KAULI TATA ZA VIJANA WA ARUSHA MAARUFU KAMA WADUDU "MKIA JUU MWENDO WA NGIRI"

  Рет қаралды 171,635

KUSAGA TV

KUSAGA TV

Күн бұрын

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZfaq : www.youtube.co...
Tiktok. www.tiktok.com...

Пікірлер: 69
@SelemaniMadeha-dn4ih
@SelemaniMadeha-dn4ih Жыл бұрын
Nawakubali sana hawa jamaa, Huwa Wana love Fulani hivi ambayo huwezi pata mahali popote
@cecygeorge4443
@cecygeorge4443 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa wanaupendo wa ajabu sana tz hakuna vijana wapo na upendo Kama chuga poleni sana
@mohammedmmari4791
@mohammedmmari4791 3 күн бұрын
ARUSHA YANGU CAMERA 📸 IMENASA WANA🙌🙌📸📸📸
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 Жыл бұрын
Yaani hawa bora ukutane na mwizi kuliko hawa watu..hizo sura na mapengo
@joshuamwangemiwarighe7299
@joshuamwangemiwarighe7299 11 ай бұрын
au sio
@dgochuibra588
@dgochuibra588 Жыл бұрын
jamaa anausokota hapohapo 🤣🤣🤣🤣
@KyiuraNasibu-xi8qg
@KyiuraNasibu-xi8qg Жыл бұрын
Arusha Kuna jini gan
@fredyshirima8594
@fredyshirima8594 Жыл бұрын
Arusha is the one of most gang*s city in the world.....👊
@elizabethmwacha9138
@elizabethmwacha9138 Жыл бұрын
I love my chuga🥰
@ZablonDaniel-o4x
@ZablonDaniel-o4x 4 күн бұрын
Mnatisha majiran.
@PhilipShayo
@PhilipShayo Ай бұрын
Daah Arusha vijana waache bangi nguvu kz Ina pungua
@oscarcharles9624
@oscarcharles9624 Жыл бұрын
waacheni vijana huo ndio wakati wao ipo siku watatulia
@user-ou7jp8ug7z
@user-ou7jp8ug7z Жыл бұрын
😅😅😅 tanzaniaa mkoa pekee wenye utalii yote ni arushaa
@petercostakisoka
@petercostakisoka Жыл бұрын
😂😂😂hahahaha awa majomba ni shidaa na mbn kawasha shadaa mbele ya serikali
@emmanulvictory507
@emmanulvictory507 Жыл бұрын
Mwendo wa ngiri mkia fyadede .mungu apend ukigisa kwanyuma. Ila jomba wambele alitaka aguswe kwa nyuma❤😅😅
@allymanyika3502
@allymanyika3502 Жыл бұрын
Yaani hawa wadudu hawa 😅sijui hizi misamiati wanazipatiaga wapi😂
@Abdalakangile1
@Abdalakangile1 Жыл бұрын
Tatizo shule walituficha hii ni misamiati ya baba lababa baba wa dunia asee
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de Жыл бұрын
​@@Abdalakangile1😂😂
@richardjoseph2921
@richardjoseph2921 Жыл бұрын
Cannabis sativa
@user-ou7jp8ug7z
@user-ou7jp8ug7z Жыл бұрын
Mama vanesa nikwere sana
@nikkimbishiunju2402
@nikkimbishiunju2402 Жыл бұрын
Upuuzi tu
@alvineCimanga-id5ki
@alvineCimanga-id5ki 10 ай бұрын
Kwanza sura zao moja kwa moja ni vibaka hata huulizi hiki.kizazi tabu ipo jamani hivi arusha bangi na gongo mnazotumia zinatoka kenya au? Maana sielewi
@omyhaby1912
@omyhaby1912 5 ай бұрын
Tulia Wewe Uko Ulipo,Machalii wengi wa Ololoo sio wote wanakula kijiti au Gongo, na bangi wanakula sehemu nyingi ya hii nchi Arusha Hii ni culture
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe Жыл бұрын
Jamaa ananyonga mbele ya cmer
@zacchaeinvestment-of5tu
@zacchaeinvestment-of5tu Жыл бұрын
Na wala hawazi wala nn😂😂😂😂
@user-us4qg2yg4n
@user-us4qg2yg4n 11 ай бұрын
Hawa wadudu wananyonga hadharani daaah!Ni Tz hii hi kweli!
@MnadhifuChaman
@MnadhifuChaman 11 ай бұрын
Asee mmetish
@tekala8778
@tekala8778 Жыл бұрын
unyama sana hapo R
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Chuga haipo tanzania...
@alvineCimanga-id5ki
@alvineCimanga-id5ki 10 ай бұрын
Bangi mbaya sana serikari bado inakazi kubwa sana sasa watu kama hawa niwatanzania kweri nguvu kazi inayotegemewa na serkari hasara ipo
@zacchaeinvestment-of5tu
@zacchaeinvestment-of5tu Жыл бұрын
Mkia juu mwendo wa ngiri
@patrickkasonso3513
