RAIS SAMIA AELEZA SABABU YA KUMUONDOA BOSS WA TRA "NILIONA ATA DATA"

  Рет қаралды 85,404

Millard Ayo

Millard Ayo

4 күн бұрын

Пікірлер: 352
@DrFatmaKhanPanAfrikan
@DrFatmaKhanPanAfrikan 2 күн бұрын
❤🎉😂 Hongera Sana Rais wetu Dr SSH❤🎉
@terrence9477
@terrence9477 2 күн бұрын
Leo mama kanifurahisha sana, yaani nitalala msingizi mnono
@ahz6907
@ahz6907 Күн бұрын
Y?
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 күн бұрын
Mungu mfunike Yusufu...asante Kidata kwa kazi nzuri
@thomasmallya2972
@thomasmallya2972 2 күн бұрын
Watanzania cc ni wez wadanganyifu na wafifu wa kufikiri kuanzia viongoza ad raia
@BarnabasFabiani
@BarnabasFabiani 2 күн бұрын
Usi wasemee wata nzania jiseemee ww
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 Күн бұрын
Kwa kweli ulichokisema ni sahihi
@ahz6907
@ahz6907 Күн бұрын
Wewe ndio mwizi namba moja.
@chakubanga1
@chakubanga1 5 сағат бұрын
​@@BarnabasFabianina babako pia. Kama mtanzania 😂😂😂😂
@chakubanga1
@chakubanga1 5 сағат бұрын
​@@ahz6907msikasirike mkiambiwa ukweli. Na kama umemsikiliza vizuri, amemwambia mbele ya dunia, kuwa anajua kuwa alikuwa mwizi.. WEE UNAKASIRIKA.. Jamani.. Kwani shuzi.
@taurehassan7399
@taurehassan7399 2 күн бұрын
Mam me nakupenda sana❤ unaongea kw upole km haumaanishi vile lkn kumbe ndo unamaanisha hvyo,Allah akubaariki
@msafiriomary893
@msafiriomary893 2 күн бұрын
Hakuna kitu hapo wote wezi tuu hapo
@ahz6907
@ahz6907 Күн бұрын
Kuanzia mama hadi watoto wake 😂
@henulaanthony5638
@henulaanthony5638 3 күн бұрын
Reference to Job Ndugai, once said
@Banzok700
@Banzok700 2 күн бұрын
Congratulations sana Madam president. Tuko pamoja na wewe. Mwenyeezimung akuhifadh na mahasidi na wakwepa kodi
@MACHAGGECHACHA
@MACHAGGECHACHA 6 сағат бұрын
Usimsifie mwizi wa taifa.! hivi nyie watanzania mnataamka lini? Magufuli alitaka kuwaamsha hamkutaka mkamuuwa>!! Shenzi nyie waswahili>!!
@AbelCharles-co6qb
@AbelCharles-co6qb 2 күн бұрын
Mama huwezi kupelekea wez mwizi mwenzao bana😢
@chakubanga1
@chakubanga1 5 сағат бұрын
Its really sad admitting thats what CCM has been doing since Independence.
@judicateurassa7817
@judicateurassa7817 2 күн бұрын
Huyu mama anajua maneno yote ya mtaani kudata ni nini
@AugustKisaka-qy7kl
@AugustKisaka-qy7kl 3 күн бұрын
Koodi ni nyingi sana, asa kwenye mfumo wa simu ,Makato ni makubwa sana, chaajabu serikali inapata ada mdogo sana ,makampuni ndio walaji wakuu,punguzieni wanachi kodi kwenye mfumo wa mpesa ,tigo pesa ,na mitandao mingine
@daudimusoma3337
@daudimusoma3337 3 күн бұрын
Sasa kumbe mama anajua kukopa ni Kama kudhalilishwa
@AwardHakimu
@AwardHakimu 3 күн бұрын
Anajua sana tu sema ndio hivyo yupo kwenye mfumo mikopo ni utumwa mkubwa sana inatakiwa kuikataa kwa vitendo sio maneno
@festokemibala5832
@festokemibala5832 3 күн бұрын
Imeandikwa hata katika Biblia
@user13375
@user13375 2 күн бұрын
Anayatak
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 2 күн бұрын
Mbona rahis analalamika wakati Madilu Mwigulu Nchemba Maderu anasema kuwa mnakopa kwa sababu mu matajiri? Kumbe mnawadanganya wadanganyika? Kwanini rahisi ameteua mwizi tena anayemjua?
