KANISA HALISI LA MUNGU lakana kujihusisha na FREEMASON/Hatuna MISALABA/Hatubatizi kwa MAJI

  Рет қаралды 5,250

Rick Media

Rick Media

7 ай бұрын

...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram rickmediatz...
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#Kanisa #

Пікірлер: 67
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 7 ай бұрын
Shamba la utajiri ni alfajiri... Waisilamu baada ya swalat fajri sio vizuri kurudi kulala mpaka jua lichomoze vizuri. Hii ni njia ya kumfanya mtu akafanye kazi mapema sio kulala mpaka saa mbili au nne....
@user-vv4fw1cz9v
@user-vv4fw1cz9v 7 ай бұрын
NIMEELEWA BABA NAMSHUKURU MUUMBA KWA HUO UFAHAMU
@UtawalaAmani
@UtawalaAmani Ай бұрын
Ubarikiwe baba
@Deboracharles-pw6wg
@Deboracharles-pw6wg 7 ай бұрын
Ndugu zangu poleni kwa kuwa ufahamu ni kujifunza njoo kama aliyekuumba yupo ambae ndiye baba yake yesu atamwambia kama ni sawa au si sawa tattoo wengi ibada halisi hawaijui dini na mathehebu zimeua wengi
@annajoseph4764
@annajoseph4764 27 күн бұрын
Imekuwaa Baba halisi
@udhihirishohalisi2361
@udhihirishohalisi2361 4 ай бұрын
📚Halisi
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 7 ай бұрын
6:00 itafika majira atatikisa vyote virudi kwake. Kwa mwislamu ameshaelewa ni Qiyama (siku ya mwisho). Ikifika siku hiyo ardhi itatetemeka, mbingu zitakasuka n.k kisha kila kiumbe kitakufa na kurudi kwake. Baada ya miaka mingi kupita viumbe vitafufuliwa na kuhukumiwa kulingana na matendo yao. SASA HUYU BWANA anasema muda ukifika utajiri utarudi kwa waumini 😂 Daah!
@user-gx9ei9nl7r
@user-gx9ei9nl7r 7 ай бұрын
Vitu vyote vilivyoumbwa na yeye vitarudi kwake, maana yeye hakuwahi kumiliki chochote bali tulimilikiwa na Dunia kwa maana ya mizimu, sasa majira imefika alieumba amiliki kila kitu.
@star_onmusic
@star_onmusic 6 ай бұрын
Wewe Ni moja ya wapuuzi ambao wanaamini Sana akili zao bila kujua namna ya kujifunza pia natambua kuwa unaamini Sana kuhusu dini na siyo kuhusu aliye umba vyote unaambiwa kuhusu Mambo ya uhai unaleta Mambo ya kiama kiama hakipo Kama ulikuwa haujui Kama unaamini hayo yaliyo hubiliwa kale AMINI Ila mfumo was mungu na mtizamo wake siyo ule unao usoma wewe kwanye baadhi ya vitabu pia mungu hafuati kanuni za maandiko yaliyo kwisha andikwa toka huko kwenye Zama zilizo pita ya liyo nyakati hizi Yana utaratibu wake kile ulicho kikalili siyo mfumo rasmi kwa jinsi wengi wanavyo tarajia
@ibrahimumrema5515
@ibrahimumrema5515 6 ай бұрын
Mavazi ni mavazi tu bana unaeza vaa nyeupe ukawa tu mwongo. Na mtenda dhambi kama wengine tu.
@EdouardEdouard-wr2vp
@EdouardEdouard-wr2vp 3 ай бұрын
Mimi ndiko Burundi namini kanisa halisi n'a familiya yangu
@stalinmkumbo8564
@stalinmkumbo8564 5 ай бұрын
Matapeli nyie mnatumia nguvu za giza mnapotosha neno la Mungu kwa tafsiri zisizo sahihi. Nyie ni mkono mwingine wa freemasony. Watu wanaishi maisha ya shida, Mumba hajawahi pinga neno lake nyie mnakataa hata Yesu ambaye yeye ndiye njia kweli na Uzima Yohana 14:6.
@kuhanimema-wg5uq
@kuhanimema-wg5uq 3 ай бұрын
Unabidi UPOKEE UTULIVU uelewe VIZURII TATIZO unasoma UKIWA MWILINI
@gastonpeter4265
@gastonpeter4265 14 күн бұрын
​@@kuhanimema-wg5uqhaelewi
@gastonpeter4265
@gastonpeter4265 14 күн бұрын
Njo tujifunze ufahamu
@kingsolomoni-xp3dv
@kingsolomoni-xp3dv 6 ай бұрын
Ila watu wasiojua chanzo ni nani ngoja niwaambie chanzo halisi ni moyo safi kama huna moyo safi utabaki kuimba baraka kama watu wa dini na mathehebu
@user-cc7pf1qy3j
