Nilihukumiwa Kunyongwa Mpaka Kufa Sasa Nipo Huru, Nimepata Mume - Rose FULL INVERVIEW 🔥 🔥

  Рет қаралды 74,842

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

4 ай бұрын

Ni story ya Rose Yona Malle aliyepitia mtihani mgumu uliopelekea kufungwa kifungo cha kunyongwa hadi kufa lakini baada ya miaka 6 kuachiwa huru.
Ilikuwaje akahukumiwa ? chanzo cha kesi yake na imekuwaje kuachiwa huru ?
Leo atakuwa live kwenye #LeoTena pamoja na mumewe ambaye walikutana gerezani kuanzia saa nne kamili asubuhi.
Cc. @dahuuofficial @geahhabib @mwijaku @josemarah

Пікірлер: 233
@eliasthomas1547
@eliasthomas1547 4 ай бұрын
Isaya 54:14. Utathibitika katika haki utakuwa mbali na kuonewa.
@eliasharun3273
@eliasharun3273 3 ай бұрын
Wengi wamefungwa kwa kuonewa. Usipokuwa na hela ya kuhonga tu unafungwa, hakimu Anaangalia pesa tu, kama Huna hasomi hata kesi anakufunga tu.
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 4 ай бұрын
Hakika Muumba wetu yuko juu ya Yote, Vyote na Wote. Ana Maamuzi juu ya Maamuzi ya Wenye Mamlaka hpa duniani. Anamjibu mwenye haki sawa na uhitaji wake kwa Utukufu wake Mwenyewe. Hongera sana dada. Usimwache Muumba.
@franksanga4283
@franksanga4283 3 ай бұрын
Duuuu Maisha kweli ni mlima Yaani kuna watu wamekaa jela miaka na wakatoka na wamenipita mita 100 kwenye mafanikio Mungu nisaidie mimi❤❤❤❤
@MsAggie5
@MsAggie5 4 ай бұрын
Ifike muda selikari aanze kuwalipa wanao wafunga kwa maonevu ili wapepelezi wao wafanye kazi kwa uhakika. Wenye pesa wanatoa rushwa hata wakiua bado wanaachiwa huru.
@tynahchitamu8675
@tynahchitamu8675 4 ай бұрын
Dah pole sana kiukweli mungu atubariki wanawake tulee watoto wetu jamani 😢
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 4 ай бұрын
Tuombee familia zetu, yeyote anaweza ingia gerezani
@stanleyamlima2085
@stanleyamlima2085 3 ай бұрын
Kabisa
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation 2 ай бұрын
Hakika
@hapinessobeth4131
@hapinessobeth4131 4 ай бұрын
Kweli maisha ya mwanadamu yanamisukosuko mingi saana ila Mungu mwema anatusaidiaaaa
@user-wo5mv1fv5y
@user-wo5mv1fv5y 3 ай бұрын
Unaweza kunikumbuka;?Teddy John. Nilikutambua km Queen nawe daima uliniita mama. Sintamsahau Kaka vedasto mwanasheria wa gereza is a game. Mungu amlinde daima.?Alicia kwangu baba Kaka pamoja Askari magereza wote Tanzania.
@elizabethmahenge2231
@elizabethmahenge2231 3 ай бұрын
wow. Jamani hongereni sana kwa intavyuu ya hawa mashujaa, Mungu alikuwa na kusudi kuwapitisha katika maisha waliyoyapitia ili 'awatumie kama watumishi wake' ili kuwasaidia wengine wenye shida. Mungu akubariki sana Rose na mwenzi wako.
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation 2 ай бұрын
Amina
@keshalasubuhi
@keshalasubuhi 3 ай бұрын
Ndio maana sijawahi kuafikiana na adhabu ya kifo. Kuna uonevu mwingi kwenye mfumo wa uendeshaji wa kesi na mahakama hivyo, unapomhukumu mtu kunyongwa na baadaye unagundua hakuhusika na kosa na ameshauwawa!
