KAJALA AMEFUNGUKA PAULA HAJAJIFUNGA, AONGELEA KUITWA BIBI "NI MTOTO WA MDOGO WANGU"

  Рет қаралды 53,520

Millard Ayo

Millard Ayo

5 ай бұрын

Пікірлер: 101
@AMINASAIDI-mx7rs
@AMINASAIDI-mx7rs 5 ай бұрын
Napenda kalaja haushi maisha ya kishamba❤
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 5 ай бұрын
Nakupenda sana kajala❤❤❤❤
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 5 ай бұрын
Hongera sana nasra MY DAUGHTER
@magdalenajoseph9910
@magdalenajoseph9910 5 ай бұрын
Congratulations dear.
@Nihadshighadi
@Nihadshighadi 5 ай бұрын
Mama p anachekesha😂😂❤❤
@azizchanyoya5403
@azizchanyoya5403 5 ай бұрын
Kajala kaweza jibu.sisi paula tumemjua toka enzi uyo kimbau mbau anataka kiki kupitia wao
@irenemacha5661
@irenemacha5661 5 ай бұрын
Hongera malkia wa nguvu
@user-hm3qm2nf1v
@user-hm3qm2nf1v 5 ай бұрын
Yaani waandishi kusudio limeachwa wanataka hbr za paula 😅😅😅😅
@puritynyanchoka821
@puritynyanchoka821 4 ай бұрын
Ata wanasahau mada ilikuwa gan😅😅😅😅
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n 5 ай бұрын
Ila kajala anajpenda umbo lake mashalah ❤❤anikera tu akikata nywele na kijibichwa chake awa mmbayaa😢
@candydryfishpackage001
@candydryfishpackage001 5 ай бұрын
Baby anapendeza lkn
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 4 ай бұрын
Kajala km kajala !🙌🙌
@abbythestar2667
@abbythestar2667 4 ай бұрын
Nice job 🥰🥰🥰🥰
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 5 ай бұрын
Mama Pau ❤❤
@neemapraigory8832
@neemapraigory8832 5 ай бұрын
Nakupenda kajala waache niwapumbavu hana kiki wala yota
@KhadijaAbdala-vy8tw
@KhadijaAbdala-vy8tw 5 ай бұрын
Nice mom🎉❤❤
@user-mg3wr3re5q
@user-mg3wr3re5q 4 ай бұрын
Nakupenda sana kajala
@JudithKigalu-ue3in
@JudithKigalu-ue3in 4 ай бұрын
❤❤❤❤🎉my lovely girl kajala
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 4 ай бұрын
Nawapenda sn paula mamayake ❤❤❤❤❤
@EflanciaKuyava-ns4bi
@EflanciaKuyava-ns4bi 3 ай бұрын
Nakupenda dada kajala❤❤❤
@user-tp2ix5xf1e
@user-tp2ix5xf1e 4 ай бұрын
❤❤
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 5 ай бұрын
Mhh mnahangaika sana waja
@monicagodfreyzacharia5489
@monicagodfreyzacharia5489 4 ай бұрын
nakupenda kajala wangu!
@rosechami5637
@rosechami5637 5 ай бұрын
Duuuhhhh kwa sataili hiii acha nipambane na hali yangu products zimekua nyingi sana sana mpaka mtu unachanganyikiwa
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 ай бұрын
Kazi kwao wapakaji😂😂😂
@mouldykomba1852
@mouldykomba1852 4 ай бұрын
Mmmmh waandishi wa habar hatari sana mmeacha kusudio mnaanza na paula
@EvaristoMtega-pe5gk
@EvaristoMtega-pe5gk 4 ай бұрын
Mwenyewe nimetapeliwa kupitia Huyo Hugo kajAra
@zulfahaji91
@zulfahaji91 4 ай бұрын
Mm wala. Skupata shida nlijua. Km. Hajajifungua
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 5 ай бұрын
Kajala number one❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-st1zs1ng2x
@user-st1zs1ng2x 5 ай бұрын
Kajala km bodyguard 😂
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 5 ай бұрын
Kaa kila mtu anapeotanti duhh
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 5 ай бұрын
😂ila haya majibu ya kajala😅
@user-hm3qm2nf1v
@user-hm3qm2nf1v 5 ай бұрын
Eeee kakutana na maswali ambayo hayaendani na tukio halisi😅😅😅😅😅
@RebecaMackenzi
@RebecaMackenzi 5 ай бұрын
Kumbe zanana ndo anakuwaga mfupi hivyo😅😅😅😅😅
@mouldykomba1852
@mouldykomba1852 4 ай бұрын
😂😂
@Zuuh4286
@Zuuh4286 5 ай бұрын
Mimi wacha nibaki na machunusi yangu sina hata muda wa kushulikia uso 😂😂😂
@ramyramazani6606
@ramyramazani6606 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Zuuh4286
@Zuuh4286 5 ай бұрын
@@ramyramazani6606 wacha nitafe tuu pesa chunusi zitaisha zenyeqw lakin si kutumia macreem na unakomaa uso lakin hata ukizeeka uso unakuwa bado mzuri😂😂🤣🤣🤣
@user-uc8ei8kn3l
@user-uc8ei8kn3l 4 ай бұрын
Rose mgonja shoga ako yuko wapi tumesoma wote oysterbay primary kajala tumeishi kota moja oysterbay
@Rahima-kv6mn
@Rahima-kv6mn 5 ай бұрын
Mimi natumia jiki limaooo midimu na chumvi mlovela mpaka mashavu yamekuwa bukunyaaaaa 😂😂😂 product izo OG kabisa
@user-xs8to8fu6d
