JPM alipoongea kwa majonzi akielezea jinsi Mkapa alivyokuwa shujaa wake

  Рет қаралды 41,008

Azam TV

Azam TV

4 жыл бұрын

“Bila #MzeeMkapa huenda nisingekuwepo hapa nilipo, itoshe tu kusema #Mkapa ni shujaa wangu…hata nilipopatwa na shida ama kupambana na changamoto mbalimbali, #MzeeMkapa hakuniacha,” - Rais John Magufuli
#RIPMzeeMkapa #RIPBenjaminMkapa #AzamTVUpdates #AzamNews
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► bit.ly/2wB6zmR
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: / azamtvtz
►INSTAGRAM: / azamsports2
►TWITTER: / azamtvtz
►FACEBOOK: / azamtvtz
►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

Пікірлер: 28
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 4 жыл бұрын
Pole Sana mkuu Mwenyezi Mungu akitie nguvu baba
@pascalmasanja4529
@pascalmasanja4529 4 жыл бұрын
Pole sana mh. Rais
@happifaniamkasu8722
@happifaniamkasu8722 4 жыл бұрын
Pole sana Mh Raisi nami nimeumia pia
@abrahamkibona7038
@abrahamkibona7038 4 жыл бұрын
Pole Sana Mh Rais
@salomesamson5050
@salomesamson5050 4 жыл бұрын
Dah! Hadi nmelia 😭😭😭pole Sana baba magufuri
@eliasmachango5129
@eliasmachango5129 4 жыл бұрын
Pole sana mh Rais
@abdallahngakola8184
@abdallahngakola8184 4 жыл бұрын
Inauma sana
@edwardlameck2529
@edwardlameck2529 4 жыл бұрын
Pole sana baba
@faustinefesto7705
@faustinefesto7705 4 жыл бұрын
Pole sana mkuu wngu wa nchi
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 4 жыл бұрын
Duuh pole sana rais wangu kweli umeumia sana
@razaqrashid6172
@razaqrashid6172 4 жыл бұрын
Pole sana mkuu
@alykhan9054
@alykhan9054 4 жыл бұрын
Pole Sanaa mkuuuu wetuu
@maxmaizer4631
@maxmaizer4631 4 жыл бұрын
Daaaa mgufuli mwisho ameniliza asee daah ameumia sana asee
@nickrayjackson9753
@nickrayjackson9753 4 жыл бұрын
Mungu akupe wepes rais wang
@mariamuseifu3065
@mariamuseifu3065 4 жыл бұрын
Pole Rais wangu 😥😥
@kambiibrahim415
@kambiibrahim415 4 жыл бұрын
Pole Mheshimiwa Rais na pole kwetu sote
@BarakaWaya
@BarakaWaya 4 жыл бұрын
Daaaah RIP Big Ben .Rip our father 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@titusmakau4815
@titusmakau4815 4 жыл бұрын
Pole
@thanimosi8906
@thanimosi8906 4 жыл бұрын
Tuwe pole Watanzania wote
@mecksonsamwel5605
@mecksonsamwel5605 4 жыл бұрын
Viongozi wangu nawapenda
@sumisumi8181
@sumisumi8181 2 жыл бұрын
Rip Mzee Magufuli shujaa
@paschalmartin2359
@paschalmartin2359 4 жыл бұрын
Pole jpm
@mgashimgashi4071
@mgashimgashi4071 4 жыл бұрын
Mazishi ya mkapa
@bilalikambo7202
@bilalikambo7202 4 жыл бұрын
So sorry mr President
@danielimashaka7664
@danielimashaka7664 4 жыл бұрын
Mazishi ya raisi mkapa
@petermanda4241
@petermanda4241 4 жыл бұрын
Rais umeongea ukweli mtupu pole sana pia watanzania wengi tumeumia sana
@rechrontv2453
@rechrontv2453 4 жыл бұрын
HISTORIA YA HAYATI BENJAMIN W. MKAPA KUZALIWA MPAKA KUFARIKI (gusa link👇👇👇 kutazama) kzfaq.info/get/bejne/lciGopSLyMrdfYU.html
@abrahamkibona7038
@abrahamkibona7038 4 жыл бұрын
Pole Sana Mh Rais
小宇宙竟然尿裤子!#小丑#家庭#搞笑
00:26
家庭搞笑日记
Рет қаралды 16 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 60 МЛН
小蚂蚁被感动了!火影忍者 #佐助 #家庭
00:54
火影忍者一家
Рет қаралды 36 МЛН
KABLA HAJAFARIKI, MANENO YA MWISHO YA MKAPA MBELE YA RAIS MAGUFULI
6:15
Heshima za mwisho kitaifa kwa rais mstaafu Benjamin Mkapa
3:27
MAGUFULI - "MAWAZIRI WALINIWEKEA SUMU, MKAPA ALIVYONITEUA, SITASAHAU"
4:32
MENENO YA  MWISHO YA KIKWETE KWENYE KUMUAGA RAIS MSTAAFU MKAPA.
18:12