No video

KIJANA ALIYELAWITIWA NA WATU 60 ZANZIBAR ATOA USHUHUDA (Episode 02)

  Рет қаралды 80,570

AL FATAH TV ONLINE

AL FATAH TV ONLINE

Жыл бұрын

Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
#AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
#ZANZIBAR​​

Пікірлер: 233
@Jamila-cz5ge
@Jamila-cz5ge Жыл бұрын
Alla atakuongoza madhali umeshutuka ALLA atakusaidia. Asante sana mm amini kazi kubwa unayoifanya. Allah akuongezee imani na afya
@abkhamsalshamte429
@abkhamsalshamte429 Жыл бұрын
yani nyinyi ccm mungu anawaona na mungu ata kuadhibuni duniani na akhera na rais wetu usilinyamazie kimy kisa na ww ni ccm. mungu anakuona dr.
@richardnott4403
@richardnott4403 Жыл бұрын
Mama mungu akutangulie kwa hili kuokoa vijana wa taifa la kesho hakika atakupa nguvu zaidi unafanya jambo la maana sana na utu
@suleimanbadru819
@suleimanbadru819 Жыл бұрын
Kama halbadiri ipo na msomaji yupo naisomwe wapukutike wote wanaoharibu watoto wetu
@mwatumsaidi5104
@mwatumsaidi5104 Жыл бұрын
SubhanaAllah huu ni mtihani mkubwa uliyoikumba zanzibar lazima turudishe dini yetu ya kiislam zanzibar
@Awatee
@Awatee Жыл бұрын
Dini ndio mfumo mzima wa maisha ya mwanadam
@nailamohd7693
@nailamohd7693 Жыл бұрын
Naam lazima viongozi warudishwe mfumo mzima wa dini na maadil bila ya viongozi kazi bure wao ndio kichwa lkn tukisema tuu koo zitagoma kutoa sauti mahoteli mengi na hayafati maadil kwasababu viongozi hawajafanya mfumo mzur wa maadil narejea tena kila sekta lazima uwekwe mfumo mzima wa dini na maadil ninani wa kutoa amr hio ni viongozi na lazima ufatwe bila ya hivo tutapata tabu sana.
@hawamohammed9740
@hawamohammed9740 Жыл бұрын
Zanzibar dini ipo Ila Imani ndio imepotea kwa Sasa maana kama Imani ipo basi wasingejaribu kuharibu watoto wa wenzao kwa makusudi bila ya kujali kua mzee wa huyo kijana au vijana wataumiaje chukulia wewe unaemfanyia mtoto wa mwenzako kama hivo jee akifanyiwa wako utajihisije Lkn wakumbuke kama tadinu tudani
@omanlovemirbat7572
@omanlovemirbat7572 Жыл бұрын
jamani kabisa mtihani
@omanlovemirbat7572
@omanlovemirbat7572 Жыл бұрын
pole sana Kaka yangu
@hadhaminfadhwil-rab287
@hadhaminfadhwil-rab287 Жыл бұрын
Yaa Rab tuondolee madhwalim znz 😭😭😭 unyama gani huu jmn, Yaa Rab tusaidie wazanzibar, tuhifadhie watoto wetu minkuli-hal yaa Rab, Subhanallah Subhanallah Subhanallah
@aminaalabri4170
@aminaalabri4170 Жыл бұрын
Dah imeniuma wallah jmn 😭😭😭 bi amina mungu akueke
@hawamohammed9740
@hawamohammed9740 Жыл бұрын
😭😭😭😭 Allah akbar Allah akbar Yaa Rabbi wasimamie vijana wetu wakinge na janga hili waonfoshee Yaa Rabbi jaman viongozi wa serikali hii muko wapi wtt wakiume munawaharibu sana kwa kuwaruburubuni kwa vijesenti Hussein liangalie kwa jicho la huruma hili
@rahmahty7026
@rahmahty7026 Жыл бұрын
Ni masikitiko makubwa. Allah ndie atakaye watosha in shaa Allah
@mwatimaabdallahaji2452
@mwatimaabdallahaji2452 Жыл бұрын
Wallah tunapoenda wala sio mbali kila mtu atahukumiwa na lake wallah ALLAH atawahukumu kuanzia hpa hpa dunian insha ALLAH tunawaamn kumbe chui wanafiki munavaa ngoz ya kondoo
@user-mq6lu2po3y
@user-mq6lu2po3y Жыл бұрын
Mama Amina Mungu ampe umri mrefu in Sha Allah
@yasminjuma9146
@yasminjuma9146 Жыл бұрын
Amin
@amirybeka9602
@amirybeka9602 Жыл бұрын
Dahhh mthn, unasisimkaa wallah. Allah atuogoze na vizazi vyetu. 😭😭😭
@zakiahaji17
@zakiahaji17 Жыл бұрын
Wallah inasisimuwaaa nimeliaaa watu makatiliiii humu Allah tulindeee vizazi vyetu na wenzentuuu zanzibarr hakurudikiiii kwa ukatiliii huuuuuuuuu
@dottohami
@dottohami Жыл бұрын
Subhanallah huu ni mtihani mkubwa sana Alhamdulillah mungu kamjalia katoka kwenye hiyo kazi
@babuantar8215
@babuantar8215 Жыл бұрын
Inauma sana dah!...Allah ndio mlipaji ...watu wanatumia uwezo..madaraka kuwaharibu vijana ..mtihani ..inauma sana sana..