@davidrweyemamu938
@davidrweyemamu938 2 күн бұрын
Mimi ananikoshaga na sauti yake ya kimama kwa wanae yaani❤ I wish watendaji wake wangemuelewa my dear president!
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 2 күн бұрын
Ushakopa halafu unasema eti kukopa fedheha
@EdwardMbwambo
@EdwardMbwambo 2 күн бұрын
🤞🤞
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 2 күн бұрын
Mbona rahis analalamika wakati Madilu Mwigulu Nchemba Maderu anasema kuwa mnakopa kwa sababu mu matajiri? Kumbe mnawadanganya wadanganyika? Kwanini rahisi ameteua mwizi tena anayemjua?
@user-mu1hx7yv9b
@user-mu1hx7yv9b 3 күн бұрын
Safi mama
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 3 күн бұрын
Weka system nzuri pia kila Biashala iwe on line kama Rwanda
@zanubaahmed4905
@zanubaahmed4905 3 күн бұрын
Utashangaa Rwanda walijifunza kupitia TRA , sisi sijui tunakwama wapi?
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 3 күн бұрын
@@zanubaahmed4905 Unaona sasa Mimi nafikili Ni Kwa sababu WALA rushwa tunawachia tu Rwanda hawana muchezo.
@camilomassao8971
@camilomassao8971 2 күн бұрын
Point!
@kevinmary7129
@kevinmary7129 3 күн бұрын
Mwizi kapewa kaibe zaidi kama alivyokuwa akiiba na wenzio
@namaanwilson6467
@namaanwilson6467 3 күн бұрын
Nimefurahi sanaaa😂😂😂 Leo umeongea kwa mamlaka ya uraisinsafi mama.fanya hivi🎉
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 2 күн бұрын
Acha kujipendekeza samia si mamako
@nadirabdullahal_hinai2016
@nadirabdullahal_hinai2016 2 күн бұрын
Ni mama kwa watanzani wote????sifa ya heshma tu we inakukera au??????? ​@@JohnJoseph-qq7ow
@user-rv3ml6cf7e
@user-rv3ml6cf7e 3 күн бұрын
Kusanya kodi acheni kukopa manyanyaso
@jeremialyati6092
@jeremialyati6092 3 күн бұрын
Na wabunge walipe Kodi
@leonardsasita4634
@leonardsasita4634 3 күн бұрын
Safi mama watu walipe kodi, Kodi ilipwe
@menelus911mene5
@menelus911mene5 2 күн бұрын
Rais wangu ccm oyeeee 5 kwako
@DAUDISABLI-uj5em
@DAUDISABLI-uj5em 2 күн бұрын
Hongera mheshimiwa rais, mungu aendelee kukuongoza katika kuliongoza taifa letu.
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 2 күн бұрын
Mbona rahis analalamika wakati Madilu Mwigulu Nchemba Maderu anasema kuwa mnakopa kwa sababu mu matajiri? Kumbe mnawadanganya wadanganyika? Kwanini rahisi ameteua mwizi tena anayemjua?
@user-zg1pu1gl2d
@user-zg1pu1gl2d 2 күн бұрын
Mama umesema kweli kukopa tunadhalaulika kasimamie vzr Mapato
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 3 күн бұрын
Mbona hawa mafisadi hauwatoi?
@c75923
@c75923 2 күн бұрын
We kesi ya ngedele umpelekee nyani unadhani kutakuwa na salama hapo
@cryptoboy-5
@cryptoboy-5 2 күн бұрын
mtu akisha kuwa mtumishi wa selikari haondoki mpaka astaafu hata awe mwizi kias gani badala yake atabadilishiwa madalaka tu
@godlistenmangowi9328
@godlistenmangowi9328 2 күн бұрын
Ujamaa ulitumaliza kitambo
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 3 күн бұрын
Mama Samia Safiii ..Unapanga Kikosi kazi Vizurii...Mama Samia Kura yangu Unayo 2025❤
@masinda_tz3769
@masinda_tz3769 3 күн бұрын
Duuh acha uchawa basi
@MrA24G
@MrA24G 2 күн бұрын
Mwenda kapiga kazi Zanzibar ZRA mpk si mchezo.
