KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA MORNING GLORY (THE SCHOOL OF HEALING) 09/ 07/ 2024

  Рет қаралды 7,340

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH

Ай бұрын

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA MORNING GLORY (THE SCHOOL OF HEALING) 09/ 07/ 2024
SEMINA YA NENO LA MUNGU:
MADA:
"HOFU YA MABADILIKO"
(FEAR OF CHANGE)
SOMO LA LEO:
''UKUTA WA HOFU YA MABADILIKO''
(YESU PALE GETHSEMANE)
Marko 14 : 32 - 38
Luka 22 : 40 : 44
NENO KUU:
"UTABARIKIWA UINGIAPO, UTABARIKIWA NA UTOKAPO"
KUMBUKUMBU LA
TORATI 28 : 6
&
Yohana 12 : 24
24 Amin, amin, nawaambia, Chembe ya ngano isipoanguka katika nchi, ikafa, hukaa hali iyo hiyo peke yake; bali ikifa, hutoa mazao mengi.
MAANDIKO YA LEO:
Marko 14 : 32 - 38
32 Kisha wakaja mpaka bustani iitwayo Gethsemane; akawaambia wanafunzi wake, Ketini hapa muda niombapo.
33 Akamtwaa Petro na Yakobo na Yohana pamoja naye, akaanza kufadhaika sana na kuhangaika.
34 Akawaambia, Roho yangu ina huzuni nyingi kiasi cha kufa; kaeni hapa mkeshe.
35 Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akiomba ya kuwa, ikiwezekana, saa hiyo imwepuke.
36 Akasema, Aba, Baba, yote yawezekana kwako; uniondolee kikombe hiki; walakini, si kama nitakavyo mimi, bali utakavyo wewe.
37 Akaja akawakuta wamelala usingizi, akamwambia Petro, Je! Simoni, umelala? Hukuweza kukesha saa moja?
38 Kesheni mwombe, msije mkaingia majaribuni, roho i radhi ila mwili ni dhaifu.
Luka 22 : 40 : 44
40 Alipofika mahali pale aliwaambia, Ombeni kwamba msiingie majaribuni.
41 Mwenyewe akajitenga nao kama kiasi cha kutupa jiwe, akapiga magoti akaomba,
42 akisema, Ee Baba, ikiwa ni mapenzi yako, uniondolee kikombe hiki; walakini si mapenzi yangu, bali yako yatendeke.
43 Malaika kutoka mbinguni akamtokea akamtia nguvu.
44 Naye kwa vile alivyokuwa katika dhiki, akazidi sana kuomba; hari yake ikawa kama matone ya damu yakidondoka nchini.

Mhubiri: Mch. Dr. Eliona Kimaro.
Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
Simu: +255 713 553 443
KZfaq: Kijitonyama Lutheran church
Barua Pepe: Kijitonyamalutheran@gmail.com

