No video

Kauli ya Padre KITIMA 'CCM WANAIBA KURA' yajadiliwa Bungeni, Spika aingilia kati 'atajibiwa kisiasa'

  Рет қаралды 21,372

Gilly Bonny Tv

Gilly Bonny Tv

2 жыл бұрын

Karibu Gilly Bonny Online Tv Channel ambayo imesajiliwa TCRA kwa ajili ya kukuletea habari kubwa za kisiasa, kijamii, kiuchumi na matukio yote muhimu yanazojiri Tanzania na nje ya Nchi kwa wakati sahihi kila siku:
Kama bado huja-Subscribe tafadhali hakikisha unafanya hivyo muda huu kisha bofya kengele ya Notification ili kuwa wa kwanza kupata taarifa na habari zote tunazoziweka kila wakati.
Ku-Subscribe bofya hapa- / @gillybonnytv
Instagram tunapatikana @ / gillybonny_gilbert
Facebook page tunapatikana @ Gilly Bonny Online Tv
Wasiliana nasi kwa email -gillybonny1991@gmail.com
unaweza pia kutuma habari yako kwa email- gillybonny1991@gmail.com
Karibu sana Gilly Bonny Online Tv

Пікірлер: 190
@silasponeka1773
@silasponeka1773 2 жыл бұрын
Padri uko sawa
@theresiakaruhanga364
@theresiakaruhanga364 2 жыл бұрын
Halima Mdee nimekupenda bure. Hongera dada 👌
@faustinesamani6359
@faustinesamani6359 2 жыл бұрын
Tangu lini jizi likakubali ukweli kuwa nijizi sugu mpaka libanwe kende.
@serafineslaa1082
@serafineslaa1082 2 жыл бұрын
Hongera father Kitima, kiongozi wa dini mwenye kusema ukweli wa kisiasa, anayesema ukweli bila uwoga
@michaelchombo9764
@michaelchombo9764 2 жыл бұрын
Mwongo mkubwa,unakumbuka raisi aliagiza wakurugenzi wasiwatangaze wapinzani kuwa washindi
@ignasmahundi4734
@ignasmahundi4734 2 жыл бұрын
Hamuwezi kugombanishwa kwasababu hao wananchi wanajua kura zinaibiwa
@juhudijotham888
@juhudijotham888 2 жыл бұрын
Kapumzike huna hoja,hisia zako za uongo,Kura zinaibwa unakataa nini,
@bonnyngowo7567
@bonnyngowo7567 2 жыл бұрын
Tulimwomba Mungu kwamba yeyote atakayeiba kura na afe😭😭😭😭😭
@vitusmapunda6691
@vitusmapunda6691 2 жыл бұрын
Msameheni, Huyo Deo sanga hata Sec.hakufika.
@gracehaulemungubabafanyaki4028
@gracehaulemungubabafanyaki4028 2 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu usiogope sema ukweli hao CCM ni majizi sana
@babawawiltegamaso4367
@babawawiltegamaso4367 2 жыл бұрын
mmeambiwa kweli ili mfike mbinguni vinginevo mtaishia njiani mungu awape kujiewa
@vicentmigodela190
@vicentmigodela190 2 жыл бұрын
Jinga kabisa hili, eti tumeshinda kwa kishindo🤭🤭🤭 halioni hata aibu Bora hata ungenyamaza.hata wenzio watakua wanakushangaa
@allywaziri7639
@allywaziri7639 Жыл бұрын
Jinga sana hilo lizeee
@eliasnganira7661
@eliasnganira7661 2 жыл бұрын
Fr Asante kwa ujumbe huu
@theresiakaruhanga364
@theresiakaruhanga364 2 жыл бұрын
Fr alichokionge kibaya ni kipi? Kasema ukweli mtupu hongera sana kwa ushupavu
@rashidkihunga2938
@rashidkihunga2938 2 жыл бұрын
Mdee umetisha sana .
