KATIBU MKUU MSIGWA AKUTANA na TONNY RASHID, Afunguka KUELEKEA DAR BOXING DERBY, KITAUMANA..

  Рет қаралды 841

Bongo Boxing Safari

Bongo Boxing Safari

7 күн бұрын

KATIBU MKUU MSIGWA AKUTANA na TONNY RASHID, Afunguka KUELEKEA DAR BOXING DERBY, KITAUMANA..
Katibu Mkuu Wa Wizara ya Michezo Gerson Msigwa ameahidi kuungana Na Waziri Wa Michezo DK Damas Ndumbaro kushuhudia pambano la ngumi la Dar Boxing Derby Jumamosi Juni 29 Jijini Dar Es Salaam.
Akizungumza Na Wanahabari Msigwa amesema kumekuwa Na jitihada kubwa Katika kuendeleza mchezo Wa Ngumi hivyo jitihada hizo hazitakiwi kupuuzwa.
Kwa Upande Wake Meya Wa Jiji la Dar es Salaam Mh Omari Kumbilamoto amesema licha ya yeye kushiri kutazama lakini hata maandali atashiriki pale penye mapungufu.
Mabondia watakaocheza pambano la Dar Boxing Derby Watapima Uzito Siku Ya Ijumaa Juni 28,2024 kuanzia Saa nne Asubui kwenye Viwanja vya Posta Kijito Nyama Jijini Dar es salaam.

Пікірлер: 1
@BabuuWakitaa-pb6gr
@BabuuWakitaa-pb6gr 5 күн бұрын
Lets go CHAMPION Tonny Rashid
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 170 #shorts
00:27
ИРИНА КАЙРАТОВНА - АЙДАХАР (БЕКА) [MV]
02:51
ГОСТ ENTERTAINMENT
Рет қаралды 7 МЛН
Rais RUTO amefanya kosa la kimkakati kufanya Round Table kipindi hiki!
30:23
Приземлил борзого бойца!
0:50
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 554 М.
PRO FOOTBALLER HEIGHT KICK CHALLENGE 😱
0:14
Joris
Рет қаралды 9 МЛН
Это самый УМНЫЙ вратарь в МИРЕ #shorts
0:29
Как Емельяненко из дзюдо в ММА переходил!🔥👑
0:50
Человеческая Мысль
Рет қаралды 1,1 МЛН