SOBIBOR: Kambi ya kifo iliyotumiwa na Adolf Hitler kuua wafungwa wa Kiyahudi wafikao 250,000!

  Рет қаралды 84,721

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

2 жыл бұрын

Unaweza kujiuliza kwanini kambi ya #Sobibor ilijengwa. Na kwanini kulikuwa na chuki ya kibaguzi hasa kwa wayahudi? Walifanya nini mpaka kuuawa kikatili, kupelekwa makambini na kupewa adhabu kali zisizokuwa na chembe ya utu wa kibinadamu.
Tega sikio lako katika makala hii ili kujua mengi ya kusisimua kuhusu kambi ya maangamizi ya Sobibor pamoja na ukatili wa #AdolfHitler wa Ujerumani

Пікірлер: 133
@dantemaina6008
@dantemaina6008 2 жыл бұрын
am a Kenyan but napenda ii channel sana sana keep it up brother
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 11 ай бұрын
Nawakubari ndugu zangu kwa kutufafanua Uhepo wetukujua mengi kupitia makala zenu 👏🇹🇿🇬🇷
@elimumwaipaja74
@elimumwaipaja74 2 жыл бұрын
Nimesikiliza simulizi hii usiku huu kukiwa kumetulia bila bughuza ili nimpate vema Skywalker.. hakika Wewe ni mwalimu mzuri. Simulizi hii inatosha kabisa kuielewa historia. Nakukubali sana Skywalker.. mungu anijalie nipate fursa kukuona najifunza vingi kwako.
@IdrisaMussa-sm6tb
@IdrisaMussa-sm6tb Жыл бұрын
Hata me kbsaaaa
@antonyndege3278
@antonyndege3278 5 ай бұрын
Wayaudi walistaili kuuawa
@jcrackcrack1669
@jcrackcrack1669 Жыл бұрын
Am from England and the problem is,I don't understand kiswahili bt hii story n nzuri Sana bro, kazi nzuri Sana
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Use google translate
@simbamnyama2589
@simbamnyama2589 Жыл бұрын
Mjinga nini.. Unajuaje uzuri wa story na hujui kiswahili.. Acha ujinga boya wewe
@WandemaAbdallah-lf5ku
@WandemaAbdallah-lf5ku Жыл бұрын
Mbona umeongea kiswahili
@officialluisetz8203
@officialluisetz8203 11 ай бұрын
😂
@Sadi_Tv
@Sadi_Tv 2 жыл бұрын
Daaah mnakuja vizuri sana na mna ubunifu wa kipekee na wa kitofauti hongera sana Sky Walker na Team nzima ya Sns
@bishweko
@bishweko 7 ай бұрын
Tatizo mayahudi waliouwawa na Hitra sio wale waliuza siri za kijeshi. Tukumbuke kulikuweko na mayahudi safadim na mayahudi Ashikinaz hawa ndio mpaka sasa ni mafisadi na kama kawaida yao wanatabia ya kubadili uhalisia wao kwa sasa wanajiita Zayunist.
@mosesmbeke6137
@mosesmbeke6137 2 жыл бұрын
Umejitahido Sana kk,uko vizuri.Good work
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
Niliiona hii sinema, sijui mume wangu aliipata wapi Ile cassette, siku nyingi sana sikumbuki mwaka gani ilikuwa black and white. Nililia sana, inasikitisha mno! Kwa hiyo ile wanavyosema kama Hitler aliwachukia Wayahudi baada ya kugundua walimbaka Mama ake ndo akazaliwa yeye si kweli. Asante SNS.
@geoffreybasesa2015
@geoffreybasesa2015 2 жыл бұрын
Wewe ulielia ulikua mkubwa manake ulifuatilia, mimi niliiona nikiwa na miaka kama 11 ou 12 hata sikutambua nini kiliendelea ilikua miaka ya 2001-2002. Ila around 14years niliifuatilia tena ndo nikatambua nini walitaka kumaanisha.