@godfreymwesigwa9375
@godfreymwesigwa9375 2 жыл бұрын
njoo majimbo ya mwanza uone barabara,maji,umeme, ndo useme umeshinda kwa kishindo. sijui nikishindo kipi?
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 2 жыл бұрын
Thank you pastor, no research no right to speak.
@edithajoseph7675
@edithajoseph7675 2 жыл бұрын
Jitafakari baba na Mungu akusaidie
@pilatoonlinetv9660
@pilatoonlinetv9660 2 жыл бұрын
Kwenda Ng'ombe wewe, uwezo wa kushinda bila kuiba kura huna wewe !! Kwa hoja hiyo huwezi kushinda mpinzani.
@hoseakayinga2090
@hoseakayinga2090 2 жыл бұрын
Wewe Deo siku zako zinahesabika
@eliasnganira7661
@eliasnganira7661 2 жыл бұрын
Ni kweli mnaiba kura Hata hivyo mnayemtuhumu alijua yatawaudhi
@papadimayo1chanel.747
@papadimayo1chanel.747 2 жыл бұрын
Hamjawahi kushinda kwa kishindo, mnashinda kwa mbinu chafu na matumizi ya nguvu ya dola.
@salomeshongola1697
@salomeshongola1697 2 жыл бұрын
Hamjawahi shinda hata siku mmoja.na mungu anakuona na uwongo wako..
@cosmaswilliam3805
@cosmaswilliam3805 Жыл бұрын
Mungu anawaona tu
@nicholausalois6387
@nicholausalois6387 2 жыл бұрын
Jamani kinawauma sana kwani nikweli ccm niwezi wakura
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 2 жыл бұрын
Jamani huyo mbunge ccm na ikulu mpuuzeni tu, maana hata mkiona ukweli ni kwamba huyu MTU asiye na hofu Mungu! Hana maana wala hana sifa ya kumkosoa Padre Charles Kitima aliye mzidi pakubwa zaidi Elimu.
@rabielulomi6716
@rabielulomi6716 2 жыл бұрын
Padre umesema Mungu akubariki tena umeongea with authority.
@adamhashayro3133
@adamhashayro3133 2 жыл бұрын
Muliiba kura hilo linajulikana mh mbunge
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 2 жыл бұрын
MTU MJINGA HUTUMIA NGUVU NYINGI ILI WATU WAELEWE NA MWISHO HUONYESHA ALIVYO UCHI! DEO SANGA ƗLELO ɄNWANG'ILE ɄKɄHƗTSA MWAHƗTSILE TENA KƗPELWAPELWA.
@theresiakessy4747
@theresiakessy4747 Жыл бұрын
Muogope mungu hata ww hukushinda Mwache mtu Mungu kasema kweli
@tolutolu2970
@tolutolu2970 2 жыл бұрын
Sura ngumu Kama kweli
@genardmkude9598
@genardmkude9598 2 жыл бұрын
Unajifanya ujui au unajitoa ufahamu
@aganolamotoeliya2027
@aganolamotoeliya2027 2 жыл бұрын
Naamini waliokupigia kura hawatakupigia kura tena.
@akwiliniqawoga.w3690
@akwiliniqawoga.w3690 2 жыл бұрын
Mbunge mwongo,bbora angesema tufanye maridhiano UWIZI WA KURA NI BAYANA. KAMATA KIUNDWE ILI KUCHUNGUZA AIBU YA UWIZI WA KURA.
@jamesswai6583
@jamesswai6583 2 жыл бұрын
Poleni sana sisiem.