@jojomohamed3418
@jojomohamed3418 5 ай бұрын
Subhanallah mtihani wallhi inasikitisha sanaaa🥹😭😭
@sarahsalumu7792
@sarahsalumu7792 Жыл бұрын
Pole sana kaka VP afya yako iko salama maana duu!
@ruwaidaal-ismaily9099
@ruwaidaal-ismaily9099 Жыл бұрын
Raisi Wetu ulione hili Zanzibar yetu imearibika Sana tunakuomba Waongozi Wakubwa katika chama ndy wanaharibu Zanzibar.
@Muslim-gs6rn
@Muslim-gs6rn Жыл бұрын
Kabisa nawapo wengi kweli tunaishi nao tu
@Muslim-gs6rn
@Muslim-gs6rn Жыл бұрын
Tusubir kuangamizwa aliekuwwpo na asiekuwepo
@lovepipy4811
@lovepipy4811 Жыл бұрын
Ruwaida
@ruwaidaal-ismaily9099
@ruwaidaal-ismaily9099 Жыл бұрын
@@lovepipy4811 Naam
@ruwaidaal-ismaily9099
@ruwaidaal-ismaily9099 Жыл бұрын
@@bashir3515 وَعَلَيْكُم السَّلَام
@twentyacresfarms3464
@twentyacresfarms3464 Жыл бұрын
Hizi nafasi kwenye taasisi zimeharibu watu wengi Sana jamani haswa vijana wadogo na hii ni kwakuwa Kuna umasikini na tamaa za maisha mazuri Allah tunusuru sote
@kombohamad5615
@kombohamad5615 Жыл бұрын
Wallah huu nimtihani na laana kubwa bila kuamuwa kwa vitendo basi hatujuwi Allah adhabu gani atatupa
@machetebogota4218
@machetebogota4218 Жыл бұрын
Sema Zanzibar imekuwa ovyo sana c sehemu salama kabisa yote ni huu tunaoita utalii usio na faida wanakuja wazungu kuleta tamaduni zao mungu awaangamize wote wanaofanya Aya mambo
@husnaally7964
@husnaally7964 Жыл бұрын
AMIIN AMIIN kwa kwel mtihan mkubwa
@nicedavid8536
@nicedavid8536 Жыл бұрын
Hayo mambo ya warabu hata msisingizie utalii, mbona Arusha watalii kibao
@petromachanga5538
@petromachanga5538 Жыл бұрын
@@nicedavid8536 hahaha
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 Жыл бұрын
@@nicedavid8536 wanalaana wao wenyewe hao
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 Жыл бұрын
Sio kweli hakuna mzungu anaye fundisha mtu kufika utaliu haupo Zanzibar pekee usikimbie tatizo Tanzania Kuna Serengeti,chuga,Moro kote wanakuja wazungu mbona ushoga haupo Kama huko kwenu,dar,pwani,Zanzibar,Mombasa ndio maeneo ushoga umekisiri na kote ipo jamiiyenu
@josephmnzavas9747
@josephmnzavas9747 Жыл бұрын
Kwa nini asiwataje wafiraji wote waliomlala?tukiwajua na wao tuwaweke hadharani kwamba hao tunaoamini ni viongozi wetu kumbe wanaongoza na gizani pia,tuwajue na wao wajue sasa wanajulikana na wake zao wajue na watoto pia wajue kuwa baba yangu ni basha.itakua poa sana
@amoursalum8266
@amoursalum8266 Жыл бұрын
Mtihani mzito.. sana Allah atustiri sisi na vizazi vyetu..