@MsAggie5
@MsAggie5 2 жыл бұрын
@@geoffreybasesa2015 of course nilikuwa mkubwa, nishaolewa na watoto 😂! Inasikitisha kujua ni true story. Wayahudi tangu wajue wao ni taifa teule wanajisahau Sana, hata nauliza walifuata nini Ulaya???? Na vile wabaguzi mmh!
@sknapoleonshoo3145
@sknapoleonshoo3145 Жыл бұрын
Thank you so much. Noted down carefully!!!
@mohammedkombo9798
@mohammedkombo9798 2 жыл бұрын
Thanks Bundala makala hii, inatufanya tu reflect hii issue inayoendelea ya Russia 🇷🇺 na nchi against. Thanks @ MK from UK 🇬🇧
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 жыл бұрын
Shukran
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 2 жыл бұрын
Nili watch nikiwa mdogo tena si mara moja ilikuwa 1994 tuki watch I was 6yrs yani hii movie acha tu walikuwa wanachomwa moto wah...tulikuwa na casset yake nililia sana hii ndo sababu mimi kuchukia wazungu...
@francismwacha253
@francismwacha253 2 жыл бұрын
Big up sky hii makala ya kikubwa sana hii ndo maana halisi ya SNS
@nishaismail1178
@nishaismail1178 2 жыл бұрын
Nimeipenda hii
@thepurpleonlinetv8630
@thepurpleonlinetv8630 2 жыл бұрын
Hili n balaa ahsante sana
@josemitimingi8048
@josemitimingi8048 2 жыл бұрын
Safi sana
@ramad3086
@ramad3086 Жыл бұрын
Nakuku bali san mkuu unajua kuchambua stori hadi unanipa morari ya kukusikiliza t niite🔥 rama d🔥 ucku mchan nawafatiliaga san🔥🔥🔥🔥🔥
@zaburi2386
@zaburi2386 2 жыл бұрын
Kuna jamal April Mtiga abdarah Justin shed Na ananias edgar Lakn ww sky Walker ni the best bro
@hkmeme5437
@hkmeme5437 2 жыл бұрын
Sky ni bora, hana mbwembwe
@zaburi2386
@zaburi2386 2 жыл бұрын
@@rashowshine7849 ushabik maandaz uo
@hkmeme5437
@hkmeme5437 2 жыл бұрын
@@zaburi2386 Jamal ni ovyo kuliko wote
@mastaplan
@mastaplan 2 жыл бұрын
Kila presenter ana IQ yake acha ushabiki uliopitiliza mzee
@mastaplan
@mastaplan 2 жыл бұрын
@@rashowshine7849 inategemea maoni umeyatoa ukiwa katika hali gani maana sometimes maoni tunatoa tukiwa na feelings na sio Akili.
@ziobuono.7633
@ziobuono.7633 2 жыл бұрын
Nimefrahi sana..pia Kama naeza kuomba..utuletee story ja ukuta Wa jeriko ..maarufu Bob Marley aliumbwa jeriko wallz. Asante
@peteremanuel2367
@peteremanuel2367 Ай бұрын
Yale yanofanywa na Israel leo huko Palestina, basi Hitler alikuwa sawa kuwauwa hawa Wayaudi milioni 6, maana hawa Wayaudi ni makatili sana, na ndiyo hawa walimuua Yesu bila kosa.
@jamesverdian2445
@jamesverdian2445 2 жыл бұрын
Umehelezea vizuri sana nimependa maelezo yako mkuu
@lucianoluciano6795
@lucianoluciano6795 2 жыл бұрын
....Sky endelea kutoa historia kama hizi maramojamoja walau..sisi wengine niwanafunzi tutajifunza mengi toka kwako...
