KWAYA YA MT. DONBOSCO NIT WAIBUKA WASHINDI TAMASHANI NA CONDACTOR WAO MWENYE MADOIDO YA HATARI

  Рет қаралды 187,142

Jugo Media

Jugo Media

3 жыл бұрын

Tafadhari Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
Jumuika nasi katika mitandao mingine ya Kijamii:
Instagram: / jugo_media
Facebook: / jugomedia2019
Mawasiliano:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa

Пікірлер: 179
@elizabethmihambo1909
@elizabethmihambo1909 2 жыл бұрын
Well done, mbarikiwe sana.
@babaclinthoniushaki5121
@babaclinthoniushaki5121 3 жыл бұрын
Hongereni sana NIT ila nawewe brother kisoki unajua sana umetisha mbarikiwe sana
@peaceisrael8158
@peaceisrael8158 2 жыл бұрын
Mko vizuri mnoooo🔥🔥🔥
@barikikimaro9165
@barikikimaro9165 3 жыл бұрын
Nimekubali uwezo hongereni sana sana vijana wema kabisa kwa utume wenu wa uimbaji
@furahambughi4977
@furahambughi4977 2 жыл бұрын
Mmeimba vizuri sana! Hongereni sana!, licha ya kubanwa na shule, bado Mungu mmempa kipaumbele!
@monicajoseph8415
@monicajoseph8415 3 жыл бұрын
Hakika kuimba ni raha na ukatoliki ni mtamu sana....hongereni sana kila sauti inasikika...Heko kwenu👌🏾👌🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@augustinomkongwa5444
@augustinomkongwa5444 3 жыл бұрын
Kuna Kwaya na orchestra hii sasa inaitwa orchestra 🙏🙏🙏👏👏👏👏Bonge la kwaya na conductor mzuri hongera kwa kwaya ya Mt. JohnBosco
@christinamwakibolwa3000
@christinamwakibolwa3000 3 жыл бұрын
Hongereni sana Mungu awabariki sana
@evaristos3414
@evaristos3414 3 жыл бұрын
Hongereni mnoo kwa hawa DonBosco, utume na uendelee. Nimependa kila mlichofanya lakini above all, #Conductor ameitendea haki podium. Song selection Perfect, Classical yanyewe iko classic, beautiful everywhere, kwakweli walistahili kushinda. Again, a round of applause
@victoriankisweka9090
@victoriankisweka9090 3 жыл бұрын
Mwimbien mungu asee had stress zmenitoka kwa hiyo vocal ya huyo mdada na mkaka big up watt wa mungu
@bnmwanzia
@bnmwanzia 3 жыл бұрын
Mungu azidi kuwambariki sauti Tamu mnazo mmebobea🎶💯
@marychrisant7669
@marychrisant7669 3 жыл бұрын
Kaka yangu Peter Kisoki, kazi nzuri sana na vijana wako, hongera mno
@JugoMedia
@JugoMedia 3 жыл бұрын
Amina
@jeanm.2973
@jeanm.2973 3 жыл бұрын
I cannot stop 💃 dancing. Well done. From USA
@deograsiasjohn9747
@deograsiasjohn9747 3 жыл бұрын
Mmetekeleza utume kwa vitendo hongereni Sana 👏👏👏👏
@einhardmwingira3324
@einhardmwingira3324 3 жыл бұрын
Mungu azidi kuwabariki kwani nikipaji kilicho tukuka muendelee kumtukuzaMungu
@holyfieldlambe5788
@holyfieldlambe5788 Жыл бұрын
Mnaimba vizuri sana tena sana. Mimi nipo Dublin, Ireland. I am very happy to be roman Catholic.
@kitingikitingi8974
@kitingikitingi8974 3 жыл бұрын
Hongera sana kwa Utume! Kazi nzuri sana. Karibuni sana Iringa Parokia ya Kihesa kwaya Kuu ya Mt. Secilia
@ziporakamalakamala5903
@ziporakamalakamala5903 2 жыл бұрын
Hongereni sana
@maurusmwajombe492
@maurusmwajombe492 3 жыл бұрын
Hongereni sanaaa mko vzr tena sanaaa naomba niwatakie utume mwema.Najivuni kuwa mkatoliki jamani
@meckricegaudence7351
@meckricegaudence7351 3 жыл бұрын
Hongereni Sana mko vzr
@JugoMedia
@JugoMedia 3 жыл бұрын
Amina
@deogratiusngereza4002
@deogratiusngereza4002 3 жыл бұрын
Duuh fantastic performance congratulation NIT I wish one day to see you
@happynakuzimiammassi8074
@happynakuzimiammassi8074 3 жыл бұрын
Fantastic 🎤🎤mpo vizuri 👍 God bless you guys 🙏
@mathiasmateru9977
@mathiasmateru9977 Ай бұрын
Its the best perfomance ever Nyie ni hatari..