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 2 күн бұрын
Acha kujipendekeza samia si mamako
@khamishemedi8517
@khamishemedi8517 3 күн бұрын
MAMA Allah azidi kukusimamia katika ubora wako maana una nia njema kwa wananchi wanaojitambua kwa maslahi ya taifa letu lisonge mbele
@user-tt9bp2id5p
@user-tt9bp2id5p 2 күн бұрын
Unafki uo
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 2 күн бұрын
Samia si mamako acha kujipendekeza nyie ndio mmesababisha bandari imeuzwa ujinga tuu kujipendekeza kucha kutwa
@Optionxll_Playz1
@Optionxll_Playz1 3 күн бұрын
Kuliko Meri nyingi zinakuwa kwenye foreni sana
@kipepeo_Kitchen
@kipepeo_Kitchen 3 күн бұрын
Ni meri au meli. Foreni au foleni.
@FloridaAdelinus
@FloridaAdelinus 3 күн бұрын
Tatizo ni kumfunga aliyejitafuta na kumwacha aliyeruhusu sukari kwa kuvunja sheria nani alileta taharuki watu wanapanga foleni utadhani tumerudi miaka ya 1978 baada ya vita vya IDD AMIN
@NATACIARAPHAEL-iz8kr
@NATACIARAPHAEL-iz8kr 2 күн бұрын
Wakubwa wakiiba hawafungwi masikini akiiba kuku sas
@user-lu8ny2gu7t
@user-lu8ny2gu7t 3 күн бұрын
Mnakopa cha maana unachokifanya hakionekani labda kujinufaisha wenyewe
@ismailsalumu1112
@ismailsalumu1112 2 күн бұрын
Kaka yangu Yousuph fanya kazi usiku na mchana Dr Samia Suluhu Hassan Rais wetu amekuamini
@jumagora3462
@jumagora3462 Сағат бұрын
Hongera sana mama unafanya kazi vzr ila tatizo la wizi wa fadha sijui kuna chuo cha kusomea wizi kimya kimya au vp
@bilalabas9636
@bilalabas9636 2 күн бұрын
Duh unamtuma mwizi tena akakusanye asiibe 😂😂😂😂 hii hatari kwel
@binseif2216
@binseif2216 2 күн бұрын
Vp mama unasema kama mlikula pa1 lkn ukazibe mwanya hapo inatakiwa uwakamate na wafikishwe mahakamani wote haifai kusema najua mlikula lkn kazibe
@Freedom_fighters898
@Freedom_fighters898 Күн бұрын
Kabisa kumbe anajua wanaiba na bado anawapa madaraka mkubwa..
@user-zr5mw3dn4b
@user-zr5mw3dn4b Күн бұрын
​@@Freedom_fighters898sasa utampata wapi ambaye ni malaika?
@abdallahally842
@abdallahally842 2 күн бұрын
Bandarini ndio kwenye mifumo ya rushwa na upigaji ukidhibiti Kodi halali ikalipwa huna sababu ya kukimbizana na maduka kukamata kamata wkt pesa ipo bandarini watu wachache wanafaidika na matumbo yao
@AbdalahMtambuka-rh1dp
@AbdalahMtambuka-rh1dp 2 күн бұрын
awakuelewi ao wezi watupu kuiongoza nchi rais lazima uemkali
@davidsimbeye1548
@davidsimbeye1548 2 күн бұрын
Mimi kwangu huyu ndiye kiongozi bora kuwahi kutokea Tanzania
@mbegembege
@mbegembege 3 күн бұрын
Kweli mama
@user-jj7qv7kh2s
@user-jj7qv7kh2s 3 күн бұрын
Hiyo ndio kauli nzuri ya kiongozi bora.
@EliaHiluka
@EliaHiluka 3 сағат бұрын
Niaibu sana mama Samia Raise wetu kila kitu kuwa ombaomba
@nursechunga4470
@nursechunga4470 2 күн бұрын
Mama nakupenda sana, Mungu akutunze tuu🙌
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 2 күн бұрын
Kariakoo kunazidi kubanwa 😢😢 na ana jua kukopa ni vibaya
@eatlawe
@eatlawe 3 күн бұрын
Rais kasema ukweli kuhusu ulipaje wa kodi. Ukiacha wafanyakazi, wafanyabiashara wengi wenye maduka makubwa yaliyogawanywa mara mbili yaani mbele (kadogo) kama kiosk lakini kule nyuma ni supermarket nzima! Hata maduka ya madawa! Viwanda vya mbao, sehemu za welding, car wash etc hawalipi kodi huku mikoani! Kuna hela za kutosha kama TRA wakiwa waadilifu!