@mbembelatv
@mbembelatv 2 жыл бұрын
Napenda sn simuliz za aina hii👏💪🏼
@hossenhassan7092
@hossenhassan7092 2 жыл бұрын
Good
@ediofficial483
@ediofficial483 10 ай бұрын
Sobibor call of duty Second Word war game
@mwaminindayishimiye4434
@mwaminindayishimiye4434 2 жыл бұрын
Mungu tuu 😢😢😢😭😭😭😢😢
@bomonda2622
@bomonda2622 2 жыл бұрын
Magic voice
@nuhubaraza9323
@nuhubaraza9323 Жыл бұрын
Nakuelewa sana kaka
@MohammediKihimbwa-bj4pf
@MohammediKihimbwa-bj4pf 23 күн бұрын
Ukiona inch za magharibi znamsema mtu vibaya basi uyo ni mwema
@iam_sami
@iam_sami 5 күн бұрын
Tupe ya yule mbelgiji aliouwa wacongo mil26 …. Ss ni waafrika
@MohammediKihimbwa-bj4pf
@MohammediKihimbwa-bj4pf 23 күн бұрын
Wakiteswa wao mchi za magharibi Wana lala Mika wao wanawauwa wasrabu je waitweje ni magaidi tu
@abrahemhemed8369
@abrahemhemed8369 8 ай бұрын
I watched and I like this movie
@beesmarttv3792
@beesmarttv3792 2 жыл бұрын
Dah bro sky unatisha Sana!! Mpangilio wa sauit na background ya huo mziki wa taratibu dah!!
@babaloisethan7010
@babaloisethan7010 2 жыл бұрын
NAHISI SNS ndio chanzo boraaa Cha habari TZ
@zainulabidiendhulfikar7398
@zainulabidiendhulfikar7398 4 ай бұрын
Mm binafsi Bado sijatosheka na ushahidi juu ya haya mambo ya hitler
@godfreydaniel6818
@godfreydaniel6818 2 жыл бұрын
Adolph hitra ni mwamba alikua anatafuta heshima
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 2 жыл бұрын
Hitra
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Story ya kusisimua sana hii.
@Emmanuelmwangimwangi811-oi4wq
@Emmanuelmwangimwangi811-oi4wq 7 ай бұрын
Emmanuel mwangi kutoka kenya vidio poa sana
@jigajrphil1344
@jigajrphil1344 Жыл бұрын
Confidence haiendani na Uzao Ndiyo maana Baba yake na Suleiman alibaka Ila mwanae alioa wake 300 na mademu 700 , Kumbe tabia haifuati Uzao Ni namna ambayo mtu anafundishwa ama kujifunza mwenyewe.
@mamskiumbe4057
@mamskiumbe4057 2 жыл бұрын
Nc
@mecksaloon81
@mecksaloon81 2 жыл бұрын
Inasikitishaga sana niliwahi kuitazama nikiwa nasoma form two.
@lucianoluciano6795
@lucianoluciano6795 2 жыл бұрын
...but nakukaribisha kwa mara nyingine tena KARIBU SANA NCHI YA NGUDU KWIMBA..
@suntzu8959
@suntzu8959 2 жыл бұрын
I have a tape of this video
@kawawamamaya8543
@kawawamamaya8543 2 жыл бұрын
Hongera
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 2 жыл бұрын
Hiyooo movie ni hatari sanaaaaa
@theprince5253
@theprince5253 6 ай бұрын
Brother samahani naomba utuletee historia ya Mt Kilimanjaro
@augostinopaul3601
@augostinopaul3601 2 жыл бұрын
#Sns to the world
@dayanaleo7537
@dayanaleo7537 2 жыл бұрын
Haki nilisha anza huzunika nikajua mmefuta hamto ipost tena☹️☹️ but thank you sns ur the best🤗🌹 napenda sana simulizi zinazo simuliwa na sky au babysky🤗🥰
@SimuliziNaSauti
@SimuliziNaSauti 2 жыл бұрын
Pole sana, kuna kosa dogo tulikuwa tunalirekebisha kwenye ile ya mwanzo
@dayanaleo7537
@dayanaleo7537 2 жыл бұрын
@@SimuliziNaSauti it’s okay 🤗🥰
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 10 ай бұрын
Hile sinema himepigwa maluku kuonesha labda KZfaq 😂story mzuri
@hopechidera
@hopechidera 2 жыл бұрын
Mlifanya poa sana kuondoa hiyo video ya kwanza kwa kusahihisha,anyways asanteni kwa hiyi makala nayo nimeisikiliza a to z,mimi ni mpenzi wamakala sana...