@patrickmapinduzi268
@patrickmapinduzi268 2 жыл бұрын
Mzee unapiga kelele Mimi nilikuwa wakala najua kitu gani tulikifanya siku hiyo usidanganye watanzania tunajua mambo kuliko unavyofikiri
@abelianraphili5150
@abelianraphili5150 2 жыл бұрын
Ww... mwenyew.. Tulia.. umepita kwa kuiba Kura
@johnwenceslausmmbaga3917
@johnwenceslausmmbaga3917 2 жыл бұрын
Padre aliongea vizuriii sanaaaa Wabunge wengi wa CCM ni Wanafiki sanaa
@petermushi3336
@petermushi3336 2 жыл бұрын
Wewe mtu mjinga umefanya nini huko kwako?
@petermkumbo5094
@petermkumbo5094 2 жыл бұрын
Rejea kauli ya Magufuli akiwa Morogoro."Kumbukeni nyie hamkuchaguliwa na watu..."
@johnwenceslausmmbaga3917
@johnwenceslausmmbaga3917 2 жыл бұрын
Mbunge huyu ni Mnafikiiii Sanaa Padre ameongea ukweli Lini CCM ilishinda Kwa Kishindo bila Kofia sukari vitenge mashati na pesa
@damymzuri5203
@damymzuri5203 2 жыл бұрын
Angalia comment ktk ile kilipu utagundua , speech yako na yake nani anakubalika
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 2 жыл бұрын
Ndio tabia ya watu wezi na waporaji wa haki za Watu.
@martinmngeni5319
@martinmngeni5319 2 жыл бұрын
Vzr
@heriel2002
@heriel2002 2 жыл бұрын
Padri Kitima ulinena vyema na ukweli wako utabakia kuwa kweli siku zote. Huyu ni unene unamsumbua
@reubenmobe5961
@reubenmobe5961 2 жыл бұрын
Wezi wakubwa wakura nyie Kama hamuibi kubali time huru mbona mnakataa labda we nijini
@josephmbunda1181
@josephmbunda1181 2 жыл бұрын
Jizi no 1
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Жыл бұрын
Safi Sana mdee Mungu ndo atawatetea hata mkiwa wachache✌️🙏
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 Жыл бұрын
Viongozi wa kiroho wanahaki ya kuikosoa serikali lakini na wao wawe wanakubali kukosolewa. Hao wanaoiba kura kama wapo ni sehemu ya waunini wao ambao ni ushahidi kuwa Dini zimeshindwa kuwalea kimaaadili hao waumini. Hawana tens hofu ya Mungu. Baadhi ya Viongozi wa dini wamejisahau kabisa na kujikuta wanashughulika na kutafuta pesa na umaarufu na kuwaacha waumini wao solemba na ndio hao Leo mnawaita wezi wa kura. Kama dini zingefanya vizuri hatungeweza kuwa na wezi. Upo udikteta mkubwa na unyanyasi ktk. majumba ya ibada na sio kwamba viongozi wa serikali hawajui lakini kwa heshima ya Mungu wameamua kukaa kimya sio kwa sababu ninyi ni waadilifu au ni watakatifu. Mkisemwa kidogo tu mnakasirika na kutamani kuleta gharika. Dr.Mwaka ni mfano hai Baadhi ya viongozi wa dini wanachangia katika kuharibu tabia na maadili kwa waumini wao na taifa kwa ujumla. Baadhi ya nyumba za ibada hats hiyo demokrasia haipo kabisaa. Huwezi ukamhoji askofu au Nabii hats kama ana makosa ya wazi. Utafungiwa huduma zote.