@hajiharoub8125
@hajiharoub8125 Жыл бұрын
Dah sio poa kwakwel mtihani, Allah atuhifadh na haya majanga ya ubarazul
@nadiahassan7993
@nadiahassan7993 Жыл бұрын
Yule basha wa kenya raia wa uiengereza anayekuja zanzibar kuwalawiti vijana aitwa Dr.Amkeni. hivi yuko jela la shimo la tewa
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 Жыл бұрын
Hasbiya Allah wani'mal wakiil Mwenye Enzi Mungu awa shinde yaarab kwa uwezo wake Allah SWT
@Salhiya-hr7dy
@Salhiya-hr7dy Жыл бұрын
Loooooh subhanaallah Allah atustir na vizaz vyet Allah atustir na vizaz vya wenzet Allah atujaalie vizazi vyeny kuelewa ya Ya Allah tusaidie na nchi yet Ya Rahman 🥺🥺🥺🥺🥺🥺😥😥😥😥😥
@husseiniddimndeme7391
@husseiniddimndeme7391 Жыл бұрын
Laahaula walaaquwwata illaa billah
@feisalmwinyi2429
@feisalmwinyi2429 Жыл бұрын
Subukhanallah yaaaaarab tuongoe sie wajaa wk sie yaarab.. rohoo inaumaa 😭😭😭😭😭
@mohammadhassan-hu9jt
@mohammadhassan-hu9jt Жыл бұрын
Lailaha ila waallah kwann Allah tustiri pole Allah atakuongoza amiin
@nailaomar4810
@nailaomar4810 Жыл бұрын
Subhanaallah Allah akuhidi inshaallah yaarab na azidi kukupa moyo huohuo inshaallah kesho uwe baba na wtt wako Allah akuhifadhi
@magejuliani5293
@magejuliani5293 Жыл бұрын
Uuuuwiii! Mungu tusaidie na Watoto wetu! Ila wanao wafanyia watoto wa wenzao hukumu inawasubiri kwa Mungu! Inabidi viongozi wa dini na wazazi tuwe karibu sana na watoto! Mafunzo ya shule na dini yawe ya kina
@sabrinasabrina8395
@sabrinasabrina8395 Жыл бұрын
innahlillah wainnah illah rajioun Allah atupe stara dunian na kesho akheera
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi wewe na vizazi vyetu vyote. Lakini kwenye makundi ya hao ya shangwe hasa kwenye vyama vijana wengi wanaharibika wakike na wa kiume. Hii ndio maana wakisha jishirikisha humo, wanavuta bangi, wanalewa, wanalawitiana, wasagana na wanafanya mengi yasiyo faaa. Mzigo huu unarudi kwa viongozi. Kesho kuna masuala ya kujibu mbele ya Allah.
@hamidmweusiii35
@hamidmweusiii35 Жыл бұрын
Heeeee Hatar wallah vijana tuache tamaa za kisenge senge turidhike na maisha
@stonetown578
@stonetown578 Жыл бұрын
Pole sana Allah atakufanyia wepesi, Insha'Allah Mwenyezi Mungu atakulipia.