@Felix72282
@Felix72282 3 күн бұрын
Hapo sawa mama
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 2 күн бұрын
Sii mamako huyo acha ujinga
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 23 сағат бұрын
Kwa sababu sio Mzanzibar TRA pelekeni fedha za Zanzjbar !
@user-ed1tm5re4j
@user-ed1tm5re4j 2 күн бұрын
Yaan utafikir watu wanapiga stor za kawaida tu na unaowachagua huwap roho za kukuogop wanafurah na kukung'ong'a tu,sio kosa lako unang'ang'ania kiatu kisichokutosha
@BonnyMwajombe-iu7hb
@BonnyMwajombe-iu7hb 2 күн бұрын
Kamati ya vipaza saut hawako vizur ,anawashinda steve mweusi
@ahmed-shakirmwamba4992
@ahmed-shakirmwamba4992 Күн бұрын
Solution nikuleta maexpartrietes wasimamie RTA utaona tofauti. Hawa jamaa zetu wote wezi na hawatosheki.
@hadija846
@hadija846 2 күн бұрын
SHUKRAN MAMA MPENDWA❤🎉
@user-gv4jx2fp4u
@user-gv4jx2fp4u 2 күн бұрын
Hongera Rais wetu umeonyesha ukomavu
@user-dr2lk7im7r
@user-dr2lk7im7r 10 сағат бұрын
Job Ndugai -spika aliyejiuzulu alitahadharisha, wakamsakama leo tunasifia kukopa, hii ndiyo Tanzania ya sasa.
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 2 күн бұрын
Mama samia mbona vituo vya mafuta ni vingi nchi hii tumeanza kuchimba yetu?
@cynthiamcguire1495
@cynthiamcguire1495 Күн бұрын
Baada ya miezi sita, nitatuma vifaa vya uwekezaji. Natumaini sintapata shida yeyote. However, kama nikipata shida, who do I go to?
@ahmed-shakirmwamba4992
@ahmed-shakirmwamba4992 Күн бұрын
Kodi zinalipwa nyingi lakini tatizo ni wizi na wezi hawahukumiwi kwa vile wote ni CCM.
@dainashapwata7705
@dainashapwata7705 Күн бұрын
Thank you mama .
@narcissusmakenge4710
@narcissusmakenge4710 2 күн бұрын
Rais wa kwanza kuhalalisha rushwa na kubembeleza wala rushwa.
@MenelusCzar
@MenelusCzar 2 күн бұрын
KIDATA IS FOREVER BIG BROTHER🚨
@hamudseif
@hamudseif 3 күн бұрын
Afrikaaa, Rais anajua km watumishi wake ni wizi na aliemchaguwa amemu address km walikuwa wanaiba, lkn amemchaguwa huyohuyo mwizi aende akasimamie vzr Taasisi. Haya acha tupumue ifike siku tufe tuwaachie wenyewe nchi yao waendelee kuiba, tutakutana tu inshaa allah
@emmanuel1479
@emmanuel1479 2 күн бұрын
Yani huyu hamna kitu kwakweli, anasema aliemuondoa alikuwa anawabana hadi wao lakini anaempeleka ndiyo huyo anam'adress kama mwizi😅
@user-ub3xh7ug6c
@user-ub3xh7ug6c 2 күн бұрын
Sahii.. unampa pang fis akawaongoz mbuz
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 2 күн бұрын
Umeona ee
@user-qy4vk2qp9t
@user-qy4vk2qp9t 2 күн бұрын
Zanzibar alikua zrb hakuna maendeleo kila sehem kubov leo analetwa tz bara aisee Tanzania yangu jamn 😢
@zahiribrahim8319
@zahiribrahim8319 Күн бұрын
Ahsante mama samia 🎉😊
@iddrashid7054
@iddrashid7054 2 күн бұрын
TRA watumie mfumo wa Amazon kila mfanyabiashara asajili godown zake na wawe connected kwenye mfumo wa CCTV kila kinachoingia na kutoka kijazwe kwenye fomu online na maduka yote yawe na CCTV connected to TRA kwa ajili ya kusimamia mauzo ya kila siku na utoaji wa risiti. Waanze majaribio hapo kariakoo
@odilomsuha7896
@odilomsuha7896 3 күн бұрын
Ahsante sana mama kusanyaaaa tupige hatua
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 2 күн бұрын
Aondoe mishahara ya wenza wa viongozi wakuu wa nchi tubane matumizi. Akikusanya wakati anatumia hovyo ni kazi bure. Wabunge mishahara mikubwa hawalipi kodi ushenzi mtupu.