@yustakipenya6231
@yustakipenya6231 3 ай бұрын
Kaka yangu amefungwa miaka 30 sahvi amekaa miaka 15 kwa kesi ya kubaka lakini kila ukienda kumwona anasema usinihukumu kama nilitaka usije ukatenda dhambi bure Mungu wangu anajua sikufanya alienileta hapa pia analijua hilo inauma
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation 2 ай бұрын
Ni kweli wengi waliopo Gerezani hawana hatia
@veronicandakaba4639
@veronicandakaba4639 4 ай бұрын
Ukweli anaujua mwenyezi Mungu hatuwezi kujua ss wanadamu na hatunawezi kukuhukumu
@naeema8155
@naeema8155 3 ай бұрын
Huyu dada namjua alikua anajiita Queen Mungu ni mwema kwa kwel
@user-yc5qk4jf5l
@user-yc5qk4jf5l 3 ай бұрын
She is very good story teller
@shavasjohnkay-cw8lg
@shavasjohnkay-cw8lg 4 ай бұрын
Daniel alihukumiwa kunyongwa hadi kufa Mungu akatuma malaika wakafunga makanwa ya Simba na Daniel akawa huru.
@toptopress4909
@toptopress4909 4 ай бұрын
Nimegundua kwa hapa Tanzania unaweza kuenda jela siku na saa yeyote. Uwe umetenda kosa au hujatenda kosa. Nafikiri tujipange kwa yote, huwezijua siku wala saa jela itakuhusu
@MsAggie5
@MsAggie5 4 ай бұрын
Kweli kabisa! Watu wengi wamefungwa bila hatia na wauaji wako mitaani
@user-yc5qk4jf5l
@user-yc5qk4jf5l 3 ай бұрын
Very true
@AllyMaya-yj3xd
@AllyMaya-yj3xd 3 ай бұрын
Ni kweli sana 😂😂😂
@InnocentCharles-hm3ff
@InnocentCharles-hm3ff 3 ай бұрын
Mmh! Nani Yuko salama salama Kwa tukio hili...mana kama upelelezi wetu ungekua wa kiwango Cha juu....huenda huyu dada asingemaliza miezi sita jela...hii ni hatari mno kwan kesho utamwita boda akupeleke job wakati anarudi anavamiwa anauwawa wanakufuata ww kazini unapewa murder case
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation 2 ай бұрын
Ni kweli
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 4 ай бұрын
Pole Sana Mungu Akubariki Hiyo Yote Ni Mitihani Yamungu Nifaida Kubwa Kwako Kweli Allah Zaidi Ndio Anajuwa Zaidi Kwanini Ulipitia Hiyo..Pole Sana..Endelea Namaisha..
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation 2 ай бұрын
Amina
@davidkea5701
@davidkea5701 3 ай бұрын
Pole saaaana kwa wakati mgumu ulioupata
@Chamy-diana1
@Chamy-diana1 4 ай бұрын
Mungu hachelewi ni wakati ulikua haujafika
@sisterlbloodofjesus4084
@sisterlbloodofjesus4084 4 ай бұрын
Pole sana inasikitisha sana na kuonesha udhaifu mkubwa katika vyombo vya kutenda haki
@rehemaathhmani357
@rehemaathhmani357 4 ай бұрын
Pole sana mdogo wangu ❤mungu wa mbinguni ashukuliwe 🤲
@joshuagitilo3931
@joshuagitilo3931 4 ай бұрын
MUNGU wa mbinguni awajalie kustawi zaidi, ktk maisha yenu pamoja na huduma kwa jamii
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation 2 ай бұрын
Amina
@kosherasengasu5093
@kosherasengasu5093 3 ай бұрын
Pole Sana dada.Mungu wetu ni mwenye rehema na huruma.