@Sunnah1212
@Sunnah1212 Жыл бұрын
Haya mambo hayatokei bahati mbaya ni yakupangwa kabisa haya na yanalelewa na viongozi wakubwa sana ndio maana hayawezi kuisha
@fatmarashid8163
@fatmarashid8163 Жыл бұрын
SubhanAllah mungu atulindie vizazi vyetu
@user-fh3np5yk9g
@user-fh3np5yk9g 2 ай бұрын
Daah duh Allah atunusuru na watoto wetu wakiume
@zainabissa7851
@zainabissa7851 Жыл бұрын
Asalam alaykum Rashid mwambie bi Amina tusomeni dua
@cadabra7402
@cadabra7402 Жыл бұрын
Subhanallah oooh Allah tunaelekea wapi sisi? 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@user-oo1vz3zi1t
@user-oo1vz3zi1t 4 ай бұрын
Kwamuonekano niwatu waImani nzur tu ila nikama laana furani Allah tuongoze kwaMazur
@seifhamed2605
@seifhamed2605 Жыл бұрын
Allah akuvushe hili na jengine mwanangu
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭tz imajin ni viongozi na wana wake zao, ila mahakama ya hakki ni kwa الله 2 . Inasikitisha kwakweli😭😭😭😭😭. Jamani ajitokeze kiongozi mmoja mwaadilifu hawa mahasibiya لله waniimal wakiil wakamatwe na wapandshwe kizimbani. Vizazi vinateketea, enyi wenye madaraka. Madaraka ni dhima.
@ThaniaNassoro-yo3hb
@ThaniaNassoro-yo3hb Жыл бұрын
Viongozi wanajua kila kituu wallh Allah atunusuru
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 Жыл бұрын
Huu ushetani inatakiwa wananchi "tutumie nguvu ikibidi hata kuwaua wote hawa washenzi" kabla taifa halijapotea
@masoudamohamed-4959
@masoudamohamed-4959 Жыл бұрын
Pole san Allah atakulipiy kwayt n Allah atakusameh makosa yko inish Allah
@surusuru1994
@surusuru1994 Жыл бұрын
Jmn, 😳😢😢😢😢😢zanzibar mung ana waona jamn kutoka kondoa 🇹🇿
@fatemazanzibar877
@fatemazanzibar877 Жыл бұрын
Mtihani Zanzibar wanaongoza kwa mchezo uwo toka zamani ila mm naumia sana nikiona mwanaume kafanyiwa Ivo naumia
@kadogoomushadi5409
@kadogoomushadi5409 Жыл бұрын
Mama mungu akulipe peponi iwe makazi yako wallah mwenyezi mungu awalaani wotee wanao wafundisha mabaya namachafu wachache ndio wanaichafua znz hizo nguvu wanazo tumiya kuharibu watu zitawagalim mbeleza mungu
@rahimasaid6721
@rahimasaid6721 Жыл бұрын
إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ
@mamuumamuu1623
@mamuumamuu1623 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭Jaman nimelia nilivo msikia huyu kijana
@rahmasalum1317
@rahmasalum1317 Жыл бұрын
Na lipigwe marufuku ya nguvu ushoga serikali liipe mkazo sihivo nibalaa tupu Allah atuhifadhi na atuongoze njia nzr amin
@issarashid7707
@issarashid7707 Жыл бұрын
Allah akulinde na Akuhifadh na Akuweke ktk Twaa yke
@faza4023
@faza4023 Жыл бұрын
Pole Sana Mama na kijana. Karibu kwa Yesu anaokoa
@omytifa6403
@omytifa6403 Жыл бұрын
Pole ALLAH akuhifadhi
@aliyissa9857
@aliyissa9857 3 ай бұрын
Pole sana. Allah akuhidi
@alitunu3086
@alitunu3086 Жыл бұрын
Duh pole Sana allah akutie nguvu
@zulfaissa7814
@zulfaissa7814 Жыл бұрын
Mwenyezi mungu akuzidishie umri mlefu
@amirybeka9602
@amirybeka9602 Жыл бұрын
Dahhh jmniii, Allah awalaaani viogz washenzi,,😭
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 Жыл бұрын
Lahaula walaakuwat ilabilah😭😭😭😭😭😭
@oscarezekiel1826
@oscarezekiel1826 Жыл бұрын
Kwakweli hawa viongozi wa CCM ni laana tupu,hawa ndio chanza cha mattizo yote yanayowasibu vijanana kama hawa,yaani huwezi kushika nafasi ta uongozi kama tupu yako ta nyuma hujaisabilia kwa safu viongozi wao wajuu.
