KUSHINDA ROHO YA USINGIZI NA UZITO || PASTOR GEORGE MUKABWA

  Рет қаралды 117,323

Pastor George Mukabwa (JRC Church)

Pastor George Mukabwa (JRC Church)

10 ай бұрын

#jrcchurch #jrctz #Tanzania
Jesus Restoration Center ni kanisa liliopo Mwanza, Tanzania (Kirumba Polisi Mwisho wa Lami) Likiongozwa na Pastor George Mukabwa.
Pastor George Mukabwa -Senior Pastor-Jesus Restoration Centre (JRC), Mwanza Tanzania.
For Offering you can send from any Network to M-Pesa Lipa Namba 5252176
#jrcchurch #Tanzania #jrctz #PastorGeorgeMukabwa
Gospel Teachings for soul winning Purpose.

Пікірлер: 240
@user-ph2vj3qw8p
@user-ph2vj3qw8p 7 ай бұрын
Hawwa ndio waubiri wa ukweli wazidishiwe kipawa na MUNGU zaidi
@RizikiRiziki-qb4iz
@RizikiRiziki-qb4iz Ай бұрын
Bwana yesu asifiwe pst George, mafundisho yako yananibariki sana yananiongeza hatuwa moja baada ya nyingine.
@everlynecheposera
@everlynecheposera 2 ай бұрын
Bwana asifiwe pastor,,nabarikiwa sana,, from Kenya ,westpokot county
@HendricaAjiambo
@HendricaAjiambo 18 күн бұрын
Nashukuru kwa neema ya mungu amenipa siku ya leo aninunganishe na ushirika wa roho mtakatifu pamoja nanyi kwa jina la yesu krito mkombozi wetu Emen emen 🙏🙏🙏 mungu wa amani akulinde akupiganie kila wakati
@Luciannjevusia
@Luciannjevusia Ай бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏 from kenya you are a blessing to many 🙏people
@user-ye6qh8lo4e
@user-ye6qh8lo4e Ай бұрын
Same here 🇰🇪🇰🇪 this man of God is sually a God's sent
@jonasnsabimana6803
@jonasnsabimana6803 29 күн бұрын
Thx,Pastor, ubarikiwe Santa.
@Ambwene
@Ambwene Ай бұрын
Nipo south Africa 🇿🇦 toka nianze kumfatilia pastor George nimebadilika saana
@PangaSelina
@PangaSelina 13 күн бұрын
Pastor George, Nabarikiwa na mafunfisho yako Sana, kupitia mafundisho yako Kuna mahali nimetoka Mungu akubariki Sana, np Arusha
@maggytonga8410
@maggytonga8410 10 ай бұрын
Ameen,naliinua jina lako Mungu maana unastahili baba,kama siyo wewe Mungu sijui ningekuwa wapi,asante kwa ajili ya mtumishi wako mlinde na kumpa afya njema,muinue kwa viwango vya juu zaidi Baba
@user-vx5rb6rg1v
@user-vx5rb6rg1v 10 ай бұрын
Amen 🙏
@cathelinemgaza6694
@cathelinemgaza6694 10 ай бұрын
Asante pasta nimeamka kuanzia sasa
@evamusuruve3196
@evamusuruve3196 10 ай бұрын
Amen ,Mimi nahishi tu kwa NEEMA tu ya Mungu ,kama sio huyu YESU 😭😭 sijui ningelikuwa wapi ,, Glory Glory be to God ,,niniti Nguvu mungu wangu Ili nikutumikie nyakati zino za mwisho ,,natamani moyo wangu uwe na KIU ya NENO lako Eeee MUNGU wangu😭😭
@brysonkaaya5151
@brysonkaaya5151 10 ай бұрын
Asante pasta kwa mafundisho mazuri mungu akubariki
@rashealmwikali2081
@rashealmwikali2081 5 күн бұрын
Ooooh thank you Jesus for this far
@PastaBahariaWilliam-vi1jo
@PastaBahariaWilliam-vi1jo 4 ай бұрын
Utafika mbali sana baba,na mimi napita njia hizi,barikiwa baba🙏🙏nakupenda sana ipo siku tutaonana
@user-ln9jr8vs4v
