ALICHOZUNGUMZA PADRE AMIGU KATIKA KONGAMANO LA LITURUJIA,MAASKOFU WAFURAHISHWA NA HIKI..

  Рет қаралды 21,583

KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC

KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC

Жыл бұрын

Karibuni sana katika Channeli hii inayomilikiwa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania {TEC}ikiwa ni moja ya chombo cha Uinjilishaji kwa njia ya Sauti na Video.Pia unaweza kutufuatilia kupitia mitandao yetu ya kijamii kama ifuatavyo.
INSTAGRAM: / kanisa_katolikitz
FACEBOOK: / barazamaaskofukatolikitz
Whatsup: 0738 916 628...KANISA KATOLIKI TANZANIA
Usisahau Kusubscribe,like na kushare maudhui yetu...

Пікірлер: 112
@Wanisimbula
@Wanisimbula 21 күн бұрын
Mafundisho bora kabisa. Asante kwa Mafundisho mazuri mwenye masikio na asikie
@williamkrekamoo8662
@williamkrekamoo8662
Baba padri naomba uandike kitabu kwa discourse hii kama msingi. Nimependa mafundisho haya Sana!
@sixmondchale3038
@sixmondchale3038
Ashukuriwe Mungu kwa zawadi ya padre Amigu🙏🙏🙏
@eliaskangabo779
@eliaskangabo779 Жыл бұрын
Tunakushuru babaAmigo mungu akubariki kwa mafundisho Mungu akubariki na Akulinde
@umojaupendo6020
@umojaupendo6020 Жыл бұрын
Asante Baba Amigu. Tusipokusikiliza na kutii unachosema ipo siku Mungu akikuchukua tutakuja kukukumbuka. Asante sana kwa kutetea utamaduni wa KIKATOLIKI
@leobalige7069
@leobalige7069
Incredible teachings
@kayombogregory8241
@kayombogregory8241 Жыл бұрын
Mwenye masikio na asikie.
@alexkatowo7411
@alexkatowo7411 Жыл бұрын
Asante kwa mafundisho haya
@user-pw8ml6ts8r
@user-pw8ml6ts8r
Amina baba
@mertus.nestory.bishirangon4624
@mertus.nestory.bishirangon4624 Жыл бұрын
good baba
@felicianmapunda856
@felicianmapunda856
Huyu baba ingekuwa mamlaka ni yangu angekuwa askofu maana anayajua sana maandiko matakatifu na mafundisho ya kanisa
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
30:00
@eliasnganira7661
@eliasnganira7661 Жыл бұрын
Amiguu huyooo
@paulina.baynit7970
@paulina.baynit7970 Жыл бұрын
💯🔥👏🙏
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005
Uislamu ndo dini ya khaki ya Mungu kukua ndani uturuki ni Aya ndani ya Quran inasema kuwa uislamu utaeneo na utaingia kila nyumba na mahali jua linafika basi na uislamu utafika.
@JohnvenanceKitinusa-nz5zp
@JohnvenanceKitinusa-nz5zp
Nikweli nimekuelew tusipo ziba ufa tutajenga ukuta
@anixtra7887
@anixtra7887
Kama karesmatik imekuja kwa akili ya mwanadamu itakufa na kama niya Mungu utakufa wewe na mawakala wako karesmatik itazidi kushamiri. Tena ungekua sio mpakwa mafuta ningekuambia maneno magumu sana. Ila nakuombea ukutane na Mungu uso kwa uso kama mt. Paulo alipokua mi Saul
@user-rq1ld8wy3t
@user-rq1ld8wy3t
twiga ndio nembo ya taifa la Tanzania nembo ya msalaba katikati yaramani ya Tanzania nawakilisha nini toweni tamko maasikofu
@janedamian1433
@janedamian1433
Mnataja vitabu vya biblia mbona hamtumii mnatumia misale ya waumini
@jasiriasili3694
@jasiriasili3694 Жыл бұрын
Amigu Kuna wakati anafundisha vizuri ila Kuna wkati ana vuruga waumini
MIAKA 150 YA KANISA KATOLIKI, MAFUNDISHO MBALIMBALI YA IMANI NA CHANGAMOTO ZAKE
28:09
KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Рет қаралды 5 М.
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 67 МЛН
Can A Seed Grow In Your Nose? 🤔
00:33
Zack D. Films
Рет қаралды 29 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 25 МЛН
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 26 МЛН
MFAHAMU ASKOFU NZIGILWA "WALEI NIMEISHI NAO VIZURI,MPANDA WAJIANDAE NINA MIPANGO MINGI".
43:27
MAKAMU WA RAIS TEC AFAFANUA KWA KINA MAANA YA PALLIUM ATAKAYOVALISHWA KARDINALI RUGAMBWA
14:14
TOP 12 SHULE ZA KANISA KATOLIKI ZILIZOFANYA VIZURI MATOKEO YA FROM 6 2024
8:11
KANISA KATOLIKI TANZANIA TEC
Рет қаралды 9 М.
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 67 МЛН