No video

KANALI MUAMMAR GADDAFI: Mwisho wa MAISHA yake UNAOSIKITISHA: Haya ndio Usiyoyajua

  Рет қаралды 59,903

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Makala hii kwa inakupa historia fupi ya maisha Kanali Mummar Gaddafi na sababu muhimu ambazo zilipelekea na kuchochea chuki kati yake na Mataifa mengine makubwa duniani, na pengine aina ya uongozi wake, mitazamo na falsafa ilipelekea maswali kwa wale waliompinga na kuonekana kama ni ukatili na unyonyaji kwao, hivyo kupelekea maandamano ya vita kali yaliyotapakaa nchi nzima.
ENDELEA..

Пікірлер: 105
@sonnyr1899
@sonnyr1899 2 жыл бұрын
Kwa sisi tunaishi njee Ya africa ndio tunajuwa uchungu wa hio story. Yani kiongozi ukitumikia taifa lako na ukawapa kisogo kina Cheupe basi jua kifo chako kipo njiani.
@kiningashukran5177
@kiningashukran5177 2 жыл бұрын
Naumiya mnoo hadi namkumbuka Mugufuli
@levienlevismmbenga2415
@levienlevismmbenga2415 2 жыл бұрын
Tunapenda sana sky vipi kuhusu vihongozi wa congo 🇨🇩 tuwekeye history yote katika simulizi na sauti
@SWAHILINATION
@SWAHILINATION 2 жыл бұрын
Until when are we gonna let them take down our leaders? Africa for Africans. It’s time for Africa to unite and defend our beautiful continent. Thank you Sky for this
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 2 жыл бұрын
Classic, uninterrupted, 100% legit news= SnS. My number 1 news. Love from Minnesota die hard fan❤️❤️❤️
@munam7104
@munam7104 Жыл бұрын
Hapa nilipo machozi yana nimiminika asante kwa habari nzuri huyu jamaa alikua comred bwana walikua wakimuita mwenda wazimu lakini saa hii ndio wajua wamepoteza kiongozi shujaa mwezi mungu amuke pema penye wema ameen yarabby
@maestro1902
@maestro1902 Жыл бұрын
Furahaa ikipitiliza hiichii ndo Huwa ndo kinatokeaga RIP legend, fighter , Hero , Frontline commander RIP GADDAFI 🙏🏿
@BradOfficial-gf1fb
@BradOfficial-gf1fb 3 ай бұрын
Nmezfatilia sana historia za muamar Gaddafi kwamaelezo nmegundua mazuri ya Gaddafi n machache mabaya yake ndo yamekua mengi sana ndio maana alchukiwa na nch nzma Mfano alzuia mikutano ya kisiasa,ukimpnga unauwawa au kupotelea kuckojulikana hakuwagea uhuru wananchi wake ingawa aliwapa each and every thing #tujfunzeviongoziwatanzania
@user-sf7by1cr5h
@user-sf7by1cr5h 6 ай бұрын
Unajua sana fredi bundala unajua kutangaza unasauti bora ya kutangaza asante sana naburudika nikikuskia
@babamarkom9881
@babamarkom9881 2 жыл бұрын
skay nakubali sana kazi yako wejamaa noma sana
@TatuMuanda-ub7ud
@TatuMuanda-ub7ud Жыл бұрын
Mimi nirimkubari Sana Gaddafi arikua kiongozi mzuri
@user-uo7ir8fn4p
@user-uo7ir8fn4p 7 ай бұрын
الله يرحمك برحمته يارب تقبل دعائي له ولامواتنا معه يارب بحق ذكر محمد فى كل يوم الف
@MaulidRajabu-nn1xn
@MaulidRajabu-nn1xn 4 ай бұрын
Pole sana kiongozi we2 wa Africa baba wa Africa 🌍 ha2tokusahau kamwe wala kiya2 chako hakuna m2 kitakacho mfaa kamwe mungu akulaze pahali pema amin🤲🏽🤲🏽🤲🏽
@kevinmwamba1009
@kevinmwamba1009 2 жыл бұрын
I was waiting for this. GADDAFI WILL ALWAYS BE REMEMBERED
@hassanihussein4479
@hassanihussein4479 Жыл бұрын
Gaddafi watoto wake wa kiume wote walikufa kabaki mtoto wake wa kike anaishi Oman ana wajikuu zake 4 wadogo moja ya wa jukuuu zake kachukua jina la baba ake anaitwa Muumar hawo watoto popote wanapo enda lazima kutakuwa na polisi wakiwa wamevaa kiraia na wanaishi sehemu za watu wakubwa hata Bakhresa na Asas wana nyumba zao ktk hy sehem
@jaymandy8136
@jaymandy8136 Жыл бұрын
Never know what you got till it's gone.
