Mhashamu Wilbrord Henry Kibozi ameitoa hotuba yake wakati akijibu Risala kwa wahitimu 63 wa falsafa katika seminari kuu ya Mwendakulima Jiimbo Katoliki Kahama 13 June 2024
Пікірлер: 1
@watoto-qg7zxАй бұрын
Nawapongeza nyote. Nashauri iandaliwe bajeti ya mahitaji, waley wajue wanachangia kiasi gani