@hajisadiki4230
@hajisadiki4230 3 күн бұрын
Mama hatuelewi maisha magumu wapigaji wamezidi
@user-il5pk2dr5n
@user-il5pk2dr5n 2 күн бұрын
Uadilifu bila imani haupatikani, ni adithi tu..
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 2 күн бұрын
Hawa wanaotia mifukoni badili katiba tuwapeleke mahani tuziwanyanganye hii tengua tengua haisaidii mana alieziiba mbona hawarudishi?
@IsackMungo
@IsackMungo 2 күн бұрын
Kwa Nini tukope?????
@IsackNgwiza
@IsackNgwiza Күн бұрын
😅😅
@richardsule4454
@richardsule4454 2 күн бұрын
Speech nzuri na yenye ukweli,,,ila jitaidi kupambana na wala rushwa ndo wanaokuchafulia jina
@chiditz122
@chiditz122 3 күн бұрын
Iyo Hatai
@SimonNnko-wr6sc
@SimonNnko-wr6sc 2 күн бұрын
Hakuna kitu Mambo niyale yale
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 2 күн бұрын
Kodi zote zilipwe bandarini wakati wa kutoa mzigo mpige hesabu zenu zote msitusumbue mitaani
@Kisase
@Kisase 2 күн бұрын
Yani mama kwahili moyo wangu kwatu ungekua na kabinti ambako bado kapo nyumbani tu hakana pakwenda ningeleta posa chapu
@agustinoezekiel
@agustinoezekiel Күн бұрын
Kumbe unajua kuwa wanaiba hafu unawarembea tena.ama kweli mama ni mama tu.hata awe mkali vp, lakini mama ni mama Tu.
@user-do2id6pp4g
@user-do2id6pp4g 2 күн бұрын
Yaani mama naomba utumbue wazir wa fedha
@evansmoshi1923
@evansmoshi1923 3 күн бұрын
Tumbo wote kabisa mama
@suleimanbalemba3348
@suleimanbalemba3348 14 сағат бұрын
Mbadilishe na waziri wa fedha
@afropanorama4730
@afropanorama4730 2 күн бұрын
apo TRA hakuna fundi,wote ni walewale
@gharibsomali4595
@gharibsomali4595 2 күн бұрын
Subiri lawama kwa wahusika yussuf eeeee ungemueka john hapo pia kwa ujinga wa tz utatiwa uzanzibari
@goodluckkombe994
@goodluckkombe994 2 күн бұрын
Mwanaume anapangiwa kazi....
@MasanjaNyanda-p1p
@MasanjaNyanda-p1p 2 күн бұрын
Siasa ni hovyo kweli huyu nae leo eti kajua kukopa ni aibu wakati nchi ameingiza kwenye umasikini kwa sababu ya kukopa asante umemtoa aliyekuwa anakusanya kodi na kuleta watakao endana na wewe duh aibu sn
@silverman6930
@silverman6930 2 күн бұрын
And that’s your president
@menupk_app
@menupk_app 3 күн бұрын
Kamchukua karibu, alaa safi mama
@mgallahson3650
@mgallahson3650 2 күн бұрын
Hongera Mh Rais
@BarakaJuma-sk4xx
@BarakaJuma-sk4xx 2 күн бұрын
Punguzen piya matumiz ya serikari mnatugharim sana
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 2 күн бұрын
My president I like ur presentation but rushwa siyo ya kubembeleza watu,,inatakiwa ikemewe kabisa na Kila mtanzania
@leganmichael6148
@leganmichael6148 Күн бұрын
Ndugai alisema hili hili akala rungu
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 3 күн бұрын
Yusuf Mungu alibariki
@ismailsalumu1112
@ismailsalumu1112 2 күн бұрын
Kwakweli TRA hawakusanyi mapato ipasavyo
@liannsambu7264
@liannsambu7264 2 күн бұрын
Kodi ni nyingi na HATUONI faidaaaa ,Kodi zinazidi za zakayo TAIFA lako kama utumwani , Pls TRA jamaniiiiii hapanaa
@user-dr2lk7im7r
@user-dr2lk7im7r 10 сағат бұрын
Kweli watanzania wanapenda kubembelezwa. Kama Magufuli angeweza kuchungulia tz ya sasa angekubaliana na kauli yake.