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation 2 ай бұрын
Amina
@mwanamkeshujaabongoflavama7180
@mwanamkeshujaabongoflavama7180 3 ай бұрын
Huyu msichana ni mwema sana , na kapata mume Masha'Allah
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation 2 ай бұрын
Ubarikiwe
@gracemanyonge4449
@gracemanyonge4449 4 ай бұрын
Dada pole sana mungu akupe afya njema
@floramichael1967
@floramichael1967 4 ай бұрын
😢😢😢Mungu atusaidie kesho yetu hatuijui😢😢😢
@jasmineluande1694
@jasmineluande1694 3 ай бұрын
This is insparing story. Mungu ni Mungu
@Auntieminah
@Auntieminah 4 ай бұрын
Anaweza akaomba fidia ila inabidi afungue kesi nyingine ya madai.
@MsAggie5
@MsAggie5 4 ай бұрын
Ambayo itachukua miaka mingapi mpaka iishe 😂😂 kibongo bongo
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 4 ай бұрын
Kweli na alipwe
@jessykadaraja2691
@jessykadaraja2691 3 ай бұрын
Anastahili kulipwa
@timejames5099
@timejames5099 3 ай бұрын
Hii inaumwa nilishakamatwa kwa kufananishwa na mtuhumiwa Ila nashkuru askarimoja alinitambua kua sie mimi
@JacklineBenjamin-uz6dy
@JacklineBenjamin-uz6dy 4 ай бұрын
Poleni sana MUNGU atawaacha mpendeni sana MUNGU maana yeye ni zaidi ya vyote.
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation 2 ай бұрын
Amina
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 3 ай бұрын
Pole sana Mungu ni Mwema kwakweli
@RoseMbise-rw9sz
@RoseMbise-rw9sz 4 ай бұрын
Polen sana n hongeren.Mungu ni mwema
@user-ll3pq4we8v
@user-ll3pq4we8v 4 ай бұрын
Mwjaku ukiwa studio unakua na adabu kumbe unatulia ila ukiwa nje hazikutosha
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 4 ай бұрын
Allah amekuhifadhi ila Dunia,imehaharibika,
@solomonwangondu2870
@solomonwangondu2870 3 ай бұрын
Pole sana 16:32 ❤️❤️
@malikhilalmohammed5286
@malikhilalmohammed5286 3 ай бұрын
Pole sana nakutakia mema kutoka kwa mmungu
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 4 ай бұрын
Mungu ni mwema alikutetea hukuwa na hatia
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 4 ай бұрын
Umenikumbusha walivyoo muua mdogo wangu lakin hata miezi mitatu haikuisha wakaachiwa huru alafu wanaonewa wasio na hatia
@MsAggie5
@MsAggie5 4 ай бұрын
Unaona eeeeh! Ndo nasema serikali waanze kuwalipa fidia waliowahukumu Kwa hila, ili iwe fundisho na wawe makini wanapofanya uchunguzi wawe sahihi na upelelezi wao
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 4 ай бұрын
Pole sana Philly! Kuuwawa inauma sn,ila Mungu atayaauwa hayo mashetwani.
@jacksonmgonde
@jacksonmgonde 4 ай бұрын
Namkubali sana mamy sijui nisemeje
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 4 ай бұрын
Ungepata director wazuri wa movie ungetengeneza sinema mzuri au mchi kama marekani ugetengeneza movie madam
@MsAggie5
@MsAggie5 4 ай бұрын
Yeah huko hata fidia angelipwa tena ndefu
@millymack1370
@millymack1370 4 ай бұрын
She should follow up on her compensation.she was innocent.