@user-ln9jr8vs4v 10 ай бұрын
Amen mtumishi wa mungu akubariki sana Ninabarikiwa sana na mafundisho yako.mungu aendelee kukuinua zaidi katika viwango vya juu zaidi 🙏🙏🙏
@user-xd8mb1gd6f
@user-xd8mb1gd6f 26 күн бұрын
So blessed pastor George from saudarabia
@monicahmwalozi
@monicahmwalozi 10 ай бұрын
😭😭😭🙌🙌Mimi hata sijui asingelikuwa huyu Mungu kunitetea kwa mkono wake wa nguvu adui angelinimaliza nasema tena ASANTE YESU 🙏🙏
@everkivuyo8596
@everkivuyo8596 10 ай бұрын
SHALOM pastor George mukabwa Mungu akuzidishie mafuta
@JanethLekule-pm8qe
@JanethLekule-pm8qe 10 ай бұрын
Amen Amen sina chakumrudisha Jehova
@VictorSanga-qx7rw
@VictorSanga-qx7rw 2 ай бұрын
Mungu akubariki mno baba maaana niwengi tunapona kupitia mafundisho yako
@user-iy7jc5ee8v
@user-iy7jc5ee8v 2 ай бұрын
Jmn hili kanisa wamshukuru Mungu amewapa mtumishi wa kweli. Nawaonea wivu.
@MariamKazungu
@MariamKazungu 6 ай бұрын
Baba nipe neeema ya kua macho kwa jina la yesu🙏🙏🙏🙏🙏
@gracekunambi7438
@gracekunambi7438 10 ай бұрын
Amen. Ninapokea nguvu mpya 🙏
@selinadancan1525
@selinadancan1525 2 ай бұрын
Mafundisho ni mazuri sana Barikiwa
@victoriasezi2469
@victoriasezi2469 9 ай бұрын
Asante Bwana,naomba uzidi kunifungua kupitia mahubiri haya kupitia mtumishi wako❤❤❤🙏🙏🙏
@magrethpaul2207
@magrethpaul2207 10 ай бұрын
MUNGU akutunze kwa umri mrefu uendelee kua Baraka kwa wengi we love you so much
@RitaLoice
@RitaLoice 10 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu... Nashkuru Mungu umenitoa mahali.. Amen
@WiniSanga
@WiniSanga Ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumichi 🙏🙏
@puritycelina9240
@puritycelina9240 6 ай бұрын
Pastor you are a great blessing to me,I love your teaching..am from Nakuru county in Kenya
@LuciaVenance-nd2kd
@LuciaVenance-nd2kd 10 ай бұрын
Libarikiwe jina la bwana mungu wetu kama sio yeye sijui ningekuwa wapi mungu wetu ni muamnifu amejawa na neema na rehema tele❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@stellariwa2723
@stellariwa2723 19 сағат бұрын
Thanks pastor George
@fayjeff3651
@fayjeff3651 2 ай бұрын
Amen! Amen! Amen May God bless you abundantly mtumishi wa Mungu
@PaulNjiku
@PaulNjiku 10 ай бұрын
Asanteh Mungu Kwa kunilinda kulinda familia asanteh kulinda mtumishi wako pia,
@kmtcuniversity9310
@kmtcuniversity9310 3 ай бұрын
POWERFUL AND Amazing preachings from the greatest man of God❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-wi8pk3os7o
@user-wi8pk3os7o 10 ай бұрын
Asante mtumishi wa Mungu mafundisho yako yamenizaidia sana,kutoka Kenya.
@tumainichanya3268
@tumainichanya3268 10 ай бұрын
JRC mkumbukwe na Mungu daima asante kwa kuabudu pamoja nasi
@user-cv2js2oc6g
@user-cv2js2oc6g 10 ай бұрын
Ubarikiwe mchungaji wangu Mimi hapo Pana nihusu Mungu anisaidie lazima nitoke
@ElizabethKazimil-rv8zz
@ElizabethKazimil-rv8zz 9 ай бұрын
Aksante sana Mungu kwa ajili ya mtumishi wako past George Mukabwa.
