Mimi wakwanza APA kutoka Congo 🇨🇩 naomba liké zenu jamani
@aaronk37872 ай бұрын
Congo vita vimeisha kweli
@douglasomanga86492 ай бұрын
So u mean 🇨🇩 munaongea kiswahili
@jumannerajabu52882 ай бұрын
Flk
@jumannerajabu52882 ай бұрын
@KwizeraFofo2 ай бұрын
Games inanza kuwa tamu
@Baba_Veronica2 ай бұрын
Atakae comment usisahau kunipa like ata moja
@Reuben-rm6nb2 ай бұрын
Top directly from Kenya,,,naomba likes jameni,,,mfinanga to the world
@ABDALLAHDullyman2 ай бұрын
Mfinanga bro umetisha hatar ogopa nawapendasan pamoja na kiparaigwe nawatuwake ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@triplembeiby2 ай бұрын
unaingia kwa kelele lakni tushafika ❤❤
@RashidsalumMbarouk2 ай бұрын
Wakumi japo like 5 twende sawa
@jamesmusombwe40092 ай бұрын
Wakwanza Zambia naitaji like zeenu na number ya mufinanga please
@KhamisTolli2 ай бұрын
Filam kw kwel nzr ila vipande muna vichelewesh san
@ABCD-xu7dx2 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@aganzeroger2 ай бұрын
Wa kwanza kutoka Congo goma nipe like zangu asheni ushoyo🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@EricKambale-dl7pj2 ай бұрын
Wakwanza naombeni like zangu ❤❤
@MICKEYBOYHB2 ай бұрын
DOKO UNATAMAA ETTY NIBUSU 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@MalinusiJacksoni2 ай бұрын
Wakwanza apa Kama upenda kazi za Doko weka like zenu hapa❤
@moristudio12 ай бұрын
Mkongo leo nakuwa wa kwanza
@gseh92772 ай бұрын
Yes nipo hapa wa kwanza wenu
@johnosoro60332 ай бұрын
Doko katika movie sote zimevunja record Tanzania nzima hii ni Moja Yao, tupo KENYA ila tunaenjoy kazi nzuri sana mko vizuri
@Johntezee2542 ай бұрын
Haya na mimi leo naomba like mnipe ata tatu jamani
@SeiphMkwizu-iz8ed2 ай бұрын
Hatimae leo nimewahi jaman ahsante kwa movie pendwa
@Franciskarrasco2 ай бұрын
Wakwanza mimi nipeni like zangu 🎉
@LeventarKavaiza2 ай бұрын
Wa mwisho leoooooo,,wenye vipara hatuchekeshiiii😂😂😂wapi likes ata 10 jamaniii
@J742512 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉nzuri Sana hiiii
@chrisshako62032 ай бұрын
apo kazi bora kaka ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@christophernyangweso48762 ай бұрын
Kutoka Kenya Nairobi nipee likes nawapenda 🎉
@user-iw8ce9ct2p2 ай бұрын
Oya doko umeyakanyaga kwa mandonga
@sabchke2 ай бұрын
DOKO uache kuchelewesha bana,,, one love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@user-vp9sc9ro7v2 ай бұрын
Kikongwe mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 like Kam mia kwa dogo a.k.a wenye vibala hawachekeshi.
@DirectorKinoti2 ай бұрын
Mimi ni mkenya mbona hamnipi likes?