@surujajwie4768
@surujajwie4768 2 жыл бұрын
inna illah waina illah rajiun Allah rehemakallh 😢
@eddy4998
@eddy4998 2 жыл бұрын
Dahhh Yani hakuna watu walio feli ktk hii dunia kama Libya maskini Sasa hivi wanajuta maisha yamekuwa magumu acha wavune walicho kipanda
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 2 жыл бұрын
Kweli nyani haoni Kundule. Mbona haina tofauti na kinacho endelea home. Magufuli alikuwa Gaddafi wetu ba alitaka watanzania tuwe na hayo maisha ya raha. Tukamuuwa, tumebaki tunatapatapa. Waulize machinga wakueleze mateso wanavyo pitia, masikini wanavyo nyanyasika na ufisadi ulivyo rudi😭😢
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 жыл бұрын
@@ilovejesus9303 😭😭😭😭
@youngpaincompany1440
@youngpaincompany1440 Жыл бұрын
@@ilovejesus9303 magu akulipa wasio na ajira bana 😂😂
@mkwavi
@mkwavi Жыл бұрын
​@@youngpaincompany1440Of course but nchi ilifika mahali ambapo hatutegemea,,,,!
@aminamikidadi7754
@aminamikidadi7754 2 жыл бұрын
Inalillaih wainaillaih rajiuun ...
@FadhilaJuvenari
@FadhilaJuvenari Ай бұрын
Alimulilia mungu kamulipia mpaka wajute wakoswa fadhila ao
@shahakasimu9855
@shahakasimu9855 2 жыл бұрын
yani Africa inashida sana 😥
@thegreat.9869
@thegreat.9869 Жыл бұрын
Hii dhambi ya kumuua huyu mwamba itazidi kututafuna daima.
@dulaabdallarashid
@dulaabdallarashid 2 жыл бұрын
gadafication of africa rest in peace our hero
@zclassicfashionz
@zclassicfashionz 2 жыл бұрын
Iliniuma sana...
@hellenrichard187
@hellenrichard187 Жыл бұрын
Uko vizuri bro
@rashidtwaha7699
@rashidtwaha7699 2 жыл бұрын
Waafrica tunachonganishwa wenyew na kuuwana wenyew... Leo hii Libya mko wap
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 2 жыл бұрын
Wa Libya laana itawatafuna maisha Yao yote 😭😭😥
@hkmeme5437
@hkmeme5437 2 жыл бұрын
Wazungu sio watu ni wanyama,
@teulechristopher3934
@teulechristopher3934 2 жыл бұрын
Mbna uongelei ya kwenu magufur yuko wap
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 2 жыл бұрын
@@teulechristopher3934 😭
@airinsumeno2490
@airinsumeno2490 2 жыл бұрын
@@teulechristopher3934 maguful cku yake ilfka hakuuawa
@homeplusagencies8702
@homeplusagencies8702 Жыл бұрын
wana laana mpaka kiama
@sammysammy2001
@sammysammy2001 11 ай бұрын
Agalia sahii lana zina wapiga walio mtesa🎉🎉🎉nalia maana sipoa walivyo muuwa
@user-ry8ky1tf1n
@user-ry8ky1tf1n 5 ай бұрын
Hatokeiekamagadaf libiya mugu awalanimpaka kiamawalokatishamaisha yagadaf amin
@YaaMnyad
@YaaMnyad Жыл бұрын
Huyu alikuwa kiongozi wakuigwa hapa Africa,,,,,,
@abuunyalioto1752
@abuunyalioto1752 2 жыл бұрын
Jamaa nakufatilia sana na huwaga ukeseagi kabisa sky
@KihangoIsmail-qn2uh
@KihangoIsmail-qn2uh 11 ай бұрын
Nadiliki kusema kwa uchungu hasa kwa sisi huku afrika tusiwasikitikie walibya kwa sababu walibya wamelaania naukiwaonea na wewe unapata laana kutoka kwa mungu
@jemedarikalimasi5754
@jemedarikalimasi5754 Жыл бұрын
We we mtangazaji mjinga sana sijui ulisoma wapi nashangaa unasema toka mapinduzi yafanyike Libya kupo shwari, wakati toka Gaddafi afe maovu yote yapo Libya, ikiwemo njaa, vita, magongwa na makundi ya kigaidi yamejaa Libya, Mimi nakushangaa.