@TullyMwakibete-xt5xm
@TullyMwakibete-xt5xm Ай бұрын
Asante sana mtumishi wa Mungu,Mungu akubariki sana,kuna kitu umenibadilisha sana ktk maisha yng,Mungu akukumbuke uendelee kutufungua
@irenemilau2946
@irenemilau2946 10 ай бұрын
BARIKIWA MTUMISHI KWA MAFUNDISHO..AMEN AMEN 🙏
@ErickChisongela
@ErickChisongela 20 күн бұрын
Nabalikiwa sana na huduma zako
@user-ht2gl6fb9e
@user-ht2gl6fb9e 3 ай бұрын
Ameen BABA MUNGU azidi kukulinda ,,unanibariki sana na mafundisho yako 🙏🙏🙏🥰
@kezziahbenson58
@kezziahbenson58 3 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe mtumishi wa Mungu,,nakutazama nikiwa Kenya na unabariki moto wangu sana,,,nimejifunza mengi Toka kwako,Nena neno kwa maisha yangu ya wokovu na pia kwa huduma yangu ya uimbaji na kuongoza maombi kanisani,,,ubarikiwe sana 🙏🙏🙏
@cafrensartho
@cafrensartho 3 ай бұрын
Nabarikiwa na Mahubiri yako Mungu wangu Nipe macho ya rohoni na nisilale usingizi wa mauti Amen
@Patience763
@Patience763 7 ай бұрын
Kwa kweli mafundisho haya ni mazuri juu mimi nilikua ni melala usingizi lakn kuanzia sasa acha nifanyie kazi mafundisho haya mungu akubariki kwa mafundisho mchungaji
@user-zm4nj2vy2f
@user-zm4nj2vy2f 5 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi ,mungu akupe maisha marefu ili akufunulie na mengine utufundishe zaidi ,tunatamani kumwona Mungu kupitia mafundisho yako , naitwa wema mbawala nipo ruvuma wilaya ya Mbinga ,fanya ziara na huku kusini
@Jessica-qz1qw
@Jessica-qz1qw 4 ай бұрын
Mafuñdizo yako postor kuna Mahali inanielekeza mungu akufunulie zaidi.
@Eliudpiri
@Eliudpiri Ай бұрын
Blessed from Kenya..azidishiwe hyo pastor
@ElizabethabrahamHassan
@ElizabethabrahamHassan 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Bwana. Ni abarikiwe sana na mafundisho yako.. Na Kufatilia kila siku. Hakikat unazidi kuninenga kiroho
@genevievesunday
@genevievesunday 5 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana Kwa mafundisho. Nakuelewa sana unachofundisha ni maisha ya Bwana Yesu,. Tunapaswa kumfuata yeye.
@Zamdaswahibu
@Zamdaswahibu Ай бұрын
Amen nashukuru sana Mtumishi wa Mung ubarikiwe
@floraan4388
@floraan4388 10 ай бұрын
Amen and amen thank yesu
@bettyadhiambo9557
@bettyadhiambo9557 10 ай бұрын
Nabarikiwa sana🇰🇪🇰🇪
@user-ye6qh8lo4e
@user-ye6qh8lo4e Ай бұрын
Pastor mungu akubariki 🙏 unanibariki na mafundisho yako ,,umenipa sababu ya kukuskiza Kila wakati nikiingia mtandaoni,,hakika umebadilisha mawazo yangu kwa mafunzo yako ,,ombi langu siku Moja nikutane na wewe
@SarahHaonga-rr9ln
@SarahHaonga-rr9ln 2 ай бұрын
Oooh haleluya mungu ni mwema ❤❤❤❤❤ Kama si mungu nisingefika siku ya leo
@esthermutsoli9995
@esthermutsoli9995 4 ай бұрын
The worship has made me cry.Av shared this to many.B blessed man of God
@ulderonyango
@ulderonyango 3 ай бұрын
I love the Sprit of prayer in you man of God
@user-rn5iu5pw8t
@user-rn5iu5pw8t 8 ай бұрын
Amina pastor .Mungu neema ya Mungu izidi kuwa nawe
@gideonwambua9498
@gideonwambua9498 10 ай бұрын
Amen and Amen and Amen and thanks to Jesus
@leocardiamafwere6003
@leocardiamafwere6003 4 ай бұрын
❤amen Mungu anisaidie nishinde roho ya uzito kwanzia leo nimesikia neno la Mungu kupitia mtumishi wake
@JONASNGHOKA
@JONASNGHOKA 9 ай бұрын
Be blessed the servant of God!