@khamzalockymaster60082 ай бұрын
Habal yako bwana doko✊✊ keep strong
@giftelinazi34872 ай бұрын
namkubali Recho anacheza mchezo kwa akil
@gracekahunda2 ай бұрын
Nlidhani huku watu wamekomaa akili kumbe bado Kuna watoto wakuomba like
@user-mp9zu7vc8b2 ай бұрын
Doko na mfinanga love you so much ❤️ 💖
@bramwelsituma63752 ай бұрын
Mimi napenda kazi yenu sana...🇰🇪 Kenya 🇰🇪 Kenya 🇰🇪
@user-fq1kl4uc1z2 ай бұрын
Kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮 🇧🇮nimechelewa saana kutokana na safali ndefu
@zainaabdallah8092 ай бұрын
Mbona atuitani team furus team WiFi team Dogo sijapenda aya tusalimiane team kupambana kazi kazi
@user-ns2zm8jn7w2 ай бұрын
Na mm Leo nimeiwahi ban were like yangu hata moja tu
@yusuphseleman36762 ай бұрын
doko usichelewe jaman dah mpak tunasahu tulipoachia
@user-kw1bo4pk6x2 ай бұрын
Nawarank kutoka 🇰🇪🇰🇪
@alisamsowa13252 ай бұрын
Oy hii mm naikubal San ila mvinanga n doko wamecheza
@user-ub3xy9qu5q2 ай бұрын
Huyu ndo recho hii sehemu anaiweza kuliko nn
@moulynnyaboke-sh9vj2 ай бұрын
🎉🎉❤❤❤ nakuaminia mfinanga
@husenaliy46112 ай бұрын
Nzuri ❤❤❤
@user-oh6dd4rt6w2 ай бұрын
🎉🎉🎉nimewahi leo kidg❤❤
@samiuhassan81532 ай бұрын
ASANTENI JAMANI KWA KUWAHI LEO🔥🔥🔥
@JurajiMuhidini2 ай бұрын
Mim wa mwisho leo naomba comments zenu
@NillyNilly-fm5pw2 ай бұрын
Kikongwe inazidi kuchemka ...Doko utatii Reachal
@Nairoboss2 ай бұрын
Leo mapema🎉
@fedyhd3002 ай бұрын
Mh kweny mpila mmenzinguwa San jaman et simb ya kuchukuwa kombe la lig 😂😂😂😂😂
@user-gn1qy9ww6n2 ай бұрын
Mimi wapili kutoka mwisho naombeni like zangu
@JackchainTZ2 ай бұрын
Very good
@andrewkilave35322 ай бұрын
Sonia mama
@josephsananga65732 ай бұрын
Sonia nikikupata uko naayo kacho ya nyege akii nalamba bao ata20
@billabong_del_sol_272 ай бұрын
Mwenyewe Vipara tumefika like for like..❤
@andrewkilave35322 ай бұрын
Leo mmewahi sana safi
@user-ss8zw7ep1z2 ай бұрын
Doko Wacha kuchelewesha one ❤❤❤ from 🇸🇦🇸🇦🇸🇦 to 🇰🇪🇰🇪
@DOKO34672 ай бұрын
Ata wewe umechelewa kuja kuangalia 😂😂😂😂😂
@jofumwakalambo10972 ай бұрын
Nipo hapa toka sumbawanga niko na doko ngoma ingwe
@waziriasangalwisye63932 ай бұрын
Nipo top three
@mistahkeytvkenya42112 ай бұрын
Mimi wa kwanza hapa like
@user-cx2rz8lj1b2 ай бұрын
Ready by cheleko gang
@SalumuSabasaba-hg6nu2 ай бұрын
apo fresh kabisa, mnatimiza malengo yangu.
@tiokoekeno012 ай бұрын
Wa Kwanza Leo kupata like
@khadijaawadhi65762 ай бұрын
Afadhali safari hii imewahi
@Mwana85Mwana85-wz1ol2 ай бұрын
Kamote umepigaje hap Kwa mchumba kamote alikuwa na nyenge jingi San kama kigongwe na kamote weupe kama sanda 😂😂😂 hatarii mama doko kishaliwa na mfinaga kweli zuwena na pia n kamote huu🔥🔥🔥🔥🔥
@sergesntunzwenimana2 ай бұрын
Kama unaipenda kikongwe nipe like zangu❤❤
@SophiaUhuru2 ай бұрын
Nampenda sana mfinanga na bi kikongwe ❤😂😂😂😂😂😂
@user-pp3vo8rw5j2 ай бұрын
Much love from saudi ❤❤❤❤❤❤
@menyatv54532 ай бұрын
Sijachelewa sana gonga hapa
