No video

Chemsha bongo za Askofu Mkuu Ruwa'ichi kwa Watoto wa Kipaimara na Komunio Parokia ya Segerea - DSM.

  Рет қаралды 10,438

Jugo Media

Jugo Media

Жыл бұрын

𝐖𝐄𝐙𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐔𝐓𝐔𝐌𝐄 𝐖𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐌-𝐏𝐄𝐒𝐀 𝐋𝐈𝐏𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀 𝟓𝟎𝟓𝟒𝟔𝟑𝟓 𝐉𝐈𝐍𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐍𝐄𝐓𝐖𝐎𝐑𝐊
Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp.com/GDS87FVmKB5...
Tumsifu Yesu Kristo, Napenda Kukushukuru kwa Kuwa Mdau Mpendwa wa Jugo Media. Tunapenda kukutaarifu kuwa Tumeandaa Group Maalum kwa Ajili ya Kupokea Taarifa Mbalimbali za Kanisa, Misa Live, Vipindi vya Kanisa nk kutoka Jugo Media. Kama ungependa Kuungana Nasi Tunaomba Ujiunge kwa Hiari Kupitia Link Hiyo Juu. Mungu Akubariki Daima
KAMA UNGEPENDA KUPATA TAARIFA KUHUSU KANISA KWA NJIA YA WHATSAPP TAFADHARI TUMA UJUMBE KWA WHATSAPP UKISEMA NIUNGE KISHA JINA LAKO KWENDA NAMBA +255757560764 au BONYEZA LINK HII wa.me/+255757560764?text=NIUN...) (SAVE HII NAMBA KWANZA, ANDIKA JUGO MEDIA) UBARIKIWE SAMA
KAMA UNA HABARI NA UNGEPENDA KUSHIRIKI PAMOJA NASI TAFADHARI WASILISHA KUPITIA WHATSAPP NO +255757560764 AU BONYEZA wa.me/+255757560764?text=Taar...)
Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
𝐉𝐮𝐦𝐮𝐢𝐤𝐚 𝐧𝐚𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨 𝐦𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢:
Instagram: / jugo_media
Facebook: / jugomedia2019
𝕄𝕒𝕨𝕒𝕤𝕚𝕝𝕚𝕒𝕟𝕠:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america

Пікірлер: 13
@LucyMwasu
@LucyMwasu Жыл бұрын
Penda Sana watoto kwa kujaribu kujibu maswali,pongezi kwa wazazi walimu kwa kuwafundisha Imani kumjua Mungu na mafundisho yake
@marytheresiachando6855
@marytheresiachando6855 Жыл бұрын
Waalimu wamefanya kazi kubwa Hongera zao sana kwa kazi mliyofanya kwa kuwafundisha hao watoto. Mwenyezi Mungu awabariki sanaa.
@justinambrose3577
@justinambrose3577 Жыл бұрын
Hii challenge ni nzuri sana. Hongera sana Baba Askofu
@francisriziki1954
@francisriziki1954 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana watoto mnajitahidi kujibu maswali yahusu imani yetu ,na hongera sana baba Askofu mkuu kwa namna yako ya utendaji kazi
@janethkija2042
@janethkija2042 Жыл бұрын
Kuhani mungu akubariki kwa kuwakuza kiimani watoto wetu
@yohanakisoka6377
@yohanakisoka6377 Жыл бұрын
Asante sana baba Askofu wetu, kuendelea kutuimarisha Kiroho.
@rosemduda-ej2ki
@rosemduda-ej2ki 2 ай бұрын
Everything is god
@frankmunale5364
@frankmunale5364 Жыл бұрын
Amina Amina
@EzekielTesha-lr8xh
@EzekielTesha-lr8xh Жыл бұрын
Nice
@yohanambano872
@yohanambano872 Жыл бұрын
Amiina
@barakamhagama5586
@barakamhagama5586 Жыл бұрын
👏👏👏👏👏
@prosperiamdetele1421
@prosperiamdetele1421 Жыл бұрын
Ubalikiwe baba yetu was kiroho
@kristofuraha3369
@kristofuraha3369 Жыл бұрын
Dini buwana!! Dah!!🙂🙄
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 9 МЛН
World’s Largest Jello Pool
01:00
Mark Rober
Рет қаралды 114 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 21 МЛН
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 12 МЛН
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 9 МЛН