@collinssinclair
@collinssinclair 5 ай бұрын
man of God, You have been a great blessing to me 🙏, l was giving up but your word's always makes me feel better important,l wish one day l will visit your church in mwanza,am from Nairobi Kenya,let God be praised all the time.
@nyanjwabresh8307
@nyanjwabresh8307 10 ай бұрын
Hakika Ni Mungu tu, Amen.
@paulostephano9221
@paulostephano9221 10 ай бұрын
Anayekufuatilia atapokea kitu kutoka bwana
@rimahsteve3738
@rimahsteve3738 10 ай бұрын
Ameeen❤❤ thanks God for KZfaq watumishi kama hawa tungewapata wapi.
@AndrewWoiso
@AndrewWoiso 10 ай бұрын
Ameen Asante Mungu nimebarikiwa
@merrynnko8374
@merrynnko8374 8 ай бұрын
Ameni nimebarikiwa sana na somo hili.ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
@user-zc6gb5fk3q
@user-zc6gb5fk3q 4 ай бұрын
Blessed are the sheep under this shepherd pr George
@WinfridaKalinga
@WinfridaKalinga 8 ай бұрын
Amina mtumishi hakika namshuru Mungu kwaajili yako, kunakitu nimepata kupitia mafundisho haya
@JescarOchieng
@JescarOchieng 4 ай бұрын
Am watching from Nairobi, nimebarikiwa zaidi na Mungu akuzidishie uhai ili uendelee kutuelimisha❤❤❤ mafundisho.
@user-cs4ks4dp8t
@user-cs4ks4dp8t 10 ай бұрын
Ubarkiwe mtumish wa Mungu Kwa maarifa haya
@TomasKakami
@TomasKakami Ай бұрын
GOD IS GREAT. Mafundisho ni nzuri zana
@josephwawuda3204
@josephwawuda3204 10 ай бұрын
Ameen mtumishi asante kwa ujumbe huu mtumishi God bless you 🙏
@JONASNGHOKA
@JONASNGHOKA 9 ай бұрын
Amen
@elizanyarusi6154
@elizanyarusi6154 6 ай бұрын
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu awe nawe siku zote za maisha yako azidi kukutumia.
@edinamachumu2227
@edinamachumu2227 6 ай бұрын
Namshukur Mungu kwa ajili yako Asante Sana nimekuelewa
@EvelynMoraa-hd8rz
@EvelynMoraa-hd8rz 3 ай бұрын
Thank you son of the Most High GOD
@user-mq6jc9sy8r
@user-mq6jc9sy8r 5 ай бұрын
Mungu akubariki Sanaa mtumishi was bwana,nabarikiwa Sana na mafundisho yako baba ,Mungu akutunze akupe Tena maono siku Hadi siku,zaidi Mungu aongeze maarifa kwako ili nasi wasikiaji tupate kupona nafsi zetu ,naitwa wema naishi Ruvuma wilaya ya mbinga
@marykitundu8712
@marykitundu8712 8 ай бұрын
Kwa kweli masomo yako yananibariki sana. Nami leo nakemea roho ya using ili na uzito ndani yangu kwa jina la Yesu.