@user-cc7pf1qy3j 6 ай бұрын
Kanisa halis ndo hili njoo kanisa upate ufaham 🙏
@EdouardEdouard-wr2vp
@EdouardEdouard-wr2vp 3 ай бұрын
Imekuwa baba halisi
@ramseyngwejela499
@ramseyngwejela499 4 ай бұрын
Swali langu jepesi sana. Hiyo injili mnayohubiri inaweza kiaminiwa na kueleweka vizuri kimafunzo baada ya mtu kuiamini? Tafsiri zinasumbua sana. Kristo alivyohubiri na mnavyohubiri inatia shaka sana.
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 4 ай бұрын
Kabla ya kristo mahubiri yalikuwepo pia usikariri. Halafu yesu alisema wanaomuamini watafanya zaidi yake elewa zaidi yake. Tatizo wengi wamekariri mambo ya yesu bila kumuelewa.
@user-bd6pv1ew8b
@user-bd6pv1ew8b 3 ай бұрын
Nashukuru BABA HALISI naelewa na najua ni bahati kuwa hapa njoo ujifunze
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 4 ай бұрын
Na kwelibkbs makanisani tumelia sana tumetubu na bado umaskini mwingi
@ramseyngwejela499
@ramseyngwejela499 3 ай бұрын
Hamna misalaba hambatizi kwa maji, kwani mnafanyaje?
@user-wk3mz8ri8r
@user-wk3mz8ri8r 6 ай бұрын
Kwahiyo wewe ndio muumba au sijaelewa apoooo jaman tutaona mengi apa dunian
@Mr_kocha
@Mr_kocha 6 ай бұрын
Anamuhubiri Muumba yeye sio Muumba jaribu kumfuatilia utaelewa
@samboyngimbudzi1325
@samboyngimbudzi1325 6 ай бұрын
Ndugu mpendwa tuwe tunasikiliza kwa makini amesema wakuabudiwa ni muumba wa vyote na wote sio yeye ndo muumba
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 4 ай бұрын
Sikiliza vema usije tenda dhambi bila kujua
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 4 ай бұрын
Yule mchungaji wako pale ni yesu😂😂😂😂😂
@ThomasMselle-rw5ej
@ThomasMselle-rw5ej 3 ай бұрын
Mhii sanduku lako la agano liko wapi!! Unajipanga ukujipendekeza wapi sasa wewe
@revocatusbahatibussiah5201
@revocatusbahatibussiah5201 7 ай бұрын
Sasa kqmq huamini msalabq basi,,, n nabii wa uongo!!! Msalaba kwa wakristo ndo kila kitu! Kwann ninyi muukane msalaba???
@josephmassam3279
@josephmassam3279 7 ай бұрын
Je unaweza niambia ni kitabu gani ambacho kiliandikwa kuwa alama ya kanisa iwe msalaba ama pia wale waliokuwa wakiabudu kabda ya yesu kuja je na wao walikuwa wakitumia msalabba ?
@brillianthalisi2259
@brillianthalisi2259 7 ай бұрын
Wewe unajua màana ya msalaba?
@veraisaria
@veraisaria 7 ай бұрын
Kama msalaba ni mzuri kangoe wa makaburini ulale nao😅😅
@chapakubwamediahouse
@chapakubwamediahouse 7 ай бұрын
Swali zuri ila naomba tu nikuambia kwa uelewa wangu mdogo sana Msalama ni alama inayotukumbusha wakristo juu ya mateso hadi kifo cha Yesu ila pia kipindi hicho naamini pia walikuwa wakitumia misalaba pale mtu anapofanya kosa linalopasawa kuwekwa msalabani sisi wakristo tunatumia hiyo kutukumbusha kila wakati kwamba yesu aliteswa na kufa ili kutu okoa na ndio maana kwetu Msalama ni alama kubwa sana, ni alama tu ila tunaye muabudu ni zaidi ya msalaba natumaini umenielewa japo ka udogo ndugu@@josephmassam3279
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 4 ай бұрын
Hujui maana ya msalaba maana yesu aliachana nao pale msalabani akasema imekwisha halafu ww unaugangania bado?😂
@chapakubwamediahouse
@chapakubwamediahouse 7 ай бұрын
Nazingatia neno "Muumba"....Kanisa lisilo amini katika msalaba/Kubatiza kwa maji..eeh Mungu endelea kutufunulia
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 7 ай бұрын
Kwhiyo ulitaka aweke neno YESU siyo MUUMBA eee!?... 😂 Yesu ndiye Muumba au Muumba ni mwingine na Yesu ni Mwingine!?
@veraisaria
@veraisaria 7 ай бұрын