@user-tb2fw5sj6t
@user-tb2fw5sj6t 6 ай бұрын
No pain no gain but it's reality
@FrankMwaiswasu-dt5ey
@FrankMwaiswasu-dt5ey 11 ай бұрын
Kwani uwongo ccm mnaiba kura kuna wabunge wa kupita bira kupingwa hao wabunge hewa
@OscarBethel
@OscarBethel 11 ай бұрын
Kwani niongo sinnaibaaga kura wachakujidanganya wananchi wanajua mliiba kura
@lothmoses8439
@lothmoses8439 2 жыл бұрын
Mbunge cc ndio wapiga kura muogope mungu
@shangwemapesi4842
@shangwemapesi4842 2 жыл бұрын
Kwani ukikubali tu ukweli uliosemwa kwan kuna shida? Hata we waujua ukweli
@fabianmaikoo5912
@fabianmaikoo5912 2 жыл бұрын
Cc night wezi kabisa
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 2 жыл бұрын
UONGO NA WIZI NI SIFA KUBWA YA MTU MWEUSI.UKWELI KWETU NI MWIKO NDIO MAANA MUNGU AMEAMUA KUINGILIA KATI
@mamertkibori2450
@mamertkibori2450 2 жыл бұрын
huyu nae!
@silasponeka1773
@silasponeka1773 2 жыл бұрын
Unamdanganya nani?
@philipowyinjones9645
@philipowyinjones9645 11 ай бұрын
Nyie n Majizi Hilo linajulikna
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k Жыл бұрын
Nawashangaa wabunge hawa wasiojielewa
@humphreybilly7437
@humphreybilly7437 6 ай бұрын
Halimaa❤
@fr.deolyakunga4984
@fr.deolyakunga4984 2 жыл бұрын
Shame on you CCM: Mbunge wa wapi wewe? Deo Sanga???!Wewe ni Jimi wa Freemasons! ?? Sawa Binti Halima Mdee! Sawa kabisa Speaker, Tulia. Waache wstu waseme wanayoona; Uhuru wa kutoa maoni, yeyote yule..
@AminaMoses-vt1iv
@AminaMoses-vt1iv 7 ай бұрын
Inasikitisha sana
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k Жыл бұрын
Wezi
@louisnyoni4139
@louisnyoni4139 2 жыл бұрын
Kama mlishinda kwa kishindo kwa nini hamtaki katiba mpya na kwa nini mnapita kura kupingwa, nyinyi ni wezi wakubwa.
@josephlorri431
@josephlorri431 2 жыл бұрын
Yule mwenyekiti wa ccm mkoa wa mwanza naye mbona humsemi
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 2 жыл бұрын
Huyo MZEE ukiomuona tu ni mwizi na roho mbaya.
@melaniaanthony3263
@melaniaanthony3263 Жыл бұрын
Hamkushinda oneni ukweli ulioko mda huu bandari
@johnsonsaimon2425
@johnsonsaimon2425 2 жыл бұрын
Tulishawakabidhi KWA MUNGU waiba kura na wasipingwa MUNGU atasema nao wote
@stevensenghana1593
@stevensenghana1593 2 жыл бұрын
Kweli jinga hili halina hoja mpuuzii kabisa kwanza halina Doni mpuu
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k Жыл бұрын
Wabunge wanaojipendekeza mbunge akimsifu raisi bas yuko sawa kweli maccm wezi wa kura nanyi mnajua ukweli viongozi wa dini msiogope kusema kweli ccm wameharibu nchi
@user-hu1kc3ij9i
@user-hu1kc3ij9i 11 ай бұрын
Ukweli unauma lakini limewafikia.Asante sana baba kitima.
