Kijiti Kina Waka Moto || Mbagala SDA Choir || Official Video

  Рет қаралды 125,923

Mbagala SDA Choir

Mbagala SDA Choir

2 жыл бұрын

Exodus 3:2-4 SUV
And an angel of the LORD appeared to him, in the flame of fire that came out from the midst of the stick; He looked, and he looked! The stick was on fire, and the stick did not burn. And Moses said, "I will turn now, to see this great vision, and because this stick does not fail." When the LORD saw that he had turned away to look, God called him out of the midst of the stick, and said, "Musa! Moses! He said, "I am here."
Kutoka 3:2-4
Malaika wa BWANA akamtokea, katika mwali wa moto uliotoka katikati ya kijiti; akatazama, na kumbe! Kile kijiti kiliwaka moto, nacho kijiti hakikuteketea. Musa akasema, Nitageuka sasa, niyaone maono haya makubwa, na sababu kijiti hiki hakiteketei. BWANA alipoona ya kuwa amegeuka ili atazame, Mungu akamwita kutoka katikati ya kile kijiti, akasema, Musa! Musa! Akasema, Mimi hapa.

Пікірлер: 60
@azaliakinza90
@azaliakinza90 7 ай бұрын
Namshukuru MUNGU kwaya yangu imekua miongoni mwa kwaya zenye wimbo Bora wa Mwaka ❤❤❤❤❤
@guliyinyabungi332
@guliyinyabungi332 8 ай бұрын
Mmbarimiwe sana watu wa MUNGU, praise the Lord
@user-wv6dj4hu8j
@user-wv6dj4hu8j 9 ай бұрын
Hakuna rafiki mwema zaidi ya Yesu Kristu
@LeilaMponji
@LeilaMponji Ай бұрын
Mungu awabariki saana Kwa ujumbe mzuri
@julliusayall3439
@julliusayall3439 10 ай бұрын
Mbarikiwe sana emanuel ayall mtunzi ubarikiwe sana
@stanleymhozi7590
@stanleymhozi7590 10 ай бұрын
Amina
@AnestaMwita
@AnestaMwita 10 күн бұрын
Nyimbo tamu ya kisabato
@eunicikeha7415
@eunicikeha7415 10 ай бұрын
Aminaaaa
@margretogise7486
@margretogise7486 8 ай бұрын
Waah.kuaya.mbalaga.🎉😅❤Margaret from Kenya.mpalkiwe.daimawimbo.mtamu
@priscillandekere8846
@priscillandekere8846 5 ай бұрын
Amen
@amanwilliam35
@amanwilliam35 Жыл бұрын
Good good good tuko pamoja mbagala sda church
@allenmdee-ck4ec
@allenmdee-ck4ec 11 ай бұрын
Mungu awabari
@user-nl9tn1zw5l
@user-nl9tn1zw5l 7 ай бұрын
🔥🔥🔥
@rehemaezekiey4991
@rehemaezekiey4991 Жыл бұрын
Amina mubalikiwa sana wtu wa mungu
@stellamosota26
@stellamosota26 Жыл бұрын
Amen Amen nimebarikiwa sana God bless you
@emmanuelayall5029
@emmanuelayall5029 Жыл бұрын
Ameen
@esthermumbi9209
@esthermumbi9209 Жыл бұрын
Very nice song setani lazima awaruhusu mateka aliowateka tukiwaendea kwa jina la yesu
@Tolbertbarusi
@Tolbertbarusi Жыл бұрын
Hahaha barikiweni sana. Hasa hapo @3.45
@mwarabujohn1064
@mwarabujohn1064 Жыл бұрын
Kwaya nzuri jamani Mungu awabariki sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@venancemeshack3709
@venancemeshack3709 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana, wimbo mzuri na niikua nikiulizwa sana na watu kuhusu wimbo huu na nilikua nakosa cha kuwajibu.
@janephjosiah5455
@janephjosiah5455 Жыл бұрын
Asante mpendwa kwa kuwa karibu nasi ubarikiwe
@emmanuelayall5029
@emmanuelayall5029 Жыл бұрын
Barikiwa sana.
@reubenmanoko3383
@reubenmanoko3383 Жыл бұрын
Kazi njema na nzuri sana MBARIKIWE
@emmanuelayall5029
@emmanuelayall5029 Жыл бұрын
Amina; ubarikiwe sana mdau wetu.
@omodesigner
@omodesigner Жыл бұрын
Naam kabisaa
@happinessjohn1346
@happinessjohn1346 Жыл бұрын
Mungu atukuzwe 🙏
@jacksonmtulla9174
@jacksonmtulla9174 Жыл бұрын
Mbagala marimba vizuri. Mungu wabariki sana kwa ajili ya huduma hii takatifu.
@user-ni1xx7qx8x
@user-ni1xx7qx8x 8 ай бұрын
1:03 1:03
@chrisshonga
@chrisshonga Жыл бұрын
Amina na Amina! MUNGU awabariki sana kwa uimbaji mzuri na ujumbe wa kuponya! love from Furaha Choir Swahili Service-London
@melejisekeyan9492
@melejisekeyan9492 Жыл бұрын
Very nice Mbangala SDA, you really did it in upper stages. Stay blessed my favorites.
@douglasonderi1096