@katarinamlanga1703
@katarinamlanga1703 3 жыл бұрын
Dah vzuri sana NIT Mbarikiwe sana
@JugoMedia
@JugoMedia 3 жыл бұрын
Amina
@katarinamlanga1703
@katarinamlanga1703 3 жыл бұрын
Huo wimbo mlioingia nao ni mtam sana,,,, unanibariki zaid na zaid
@justinashayo3743
@justinashayo3743 3 жыл бұрын
Kwaya master hongera uko vzr sana
@njukuwanzetse8241
@njukuwanzetse8241 3 жыл бұрын
The conductor is superb. Great work
@JugoMedia
@JugoMedia 3 жыл бұрын
Amen
@mdasad2148
@mdasad2148 3 жыл бұрын
Mnafanya Kaz nzur sana mungu awabariki sana nimefurahi kweli
@salhaheko3412
@salhaheko3412 3 жыл бұрын
Asante MUNGU atufungurie wakatoroki
@JugoMedia
@JugoMedia 3 жыл бұрын
Amina
@sebastianmnyika5263
@sebastianmnyika5263 3 жыл бұрын
Sauti ya tatu imenikonga moyo sana!!! """ kwenye wimbo wa"" itika bwana"" hongeleni sanaaaa!!
@JugoMedia
@JugoMedia 3 жыл бұрын
Amina
@mariamsungu2129
@mariamsungu2129 3 жыл бұрын
For sure sauti ya 3 imekaa penyewe sichoki kurudia kuwasikiliza
@maryampetrohapoo2795
@maryampetrohapoo2795 3 жыл бұрын
Hongeren sana Mungu Awabariki 💪💪💪hakikavijana ni Nguzo ya kanisa
@JugoMedia
@JugoMedia 3 жыл бұрын
Kwa kweli vijana ni kanisa la leo.
@franciscongao
@franciscongao 3 жыл бұрын
Hongereni sanaa vjiana, you are very smart
@massawefamilly7346
@massawefamilly7346 3 жыл бұрын
Mbarikiwe kuimba raha sana mmenifurshisha Mungu awabariki
@greysonmatogo4662
@greysonmatogo4662 3 жыл бұрын
Hongereni wataalam wetu wajao, nyinyi ndinyi fahari na tumaini la kanisa, Leo na kesho....
@lydiathomas2905
@lydiathomas2905 3 жыл бұрын
Asanteni Sana vijana. Kweli NIT ni 🔥🔥🔥
@fabiolasarwat2654
@fabiolasarwat2654 3 жыл бұрын
Jamn tenors mmeua,hongereni sanaa
@JugoMedia
@JugoMedia 3 жыл бұрын
Amina
@denniskituku7048
@denniskituku7048 3 жыл бұрын
Listening from the Seattle- USA haven't something beautiful like this in a long time.