@CatherineMakokha-dg6ws
@CatherineMakokha-dg6ws 5 ай бұрын
Very blessings spiritual teaching in Jesus name, more blessings pastor
@isaackmwinuka3301
@isaackmwinuka3301 3 ай бұрын
Ubarikiwe sana unakuza sana karama yangu mungu azid kukukuza kwa viwango vingine
@user-zk7lp3vo7h
@user-zk7lp3vo7h 10 ай бұрын
Roho wa Mungu nisaidie
@user-yp4sv2rl1p
@user-yp4sv2rl1p 10 ай бұрын
ubarikwe pastor by sammy nakukumbuka sana🙏🏾🙏🏾
@enriqueganywamulume570
@enriqueganywamulume570 10 ай бұрын
Mungu Nina Ku rudishiya utukufu wako mwenyewe una stahili. Mubariki paya mtumishi wako Pastor Gorge apekuwa baraka sana iwangu
@linmoses7871
@linmoses7871 10 ай бұрын
😊😊😊😮
@Bahati-sx3cd
@Bahati-sx3cd Ай бұрын
Halleluya Halleluya Halleluya Halleluya Amen Amen Amen Ameen unanifungua akili yangu Mtumishi wa mungu barikiwa sana, mungu akulinde uzidi kufungua vizazi vilivo potea babayetu wakihoro 🙏 🙏 🙏
@jeremiaisowe4443
@jeremiaisowe4443 6 ай бұрын
Amen!!!!Mungu naomba unipe maarifa yakuingia nakutoka. Niwe kichwa naniwe mkuuuuu sanaaaaa
@user-wp1ws5so8l
@user-wp1ws5so8l 7 ай бұрын
Asante pst Kwa mafundisho ya lord Jesus.
@annnjeri2108
@annnjeri2108 3 ай бұрын
Balikiwa sana postor mungu akuongezee hekima mingi saana Niko kenya
@user-fv9br2qm1i
@user-fv9br2qm1i 5 ай бұрын
Asante sana mch nimebakiwa sana na mafundisho yako yamenigusa sana sana maana sikujijua kwamba kiroho changu kimevamiwa hivyo
@nyanjwabresh8307
@nyanjwabresh8307 10 ай бұрын
Very inspiring pastor God bless you so much.
@user-qd9wp1qj4n
@user-qd9wp1qj4n 7 ай бұрын
Asante mtumishi na barikiwa sana nikisikiliza mahubili
@CatherineMbuya-mb9ts
@CatherineMbuya-mb9ts 8 ай бұрын
Postor,umekuwa msaada mkubwa sana kwenye maisha yangu,Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu.
@user-kt8xh9nj5v
@user-kt8xh9nj5v 10 ай бұрын
Aminaa Mungu ninasema Asante Mungu mwaminifu maana nimeona mkono wako mkuu maana umenipe kibali tena mwezi moja pokea sifa na utukufu maana unasitaili Baba mtakatifu maana mim kwa akili yang nilipanga safari ukaniambia bado mda mwanangu Mungu Asante maana nakuona kila saa kwangu Mungu pia namwombea mfunike kwa Dam ya Yesu kiristo mtunze mlinde Mubarak san Amina 🙏🙏 🙏
@daniellamgunda339
@daniellamgunda339 10 ай бұрын
48:08
@hadijanafuna-qe7hm
@hadijanafuna-qe7hm 10 ай бұрын
Hallelujah gory to God ❤❤❤
@georgemtey6195
@georgemtey6195 10 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe pastor George Mukubwa, nabarikiwa sana na mafundisho yako. Nipo Dar es salaam. Nitafurahi siku moja nikikutana na wewe, you always speak about my life when you preach. Mungu akubariki sana
@user-hx2yc2hd6v
@user-hx2yc2hd6v 10 ай бұрын
Karibu sana
@georgemtey6195
@georgemtey6195 10 ай бұрын
@@user-hx2yc2hd6v asante sana
@DelopuDopliter-oh4yp
@DelopuDopliter-oh4yp 10 ай бұрын
Ubarikiwe pastor mafundisho yako yananijenga sana kiroho.