@cyprianboniphace-oz5lw
@cyprianboniphace-oz5lw 3 ай бұрын
Lile tanuri la moto noma,yaani watu wanachomwa kama mishikaki.
@rajabmartojr3302
@rajabmartojr3302 2 жыл бұрын
Uhh
@mwaminindayishimiye4434
@mwaminindayishimiye4434 2 жыл бұрын
Hadi na sisi mka 😢😢😢😢
@powilink6504
@powilink6504 Жыл бұрын
Historia inasisimua
@hkmeme5437
@hkmeme5437 2 жыл бұрын
Sns mko juuu
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌
@geoffreybasesa2015
@geoffreybasesa2015 2 жыл бұрын
Hii movie nilikua naichukia sana manak haikua na action ila baada ya kukua na kufuatilia story nikatambua ni bonge la movie. Wayahudi waliteseka sana kipindi hicho, hadi kutumiwa kama kuni kwa kuchomwa moto
@ramaccr7525
@ramaccr7525 Жыл бұрын
😂😂😂
@geoffreybasesa2015
@geoffreybasesa2015 Жыл бұрын
@@ramaccr7525mbona umecheka au na ww ulikua kama mimi😅
@hoodlamar9284
@hoodlamar9284 2 жыл бұрын
kwanini mwandishi anasema ni kifo cha utata? au alikua shetani😀
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Allkuwa ni shetani aliyeuvaa mwili wa binadamu,Ajulikani alipofia
@salomewandya7257
@salomewandya7257 2 жыл бұрын
Dah enzi hizo tunaangalia TV kwa jirani 🤣🤣
@kawawamamaya8543
@kawawamamaya8543 2 жыл бұрын
Yaaani we acha na kuulizwa kama miguu yetu ni misafi maisha haya bwna 🤣🤣🤣🤣
@ramaccr7525
@ramaccr7525 Жыл бұрын
@@kawawamamaya8543😂😂😂
@shilakodeni2853
@shilakodeni2853 Жыл бұрын
Nimekukubali iwoniukweli
@malkavoice2570
@malkavoice2570 2 жыл бұрын
Magu alikuwa mdogo wake ila mungu kamuwahisha ujue
@zuleyvendor6577
@zuleyvendor6577 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 2 жыл бұрын
K ya mbwa wewe
@ramaccr7525
@ramaccr7525 Жыл бұрын
asha kumkosea magu ashima uyo hitl alikuwa fisi aliuwa mpaka mende
@mukusinisaidijanja9773
@mukusinisaidijanja9773 2 жыл бұрын
Nipo London nakupata
@hassanibanzi9322
@hassanibanzi9322 2 жыл бұрын
Bundle langu limeisha kihalali nimeongeza kitu kuhusu hitler
@hkmeme5437
@hkmeme5437 2 жыл бұрын
7:38 hao ni wafrica 😆
@nlctomaro8226
@nlctomaro8226 24 күн бұрын
Mnaupiga mwingii SNS ndo habarii za mjinii
@IbrahimMohamed-yy2il
@IbrahimMohamed-yy2il 2 жыл бұрын
Katika Propaganda kubwa zilizonikiwa sana moja wapo ni hii movie.
@imuutyger3175
@imuutyger3175 2 ай бұрын
Bora wauliwe mn unaona palestina inavoteseka
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Hittler hakuwa binadamu bali alikuwa ni shetani aliyeuvaa mwili wa binadamu. Kama alivyokuwa Iddi Amini.
@user-dc4hw4hy8z
@user-dc4hw4hy8z 9 ай бұрын
Kasome kwanza ukweli upo huutaki .....uliza kwa watu wenye maarifa....