@jenarijohn2226
@jenarijohn2226 2 жыл бұрын
Harusi ya mashibe
@piniellaizer1602
@piniellaizer1602 Жыл бұрын
Kumwimby mungu Raha sana
@marymichael2739
@marymichael2739 3 жыл бұрын
Ameni ingawa nimechelew kuingalia tuko pamoja jugo media
@JugoMedia
@JugoMedia 3 жыл бұрын
Amina
@mckiboevents
@mckiboevents 3 жыл бұрын
Kazi nzuri sanaa. Hadi nimesahau shughuli nayofanya hapa😂😂😂
@leocadiapetro1455
@leocadiapetro1455 3 жыл бұрын
Nimewapenda bure, God bless you guys
@Misol003
@Misol003 Ай бұрын
Aseee conductor nimekuelewa ❤🎉
@marynessmelchiory3433
@marynessmelchiory3433 3 жыл бұрын
Aiseeeee.... Mungu awabariki sana kwa kuinjilisha vema mno... Ujumbe unachoma moja kwa moja, Mungu atusaidie vijana tuutendee kazi🙏. Sauti zina nguvu kwelikweli na zimepangiliwa vema,wanaimba kwa uhai,very on time,very precise on following instructions..kwa kweli hongera sana kwao🙌 walistahili
@methodmkongwa6248
@methodmkongwa6248 3 жыл бұрын
0
@bukurur.jeandedieu6688
@bukurur.jeandedieu6688 3 жыл бұрын
Mubarikiwe ninyi wote kwa kazi hio yau injilisti huu munao fanya kupitia nyimbo. Navipenda sana vipaji vyenu. Munaimba vizuri pia muna jipange vema. Asante
@kwayabikiramariamamawashau2448
@kwayabikiramariamamawashau2448 3 жыл бұрын
DAH... MBARIKIWE SANA NYIE WATU
@suzypaul4559
@suzypaul4559 Жыл бұрын
Barikiwen Sana wapendwa🙏🙏🙏🙏
@gesurasaratinamnada9540
@gesurasaratinamnada9540 3 жыл бұрын
Hongereni sana wapendwa, sauti zenu ni moto , kipaji chenu in hatari kubwa na nusu Mungu awabariki sana.
@marygregory7566
@marygregory7566 3 жыл бұрын
Kwaya masta uko makini na kazi yako big up sana
@elizabethmsimihe6638
@elizabethmsimihe6638 3 жыл бұрын
Waoooh 😍 hongereni sanaaa 🙏😍
@JugoMedia
@JugoMedia 3 жыл бұрын
Kwa kweli wametupa tafakari nzuri
@josephatsebastian9833
@josephatsebastian9833 3 жыл бұрын
Nice demonstration
@fundieddy9164
@fundieddy9164 3 жыл бұрын
Duh! Mwanzo hadi mwisho ni raha hadi raha kwenye 'idara' zote. Bwana awabariki sana.
@JugoMedia
@JugoMedia 3 жыл бұрын
Kwa kweli wamefanya vyema kwelikweli
@mwamwendapaulo5654
@mwamwendapaulo5654 3 жыл бұрын
Nimeipenda sana amina amina
@angelinabiswalo2134
@angelinabiswalo2134 3 жыл бұрын
Hakika tunalo Kanisa la leo na kesho. Hongereni sana vijana wa Kristo!
@juliusoboya7745
@juliusoboya7745 3 жыл бұрын
Waah vijana hakika mmeweza kwa mpangilio bora na sauti zinazozikika kila neno.pongezi sana
@miitojesuitsaor9686
@miitojesuitsaor9686 3 жыл бұрын
Vijana safi sana. Mungu awabariki.
@JugoMedia
@JugoMedia 3 жыл бұрын
Amina
@carolyneimbusi4877
@carolyneimbusi4877 3 жыл бұрын
Wow!! Nice song hearing in afghanistan Be Blessed guys
@edwinmayaba9438
@edwinmayaba9438 3 жыл бұрын
Ni matumaini yangu kwamba dada carolyne uishipo ni mahali salama. Mara yangu ya kwanza kusikia mwenzetu kutoka nchi hiyo. Naishi marekani na najua yanayoendelea Afghanistan. Mungu akulinde siku zote hapo. Wimbo mzuri sana.
@janerosejohn8373
@janerosejohn8373 3 жыл бұрын
Wow! Kazi nzuri sana hongereni sana wanachuo wa NIT, pia conductor aisee umebarikiwa karama kubwa sana.
@JugoMedia
@JugoMedia 3 жыл бұрын
Kwa kweli wamefanya vizuri mnoo... Mungu awabariki
@elizabethmwageni8650
@elizabethmwageni8650 2 жыл бұрын
@@JugoMedia 👍
@elizabethmwageni8650
@elizabethmwageni8650 2 жыл бұрын
Very good
@marierobert42
@marierobert42 2 жыл бұрын
Mlitishaa Sana keep it up
@modestathomas4468
@modestathomas4468 3 жыл бұрын
God at Work......Major congratulations dear Brothers and sisters in Christ
@gabrielkatutu2617
@gabrielkatutu2617 3 жыл бұрын
Conductor kaniongezea kitu Sana, God bless you
@JugoMedia
@JugoMedia 3 жыл бұрын
Amina
@sr.marystellangaiza2449
@sr.marystellangaiza2449 3 жыл бұрын
Hongereni sana vijana kwa kumtukuza Mungu
@allanandrea166
@allanandrea166 3 жыл бұрын
nimependa mtiribo anavyoimiliki kwaya yake, na kwaya inavyomtii safi walistahili kupata kilichobora
@ALOYCEMMAUGO
@ALOYCEMMAUGO 3 жыл бұрын
Tumuimbie Bwana katika Roho na Kweli; kama macho ya watu hayanioni ndani, basi matendo yangu yawe taa ya kuiangazia Jamii maadili yenye Uchaji wa Mungu yaliyo ndani mwangu. Hongera Don Bosco na TMCS-NIT.