@maikonyondo-gr7gd
@maikonyondo-gr7gd Жыл бұрын
Huyu mbunge Hana Aya aibu wakati Kuna wabunge walioshinda walienguliwa
@ilungasalle
@ilungasalle 2 жыл бұрын
Mbuzi wewe hata aibu huna
@michaelashery2408
@michaelashery2408 2 жыл бұрын
We ayubu kikoti alchosema padri niukweli kabisa.nnchi hii ukitaka kuishi Kama digidigi uwe mpinzani.au nawewe ulikuwa mhesabu kura kwahiyo unatetea maovu mliyofanya.ndo maana hata siku za kupiga kura watu awajitokezi.mbona wanajua wanapigia chama Flannigan kura zinaamishiwa kwingine.watu wanaamua kufuata Mambo yao ya kutafutia watoto wao riziki.ndio maana wabunge wengi wanabwabwaja wakiangalia masirahi yao.hawapo kushughulika na matatizo ya wananchi wao na wanajua vizuri Hali ngumu za wananchi wao.hoja zikiletwa bungeni wanapitisha bila kuangalia ugumu wa maisha ya wananchi. Kwa mfano serikali kuchukua too kwenye miamala ya simu.kodi ya majengo kwenye luku.hata huku vijijini ukiweka umeme kwenye nyumba ya tembe.utakatwa sawa na mwenye nyumba za kifahari ikiwemo na nyumba zao hao wabunge.wakati huku vijijini mtu anaweza kupita mwezi mzima bila kupata 5000/ nehema kidogo tukishavuna.tena mvua ikinyesha vizuri.kwa mfano mwaka huu akuna Cha kuchukua huku kwetu dodoma mahindi yote kwishi nehi.
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 жыл бұрын
Vidume rudieni ili kuwahakikishia nyie ni vidume. Mwigeni Gambo.
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 2 жыл бұрын
Kushinda kwa kishindo cha nini? We mbona unatoa maoni, Hata yale ni maoni yake.
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 жыл бұрын
Mh ulm mjengoni umesikia hiyo ya pili? Mtumishi anaongelea dhambi. Si kwa chama kimoja tu. Pengine Wako wa vyama upinzani nao walioiba lakini hazikutosha je? Kwani hata mchakato kupata wagombea wajumbe wa vyama si mnakumbuka? Mwisho kaambiwa msajili aliangalie. La msingi Hebu tuache kadhambi ketu nyakati za uchaguzi.
@abrahamrubeni5905
@abrahamrubeni5905 2 жыл бұрын
Wewe kama ulishanda wewe sio wote walishinda
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 2 жыл бұрын
AIBUUUUUU.MSAJILI NIANGALIE VIZURI HII NI KALI.MSAJILI MMMMH AIBU HII
@renatuswilson1577
@renatuswilson1577 2 жыл бұрын
Shame on you!
@prospermalala6636
@prospermalala6636 2 жыл бұрын
Hapo hakuna mtu, alichosema Padre ni sahihi kabisa huyo anabwabwaja tu
@user-pj2vs7pw9b
@user-pj2vs7pw9b 7 ай бұрын
,ha🎉ha 🎉🎉
@aloismosha-xz1rj
@aloismosha-xz1rj Жыл бұрын
Mwizi nae anajitetea
@romanusnjovu6845
@romanusnjovu6845 2 жыл бұрын
Tusubirie 2025
@cosmaswilliam3805
@cosmaswilliam3805 Жыл бұрын
Tusubiria uchaguzi wa serikal za mitaa 2024 nawahurumia Sana watendaji wa vijiji,Safari hii mbowe utuachie uwanja wakituvuluga watendaji watakiona.
@simonkenne6892
@simonkenne6892 Жыл бұрын
Mbwa wee mzee kafie huko...kupe umeshiba damu zetu
@FilbertKalembe-fy4oq
@FilbertKalembe-fy4oq 11 ай бұрын
Nikweli hata mungu anajua hata ukiongea huo ni upuuz tuu hataufanyeje ikowazi
@EshaHamd-ed9yv
@EshaHamd-ed9yv 7 ай бұрын
Kwani si kweli muongo Fisadi kubwa nyote umeiba kura waongo wakubwa hivyo nani usiyejua kama munaiba kura na mara hii hamukuiba umepewa na tume ya uchaguzi musijifanye wakali kila msema kweli ni kipenzi cha Mungu mutakwenda kujibu mbele ya Allah mafisadi Mijizi mikubwa nyinyi wadhalimu wakubwa hao
@user-rg5sg1xz8p
@user-rg5sg1xz8p Жыл бұрын
Hahahahahahahaa eti wamepta cha kura nyingi hahahahha eheee mungu waurumie
@sixmakochogilbert3331
@sixmakochogilbert3331 Жыл бұрын
Mnaiba acha uongo
@user-tb2fw5sj6t
@user-tb2fw5sj6t 6 ай бұрын
Ukweli unauma xn tena xn kwa ccm
@hassankidilikia5566
@hassankidilikia5566 11 ай бұрын
😢
@flavianmushobozi7691
@flavianmushobozi7691 2 жыл бұрын
Kuweni makini na vitu vinaumiza jamani ogopeni msiviretee mbwembwe
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 жыл бұрын
Kikosi kazi kitakuja na Majibu sahi. Jadilini ilani jamani. Spika una busara.