@abdallahmasanja621
@abdallahmasanja621 9 ай бұрын
Acha ujinga idd amini kafanya nini
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Hittler yupo kuzimu anakula moto. Hadi SAsa hakuna raisi, mfalme, au mtawala yeyeto aliyekufa yupo peponi wote wapo kuzimu wanakula Sana moto sababu awakutenda haki
@ramaccr7525
@ramaccr7525 Жыл бұрын
Waliuwa moaka mende 😂😂😂
@cosimasamonimpiniracosimas6160
@cosimasamonimpiniracosimas6160 2 жыл бұрын
Sikumooja uje na story ya Burundi
@husseinkaoneka5834
@husseinkaoneka5834 2 жыл бұрын
Hyo nnayo had sasa mzee naiangalia kila cku
@RynoFiree
@RynoFiree 10 ай бұрын
Mkuu inaitwaje hiyo movie niitafute
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 4 ай бұрын
Mzee wako nae kboko 😂
@abedinegoraphael4774
@abedinegoraphael4774 2 жыл бұрын
niko nayo hiyo movies aseee
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 4 ай бұрын
Naweza kuipata kaka
@abedinegoraphael4774
@abedinegoraphael4774 3 ай бұрын
@@AFRICA_D669 sawa
@sadikathumani1003
@sadikathumani1003 2 жыл бұрын
Hizo ni propaganda za mataifa ya magharibi huyo hitla mwenyew alikuw myahudi aliwauwa kwa sa7bu ya ujinga wao
@faumahona5769
@faumahona5769 2 жыл бұрын
Ww ni muisilamu huwezi kuwapenda wayahudi na inaonekana ww ni mbishi Kama mavi
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Waislamu wanachuki na Wayahudi
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 Жыл бұрын
@@faumahona5769 sasa, wewe wayahudi ni nduguzo? Wote wazungu hawawapendi nyie ila mnajipendekeza kwasababu waliwadanganya kuwa wao walichaguliwa na mungu
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 Жыл бұрын
@@heritier5119 wayahudi wao wanawapenda waislamu?
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 Жыл бұрын
Wazungu wote hawana maana, wao ndio chanzo cha nyie weusi kutaabika mpaka Leo, waliwatumikisha miaka nenda rudi utumwani, bibi na babu zetu wakauliwa kinyama, wakateswa, Leo ati mtu mweusi unamuonea huruma mzungu aitwaye "myahudi" huo "Unyanism"
@dullahmihuri
@dullahmihuri 2 жыл бұрын
IKO POA MUMEKUJA TOFAUTI
@yusuphbenjaminkugaiwa7608
@yusuphbenjaminkugaiwa7608 2 жыл бұрын
Hapa bongo hawakuwepo watu kama hitla?
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Wengi tu
@zeinababdi4757
@zeinababdi4757 2 жыл бұрын
Wayahudi ni wasaliti, sio watu wakuaamini lamwe
@Pedeshee01
@Pedeshee01 Жыл бұрын
Baasi na hizi hadithi za holocoust
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Hittler alikuwa shoga
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 4 ай бұрын
😂
@babaloisethan7010
@babaloisethan7010 2 жыл бұрын
NAHISI SNS ndio chanzo boraaa Cha habari TZ
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 9 МЛН
GUANTANAMO BAY: Ukweli kuhusu GEREZA hili la WAMAREKANI huko CUBA unatisha
15:48
Ijue Mito 6 yenye kina kirefu na hatari zaidi duniani
9:42
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 74 М.
Ах как прекрасно
0:17
Флюр Хафизов
Рет қаралды 28 МЛН
There’s A Starman #superman #shorts #memes
0:26
Walking Streets 워킹스트리트
Рет қаралды 55 МЛН
MAGIC DRINK TRICK TUTORIAL 😱😳
0:20
Milaad K
Рет қаралды 69 МЛН
❗️XOTINI HAMMASINI URMOQCHI 😱😱😱
0:14
HUSAN_SHORTS1
Рет қаралды 2,8 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
0:12
Jojo Sim
Рет қаралды 16 МЛН