@genovevakilawe3018
@genovevakilawe3018 3 жыл бұрын
Furaha sana kwa my former chuo jamani hongereni sanaaa
@leonardcharles5164
@leonardcharles5164 3 жыл бұрын
Nice, mbarikiwe sana
@JugoMedia
@JugoMedia 3 жыл бұрын
Amina
@zedianagasper9475
@zedianagasper9475 3 жыл бұрын
Napenda kuimba
@laurentlugema593
@laurentlugema593 Жыл бұрын
Hongereni sana
@harriettatu7155
@harriettatu7155 3 жыл бұрын
Inapendeza sana vijana kama hawa kujihusisha na mambo ya kanisa mungu awabariki sana muwe wazazi wema
@user-of8rl7bh3n
@user-of8rl7bh3n 4 ай бұрын
Good work 🎉🎉🎉 God bless 🙏🙏🙏
@teddlyimo6020
@teddlyimo6020 3 жыл бұрын
Mungu awabarikii sanaaa
@witney1808
@witney1808 Жыл бұрын
Back here penye its the root of our new album, LETS MEET ON SUNDAY KWA NIMEITII SAUTI YA MUNGU ALBUM LAUNCHING. Special appreciations to GALAXY PRO STUDIO ( Tuwae maua yao🌹)
@jamesgichuhi8070
@jamesgichuhi8070 3 жыл бұрын
Huo wimbo wa kwanza "njoni tumsifu mungu wetu" umenibariki sana....umerecordiwa?
@kwaya_ya_mt.agustino_wa_hippo
@kwaya_ya_mt.agustino_wa_hippo 5 ай бұрын
🎉🎉🎉nimeipenda Sana
@frenkadam2413
@frenkadam2413 3 жыл бұрын
Hongeren sana, inapendeza
@neinst
@neinst 3 жыл бұрын
Nice performance aisee. Mungu azidi kuwabariki.
@subirambilinyi1265
@subirambilinyi1265 3 жыл бұрын
Mmmm mpo vizuri vijana hongereni saààaààna
@cloudiangailo6112
@cloudiangailo6112 2 жыл бұрын
Mungu awabariki mno
@verdianabanabi5943
@verdianabanabi5943 3 жыл бұрын
Barikiwa dana
@trifoniambilo2400
@trifoniambilo2400 3 жыл бұрын
ni nzuri
@bujunebusanya3966
@bujunebusanya3966 3 жыл бұрын
🙏🙏💯 nzurii mnoo
@cellyassenga2020
@cellyassenga2020 3 жыл бұрын
Yaan Mungu asiposikia tena jamani.....mmejua kunifurahisha sana. Mungu itika tu
@tesharose5041
@tesharose5041 3 жыл бұрын
Hongereni Sana Nit 🔥🔥🔥🔥
@JugoMedia
@JugoMedia 3 жыл бұрын
Kwa kweli wamefanya kazi nzuri mnoo
@geraldkishenyi5786
@geraldkishenyi5786 2 жыл бұрын
Yeye ni Mungu wa kweli uyu ni Mungu mmoja asante nimejifunza kitu. Amen
@DivineNyaanga-kv9rb
@DivineNyaanga-kv9rb 2 ай бұрын
Safi kweli amina🙏🙏
@josephinegravasiano8860
@josephinegravasiano8860 3 жыл бұрын
Wooow!!!!! Amazing
@sixmondchale3038
@sixmondchale3038 2 жыл бұрын
Hakika walistahili waliimba vizuri sana Mungu atukuzwe daima!!