KAMA MSALABA UNAUPENDA KANGOE ULE WA BABU YAKO ALOZIKWA NAO LALA NAO😂😂 kifupi tulidanganywa
@chapakubwamediahouse
@chapakubwamediahouse 7 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣@@veraisaria
@chapakubwamediahouse
@chapakubwamediahouse 7 ай бұрын
Sio tu Yesu Yesu wapo wengi aweke yesu Kristo kabisaa🤣🤣@@DonMooSTUDIO_Express
@chapakubwamediahouse
@chapakubwamediahouse 7 ай бұрын
Ungenielewa ungejua nini namaanisha ila anywayz tuyaache haya mambo kama yalivyo kila mtu aamini anachotaka😁@@veraisaria
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 7 ай бұрын
Vinatajwa vitabu vingi. Kutabu cha Yohana, Petro, Yelemia, Wakolinto... Je, kitabu cha Yesu kikowapi alichotumia kufundshia wanafunzi wake!?. Naona habari zote za Yesu zinatoka kwa wengine kama masimulizi....
@veraisaria
@veraisaria 7 ай бұрын
Yesu alitumwa sasa tunamuabudu aliyemtuma...Kuna aliyeumbwa na mtume huko??
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 7 ай бұрын
@@veraisaria umesoma ukaelewa, au umekimbilia kucomment!?...
@chapakubwamediahouse
@chapakubwamediahouse 7 ай бұрын
Kama nimekuelewa vizuri swali lako...jibu lake ni hivii: naamini Yesu alifundisha kupitia experience ya watu wa miaka hiyo ila pia Yesu alifundisha ipi njia sahihi kuweza kwenda mbinguni....Sasa hakuna kitabu kwenye biblia kinachoitwa yesu ila yapo mafunzo mengi tunayo endelea kujifunza aliyotoa yesu lakini maisha aliyoishi yesu i hope nimejibu swali laki kwa uelewa wangu mdogo😃😃😃 @@DonMooSTUDIO_Express
@chrismassawe2939
@chrismassawe2939 7 ай бұрын
Yesu ndio njia kweli na uzima mtu haji kwa Baba isipokuwa kwa njia ya Yesu hilo likanisa ni likanisa la mashetani linamwabudu mtu wanamwita muumba
@veraisaria
@veraisaria 7 ай бұрын
@@chrismassawe2939 🤣🤣🤣🤣🤣sio Eliyah tena mbona Eliyah alikufundisha kuwa majira ya yesu ishaisha sio wewe unamwabudu Eliyah mpaka leo mmerudi kwa yesu lakini ukweli hamumpendi mpo huko na Eliyah aliwaambia gia ya Mungu wa Eliyah hairudigi nyuma🤣🤣🤣 sio wewe?sio wewe Eliyah alisimamisha yoh 4:23 akasema Majira ya Baba kuabudiwa imefika akasema yesu ni mwana na yeye ni mjumbe yani katumwa? Sio nyie wewe ukiwa mmojawapo Eliyah alikuambia miaka 1000 mfuateni atawaongoza amempaka mafuta ANAETAKA AKAYACHUKUE ukaenda na sisi 🙌 wakakuvamia ukawa ni matusi tu humu kulitukana kanisa na kumtukana Baba Halisi mpaka leo hujafunguliwa umekua kama mwehu🤣🤣🤣 hadi mkeo anakushangaa uko kama kichaa endelea.
KIPINDI CHA WASAFI-FM: KUTOKA KUWA RHINO KING HADI KUITWA UELEWA WA SAUTI
30:45
WHAT’S THAT?
00:27
Natan por Aí
Рет қаралды 4,4 МЛН
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 14 МЛН
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 56 МЛН
MAONO JUU YA MWAKA 2024
14:19
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 66 М.
SIRI YA FICHULIWA UONGO WA MIUJIZA WANAYO IFANYA EV PASCHAL CASSIAN
17:24
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 168 М.
KUSHINDA ROHO YA USINGIZI NA UZITO || PASTOR GEORGE MUKABWA
1:39:05
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 116 М.
TENGENEZA MAISHA UNAYOYATAKA - JOEL NANAUKA
16:51
Joel Nanauka
Рет қаралды 115 М.
БУДЕТ ЗНАТЬ КАК ОБИЖАТЬ БАБУШКУ
0:18
МАКАРОН
Рет қаралды 1,7 МЛН
ПРАНКУЕМ ЧАПИ🙈🙈🙈
0:20
Chapitosiki
Рет қаралды 5 МЛН
育児6年目の韓国人父が娘と遊ぶ方法4 #shorts
0:11
ミョリムMyorimu
Рет қаралды 32 МЛН
Эта ведьма поедает детишек #фильм #кино
0:53
МеткийДик
Рет қаралды 4 МЛН
ДЕНЬ ГЛАЗАМИ МАМЫ (смешное видео, приколы, юмор, поржать)
0:59