Пікірлер: 25
@loshilulukumay7203
@loshilulukumay7203 29 күн бұрын
Somo limenibariki Sana na Nimeelewa sana Mifano hai ninazo sana tu Wacha nipambane katika Hali niliyopo maana somo hili limekuja kwa wakati Muafaka sana katika Maisha yangu haya niliyoanza 2024
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 28 күн бұрын
Ameeeeeeeen napokea baraka zakuingia na kutoka kwa jina la yesu
@Irene-vt5ld
@Irene-vt5ld 28 күн бұрын
Halooooo Mch kimaro libarikiwe tumbo lililokuleta duniani Wewe ni wa baraka sana kwa kizazi hiki Mungu akutunze sanaa Baraka za Mungu zisikome kwenye maisha yako Milele Yotee
@hopedeus4599
@hopedeus4599 27 күн бұрын
Amen
@neemameliara2570
@neemameliara2570 28 күн бұрын
Amen Amen baba 🙏🏼
@leokadiakings1127
@leokadiakings1127 28 күн бұрын
Amen Amen
@user-km9fi7mb6h
@user-km9fi7mb6h 29 күн бұрын
Napokea baraka ya kuingia na kutoka kwa jina la yesu kristo
@tracychesoli2900
@tracychesoli2900 29 күн бұрын
Amen we conquer the spirit of fear
@christinakiula3743
@christinakiula3743 27 күн бұрын
Mwisho wangu akawe mkubwa kuliko mwanzo ukajitokeze katika maisha yangu yabadilike na kuwa ya ushindi.
@hopedeus4599
@hopedeus4599 27 күн бұрын
Amen
@christinakiula3743
@christinakiula3743 27 күн бұрын
Amen
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 28 күн бұрын
Amen 🙏
@BrendaMamuya-tt9qf
@BrendaMamuya-tt9qf 29 күн бұрын
Na barikiwa Sana na hili somo
@BrendaMamuya-tt9qf
@BrendaMamuya-tt9qf 28 күн бұрын
Amen🙏🙏🙏
@raheljulius9415
@raheljulius9415 27 күн бұрын
Ameen
@nelsonmariki1981
@nelsonmariki1981 27 күн бұрын
Ameni
@loemasarwatt7698
@loemasarwatt7698 28 күн бұрын
Amen mch umenibariki na kunipa nguvu ya kutokukata tamaa
@macrinersamkhumbi7397
@macrinersamkhumbi7397 29 күн бұрын
Somo zuri na nilawakati kwangu,ashukuriwe Mungu wa mbinguni aliyempa mchungaji ufunuo huu mkuu
@jedidahkisaghi677
@jedidahkisaghi677 29 күн бұрын
Ameeeeeen.
@JosephMallya-re1vk
@JosephMallya-re1vk 29 күн бұрын
Napokea baraka kwa jina la yesu kristo amina
@catherinegimbika1545
@catherinegimbika1545 29 күн бұрын
Jitambulishe ee Mungu! Ubarikiwe mtumishi wa Mungu.
@AliceHatibu
@AliceHatibu 29 күн бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏
@JosephMallya-re1vk
@JosephMallya-re1vk 29 күн бұрын
Hofu ya mabadiliko nimeishinda kwa Jina la huyu MWAMBA
@LilianBerthesa-gc8bf
@LilianBerthesa-gc8bf 29 күн бұрын
Amen
@jacklinenaftal7985
@jacklinenaftal7985 29 күн бұрын
Amen
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: IBADA YA  MORNING GLORY (THE SCHOOL OF HEALING) 07/ 08/ 2024
1:11:41
MBINU ZA KUOMBEA MAJARIBU || Mwl Christopher Mwakasege
1:23:21
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 143 М.
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 9 МЛН
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 15 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 91 МЛН
#mahubiri MAISHA YA ANAYE BEBA AGANO |PR.DAVID MMBAGA | SIKU YA 4
1:12:11
Tuesday Worship Moments with Dr. Sarah K & Shachah Team {21ST MAY 2024}
2:53:33
Worship Moments with Dr Sarah K
Рет қаралды 149 М.
1 IJUE NGUVU YA MUNGU YA MSALABA ITENDAVYO KAZI ILI UNUFAIKE NAYO || Mwl Christopher Mwakasege.
1:19:08
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 45 М.
REV. DR. ELIONA KIMARO: IMANI NA SOKO
1:55:37
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 25 М.
YALE USIYOYAWEZA BWANA ANAWEZA, ALIPO BWANA, ZUNGUMZA NAMI BWANA AND BILA WEWE YESU SIWEZI
34:14
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 5 МЛН
5B. MPE MUNGU MOYO WAKO AUANDAE KWA YALE YANAYOKUJA  || Mwl Christopher Mwakasege || KAHAMA
44:42
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 21 М.
Tuesday Worship Moments Live with Dr. Sarah K & Shachah Team {13TH FEB 2024}
2:39:06
Worship Moments with Dr Sarah K
Рет қаралды 485 М.
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 9 МЛН