@douglasonderi1096 Жыл бұрын
nice songwriter God protect her
@jameschengwalis5919
@jameschengwalis5919 Жыл бұрын
Huu ndio ule mlipuko wa injili utakaobadilisha kizazi hiki kimtambue kristo. Hongera sana mbagala, pigeni tarumbeta kumekucha
@omodesigner
@omodesigner Жыл бұрын
Hongera zaidi
@omodesigner
@omodesigner Жыл бұрын
Hongera zaidi
@AidanAngero-pt8jw
@AidanAngero-pt8jw 11 ай бұрын
Nena kila mtu ajue mola
@kigenrobert5442
@kigenrobert5442 Жыл бұрын
Wimbo unao bariki na kumusifu mungu. Mubarikiwe sana.
@emmanuelayall5029
@emmanuelayall5029 Жыл бұрын
Barikwa sana na Ahsante kwa kutenga Mda wako kusikiliza ujumbe mzuri wa wimbo huu; Mungu akubariki
@jaysamatz7008
@jaysamatz7008 Жыл бұрын
Mbarikiwe jamani
@karanijay9310
@karanijay9310 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana watu wa Mungu
@joseckmayore3206
@joseckmayore3206 Жыл бұрын
Wana wa Mungu mubarikiwe kwa uimbaji huo mzuri!
@NaldaRodrigues.
@NaldaRodrigues. Жыл бұрын
Deus continue abençoando esse coral! (Bahia-Brasil).
@ayubunyaki2963
@ayubunyaki2963 Жыл бұрын
Amen
@zacharynyaraja2217
@zacharynyaraja2217 Жыл бұрын
Barikiwen sana
@sebastianmichael4031
@sebastianmichael4031 Жыл бұрын
Barikiwa sana ndugu katika kristo, endeleeni kutuletea injili.
@godwinanduru6535
@godwinanduru6535 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana Mbarikiwe
@johnokanyawafula3776
@johnokanyawafula3776 Жыл бұрын
Hakika ujumbe umenibariki Kasi nzuri
@mbarakahamis1282
@mbarakahamis1282 Жыл бұрын
Aaaamen Sana Kwaya yangu MBAGALA SDA Bwana awabariki Sana kwa Wimbo mtamu Sana usio chosha unapo usikiliza. Mungu Mkuu azidi kuwainua katika viwango vya juu zaidi.
@janephjosiah5455
@janephjosiah5455 Жыл бұрын
Amina
@emmanuelayall5029
@emmanuelayall5029 Жыл бұрын
Barikiwa sana Pr. Zidi kutuombea.
@MoudhoiSalim
@MoudhoiSalim 2 ай бұрын
Jamais kuna mama moja wa uko mbagala latinistes anaka mbele ya kijiti kwa sanga shule.ya 7 anaitwa dada roda kwareh n'a yy ni mtumishi wa mungu jmn mwenye number yake au adress yake anitumie ni mama yangu kipenzi
@janephjosiah5455
@janephjosiah5455 Жыл бұрын
Asante kwa kaz nzr msonge mbele
@johnlaurent6650
@johnlaurent6650 Жыл бұрын
Nawakumbuka mbagala mungu awalinde
@willymutai9278
@willymutai9278 Жыл бұрын
𝑌𝑎𝑝𝑒𝑛𝑑𝑒𝑧𝑎 𝑘𝑤𝑒𝑙𝑖
@samwelwilson8272
@samwelwilson8272 Жыл бұрын
Mmechelewa ku-upload tumeisubir sanaaaaaa.. Lakini Mungu awabariki sanaaa Mmeupiga mwingiiii
@emmanuelayall5029
@emmanuelayall5029 Жыл бұрын
Barikiwa mtu wa Mungu.
@amosiasheri9497
@amosiasheri9497 Жыл бұрын
Amen
@LeonardWambi-vl7zy
@LeonardWambi-vl7zy Жыл бұрын
Mbagala mmbarikiwe na mzidi kufanya uinjilisti wa nyumba kwa nyumba
@AidanAngero-pt8jw
@AidanAngero-pt8jw 11 ай бұрын
Mungu azid kuwapa nguvu neno lake lizid kuenea
@ayubunyaki2963
@ayubunyaki2963 Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@sangorosdachoir735
@sangorosdachoir735 Жыл бұрын
Amen
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 25 МЛН
Дарю Самокат Скейтеру !
00:42
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 6 МЛН
DRAMA!🔥 MARTIN WA JANET KWARIA THUTHA WA INTERVIEW YA RUTH WA MUM
8:57
E- KIKUYU NEWS Tv.
Рет қаралды 24 М.
TANGU UMJUE - KIJICHI SDA CHOIR
6:22
KIJICHI SDA CHOIR
Рет қаралды 3,6 М.
Mbiu DVD 3 Tukutane Paradiso
4:07
Kristin Onguru
Рет қаралды 3,5 МЛН
wimbo:mawakili    unabii bubombi sda choir
7:05
BUBOMBI SDA CHOIR TANZANIA
Рет қаралды 12 М.
Kiwalani - Nimetikiswa Kidogo
4:32
Kiwalani Sda Choir
Рет қаралды 44 М.
KULAHIVI KWA AFYA,YAKO By THE VOICE OF PROPHECY CHOIR KASULU Kigoma Tz.
5:20
THE VOICE OF PROPHECY
Рет қаралды 53 М.
Heka Heka Za Maisha - Iringo SDA Church Choir (Official Video)
5:53
Iringo SDA Church Choir
Рет қаралды 370 М.
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 22 МЛН