@elizambawala7790
@elizambawala7790 3 ай бұрын
Jamani Qeeen... Hongera sana sana umekua sasa nakumbuka ulivyokuwaga na imani Zile sadaka zako hazijakuacha. Mungu aendelee kukupigania😍😍
@madahaisack1268
@madahaisack1268 4 ай бұрын
Kila penye changamoto Kuna utatuzii
@edmundnkarangu134
@edmundnkarangu134 4 ай бұрын
Pole sana kwa uliyopitia.Ila pia tumshukuru Mungu umetoka salama na Haki imetendeka😭🙏🙏🙏
@user-xx4wb9yo9p
@user-xx4wb9yo9p 3 ай бұрын
Hakika mungu nawawote ukuu wake nimkubwa
@lilmojr7
@lilmojr7 4 ай бұрын
Yaani hao majaji wa ajabu saana waliomuhukumu huyo dada maana huyo dereva wa boda kabla hajafa alitoa maelezo amevamiwa na wanaume wawili na kwanini asiseme huyo dada ambae alikuwa mtejawake wanampotezeamtu dira ya maisha yake gerezani inasikitisha saana
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 4 ай бұрын
Hats mimi nimeshangaa. HUYU alifungwa kwa chuki tu ila case ilikuwa ni aandike maelezo tu basi sio kufungwa
@lightnesselirehema1464
@lightnesselirehema1464 4 ай бұрын
Wapelelezi wa kitanzania wanahitaji kuwa sereous!
@immaabukuku7180
@immaabukuku7180 3 ай бұрын
Very touching story
@patrickbatenga2645
@patrickbatenga2645 3 ай бұрын
Wapelelezi Mungu anawaona
@user-gu3px5me6u
@user-gu3px5me6u 4 ай бұрын
Pole Sana mdogo wangu
@annatemu4488
@annatemu4488 4 ай бұрын
Mungu atuepushe na kila ovu alilokusudia shetani
@MsAggie5
@MsAggie5 4 ай бұрын
Amina
@FelisterMunissy
@FelisterMunissy 4 ай бұрын
Matukio hayo yaponbnakamanulitenda hayo mungu atakulipa hapa duniani liko jicho lilokuna
@LucyChamwi
@LucyChamwi 3 ай бұрын
Kweli mvumilivu hula mbivu oh!mungu azidi kuwa bariki
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation 2 ай бұрын
Amina
@doriselipokea651
@doriselipokea651 2 ай бұрын
Dah! Munguuuu ni mkuu
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation 2 ай бұрын
Amina
@veronicandakaba4639
@veronicandakaba4639 4 ай бұрын
Dada Mungu ni mwema endelea kumtumikia mungu
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation 2 ай бұрын
Amina
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 4 ай бұрын
Mbona humu mnapenda kuhukumu, hamjawahi kutwa na mikosi? Acheni comments za kum accuse huyu dada. Dunia duara.
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 4 ай бұрын
Mbona hakuna comment inayo mm wa-accuse huyu dada??
@edwardjohn1507
@edwardjohn1507 3 ай бұрын
Aca ukuma wewe mwenye umbwa koko weee
@user-he7ck4zb9b
@user-he7ck4zb9b 3 ай бұрын
Tanzania swahili 🎉
@FadhilaNyange
@FadhilaNyange 3 ай бұрын
Dada anasiri kubwa
@priyankaglory6951
@priyankaglory6951 4 ай бұрын
Pure heart!!❤
@abdulrisassy2488
@abdulrisassy2488 3 ай бұрын
Ukute baadae atamsaliti huyo mzee kwa sababu ya mwalimu wake alikuwa kipofu😊😆Sister anaonekana ana roho ngumu sana
@StellaWilliam-tj8mu
@StellaWilliam-tj8mu 3 ай бұрын
Pole sana😭😭
@user-cs1jf8mc9g
@user-cs1jf8mc9g 3 ай бұрын
Duuu kwanza wamemfhalikisha wamempotezea muda wamemkosesha haki za msingi kama elimu yake ya chuo hajasima wameharibu future yake angetakiwa kulipwa
@mborawakiche7564
@mborawakiche7564 3 ай бұрын
Sio kwa Tz hii ndoto yako
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 4 ай бұрын
Mashaaalah,hivo vitoto viwili ongezea viwe 15
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation 2 ай бұрын
Inshaalla kadri Mungu atakavyotujaalia
@user-ue3oq4px4o
@user-ue3oq4px4o 4 ай бұрын
Daah pole sana
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 4 ай бұрын
Mapito ya dunia. Na hili ni DOA KUBWA Maishani
@user-cg9il4mz5e
@user-cg9il4mz5e 3 ай бұрын
Husna b nakumbuka enzi za coconut fm
@veronicangwale7159
@veronicangwale7159 3 ай бұрын
Mungu yupo
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 4 ай бұрын
Usikute huyu nae muuaji alihusika kwa namna Moja au nyngne wacheni kumtetea serikal inaakil timamu hawawez TU kumkamata mtu na kimhukumu kwan mahakaman ilikuaje?
