MaashaAllah shekh Allah akuzidishie umri wa kufanya Ibada Allahumma Amiiin,.tuna subiri Allah akikujaalia utumalizie historia ya Dhul karnayn
@lamuchidon76434 жыл бұрын
Masha Allah sheikh othman maalim ameacha athari kwa masheikh hii ndo inaitwa mapenzi ya kweli
@aishaaisha90945 жыл бұрын
Mashallah napenda sana mawaidha yako
@mwanashazingas39775 жыл бұрын
Masha Allah tabaraka Allah my sheikh Mungu akujalie mwisho mwema..kisha nakufananisha sna na maalim Othman Yule mwengine
@afric013 жыл бұрын
Aslm alkm wtw..... Shukran sanaaa Sheikh Othman. Wallah darsa zako tam Allah akuhifadhi. Hakika jina la kipanya limekuathiri. Na wallah si vyema kumpatia mtoto jina la kumuaibisha. Nilikataa kufuata mambo ya wazee wangu katika kupatia watoto wangu majina. Wa kwanza nikamwita Swabrina, wa pili Omar, na watatu Abdu swamad. Pole kwa mafua Sheikh wetu. Allah akupe shifaa ya haraka. Akubariki Allah na akulinde ili uendelee kutu ilimisha , kutufurahisha na kutukurubisha katika kutenda wema. Jazakallahu kheir
@ayoubnazir14935 жыл бұрын
Shukran, Mawaidha mazuri sana, safi Sana Allah akulipe khair
@rukiaalfa63384 жыл бұрын
nakupenda ustadhi nsipenda hiyo sauti yako inaniingia hadi kwenye moyo
@nachuma15 жыл бұрын
Maasha Allah kwa mbali namuona Othmani maalim
@ilhammshana2345 жыл бұрын
Mnaotuwekea mawaidha huku KZfaq Allah awalipe
@nusaebahkeis67745 жыл бұрын
Amiiin
@faridasalim99223 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu awajalie nyie mnao tupa mawaidha kwa simu awazidishie umri na awazidishishie vipaji vyenu inshaallwah
@faizasaid82625 жыл бұрын
Mashallah Mashallah shukuran
@asiaissa9765 жыл бұрын
اللهم صلى على نبينا محمد واله وصحبه اجمعين
@bahatihadijabahati74565 жыл бұрын
Mashaa Allah sheikh wetu Allah akuongoz na njia ilinyooka in shaa allah
@mohamedrhova19675 жыл бұрын
Jazakumul kheir
@ibtysaammohamed14702 жыл бұрын
Mashaallah hakika wewe ni mrithi wa sheikh othman maalim inshaallah allah akulipe pepo
@mwanaurabakara95745 жыл бұрын
Mashaallah tabaraka Allah kheri
@laylisaid95635 жыл бұрын
Mwnyazi Mungu🌹 ajalie afuiya njema
@laleinemirjangi19304 жыл бұрын
Salam from Mombasa Kenya Shukran best mawaidha MASHAALLAH may Allah bless you Ameen
@ashuashu38435 жыл бұрын
Jazzak Allahu khairan
@user-pp5lz9qs9k9 ай бұрын
MASHAALLAH ALLAH AKUZIDISHIE UZIDI KUTUELIMISHA UMMAH HUU W MUHAMMAD S.A.W
@sofiahamis41875 жыл бұрын
Allah akuzidishie Khair
@abadialbalushi9444 жыл бұрын
Barakallahu fiiiiq ya sheikh yaaaani leo unanikosha moyo kwa mawaidha haya
@makameabdallah67625 жыл бұрын
Mashaallah mungu akufanyie wepesi inshallah
@hassinafati35123 жыл бұрын
Allah akbar shukrani ustadhi wetu Allah akulipe kheri yaarabi 🤲
@mauaamani2595 жыл бұрын
asante shekh kwa kutukumbusha mambo ya kheri Allah akulipe inshaallah
@abdullatifaziz32392 жыл бұрын
Mashaallah mawaidha mazuri saaana shelk othman Michael
@fatumaramadhanmashaallahal99665 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah mashaallah tabaraka llahu
@ayshaomary77514 жыл бұрын