@vincentkituva34752 ай бұрын
😂😂😂😂
@salimmachaku51712 ай бұрын
Machaku
@user-zf6te8tj4l2 ай бұрын
Mfinanga jamani
@josephsananga65732 ай бұрын
Sonia nakupenda nakukubali sana nikiwa mwanza🎉🎉
@user-by6bg2fq6b2 ай бұрын
dyuuu hay nayo mapya jamani next pleaz
@josephsananga65732 ай бұрын
Sijui nilikuwa wapi nimechelewa kuifuatilia hii tamthiria baada kumuona sonia chapu nimekuja😊😊
@josephsananga65732 ай бұрын
Macho yako kasura ata kasauti amazing njoo usukumani nikupe ngombe
@AllyBabu-kr6lg2 ай бұрын
iyo big 3 ya Sonia.mfinanga.na.uyo kijana bisho nimeipenda❤❤❤❤❤❤❤
@HASHIMMAKUNGUHAMDANI2 ай бұрын
Makumazan hapa ndio unapo tufurahisha episode isikae mda maana tunasahau tulipo ishia. Ila broo unajua sana haya maua ❤❤❤🎉🎉🎉🎉pata yote ww
@user-le6fo9tv8f2 ай бұрын
Sonia uko vizur sna unatupa burudan mzur
@biashabaya82212 ай бұрын
Mbona mimi sipati like hapa😭😭😭
@radjabuharerimana25382 ай бұрын
Kazi nzuri
@saidigongolo45322 ай бұрын
Kazi nzuri sana Ila muda mdogo sana
@soldd-xz5ue2 ай бұрын
Safi Sana Dada kwa majibu mazuri nimekupenda Bure chukua maua yako 🌹🌹mpende Sana mfinyanza
@theopistersaimon96642 ай бұрын
we lazima amuoe kikongwe
@emanuelmwambegele27712 ай бұрын
mnachelewesha sanaaaa
@azizaagustino8752 ай бұрын
Nipo apa toka msumbiji namfatilia SONIA ✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅unaweza
@JusterKawira-dw5uf2 ай бұрын
❤Kazi nzuuri
@mubajoti7432 ай бұрын
Huy kamoto mbn anamuiga kicheche na wala hampatii
@mummyjei56342 ай бұрын
Muache kuchelewesha nzuri sana
@stivenkhanga97812 ай бұрын
Hongereni sana kila siku mnazidi kuongeza vitu vizuri,safi sana kwa picha ang'avu Full HD...
@user-yy6fx8hm4g2 ай бұрын
Wimbo tuu wakikongwe ndo unanikosha
@user-ot7xg1hf3f2 ай бұрын
Mashaallah nimewahi
@lizchepkorir20002 ай бұрын
Ila kikongwe ni mrembooo❤️🥰
@JohnNgenta-vx4ns2 ай бұрын
Pia nani nawafuatilia kutoka kilgoris
@Melvy-kb3lc2 ай бұрын
Hao mnaocomment kwamba mpewe like zenu yaani mnakera kma kinyesi cha asubuhi kilichonyeshewa 😂😂
@user-tn8kw5jq7c2 ай бұрын
Kaziii nzuri ❤❤❤
@khadijaoshan68812 ай бұрын
Jamani kwa kwanza❤❤❤❤
@user-yo6dy7kp2m2 ай бұрын
Juu huyo ndo mchawi
@NiroranyaTheodor-qc8qh2 ай бұрын
From Burundi naombeni like zenu
@ahmedlatif75652 ай бұрын
Kenya twakupenda Doko
@DOKO34672 ай бұрын
Nawapenda pia
@AllyKhamisi-wb2vv2 ай бұрын
Tuliowahi tujuane kwa like hapa
@BenBenJumaАй бұрын
Yea
@MoTalentTz2 ай бұрын
Kazi kazi mjomba mfinanga ,doko Sonia💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻🙏🙏🙏
@user-mm5td4rz8t2 ай бұрын
Mwendelezo basi🎉🎉
@rehemaabdalla16732 ай бұрын
Ayo mabandeji mpk Leo utoi tu jmn yanakela
@fhugghi41092 ай бұрын
Cjachelewa sana ❤💃💃
@hass86652 ай бұрын
Wazee wa kuchelewesha leo mmetoa
@salumuathumani87952 ай бұрын
Apo sawa
@Ngoshakoko2 ай бұрын
Unyama sana kaka Doko mfinanga kamote kama umeona hii comment naomba wekeni neno nawapenda sana Kazi zenu Kali alafu Ndefu