@user-bl3go5yr8u
@user-bl3go5yr8u 6 ай бұрын
Kazi ya mchungaji no kukemea maovu lazima aseme ukweli
@victormbaga5772
@victormbaga5772 Жыл бұрын
Wabunge matahira majizi .chama cha majiz mnakana hatuwataki
@user-rc1dp6ux3k
@user-rc1dp6ux3k Жыл бұрын
Acheni wizi ccm
@chesconkwera2005
@chesconkwera2005 Жыл бұрын
Mawazo ya Fr,Dr Kitima Yamekuwa makubwa kuliko uwezo wa Fikra za Mp wa makambako
@abihudikihemba5891
@abihudikihemba5891 8 ай бұрын
Jamani oneni aibu acheni wananchi tutoe maoni yetu jisi tunavyoona mwenendo wakupatika kwa wawakirishi wetu.ukweli nikwamba tunawachagua iliwakatuwakirishe bungeni na kwenye mabaraza yamadiwani siyowanao tangazwa.huo ndio ukweli.na ndoomaana ccyenu haihitaji katiba mpya ikiwa pamoja natumehuru ya uchaguzi. Wewe mbuge achana padri huyo kabisa nae nisehemu ya wananchi.nyie wezitu kuazia kwenye kura hadi keki yataifa mnaiba
@serafineslaa1082
@serafineslaa1082 2 жыл бұрын
Huwezi kurudi awamu nyingine
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Жыл бұрын
Point alima lakini. Msije mkaguse mambo ya dini ni hatari ktk taifa utawala wenu Hawa Wana nguvu kubwa kiliko hata hilo bunge hawa watu wapo duniani Tuangalie Sana ushauri wa bure tunawapa Hofu ya utawala tusichangenye kukutaa ukweli Hata speaker wa bunge Tayari watu wengine watanzania duania na nchini wanawangalia na kuwasikililiza kwa makini Sana huyu msije mkamguse Kabisa ktk mazowea yenu ya maslai binafsi kuliko Uma
@ashamohammed3612
@ashamohammed3612 2 жыл бұрын
Mpe ukweli Halima huyo mzee kwani si kweli wameiba kura nani asiyejua. Dunia mzima inajua kuleni dhulumu tu.
@jeremiahngoka4980
@jeremiahngoka4980 2 жыл бұрын
Wezi wakubwa wa kura.Hili libunge la hovyo sana hakuna siku linasimama bungeni lisiongee utumbo tu.Hamuwezi kushinda walahi ni wizi na ubabe umewaweka hapo.2025 si mbali utajinyea tu.Kaa kimya wewe
@yomseyyomsey5114
@yomseyyomsey5114 6 ай бұрын
Wew acha uongo majiz😢
@nardhismhagama6266
@nardhismhagama6266 11 ай бұрын
Mmbunge mwizi huyu huyooooooo piga
@michaelmgwambe7256
@michaelmgwambe7256 9 ай бұрын
Kweli mnaiba kula CCM
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 6 ай бұрын
Kwani hamuibi?
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 50 МЛН
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 2,8 МЛН
Doing This Instead Of Studying.. 😳
00:12
Jojo Sim
Рет қаралды 20 МЛН