@suleimanrajabhaji3653
@suleimanrajabhaji3653 Жыл бұрын
Hilaki kubwa inayoiandama jamii yetu. Masikini Zansibar. Wanangojea lengine mpaka Mwenyezi Mungu awafikie na malaika wake ikiwa ni mchana kweupe ama usiku wamelala? Wawache wachukulie mzaha adhabu za kudhalilisha ziliwashukia walokua nyuma na inatosha kua ni onyo kali kutoka kwa Muumba. Mwenyezi Mungu tunakuomba utuongoze ktk njia ilonyooka
@teedullah5708
@teedullah5708 Жыл бұрын
Pole Sana munqu akuifadhi
@eliasjanuary5941
@eliasjanuary5941 10 ай бұрын
Aiseeeeee inauma Sana Sana Sana Sana Sana Sana Sana Sana nimejikuta nalia
@rahmahty7026
@rahmahty7026 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi.
@madamaisha1641
@madamaisha1641 Жыл бұрын
Mtihani kweli duh zanziber imefikia hatua hii.
@bintsalimalbimany287
@bintsalimalbimany287 Жыл бұрын
Innalillah wainnailaih rajiun 😱😭😭😭😭😭Hasbunallah waniimalwakil
@ibrahimmakame5304
@ibrahimmakame5304 Жыл бұрын
Hii ni hadithi ya kutishaa sana
@shakhbut9525
@shakhbut9525 Жыл бұрын
Allah atuhifadhi sisi na familia zenu na vizazi vyetu kwa kweli mtihani wallah
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Жыл бұрын
Amiin
@rajabjuma277
@rajabjuma277 Жыл бұрын
Inauma sana pole sana
@fatmamansour676
@fatmamansour676 Жыл бұрын
Kweli mambo ya chama wengi wameharibika kuna mmoja mungu saehe na amefariki alikuwa hivhivo baradhuli
@zainabissa7851
@zainabissa7851 Жыл бұрын
Rabbi tuhifadhie Watt wetu
@omytifa6403
@omytifa6403 Жыл бұрын
Ameen
@kijakazinyalinga7003
@kijakazinyalinga7003 Жыл бұрын
Ta maa nayo sio nzuri jamni
@sharaful-anaam138
@sharaful-anaam138 Жыл бұрын
Allah azidi kukuongoa ndugu yetu
@yayeissa4128
@yayeissa4128 Жыл бұрын
Allah atustiri, mtihani umetukabili.
@yuzasivyussuph6087
@yuzasivyussuph6087 Жыл бұрын
So sad,Allah atakuhifadhi
@aminaalabri4170
@aminaalabri4170 Жыл бұрын
Subhna allah rais wetu tunakuomba ulisikie hili sis tunaobeba mimba ndo tunaangamia
@shamsumajura5849
@shamsumajura5849 Жыл бұрын
Hii ifike kwa rais
@muhammadalibhaz1390
@muhammadalibhaz1390 Жыл бұрын
huyu muathirika afadhali ahamiye nje ya nchi akibaki znz watamdhuru +namwomba rais mwinyi ateu kamati ya uchunguzi na katika hiyo kamati wajumbe wawe kutoka taasisi ya watu binafsi
@barutiabuu9492
@barutiabuu9492 Жыл бұрын
Wananchi tuamkeni wenyewe tupamambe kila mwenye familia yake anae jua huyu nishoga katika familia yake au anaejua huyu nimfilaji wote nikuuwa kuuwa kupo sehem nyingi najua ukiuwa hiv hiv selikali kwakua inapenda hay mambo utapewa kes za ajabu tuteuwe watu wasio julikana wawafatilie na wawaue
@seifhamed2605
@seifhamed2605 Жыл бұрын
Mtangazaji usimwambie kuungia kwenye ubaradhuli mwambie umeingia kwenye mtihani huu
@rahmamosa2320
@rahmamosa2320 Жыл бұрын
😢😢😢 imeniuma sana
@carlitacelestino5548
@carlitacelestino5548 Жыл бұрын
Triste realidade o que acontecer esse mundo é muito triste, nossos maridos estão acabar triste 😭
@ashrafbunu2371
@ashrafbunu2371 Жыл бұрын
Very sad story to our ummah
@winfordmwangonda5375
@winfordmwangonda5375 Жыл бұрын
Kwa hivyo viongozi ndio mabahasha wakubwa ,halafu tunatarajia ndio wapaze sauti kukemea ushetani huu
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 Жыл бұрын
Mama mungu akupe subra
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 Жыл бұрын
Hicho kisiwa ipo siku kitazamishwa na bahari
@agentmsami5303
@agentmsami5303 Жыл бұрын
Yaa rabb tuepushe na vizazi vyetu yaa rabb