@patrickkasonso3513 Жыл бұрын
Canabis sativa nimbaya sana!
@BrysonMayunga-lc6mq
@BrysonMayunga-lc6mq Жыл бұрын
Ni muda wenu watu wa arusha kuwasheni hasa maana huo muda nao utapita utumieni vizuri
@erickdioniz8277
@erickdioniz8277 11 ай бұрын
Ni kweli lakini hilo ndio life lao
@henrychacha5592
@henrychacha5592 Жыл бұрын
We chalii iyo kofia inatakiwa na.Jeshi irudishe kabla siku Saba hazijaiiiiii. Hazijaisha
@emanuelpiniel5277
@emanuelpiniel5277 Жыл бұрын
Ninyi wadudu kama mnazika Kwa mikono basi chimbeni shimo Kwa mikono msisubiri wengine wachimbe halafu ninyi mje kujifanya mnazika Kwa mikono
@mboneamalaki5674
@mboneamalaki5674 Жыл бұрын
Wanahitaji msaada.
@othumaniabdalahabubakary871
@othumaniabdalahabubakary871 8 ай бұрын
😂 Supper jombaa
@yusuphsenkondo8030
@yusuphsenkondo8030 Жыл бұрын
Hivyo viatu Jaman 😂😂😂
@amanididas7660
@amanididas7660 Жыл бұрын
kiashiria wote
@christopherwalalaze
@christopherwalalaze 3 ай бұрын
Kitu ya Chuga
@user-hf7dz1zh5v
@user-hf7dz1zh5v Жыл бұрын
hawa jamaa wapewe nchi yao
@jamesfilipo365
@jamesfilipo365 Жыл бұрын
Hapo amna wanachoongea cha maana ata kimoja awondio wazazi wakizazi kijacho mh sijui watoto watakuaje hapo
@spiceisland5108
@spiceisland5108 Жыл бұрын
Kweli Kweli wauni
@JumaKilowoko-ie1kz
@JumaKilowoko-ie1kz Жыл бұрын
hiyo kiswahili sasa ni shida
@rashidharuni9874
@rashidharuni9874 4 ай бұрын
Awajamaa nihasara2pu Bora misomisondo wanajitambua
@samoramartin
@samoramartin Жыл бұрын
Wenyew Hawa, niwatu au,,🥱🥱🥱🥱
@icramnajim626
@icramnajim626 Жыл бұрын
Wang’a laana😂😂😂
@leganmichael6148
@leganmichael6148 Жыл бұрын
Ha ha ha ha Chugaaaaaaa Duuuu
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k Жыл бұрын
Taifa linapotea
@vediowkiritasi3163
@vediowkiritasi3163 Жыл бұрын
Sure
@tekala8778
@tekala8778 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂 GUSA KWA BAKTA NI KAMZOZO
@AbdallahSuleiman-bb6wi
@AbdallahSuleiman-bb6wi 4 ай бұрын
Niuhakika kubwa hapingwagi
@user-ho5xw8vp5u
@user-ho5xw8vp5u 8 ай бұрын
3:25 3:27
@EnthusiasticRacingCar-ph3zi
@EnthusiasticRacingCar-ph3zi 8 ай бұрын
😂😂😂😂
@kilasnkana8645
@kilasnkana8645 11 ай бұрын
He
@amossmreta1380
@amossmreta1380 Жыл бұрын
Cha orcocola😅
@yosefamlumbe7044
@yosefamlumbe7044 Жыл бұрын
hizo zote nibange tu hakuna cha lafuz hapo
@erickphilip1706
@erickphilip1706 11 ай бұрын
Hiyo lugha ndo inatmik sabab ya lugha za kikabila zilizo huku. Jamaa mwisho kasema Engai ashee. Kwahyo hiyo Ngai =Mungu kimasai. .. hao ni watu wa kawaida. Wahuni wapo ila sio hao.
@aronmtui597
@aronmtui597 Жыл бұрын
Bangi mbichi
@hawiaally-nc2ct
@hawiaally-nc2ct Жыл бұрын
Hii imeenda jombaa
@NzolingoTanack-my3nf
@NzolingoTanack-my3nf 11 ай бұрын
Hahaha😁😁🤔
@zuberimsabaha8474
@zuberimsabaha8474 Жыл бұрын
Hahaaj
@hanslameck3968
@hanslameck3968 Жыл бұрын
😂😂
@DenisMawala
@DenisMawala Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@beatricepallangyo2821
@beatricepallangyo2821 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@ImamuIdarusi
@ImamuIdarusi Жыл бұрын
Awa wajinga wanaona kama wako kwenye nchi yao peke yao😊
@callicevallice7383
@callicevallice7383 Жыл бұрын
Iko wazi 🤣
@salimumohammedsalimu1720
@salimumohammedsalimu1720 Жыл бұрын
😂😂😂
Diamond Platnumz ft Koffi Olomide - Achii (Official Music Video)
4:26
Diamond Platnumz
Рет қаралды 33 МЛН
🩷🩵VS👿
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 17 МЛН
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 10 МЛН
"WADUDU TAFUTENI HELA" MAKONDA AKUTANA NA WADUDU AWAPA MBINU
5:36
Millard Ayo
Рет қаралды 138 М.