Рет қаралды 41,525
Mafuriko yanaendelea kusababisha vifo na kuathiri kaunti mbalimbali nchini .familia zilizonusurika na mafuriko yaliyosababishwa na kujaa kwa bwawa la old kijabe na kuvunja kingo zake huko mai mahiu kaunti ya nakuru wanasimulia tukio hilo. Mwanahabari wetu aisha seif anasimulia na habari zaidi.