@MnHmasa-df9fb
@MnHmasa-df9fb 2 жыл бұрын
Mbarikiwe mpaka mshangae
@stellaujengo5838
@stellaujengo5838 3 жыл бұрын
Mungu awapiganie mfike mbali zaid
@verdianabanabi5943
@verdianabanabi5943 3 жыл бұрын
Barikiwa sana
@monicagabriel4388
@monicagabriel4388 3 жыл бұрын
Hongereni sana washindi
@idawairimu7093
@idawairimu7093 3 жыл бұрын
Wonderful lyrics... Thanks
@acquilynermashoko7349
@acquilynermashoko7349 3 жыл бұрын
Waaaaaoowh fantastic Sanaa...I believe the coming its for mzumbe University 😃🙏🙏
@JugoMedia
@JugoMedia 3 жыл бұрын
Amina
@acquilynermashoko7349
@acquilynermashoko7349 3 жыл бұрын
Mungu awabariki Sana 🙏
@dianamwacha6517
@dianamwacha6517 3 жыл бұрын
Mvikeni taji la ushindi.Amina
@fabiolasarwat2654
@fabiolasarwat2654 3 жыл бұрын
Good🙏🙏🙏
@henrymushi8340
@henrymushi8340 2 жыл бұрын
Congratulation so Much
@jeniphapaul1270
@jeniphapaul1270 3 жыл бұрын
hongereni mmenikumbusha mbali
@stephanmpangire4741
@stephanmpangire4741 3 жыл бұрын
Hongereni sana kwa kazi nzuri
@JugoMedia
@JugoMedia 3 жыл бұрын
Amina
@stephanmpangire4741
@stephanmpangire4741 3 жыл бұрын
Kwanza pongezi kwa Jugo Media, hii ilikuwa Live Performance lakini utadhani waimbaji wamerekodi Studio. Pia kwa wanakwaya wamefanya, ama hakika mpo vizuri. Pili kwa wanakwaya wamefanya uinjilishaji mzuri, wamemefanya kazi kubwa sana walistahili ushindi. Huwa sichoki kuangalia hii kazi kila siku. Asanteni. 🙏
@JugoMedia
@JugoMedia 3 жыл бұрын
Amina
@agnesskalinga9915
@agnesskalinga9915 3 жыл бұрын
Hongera Sana
@jamesmwita2995
@jamesmwita2995 3 жыл бұрын
Kweli NIT walistahili namber 1
@kilangavanamaurus7818
@kilangavanamaurus7818 3 жыл бұрын
It's very nice to see and hear . Congratulations !
@jeanm.2973
@jeanm.2973 3 жыл бұрын
Choir master kweli muziki uko kwa damu.
@magdalenasimon4936
@magdalenasimon4936 3 жыл бұрын
Mmeimba vizuri mbarikiwe sana
@jacksontoroitich1333
@jacksontoroitich1333 3 жыл бұрын
Nice one
@francisemanuel2539
@francisemanuel2539 3 жыл бұрын
Asante sana
@JugoMedia
@JugoMedia 3 жыл бұрын
Amina
@antoniambogolo3628
@antoniambogolo3628 3 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana hongereni sana
@JugoMedia
@JugoMedia 3 жыл бұрын
Endelea kitafakarika na Mungu akubariki sanaaa
@tulibakokyoma1132
@tulibakokyoma1132 3 жыл бұрын
Kwaya master safi sana.Mungu azidi kuwainua
@DavisMwambila
@DavisMwambila Ай бұрын
Ongelen sana jaman mungu awabalik ila naomb kujua uwo wimbo wa mahadiri unaitwaje? Nimzur sana
@tokaalt2880
@tokaalt2880 3 жыл бұрын
Amen
@amanmdulingwa393
@amanmdulingwa393 3 жыл бұрын
Jaman mumeimb vzuli nmepend
Me: Don't cross there's cars coming
00:16
LOL
Рет қаралды 15 МЛН
DO YOU HAVE FRIENDS LIKE THIS?
00:17
dednahype
Рет қаралды 93 МЛН
Kwaya ya Mt. Maria Goretti Mbagala Zakhiem katika Tamasha la Miaka 5 ya Kwaya ya Mt. Yohane Paul II
20:54
Holy Trinity Studio - Nampenda Mungu ( Official music video )
6:05
HOLY TRINITY STUDIOS
Рет қаралды 1,3 МЛН
ITIKA BWANA  BY BARAKA T.MASHIBE
5:44
Jay's Studios
Рет қаралды 223 М.
Me: Don't cross there's cars coming
00:16
LOL
Рет қаралды 15 МЛН