@mkwavi
@mkwavi Жыл бұрын
Amesema Amani kidogo sana baadhi ya maeneo kijumla alicho maanisha hakuna rudia tena kuangalia.
@aziza9093
@aziza9093 3 ай бұрын
❤❤❤
@gynae8407
@gynae8407 2 жыл бұрын
Hm! Hua sipendi kusikia habari ya Col. Kwani inaniuma kila nikisikia hii kumuhusu huyu mwamba wa Africa. Leo JPM tumepigwa machinga ni mashahidi.
@petermshali5157
@petermshali5157 Жыл бұрын
Wa Libya wanajuta na watajuta kumuua Gaddafi
@abuusufian6506
@abuusufian6506 2 жыл бұрын
💔💔💔 walibya walibya walibya 💔💔💔
@husnahassan2124
@husnahassan2124 2 жыл бұрын
wanateseka hao ckuhizi balaa
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 4 ай бұрын
Kwanza Walibya wameyata wenyewe angalia wanavyokufa na majaazi ndani ya maji kwa kukimbia nchi yao inatakiwa waachiwe wafe kwa sababu niwajinga wakuyupwa
@fredrickfilbert3922
@fredrickfilbert3922 2 жыл бұрын
Huu ni mwendelezo wa udikteta wa wazungu dhidi ya Mataifa ya Afrika. Demokrasia ni mfumo mbovu kabisa
@mwembehashiru8982
@mwembehashiru8982 9 ай бұрын
Tutamkumbuka mwamba huyu wa Afrika Raise wa kipekee.
@RandB_Channel
@RandB_Channel Жыл бұрын
So sad
@khamis9187
@khamis9187 20 күн бұрын
Chamtema kuni wanakiona wana Libya now ..
@nassirjuma6308
@nassirjuma6308 2 жыл бұрын
Daaaah
@saadaamous4362
@saadaamous4362 Жыл бұрын
Walibya watakukumbuka maisha yao
@MaulidRajabu-nn1xn
@MaulidRajabu-nn1xn 4 ай бұрын
😭😭😭😪
@erickswai698
@erickswai698 2 жыл бұрын
Ukwel unabaki kwamba Rais katika nchi ni kivuli cha watu wenye pesa nyingi wanaotaka kuongoza watu jins wanavyotaka
@kiningashukran5177
@kiningashukran5177 2 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭
@lilpumpvideo4214
@lilpumpvideo4214 2 жыл бұрын
I love you so much sns
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 2 жыл бұрын
Thank you fam
@bish_daddiyao
@bish_daddiyao 2 жыл бұрын
#GADAFFI💪🏾🙌🏽
@shuzashadyproduction8438
@shuzashadyproduction8438 2 жыл бұрын
Majarida Yatamuandika Sana Huyu Mwamba🤲
@husnahassan2124
@husnahassan2124 2 жыл бұрын
Kabisa
@mkwavi
@mkwavi Жыл бұрын
late
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 4 ай бұрын
Mimi mtazamo wangu watu wa walibya Mungu awalani sana kwa kudanganywa mataifa ya njee na kumuua mzee wetu Gadaffi na kumuanika adharani kila mtu amuone hiyo itakuwa laana kwa kizazi hadi kizazi na tabia ya waarabu kudangawya tu na wazungu ujue watakuua hata Sadam Husseni ni hivyo warabu wanalana kama hivi sasa wapalestina wanauwawa wao hata kukemea wapo kinywa tu ni hirani peke yake Saudia kama nyumbu akiliwa na simba wanaangalia tu ndiyo Saudia
@yusuphmakangemakange4474
@yusuphmakangemakange4474 Жыл бұрын
Ndy ivyo wamarekani wakija Africa tuna watetemekea kama wafalum ila kiukwely awana msada wowote kwetu ss ivyo viongoz wetu wa tz wana chakujifuz sio tujiachie sio kila ushauri wanao toa wa marekan tunatekekez
@masesamasesa1844
@masesamasesa1844 Жыл бұрын
Pumzika aman babu yangu tunajifunza mazuri ulioacha
@edithakimuna8701
@edithakimuna8701 2 жыл бұрын
nmekumbuk wale walinz wake wale wadada wachokoze utajua huwajui😂
@kaizamandike8771
