 жыл бұрын
Justina wa arusha nilisoma Kula cjui cha ness da mnatisha ajensi
@charityusia58975 жыл бұрын
Ubarikiwe sana ujumbe mzuri
@amosimwambembela49897 жыл бұрын
ndaga Mwanjisi ulumbilile
@lusekelosamweli25896 жыл бұрын
nalol alimwene jesu
@jeninunu91775 жыл бұрын
wimbo unatia nguvu asnte sana
@rahabusonelo39619 жыл бұрын
naloli alimwene Kyala UMETISHA
@denkodenko99956 жыл бұрын
Rahabu Sonelo saf sana mwanjis
@yohanaefron85005 жыл бұрын
Jwani abha syobhile jwani tata
@sinzasoundbandtanzania62007 жыл бұрын
Ingekuwa vyema mkafanya midundo ya vyombo na uimbaji ktk mirindimo ya Kinyakyusa lakini mtumie lugha ya Kiswahili ili ujumbe uenee Tanzania, Afrika Mashariki na duniani kote wanapozunguimza Kiswahili.
@mwakatundujr16745 жыл бұрын
Mtanzania Junior Kinyakyusa kinatosha
@ambakisyemwakinunu20024 жыл бұрын
Mbona makhirikhiri wanaimba kikwako sio kingereza,lakini haohao wamekuja tanzania wamefanya show zakutosha japo hatUjui wanaimba nini muziki hauna lugha maalum
@lugymwaisumby50743 жыл бұрын
@@ambakisyemwakinunu2002 kweli kaka
@tunakisiwekamnyoge80612 жыл бұрын
AMEEEEEEEEEEEE
@gervaspaul3137 жыл бұрын
ninaposikia nyimbo yalughayanguna barikiwa
@edwardedward25206 жыл бұрын
Alimwene Untwa! Safi sana.
@hanceasukenye63375 жыл бұрын
Edward Edward ndagha
@dianacharles51052 жыл бұрын
Alimwwnye tataa
@josephatmwanjisiofficial97772 жыл бұрын
Ameni
@sautimoja8832 Жыл бұрын
Nashukulu
@PreciousMhidze2 ай бұрын
Jamn maana yake sielewi naipenda hii yimbo balaaaa hadi laha ❤❤❤❤❤
@kingmakini23 күн бұрын
Ujumbe mkuu "Alimwene Tata" maana yake "yupo peke yake baba", mwanzoni kabisa pembe alikuwa anampeleka senga kwa mganga ndo mtumishi anauliza "Jwani Awasyobhile, Jwani Awaroghile" manaake nani kawadanganya, nani kawaroga.. na kusisitiza matatizo yote mkabidhi Mungu...
@graceyohansgranas527121 күн бұрын
❤❤❤
@festinamwakipale39194 ай бұрын
Mpaka shetani ashangae wakati tunanyang'anya na kurudisha kwA Mungu