KANTANGAZE UGONJWA WA NYANYA UNAODHIBITIWA NA MBEGU CHOTARA ZA IMARA

  Рет қаралды 32,681

dino donald

dino donald

Күн бұрын

Kantangaze anashusha uzalishaji wa nyanya kwa mkulima ili kukabiliana nae mkulima anashauliwa kutumia mbegu za imara kwa nyakati za masika na kipato

Пікірлер: 22
@geazisanga7400
@geazisanga7400 7 ай бұрын
Nimbegu gan ambayo Haina fangas
@user-jh4en8nc3y
@user-jh4en8nc3y 8 ай бұрын
Je upatikanaji WA mbegu ikoje
@johnwilliammwaja2721
@johnwilliammwaja2721 2 жыл бұрын
Naomba unitumie jinal a sumu ya kanitangaze
@VEVO-africa
@VEVO-africa 2 жыл бұрын
Ahsanteni sana kwa darasa lenu je dawa ya ukungu na wadudu tunapaswa kupuliza mara ngapi na tunawapataje wateja mda utakapofikia wa kuvuna
@ameirsalmini6253
@ameirsalmini6253 3 жыл бұрын
Nahitaji hi dawa ya kantangaze inapatikanaje
@calbfarm2789
@calbfarm2789 2 жыл бұрын
Mafunzo mazuri nayapenda
@user-or1kt9hh1v
@user-or1kt9hh1v 6 ай бұрын
Kurujemsdandu
@solomonmapunda5401
@solomonmapunda5401 2 жыл бұрын
Tunaomba dawa tafadhar
@JoshuaPauloChamhene
@JoshuaPauloChamhene 3 ай бұрын
Can ,G
@stevenkileo948
@stevenkileo948 5 жыл бұрын
Kaka mnahusika na ufungaji wa drip irrigation system?
@jishoshamahega7043
@jishoshamahega7043 3 жыл бұрын
Naomba namba ya mtaalaumu huyu ili tujue namna ya kupata hiyo mbegu!
@ketsonnyajoro5177
@ketsonnyajoro5177 2 жыл бұрын
Asante kwa mafunzo juu ya kilimo cha nyanya.
@williammduma4180
@williammduma4180 5 жыл бұрын
please i need your contacts , do you have a branch at Arusha
@dinodonald6579
@dinodonald6579 5 жыл бұрын
0714332296
@godfreymbeho8669
@godfreymbeho8669 5 жыл бұрын
nitapata wapi hiyo mbegu
@dinodonald6579
@dinodonald6579 5 жыл бұрын
MPIGIE HUYU ATAKUPA MAELEKEZO 0672413616
@dinodonald6579
@dinodonald6579 5 жыл бұрын
inapatikana kwenye maduka ya pembejeo
@mgongolwajoseph6901
@mgongolwajoseph6901 5 жыл бұрын
Acheni uwongooo sisi niwakulima wakubwa uwo gonjwa unatengenezwa nailo dripu utumie kwa soka LA wapi
@yustomveyange5962
@yustomveyange5962 5 жыл бұрын
aisee kwa mazingira ya Dodoma naweza KUPATA wap seed aina hii imara? pia naomba nambaako
@lucyrupia5245
@lucyrupia5245 4 жыл бұрын
karibuni katika fursa ya mkojo wa sungura unauwa wadudu waharibifu wa mimea, ni mbolea ya shambani pia kwa mawsiliano zaidi piga sim na. 0757028250
@stanleyevanda797
@stanleyevanda797 2 жыл бұрын
Kaka drip inasababishaje ugonjwa? Nisaidie nijue
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 11 МЛН
MBOLEA MUHIMU YA TATU KWA NYANYA
18:22
MINJA KILIMO
Рет қаралды 1,7 М.
Maelezo kuhusu Tatizo la Cabbage
4:50
KILIMO TECHNOLOGY
Рет қаралды 209
JINSI YA KUSOMA NAMBA ZA KWENYE MIFUKO YA MBOLEA NA MAANA ZAKE.
27:47
UFUGAJI KUKU CHOTARA
28:34
Kilimo Biashara
Рет қаралды 97 М.
Kilimo Cha Nyanya Kunalipa Sana Cheki hii lazima milioni 40 niipate Hapa
5:54
Tomato Zanzibar Company Limited
Рет қаралды 42 М.
MKOJO WAMVURUGA HUSSEIN BASHE, MAAJABU YA MKULIMA IRINGA
5:59
KILIMO CHA NYANYA KWA MTAJI KIDOGO -KANUNI MUHIMU NA BAJETI (PART 2)
22:44
AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA
Рет қаралды 3,7 М.