@kaizamandike8771 2 жыл бұрын
Walibya Walibya 😥😥😥
@peninacharles9757
@peninacharles9757 2 жыл бұрын
MAREKANI Ndio walio Muua✍️✍️
@erickswai698
@erickswai698 2 жыл бұрын
Obama ndiye aliyemuua
@assanibutoto9208
@assanibutoto9208 Жыл бұрын
Gaddafi angelikuwa hadi leo kama ni raisi wa afrika nzima
@khurlainashly5686
@khurlainashly5686 Жыл бұрын
Ao ndio binadamu atukumbukagi mazuri 😮hua tunakumbuka mabayatu😏
@edithakimuna8701
@edithakimuna8701 2 жыл бұрын
😭
@jut1161
@jut1161 2 жыл бұрын
Sasa hivi wazungu Wana eba mafuta tu
@ommydia2734
@ommydia2734 2 жыл бұрын
🥺🥺🥺😭😭😭
@Elihosea
@Elihosea 3 ай бұрын
Africa bado tuna tanatawaliwa kingozi ikiwa mzulitu wanamuwa
@wilbroadgrarcian1259
@wilbroadgrarcian1259 2 жыл бұрын
Muammar Gaddafi
@jamesvmusic2677
@jamesvmusic2677 2 жыл бұрын
Safi
@gayanimwansasu
@gayanimwansasu Жыл бұрын
Acha wafe tena waishe kizazi cha kinafki ndio wanaona isha wao na watoto zao
@tatujuma8781
@tatujuma8781 Жыл бұрын
Ivi wanakufa baharini kukimbilia ulaya
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
@yahayaannu3663
@yahayaannu3663 Ай бұрын
USA ni laana hpa dunian
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 2 жыл бұрын
Huyu kama jpm angetokea kuwa hivyo
@issaissah8832
@issaissah8832 2 жыл бұрын
Wazungu ni watu wa baya Sanaa wamesha I chafua libia na Sasa wao wamekaa pembeni daaah
@khadijashabani5509
@khadijashabani5509 10 ай бұрын
Wapiii walikuja kummaliza jpm
@zabibuamissi1141
@zabibuamissi1141 2 жыл бұрын
Adi leo Libya ahijakuwaga na amani
@erickswai698
@erickswai698 2 жыл бұрын
Ila kuna demokrasia ukilinganisha na NATO wanavyoona saiv
@freddybaziraomari
@freddybaziraomari 2 жыл бұрын
😭😭
@ibrahimkasim922
@ibrahimkasim922 Жыл бұрын
Wew pekee ndo unaejua vyem chanel hii wengin utopolo tu coz naon kuna saut zingine zinakimbia kama gali
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 Жыл бұрын
NA laana hii itawaumiza mbaka dunia itaisha
@mkarawizemtasher4897
@mkarawizemtasher4897 2 жыл бұрын
Sns tunaomba utuletee story ya ol' dirty bastard au (ODB)
@tabuabdallah7980
@tabuabdallah7980 Жыл бұрын
Huyu alikuwa mwamba wallah dam yake ilomwagika kwenye hiyo arzi itawalilia usiku na mchana ona wanvyo teseka kwa sasa
@peterngigi734
@peterngigi734 2 жыл бұрын
That's a dictator
@mkwavi
@mkwavi Жыл бұрын
Sawa sasa hivi kuna Demokrasia ipi Thamani ya Demokrasia,,,, hapo nchi haikaliki kula na kulala shida ndiyo thamani ya demokrasia hiyo,,,?
@Qqambaa
@Qqambaa Жыл бұрын
@@mkwavi nakubaliana nawe bro
@asddsa5076
@asddsa5076 Жыл бұрын
Maisha ya kipindi ca kadafi inchini Libya Hayajawahi kutokea inchi yoyote duniani WATU wakiwa na neema Hawaiyoni 🤦🏽‍♂️
@imaralu9680
@imaralu9680 2 жыл бұрын
😭
@mbembelatv
@mbembelatv 2 жыл бұрын
😭
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 26 МЛН
Running With Bigger And Bigger Feastables
00:17
MrBeast
Рет қаралды 151 МЛН
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 5 МЛН
а ты любишь париться?
00:41
KATYA KLON LIFE
Рет қаралды 3,4 МЛН
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 26 МЛН