@user-ks7gg3io6d
@user-ks7gg3io6d 3 ай бұрын
Mhhhh mtoa hukumu tenaa....temea mate chini usihukumu
@josephlorri431
@josephlorri431 3 ай бұрын
Mahakama hiyo haikumkuta na hatia... serikali ipi unayosemea
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 3 ай бұрын
@@josephlorri431 ilikuaje Hadi akahukumiwa mwanzo kabla ya rufaa? Hawakupitia mahaman?
@EmJesho
@EmJesho 4 ай бұрын
Daah inauma inaumiza 😢😢😢😢😢😢
@ElishaSolomoni-kc4zk
@ElishaSolomoni-kc4zk 4 ай бұрын
Noma na nusu
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b 4 ай бұрын
Mwijaku hanavyo mshanga uyo mdda kamtorea macho
@LovelyRacingHelmet-iv6ti
@LovelyRacingHelmet-iv6ti 3 ай бұрын
😂😂😂Kumbe na ww umemwona sio Ana mkodorea macho mpk bc
@glassamo3847
@glassamo3847 4 ай бұрын
Aisee😮
@user-vj1ek5us4r
@user-vj1ek5us4r 4 ай бұрын
Pole sana
@kingkendrickk
@kingkendrickk 3 ай бұрын
Polisi tz ovyo sana, uchunguzi hakuna
@hamedyahya9291
@hamedyahya9291 4 ай бұрын
mtoto gani miaka 18 miaka kumi na tano ni tayari wa kuolewa mila za kizungu hizo
@namsamson3443
@namsamson3443 4 ай бұрын
Kazuri sana
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 4 ай бұрын
Pole sana sana binti
@florianscarion5085
@florianscarion5085 4 ай бұрын
Yani mtu akae gerezani miaka 30 afu fidia milioni tano tu!!!!😢😢
@MsAggie5
@MsAggie5 4 ай бұрын
Kibongo bongo nayo ni bahati kuna wanaotoka patupu!
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 3 ай бұрын
Mwijaku hoyeeeeee
@rachelbathromew6223
@rachelbathromew6223 3 ай бұрын
Maisha Yana fumbo sana
@fredykephacy5166
@fredykephacy5166 Ай бұрын
aisee maisha pole dada
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 4 ай бұрын
Tatizo la nyumban wanaweza waka kuweka kwenye matatizo usoyajua,
@officialmtembezi
@officialmtembezi 4 ай бұрын
Ngoja nikae kimya.