@rabeckadararybarikiwa6446
@rabeckadararybarikiwa6446 10 ай бұрын
​@@user-hx2yc2hd6vMina mc unanibariki sanaaaaaaa 👏
@rabeckadararybarikiwa6446
@rabeckadararybarikiwa6446 10 ай бұрын
Huwa nabarikiwa nafunguriwa namuona MUNGU KUPITIA kipidi hiki siku nikikuona nitafurahi sana
@stellahmwansimba603
@stellahmwansimba603 Ай бұрын
Amina mtumishi ninaomba Mungu aniponye
@DevothaMbwama
@DevothaMbwama 4 ай бұрын
Amen amen sina cha kukurudishia wewe Jehova🙏🏻🙏🏻
@PGM20179
@PGM20179 10 ай бұрын
Ubariwe sana mtumishi kwa mafundisho yako
@user-zs1hk3no3f
@user-zs1hk3no3f 5 ай бұрын
Nashukuru. Muchunga mafundiso yako yamaombi kufunga mungu akufungulie Malango ni martin mpeketoni lamu
@user-mo8on5ll7e
@user-mo8on5ll7e 4 ай бұрын
God bless you always 🙏🙏🙏 pastor powerful message
@PaulinaWilliam-py6gk
@PaulinaWilliam-py6gk 7 ай бұрын
Ameeni
@user-zc6gb5fk3q
@user-zc6gb5fk3q 4 ай бұрын
I need to be controlled spiritually by you oh lord
@JONASNGHOKA
@JONASNGHOKA 9 ай бұрын
Mungu akufanyie wepesi mtumishi wa Mungu
@InnocentHelmet-pn9mh
@InnocentHelmet-pn9mh 2 ай бұрын
Hii kichwa ni noma, syo rahis kuumuelewa utaona tu kama unasoma physics
@user-rw5oq7ni1f
@user-rw5oq7ni1f 5 ай бұрын
Mungu akubariki mafundisho yako yanaleta uponyaji maana unahubiri injili iletayo wokovu. I need to conduct you man of God
@user-mf5ls5kb7l
@user-mf5ls5kb7l 6 ай бұрын
Wonderful servant of God. I"m really Blessed with your Teachings Welcome to Nairobi, Kenya. I"m watching from Nairobi city , Kasarani.
@OmAn-jw4jt
@OmAn-jw4jt 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi nimejifunza kitu kipya
@susanwanyoni249
@susanwanyoni249 10 ай бұрын
Hallelujah Hallelujah Amen
MAKOSA UNAYOYAFANYA WAKATI WA MAOMBI YAKO // REKEBISHA HARAKA
12:45
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 198 М.
Jinsi ya Kuupanga Mwaka I - MAOMBI YA TOBA
1:51:41
Pastor Tony Kapola
Рет қаралды 1,9 М.
UMUHIMU WA KUONGOZWA NA ROHO || PASTOR GEORGE MUKABWA
1:17:28
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 54 М.
KUSHINDA ROHO YA KUKATALIWA NA KUKOSA KIBALI || PASTOR GEORGE MUKABWA || 04/01/2024
1:24:36
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 70 М.
KUTENGENEZA UTAJIRI WA WATU FULL VIDEO - JOEL NANAUKA
49:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 30 М.
NJIA ANAZO ZITUMIA SHETANI KUTEKA NAFSI YA MTU |NABII ESTHER MASANJA
46:03
BADO KUNA USHINDI TV
Рет қаралды 7 М.
JInsi ya kuvuta kibali cha Mungu cha mafanikio
46:50
Lawi Mshana
Рет қаралды 1,2 М.
🔴#LIVE! MITIHANI MITATU ILI KUFIKIA MAFANIKIO YAKO II Mch. David A. Mmbaga
52:55
Dodoma Central SDA online TV
Рет қаралды 54 М.
KUNA SAUTI NYINGI KWENYE ULIMWENGU WA ROHO
25:49
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 14 М.
ISHARA SABA (7) ZA KUKUONYESHA MUNGU AMEJIBU MAOMBI || PASTOR GEORGE MUKABWA  || 15/02/2024
1:33:38
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 29 М.
Hatumtafuti Mungu kwasababu tunashida  " Ezra 8 : 21 - 23 ".  Rev. Abiud Misholi
1:19:10
Когда встаёшь первым после посадки самолёта
0:34
Время горячей озвучки
Рет қаралды 2,7 МЛН
ToRung short film: 🙏baby protects puppy🐶
0:37
ToRung
Рет қаралды 77 МЛН