@user-xs8to8fu6d 4 ай бұрын
Daah cjawahi kutumia chcht ila ww umeua jamaai mm nipo nature 😂😂❤
@Rahima-kv6mn
@Rahima-kv6mn 4 ай бұрын
@@user-xs8to8fu6d 😂😂😂😂😂😂😂😂 Sasa kila mtu anakuja na vipodozi vyake namie ndo nishakuja navyo ivyo Sasa iga ubabuke uso fata ushauri wa daktar 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@stellatemu2458
@stellatemu2458 4 ай бұрын
Hhhhh
@user-se3xn8yp2b
@user-se3xn8yp2b 3 ай бұрын
Kama umeshaitwa bib achautopolo elimika
@lucyjohn3537
@lucyjohn3537 4 ай бұрын
Nachojuaga kajala ni mfupi sasa huyu boss wake tunamuitaje
@EflanciaKuyava-ns4bi
@EflanciaKuyava-ns4bi 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤😂
@mwajumaseifu216
@mwajumaseifu216 3 ай бұрын
Mbona kama kapungua
@princecharmy6838
@princecharmy6838 4 ай бұрын
Yan Media badala mkatangaze biashara mnaenda kuongelea maswala ya Mimba.
@huldamichael4445
@huldamichael4445 5 ай бұрын
Mna uhakika wateja wenu wote wanakijua hicho kingereza mnachokiongea hapo ?
@user-nr1ld3fc1h
@user-nr1ld3fc1h 4 ай бұрын
Duu hapana itwa bibi mmmm🤪🤪
@ASALABOY
@ASALABOY 4 ай бұрын
Bibi Kajala iyo miwani mbona kama inakuelemea
@JudyLee-hf9cy
@JudyLee-hf9cy 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@mouldykomba1852
@mouldykomba1852 4 ай бұрын
Vido acha umbea hujaenda apo kwa ajili ya paula mnamuharibia mwenzenu biashara
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 4 ай бұрын
Nashangaa products na Paulah wapi kwa wapi😂
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 5 ай бұрын
Kila siku yanavumbuliwa mapya mhh ngozi zawabongo zitakoma mwaka huu
@user-bb6ki7gp9k
@user-bb6ki7gp9k 5 ай бұрын
😂😂😂
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 5 ай бұрын
Wapenda mikorogo nyuso zinaenda kuwa kama kima waunguja
@zainabwage4658
@zainabwage4658 5 ай бұрын
😂😂😂😂
@rebeccamayo911
@rebeccamayo911 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂 daaah aya bwn
@AgathaMatambula-lf7fv
@AgathaMatambula-lf7fv 5 ай бұрын
😂😂😂😂
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 5 ай бұрын
Shepu je mnategeneza
@HappyPhilipo-ws3jx
@HappyPhilipo-ws3jx 3 ай бұрын
😢😂😂😂
@annamussa185
@annamussa185 5 ай бұрын
Zanana umeingia huko utawezana na Niffer tuanzie hapo kwanza
@Asiamohammed1317
@Asiamohammed1317 5 ай бұрын
Kwenye juice anafiti sana huyu dada zanana na alinishawaishi kitu ila huku mmmmmh
@youngboymusic93
@youngboymusic93 5 ай бұрын
kzfaq.info/get/bejne/Zt2bnNthl7PXeoU.htmlsi=sgvUEj7xcVtpICPd machozi tena. Congo
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 5 ай бұрын
Nifa njoo huku kuna prodanti
@amossamson8955
@amossamson8955 5 ай бұрын
Huyo kajala masanja nitapeli kupitia Biko anajiita kwamba yeye ni balozi wa Biko Tanzania kanitapeli pesa nyingi saana jaman kama Kuna uwezekano wa kunisaidia nisaidie nna uthibitisho Kila kitu
@user-fu6bq8zd5j
@user-fu6bq8zd5j 5 ай бұрын
Yawezekana nikweli umetapeliwa kupitia jina au sura yake ila akawa sio yeye kumekuwa na matapeli wengi sanaa wanatumia majina na picha za watu mashuhuri ili kukuaminishia lakini pole sanaa mungu yupo macho hata anae kufanyia wizi ipo siku atayalipa maumivu alio kupatia 🙏
@fatmaabdallah2488
@fatmaabdallah2488 5 ай бұрын
Haki mie pia nishawahi pigiwa cm na mtu akadai ni baroz kajala haliyakuwa cjawahi cheza hata mara moja
@amossamson8955
@amossamson8955 5 ай бұрын
@@user-fu6bq8zd5j nna Kila sababu ya kusema kwamba ni kajala masanja nitapeli mkubwa saana nilimuuliza kuhusu kuamini kama ni yeye akanimbia nikupigie Whatsapp video call nikasema ndiyo kapiga kweli ni yeye na nilimpiga picture naongea nae video call na nnazo Kila kiltu ana namba nyingi saana jaman tusaidiane maana tumetapekiwa wengi
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 5 ай бұрын
Amepungua amependeza
@leonardmalkio5632
@leonardmalkio5632 5 ай бұрын
Haujasema bado😂
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 91 МЛН
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 9 МЛН
KUMBE UGOMVI WOTE MARIO ALIMTRACK PAULA KAJALA
1:24
Official Mrangi
Рет қаралды 29 М.
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 91 МЛН