@sultanaswaleh7813
@sultanaswaleh7813 4 ай бұрын
Pole sana mwanangu unani towa machizi🇰🇪
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation 2 ай бұрын
Pole mitiahani tumeumbiwa sisi binadam
@ZaynabMsury
@ZaynabMsury 4 ай бұрын
Mwijaku mbon unamkazia macho sana
@everlyndevario1895
@everlyndevario1895 Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@leilahkezen2475
@leilahkezen2475 4 ай бұрын
Mhh huy dada mbona simwelewi
@user-cf4dg7se5j
@user-cf4dg7se5j 3 ай бұрын
Hueleweki ww sio uyo dada
@user-ll3pq4we8v
@user-ll3pq4we8v 4 ай бұрын
Tena hapo ana upwiru hapo
@Veni584
@Veni584 4 ай бұрын
Sio kifungo cha kunyongwa, ni hukumu ya kunyongwa
@MsAggie5
@MsAggie5 4 ай бұрын
Kunyongwa hadi kufa
@k.kswitzerland4168
@k.kswitzerland4168 4 ай бұрын
True
@AllyMaya-yj3xd
@AllyMaya-yj3xd 3 ай бұрын
Kwa Tanzania kuhukumiwa kunyongwa ni jina tu jua hiyo ni maisha tu.Maana wa mwisho kunyonga ni Hayati Mwinyi
@simongwandu7392
@simongwandu7392 3 ай бұрын
Rose Hhaymalley Onna pole
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation 2 ай бұрын
Asante
@abuarafatmkweli748
@abuarafatmkweli748 4 ай бұрын
Haoneshi kujali kwamba bodaboda wake "aliuliwa"... natamani angeulizwa
@teddyhenry2579
@teddyhenry2579 4 ай бұрын
Sasa ndio umeandika nini
@adammveyange9638
@adammveyange9638 4 ай бұрын
Huyu dada alikua na mahusiano na huyo boda sponsor akaamua kuwakomesha wote mmoja aende jela mngine mochwar..over
@AllyMaya-yj3xd
@AllyMaya-yj3xd 3 ай бұрын
​@@adammveyange9638Acha kuwaza nyege muda wote mbwa wewe
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 4 ай бұрын
😢😢jamani waue wengine a
@shaqirwayne6029
@shaqirwayne6029 4 ай бұрын
Mfate makonda atakusaidia tu ndugu inchi yetu si unaijua
@josephlorri431
@josephlorri431 3 ай бұрын
Amefanana na Gekul
@MartinLilenga
@MartinLilenga 2 ай бұрын
Kila alie hukumiwa co mhallifu je itajulikana VP?
@user-ll3pq4we8v
@user-ll3pq4we8v 4 ай бұрын
Mbona anababaika babaika au alihusika ? Mana ckuhizi wnawke ndo wezi wa boda
@jade75798
@jade75798 3 ай бұрын
Jamani polee saana nikîja Moshi ntawatafuta
@hyacintagugu7
@hyacintagugu7 3 ай бұрын
Mimi niliwachangia kwenye Harusi yao
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation 2 ай бұрын
Asante sana
@jade75798
@jade75798 2 ай бұрын
@@hyacintagugu7 safii sana ubarikiwe
@user-ll3pq4we8v
@user-ll3pq4we8v 4 ай бұрын
Ulifungwa inaitwa ushahid wa mzingira
@Sangaligospel
@Sangaligospel 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 polesana dada
@user-yc5qk4jf5l
@user-yc5qk4jf5l 3 ай бұрын
Pole sana my dear very srong woman mashashallah,yote ni mitihiani ya dunia.omar from kenya
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation
@TanzaniaEx-PrisonersFoundation 2 ай бұрын
Amina kaka Omary
@user-ll3pq4we8v
@user-ll3pq4we8v 4 ай бұрын
Kumbe mumewa rozi jamabzi
@AnthonyAnatory
@AnthonyAnatory 3 ай бұрын
Jaman
@abibuchengula4588
@abibuchengula4588 4 ай бұрын
Mtu akishakufa haki yake inapotea
你们会选择哪一辆呢#short #angel #clown
00:20
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 14 МЛН
Shajara ya Coy Mzungu | Afungua Kurasa za Maisha Yake
57:52
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 24 М.
ENGLISH OR SPANISH EA FC 2025
0:14
Jhow GK
Рет қаралды 3,4 МЛН
Главный АФЕРИСТ в истории футбола • Карлос Энрике Рапосо #футбол
1:00
ШКОЛЬНИК ДАЛ БОЙ ШОВХАЛУ 😨 #shorts @EXPERTIZAMMA
0:57
ExpertИза MMA
Рет қаралды 1,6 МЛН
Ronaldo, Mbappe, IshowSpeed, Son 😈🔥 #footballshorts #shorts
0:27