@user-mr5yf1hp7t
@user-mr5yf1hp7t 3 ай бұрын
Subhana llah yarabi
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 3 ай бұрын
Kwanini wasikamatwe huyo aliyomuazisha na mpaka kupemleka kwa wote hao wakubwa ndomaa kesi ukizishitaki kumbe wao ndo wanaotaka wakubwa
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 3 ай бұрын
Na huyo viongozi wakamatwe wote ndomaana kesi hizi hazisikilizwi kwa sababu wanaofanya ni viongozi ndo wenyewe shughuli hizi
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 3 ай бұрын
Rais usifungie macho wakubwa ndo wanaoharibu watoto wakamatwe wote na wafungwe kifungo cha maisha au wakubwa watazid ndo vijana wanaharibika wakubwa ndo mnawaharibu watoto wa wezenu
@aineskikoti9420
@aineskikoti9420 Жыл бұрын
C ndo dini iko huko jmn eb Zanzibar mjitafakari vzr manake co pouwaaaaa
@allythabiti8150
@allythabiti8150 Жыл бұрын
Hao watu wote fiinaar jahanam, Na namuomba Allah Kwa wote wenye tabia kama hizo za kuharibu vijana wa watu walaaniwe
@Ukhtyzuhura
@Ukhtyzuhura Жыл бұрын
Inna Lilahi Wa Inna ilayhi rajiuun
@zulficarbacarsuale6877
@zulficarbacarsuale6877 Жыл бұрын
Da verdade e muito triste e um assunto que nao podia acontecer.
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
Na waache aya mambo yakutegemea watu wasiokuwa Imani na hofu Allah
@sabriyasuluh3002
@sabriyasuluh3002 Жыл бұрын
Subhana Allah
@user-ev8qe1uf2f
@user-ev8qe1uf2f 10 ай бұрын
We kijana Kwa Tamaaa ya kupata cheo ndio uuze utu wako uwe kama mwanmke Wal hukulazimishwa ulifany kw hiari yko , daaah we kijana sikumalizii maneno ila umefeli sana Yan umeboa sabb ulifany kw hiari hujabakwa
@saidyusuph2907
@saidyusuph2907 Жыл бұрын
Hakika Ghadhabu za Allah hatutozikwepa..inalilah waina ilayh rajuun
KIJANA ALIYELAWITIWA NA WATU 60 ZANZIBAR ATOA USHUHUDA (Episode 03)
16:28
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 28 М.
BOMOA BOMOA  YAZUA VURUGU ZANZIBAR
8:03
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 40 М.
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 8 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 64 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 195 МЛН
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 9 МЛН
WANAUME LALENI NA KANGA WANAWAKE TUSIANDAMANE
25:24
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 14 М.
MWANAMKE MAKINI HUMDAKA MWANAUME HIVI
19:55
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 12 М.
SHK.OTHMAN ASIMULIA ALIVYOTUKANWA NA KIJANA BARABARANI MATUSI MAKUBWAMAKUBWA
11:39
HII NDIO HISTORIA YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
7:12
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 23 М.
USITEGEMEE KUPATA MAPENZI KWA MWANAMKE BILA KUYATENGENEZA
22:47
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 6 М.
NDOA NI YA WATU WAWILI: KIPINDI HUBBUL HALAL
18:31
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 17 М.
HUU NDIO MWAROBAINI WA KUMKAMATA MUME
21:18
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 6 М.
MWANDISHI MKONGWE ZANZIBAR AIBUA YALIYOSAHAULIKA (SEMA NASI)
43:13
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 4,7 М.
UNAMPENDAJE MUMEO BILA KUMPENDA MZAA CHEMA?
31:38
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 8 М.
JE, UBARADHULI UNAFADHILIWA NA NANI ZANZIBAR?
16:37
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 22 М.
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 8 МЛН