@emanuelpeter2489
@emanuelpeter2489 2 күн бұрын
Hayo ndio tunataka kusikia tumia amri usisikie ya mtu
@ismailsalumu1112
@ismailsalumu1112 2 күн бұрын
Mama ndani ya TRA wenyewe kuna majizi EFD hazitumuki kweli kabisa wafanyabiashara hawataki kutoa risiti na wenyewe wapo ofisini
@danielmwanguku2898
@danielmwanguku2898 3 күн бұрын
Mama Samia❤
@pauloegbert515
@pauloegbert515 2 күн бұрын
Hapo mama nimekukubali
@AwardHakimu
@AwardHakimu 3 күн бұрын
Kila wakati nchi inahubiri wizi mimi nazani sheria inatakiwa kubadilishwa anae hujumu uchumi adhabu inatakiwa kuwa kama china maana huwezi ukawa kila siku unawaambia watu jambo moja kuna watu wengine tungepewa nyafasi za mamlaka wangenyooka uwezi kulikabili changamoto kwa namna ile ile kila siku wakuu wenye mamlaka wanalalamika tu.
@thabitdaudi9815
@thabitdaudi9815 3 күн бұрын
Ni ujinga alafu nchi imejaa wataalam wengi wenye maadili hakuna authority inayosimamia maadili kwenye kila public office ila pesa za kuiba wanazo hajui human behaviour huwez kui regulate with empty words. Ndy maana tumesema nchi haifai kuongozwa na mwanamke anakanya mwizi wa mabilion kama anamkanya mwanae aache kuchezea matope😅😅😅 as if that will work
@omaryjudasymwanga7172
@omaryjudasymwanga7172 3 күн бұрын
Tatizo Tanzania wenye akili wanaachwa wanaajiriwa walio duni kielimu ili waweze kuwaswaga haiwezekani hatakama ni boss kuswaga mtu mwenye shule
@omaryjudasymwanga7172
@omaryjudasymwanga7172 3 күн бұрын
Kwanza kama una elimu huwezi kua chawa maana unajielewa mfano yule waziri wa nishati broo Dotto sijawahi sikia wala kuona akiwa na mambo yakiwaki yupo mzigoni na ana maamuzi na kazi maana shule ipo kichwani wengine nikama wanaona wamepewa favour na nikweli maana shule jumlisha kazi wanauofanya ni mbingu na ardhi ndio maana ili abaki azoee lazima asifie rais hajui kwamba mwenzake anatekeleza yakwake yeye ndio kizibo kazi haziendi kazi kumlewesha raisi na sifa ili abakizwe
@AwardHakimu
@AwardHakimu 3 күн бұрын
@@omaryjudasymwanga7172 shule IPO na akili zipo, Kuna watu wana elimu Hila hawana akili kabisa ndio tuko nao wengi sana
@AwardHakimu
@AwardHakimu 3 күн бұрын
@@thabitdaudi9815 shida sio kiongozi kuwa mwanamke shida IPO kwenye matumizi ya madaraka na mifumo ya sheria
@SanziNzige
@SanziNzige 2 күн бұрын
Wewe toa mwigulu nchemba mama unahangaiika na wengine bila huyo huyo ndigo hasala kwa taifa mwigulu
@user-wf8eb6nm4s
@user-wf8eb6nm4s 2 күн бұрын
Tupo pamoja una nia nzuri na nchi yetu tukishirikiana tunapendana tukaepuka kufitinishwa tutafika pazuri
@user-ru6ct4rh3t
@user-ru6ct4rh3t 3 күн бұрын
Waaooo! Mama nakupa maua mama🎉🎉🎉
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 2 күн бұрын
Anaongelea kodi zake. Kwani nchi hii ya Samia au ya Watanzania? Kweli madaraka hulevya haswa na haswa madaraka hulevya haswa!
@WigesaNyerere
@WigesaNyerere 2 күн бұрын
Ahaaaaa kumbe n mwizi mzoefu anagizwa kuwazuia wezi,hahaha ha mganga hajigangi walisema wahenga
@navioma4882
@navioma4882 2 күн бұрын
Asant mama❤❤❤❤
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
Nutella bro sis family Challenge 😋
00:31
Mr. Clabik
Рет қаралды 11 МЛН
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 48 МЛН
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 115 МЛН
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15