Masha Allah allah akubareek akupe afyar njema uzidh kutuogowa umaty Mohammed
@faridahalwaily855 жыл бұрын
MashaAllaah
@abdulrahmanngaluma37685 жыл бұрын
Umezungumza point kaka.,... Maana watu huwa wakizidi kukusifu
@ilhammshana2345 жыл бұрын
Jitihada kubwa
@mira-gq3qg5 жыл бұрын
Allah akulipe pepo
@asyaluay57875 жыл бұрын
Swallu Alla Habibina Muhammad
@jamesmoses3545 жыл бұрын
sal"lallahu Alayhi Wasal"lam
@ramadhanhassan11154 жыл бұрын
Masha Allah Ustadhi,unamawaidha mazuri sana.Ninajifunza mengi kupitia vipindi vyako,mwenyezi Mungu akuongezee palipo pungua inshaallah
@halimayusufu63054 жыл бұрын
Mashallah mawaidha mazuri sana Allah akupe umri mrefu ila Pole na mafua
@omarimasanga4 жыл бұрын
Maa Shaa Allah
@ilhammshana2345 жыл бұрын
Tunawashkuru
@munyarubugaismailally1113 жыл бұрын
Allah akujazeni kheri insha Allah, ila tunaonmbeni mawaidha yawe yanakuja yametimia insha Allah, na azidi kukupeni kheri
Subhannallahh, Allah akuongezee umri na Afya njemaa! Allaahumma Aamin.
@faroukkaizaabdulaziz89115 жыл бұрын
M/mungu akulipe shekh
@omargbabaomar20045 жыл бұрын
Masha Allah
@hassanharuna15194 жыл бұрын
Ma sha Allah mawaidha mazuri Allah awape kheir
@aishaally26114 жыл бұрын
Baadhi ya maaswahaba walirudi kwenye ukafiri baada ya kufa mtume...! Subhannallah.
@Soso-rd8en2 жыл бұрын
Mashallah 👌
@myoutubecom-gg7sb3 жыл бұрын
MashaAllah
@hassanburhan97964 жыл бұрын
Maa sha Allah wa Jazakallah
@mussaboy33793 жыл бұрын
Mungu mkubwa san
@yusuflangat35563 жыл бұрын
Mashallah
@fatumaramadhanmashaallahal99664 жыл бұрын
Mashaallah tabaraka llahu
@fatumaramadhanmashaallahal99664 жыл бұрын
Yarabi tujalie wepesi wa kufanya mambo ya heri inshaallah
@shanibe66214 жыл бұрын
mashalaah
@chabunu33673 жыл бұрын
Sheikh umenisisimua mwili mzima kwa kifo Cha mtume nikasema uliwahi kumuota mtume Mara sana basi ni haki yako tuombe na ss tumuote
@kajoakother60414 жыл бұрын
mashalla
@fatimahussen32344 жыл бұрын
Tumsalie mtume,,, salallahu aleihi wasalaam,,,
@mwanashazingas39775 жыл бұрын
Nimelia kma nilikuwepo vile
@mariyambimaely90094 жыл бұрын
Mashaallah
@mariamismail69974 жыл бұрын
Mashaallah sheikh mwaidha yako mazuri mungu akupe umri mrefu Aameen
@fatumaramadhani90774 жыл бұрын
Asante
@agnesgeraldachiula53584 жыл бұрын
😃😃kipanyati
@kajoakother60414 жыл бұрын
jamani waisilam mbona kometi dogo
@kajoakother60414 жыл бұрын
mbona kometi ndogo
@tamimalhajri20262 жыл бұрын
sheikh mimi niko omani sijawahi kuona wala kusikia mfanyakazi akitupwa gorofani huo ni uongi wahao wafanyakszi wengine
@abubakarikejo32794 жыл бұрын
Allah akupe siha njema inshallah.
@nassibramadhani23954 жыл бұрын
Mashaallah mngu akulipe
@bennymochiwa48005 жыл бұрын
TAKBRI
@saadlil42575 жыл бұрын
MASHAALLAH
@mwajumas8025 жыл бұрын
Dawaaa ni nzuri sana shukrani
@zahara.mtingita57405 жыл бұрын
Allahu.akbaru
@shamsamohammed96454 жыл бұрын
Wahllahi na mm pia namfananisha na othman maalim yule mwengine mpaka sauti yake pia wahllahi subhannallah Nampenda sana huyu shekh mwenyeezi mungu amjalie kila la kheri yarabi